Wengi huniuliza inakuwaje mwanaume wangu amenikinai au amenichoka ghafla, nawaambia kuna mazingira yakiwepo nirahisi sana mwanaume kukukinai, tena ghafla. Mazingira hayo ni haya
Пікірлер: 36
@mpelienock4 ай бұрын
Dr Chris hii ni practically true, uchunguz wako ni wa kweli. Personally I'm totally against maneno mengi yenye negativity.
@levinavenance1200Ай бұрын
Mwanaume kukukinai kitandani 1.mwanamke anapokua na maneno mengi ya criticism 2.ubishi upinzani ukosoaji 3.uchafu na harufu 4.ujuzi wa sex na tajiri wa ushamba
@MerlinaKubadeshaАй бұрын
Wewe umeolewa
@joycehaule971725 күн бұрын
Hahahahaa Dr jamani mabonge leo tumekua makontena wallah leo nalia hahahahahaa
@winfridamwigilwa21074 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani Leo mabonge watalia sana.
@mariamupandika4 ай бұрын
Asanthe sana HIZI SIFA sina MPAKA mahusiano yangu yanafuraha
@ShukuruShaban2 ай бұрын
Ni kweli mimi wanawake wanene siwezi huwa nachoka 😊😊
@TundaEmanuel-ns8kjАй бұрын
Beberu ananusa anaangalia juu mbingu sijui ndio anamshukuru mungu 😅😅😅😅😊
@AshaAmeir3 ай бұрын
Wabonge wawe pole sana
@carolinetoto87064 ай бұрын
Asantee ❤❤
@Leon4-e6e20 күн бұрын
Waandaeni wanaume kuwa wanaume.
@JaneyChigga4 ай бұрын
Kaka Mauki umeiwaa!! Ety mwili umekuwa lama contena😂😂😂
@MarthaAbel-es4pu3 ай бұрын
Asanteee barikiwa
@JeniferMoses-sy5vr4 ай бұрын
Uwiiiiiiiiiii jamanii jamanii endelea kutusaidia!
@AshaAmeir3 ай бұрын
Dr Christ tufunze hata huu ujuzi Ili watukinai hai wababa.