Dr. Chris Mauki: Je mpenzi wako ana wivu? Jiulize haya matano!

  Рет қаралды 25,065

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Mapenzi ya wengi sana yame haribiwa na hata kufa sababu ya wivu uliopindukia. Nakuuliza, je mpenzi wako ana wivu sana? Je wivu huo unakusumbua? Basi mambo haya matano yatakusaidia.
#ChrisMauki#Wivu#Wamapenzi

Пікірлер: 42
@saraphinajosephaty2723
@saraphinajosephaty2723 2 жыл бұрын
Mafundisho yako yamenifundish mambo ya msingi sana ktk mahusiano yangu kupitia mafundisho haya nimetambua mwanaume asiye na upendo wa kweli na asiye na upendo wa kweli
@naneca3756
@naneca3756 2 жыл бұрын
Kaka Ona,mi nina wivu hadi najiogopa jmn,nateseka sana!.
@user-hy1mu2xl9h
@user-hy1mu2xl9h 9 ай бұрын
Pole
@RukiyaButoyi-sk5nm
@RukiyaButoyi-sk5nm Жыл бұрын
Tunashkru saana D.Cris umenifunza mengii saana Mungu akubariki kabisa unatowa mafunzo mazuri saana
@elizabethelisaria6730
@elizabethelisaria6730 2 жыл бұрын
Chris! Mzima Dr? Naona unatibu na ndoa. Hongera mdg wangu
@julianalameck9045
@julianalameck9045 2 жыл бұрын
Asante Sana kaka, Ubarikiwe Sana, nimejifunza mengi kuhusiana na namna yakupambana na wivu wa mtu wangu
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
Kiukweli MMI nna wivu Sana na n mtata na pia nna ghadhabu kubwa huwa sipendagi kbca kupoteza muda yaan nataman hii kitu niipunguze kwa mke Wang sijui nifanyaje ili ipungue huwa nawaza Sana maana mke wang n mpole sana
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
Nilikutana na mwanaume wa hovyo anakuonea wivu halafu huduma yeyote Ile hatoi yeye anataka Bure tu nikamwachilia mbali stupid ahsante kwa mafundisho bigup bro
@neemafrenk8966
@neemafrenk8966 2 жыл бұрын
Kwer dada mi ninae anawivu atar Sana anipi nachotaka nipige chini
@tawalazephuline4950
@tawalazephuline4950 2 жыл бұрын
Hili ni somo kubwa sana katika mahusiano si katika mahusiano bali hata katika ndoa maana hamna amani palipo na wivu ulivyopitiliza. Nitaliangalia hili somo kila mara lipate kuwa msaada kwangu leo na kesho
@juliawnjeri5913
@juliawnjeri5913 2 жыл бұрын
Mavunzoo yako imenifundisha mambo mengi sana...🙏👏🤝
@leylasaimour9488
@leylasaimour9488 2 жыл бұрын
Dah mi mpenzi wang wivu kazid yeye akiw ayup akikuon online bc ni shida kuna muda mpk nakasirikag yn ana wivu mpk ss kapitiliza ht km tunaongea kwa njia y simu isiingie sms yn hapo hapo anawek wivu ss cjui ana nipenda sana au ni hurka yake na shindwa kumuelew ananipag mawazo sana ht ukichelew kujib sms yan hiyo inakuwa kesi kwk. Nashindw kuelew mimi
@aliciarugangira8605
@aliciarugangira8605 2 жыл бұрын
🙆🤦🤦
@glodynkondo9800
@glodynkondo9800 2 жыл бұрын
Asante sana 🙏 mimi nina wivu kwasababu nakupenda mke wangu
@makokakinyaha3567
@makokakinyaha3567 Жыл бұрын
Wakwangu ni all weather Kwa kweli🤔🙌
@shantemikulu5167
@shantemikulu5167 2 жыл бұрын
asante sana kwa mafundisho yako
@isabelmwansasu9016
@isabelmwansasu9016 2 жыл бұрын
Mbona siion ii
@عبدالعزيزعبداللهالفغم
@عبدالعزيزعبداللهالفغم 2 жыл бұрын
😓😓😓inanisikitisha Sanaa hii topic 😢😢😢😢ilaaa mapenzi bhana
@amainahtwaha3111
@amainahtwaha3111 Жыл бұрын
very interest
@user-rl1ut3jw7n
@user-rl1ut3jw7n Жыл бұрын
Mimi nko na mpenzi na tunapendana lkn hua ANASEMA hatawahi olewa ..nimechanganyikiwa
@mildredkanaizah6141
@mildredkanaizah6141 2 жыл бұрын
Ujumbe wako naupata vizuri zaidi
@adamlikungila3435
@adamlikungila3435 2 жыл бұрын
Ivi kama kwa sis maboda boda mpez akikuaambia xaa kumi na mbili ulud??
@valeriachipeta774
@valeriachipeta774 2 жыл бұрын
Yaan mpenz wng mm Ana wivu lakn umepitiliza. Hata nikitoka nae siongei hata na rfk zake nikiongea nao tu anakasirika. Mm mwenyew nina wivu sana na huwa naumia sana Sema mm sio msemaji. Ila mpenz wng mm hata marafk wote wa kiume nilikua nao zaman wengne maclassmate nilishawapoteza wote. Hata sielew inakuwaje
@nellymichael2782
@nellymichael2782 Жыл бұрын
Ahsatee kwa somo
@restphillipo1796
@restphillipo1796 2 жыл бұрын
Naomba unitumie namba zako
@kamathimagretgm6952
@kamathimagretgm6952 2 жыл бұрын
Gd Lesson
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Nice
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Mimi aliambiwa maneno ya uongo kuwa na mwingine akaniuliza nikamwanbia sio lakin akawa bado haamin analalamika kuusu hilo na badaye akaja kukata mawasiliano na mimi
@chalofurniture9860
@chalofurniture9860 2 жыл бұрын
Namba 5 nimeipata sana kaka
@jenifaally9620
@jenifaally9620 2 жыл бұрын
Leo umegusa penyewe kws kweli
@hawahawa9504
@hawahawa9504 2 жыл бұрын
Anao
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Kuna mwanaume alishawai kuniikunuta eti kisa napita kwao usiku akiniuliza kwanini nimechelewa kuludi anaona simpi majibu mazur nilikuwa simtaki lakin alikuwa ananifuatilia nikienda kwa bibi nikichelewa kuludi magar shida anaisi vingine siiku akanipiga nikakasika nikamwambia unanipiga utazan umeniowa rafik yangi akasema vick unapendwa paka unapigwa
@valeriachipeta774
@valeriachipeta774 2 жыл бұрын
Yaan huyo unaemuelezea ndio wa kwangu yuko hvohvo sema mm siambiwi niandike tu kwenye karates. Yaan Bby wng mm jaman hapana kwa kweli n mtihan
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Mimi yule sio wakati wote wivu uliibuka badaye
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Haha ndo na mimi nilishangaa hivyo nilijuliza hivyo huu wivu umeanza lini.da mada nzur kweli
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Du uyo mtu uwo wivu wake tena ulizidi
@tatukarata6072
@tatukarata6072 2 жыл бұрын
Na km hana wivu hat
@zahraali4873
@zahraali4873 2 жыл бұрын
Naomba no yako please
@frankanatory6801
@frankanatory6801 2 жыл бұрын
🙏💪🥇🥇💪💪💪
@nailatkatanga5342
@nailatkatanga5342 2 жыл бұрын
Hivi Kama Hana wivu na ww ,je huyo anamapenz ya kweli na ww
@gisellechamulunguvuxenutbi9219
@gisellechamulunguvuxenutbi9219 2 жыл бұрын
Pia mm najiuliza cz wangu pia hana wivu
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Chris Mauki
Рет қаралды 127 М.
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 8 МЛН
Wivu unasaidia nini kwenye mapenzi?
13:17
EastAfricaTV
Рет қаралды 3 М.
Jinsi ya kuwekeza shilingi Laki moja
6:07
Happy Msale
Рет қаралды 1,8 М.
WIVU WA MUME
9:56
BHAILAM
Рет қаралды 221 М.
SAIKOLOJIA YA WIVU KWA WANAWAKE -  JOEL NANAUKA
18:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 59 М.
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 467 М.
Dr. Chris Mauki: Dalili 6 Kwamba Bado Anakupenda.
4:59
Chris Mauki
Рет қаралды 141 М.
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17