Рет қаралды 22,273
Wanaume wengi wamekuwa wakilalamika kuwa wake zao wamebadilika au hawawaheshimu au wanadharau au jeuri na vingine vingi. Unaweza kukuta mabadiliko hayo yanasababishwa na umri wake. Nakuuliza swali hapa JE MKEO ANA UMRI WA MIAKA 40 au 50? Basi hakikisha unayafahamu haya mambo muhimu. Usisahau kusubscribe na kumwalika Rafiki.
#DrChrisMauki#Umri#Miaka