Dr. Chris Mauki : Maeneo Sita Ya Kumsifia Mume Wako

  Рет қаралды 40,974

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Hivi unajua kwamba hata wanaume nao wanapenda kusifiwa? Je huwa unamsifia Mume wako, au unadhani ni wewe tu ndiye unastahili kusifiwa na kupongezwa? Haya hapa maeneo 6 ya kumsifia na kumpongeza Mume wako. Jaribu uone matokeo yake

Пікірлер: 80
@Maggie-yx8pw
@Maggie-yx8pw Жыл бұрын
Kaka Chris Mauki Mungu akutunze na alibariki Tumbo lililokuzaa. 🙌🙏🙏🙏
@NimaNima-dh6zz
@NimaNima-dh6zz 5 ай бұрын
Chris mauki ni mmoja tu mwenye kutupa maneno ya hekima ktk mahusiano ubarikiwe sana salute ❤
@irennyamanda7465
@irennyamanda7465 Жыл бұрын
Kwakweli mie huwa nakuombea Mungu azidi kukutunza Dr Chris, maana huwa unafundisha mafundisho katika uhalisia na yamekuwa yakinipa maarifa kila iitwayo leo, Asante sana.
@mouzahal-alawi6474
@mouzahal-alawi6474 Жыл бұрын
Dr.Chriss wewe Mkombozi..Ahsante sn..Love from Oman🇴🇲❤️
@Neema-fh1wp
@Neema-fh1wp Жыл бұрын
Najilaumu sana kutokuona haya masomo mapema ,ila bado cjachelewa na yanitoe mahali sasa
@Franciamuro
@Franciamuro Жыл бұрын
Jamanii uko vizuri kaka yangu unagusa penyewe..mungu akutumie vile apendwvyo
@lazaronaata2249
@lazaronaata2249 Жыл бұрын
Nilihisi mpweke. Lakn nimepata message nzuri Mungu anisaidie
@penithaarchard
@penithaarchard Жыл бұрын
Asante Dr.chris Mauki Kwa kutupa mawazo mazuri ya kuijenga ndoa be blessed my dr.
@fatumajoliemwange7982
@fatumajoliemwange7982 Жыл бұрын
Asante saaaana Dr. Ubarikiwe.lakini mimi niko naitaji bok yako kwa ruhuga ya English niko Sweden 🇸🇪
@FransiscaAdrew
@FransiscaAdrew Жыл бұрын
Asante Sana ubarikiwe umenifahamisha nilivyokuwa sivijui
@VeronicaThomas-pb1cp
@VeronicaThomas-pb1cp 11 ай бұрын
Nashukuru sana kwa mafundisho mazuriii
@HamidakomboKombo-xs2ju
@HamidakomboKombo-xs2ju 2 ай бұрын
asante sana nimekuelewa .nimejifunza kwelikweli, ila wangu mimi hajali wazazi wangu😢😢😢
@asmashabani2032
@asmashabani2032 27 күн бұрын
Pole kipenz
@hamidasira4543
@hamidasira4543 Жыл бұрын
Asante unanifanya niwe imara kila siku
@heavenlight5084
@heavenlight5084 Жыл бұрын
Asante kaka Chris but inakuaje pale mnavyoshauriana kufanya jambo,anaitika kua it's ok ntafanya,halafu huoni likifanyika
@claramrosso2566
@claramrosso2566 Жыл бұрын
Asante dor.Chris Mauki
@PendoMwarja-gu9ii
@PendoMwarja-gu9ii Жыл бұрын
Mungu akupe kila kilicho chako
@LianNdossy-zl9or
@LianNdossy-zl9or Жыл бұрын
Asant sana Dr najifunza San vitu vingi kutoka Kwako
@aishankundwanabake8750
@aishankundwanabake8750 Жыл бұрын
Asante saana docta Chris unatufunza hamna wakupinga
@lydiahnafula180
@lydiahnafula180 Жыл бұрын
Learning..nikipata mtu hivi,basi
@lizzybethmayengoh
@lizzybethmayengoh Жыл бұрын
Thanks for good advise
@bernadinatemba7493
@bernadinatemba7493 Жыл бұрын
Ahsante sana Dr🙏🏻
@REGINANDUNGURU-xl7nm
@REGINANDUNGURU-xl7nm Жыл бұрын
Asante doctor
@munaali7862
@munaali7862 Жыл бұрын
HongeraSanaKwaManenoYakoMazuri
@AmeenaTanzania
@AmeenaTanzania Жыл бұрын
Nakukubali sana uko sahii
@fatmahaji7661
@fatmahaji7661 Жыл бұрын
Asante sana kwa mafunzo
@PaulinaJue
@PaulinaJue Жыл бұрын
Nashujkuru sana Dr umenierimisha
@gracemgimwa4775
@gracemgimwa4775 Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
Shukrani
@nanceaidan6622
@nanceaidan6622 Жыл бұрын
Asante kwa somo
@veronicaexavery784
@veronicaexavery784 Жыл бұрын
Yanii huyu kaka anafanya nakuwa mpya kila siku kwenye mahusiano yangu hata kelele nimeacha jamani😂😂😂
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
😅😅hongra sana
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe. Ameen
@drvidah7030
@drvidah7030 Жыл бұрын
Umpe zawadi sasa😂😂😂😂
@happyemanuel2070
@happyemanuel2070 Жыл бұрын
Mim pia amenijenga aisee
@joyce55727
@joyce55727 Жыл бұрын
😁😁
@Dorothyzawadikalume
@Dorothyzawadikalume 9 ай бұрын
Asante
@favor_is_my_name
@favor_is_my_name Жыл бұрын
🙏🙏 barikiwa sana mtumishi
@ImanMarasi
@ImanMarasi 8 ай бұрын
Hii nikweli japo mwanadamu kumuridhisha nikazi San ila ataikitokea akakuacha hiyo neno yako iliyokua na Mwambie itamugarimu san 🙏🙏🙏
@pendo8082
@pendo8082 3 ай бұрын
Point
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 Жыл бұрын
Yaan haya mafunzo yanabadilisha kwa kweli.
@rithamlacha5403
@rithamlacha5403 Жыл бұрын
Be blessed.
@eunicesimion4890
@eunicesimion4890 Жыл бұрын
Ivi doctor Chris... eeeh aya bwana
@amneally4135
@amneally4135 2 ай бұрын
Santeee
@piusnyamari7726
@piusnyamari7726 3 ай бұрын
It's❤❤😊 2:51
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Thank God nayajua yote haya my future husband where are you
@alicenice1711
@alicenice1711 Жыл бұрын
Aa kwanza leo nipeni like zangu😂
@HaniyaKisingo
@HaniyaKisingo Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi🎉
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 Жыл бұрын
Na kama hafanyi chochote kile zaidi ya sex, utamsifiaje? Pesa zote zatumwa kwa mahawara zake halafu zangu mie ni za familia? Utasifia nini hapo?
@fatmahaji7661
@fatmahaji7661 Жыл бұрын
😂🤣🤣utamsifia kwa iyo iyo sex
@drvidah7030
@drvidah7030 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 uyo ni mmama sasa
@christinajisena2634
@christinajisena2634 Жыл бұрын
Na chakula anakuta mezani? Mm hakuti kwa kweli, nusamehewe tu
@Aminajuma-q1y
@Aminajuma-q1y 3 ай бұрын
Yani yeye kazi yake hapo ni sex tu uwiiiiiii Mimi siwez kwanza sipiki kabisa alaf aje Sasa aulize chakula mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhh hehehehe
@adelinaamosi9437
@adelinaamosi9437 25 күн бұрын
Yan nguvu ya kusifia hta huipatii??
@HeenaArtist-zay
@HeenaArtist-zay 2 ай бұрын
💯❤️
@noursuleiman1883
@noursuleiman1883 2 ай бұрын
🎉
@SarafinaNaftali-lw2gk
@SarafinaNaftali-lw2gk Жыл бұрын
Kweli
@GodsonJoel-n5l
@GodsonJoel-n5l 10 ай бұрын
Asant daras linanfunza
@SarahMussa-d5s
@SarahMussa-d5s Жыл бұрын
Nimeamini mwanaum apendi kulalamika ila Kwa sasa nimeacha kelele napendwa sio pw
@NasrahMoses
@NasrahMoses 8 ай бұрын
Duuh Yan mi ndo nilikua na kelele
@adelinaamosi9437
@adelinaamosi9437 25 күн бұрын
Kumbe kulalamika ni kelelee
@FarhiaSwai
@FarhiaSwai Жыл бұрын
🙏🙏
@munaali7862
@munaali7862 Жыл бұрын
MonaAli
@Manka-g5y
@Manka-g5y Жыл бұрын
Naomba kujua wale wanaume wa 50% 50% yani nusu kwa nusu huyu sasa unamweheshimu au tuheshimiane tu
@claracalvin5055
@claracalvin5055 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 yaan nmechekaa
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
❤❤❤
@jescalutegonsombnambyakoda6719
@jescalutegonsombnambyakoda6719 Жыл бұрын
Mimi sijawah sifiwa😅😅😅
@nanceaidan6622
@nanceaidan6622 Жыл бұрын
😂😂😂
@drvidah7030
@drvidah7030 Жыл бұрын
Pole sana😂😂😂
@SaumuJuma-d2t
@SaumuJuma-d2t 3 ай бұрын
Mbn.mm.sifik.kilelen
@rithamlacha5403
@rithamlacha5403 Жыл бұрын
Be blessed
@HellenTuva
@HellenTuva Жыл бұрын
Asante
@niriacatering172
@niriacatering172 Жыл бұрын
Asante
Dr.Chris Mauki: Nguvu Ya Mahusiano Ya Chumbani
28:57
Chris Mauki
Рет қаралды 41 М.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 17 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 116 МЛН
MAMBO 10 MUHIMU YA KIUCHUMI KWA MWANAMKE  - JOEL NANAUKA
14:04
Joel Nanauka
Рет қаралды 31 М.
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Chris Mauki
Рет қаралды 133 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
AINA10 ZA WANAWAKE WASIOPENDWA
20:49
Mbeki TV
Рет қаралды 136 М.
VIASHIRIA 10 VYA MWANAUME MUOAJI - MIN.SUNBELLA KYANDO
24:53
Reality of Christ Church
Рет қаралды 303 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 6 za kudumisha mahusiano ya chumbani
9:55
SAIKOLOJIA YA MWANAMME
53:34
Elmi TV
Рет қаралды 42 М.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН