Dr Chris Mauki : Mambo matatu (3) yatakayo kusaidia kubadilisha tabia yako

  Рет қаралды 14,140

Chris Mauki

Chris Mauki

4 жыл бұрын

Mabadiliko ya tabia ni suala mtambuka. Kubadili tabia ni kitu endelevu kwenye Maisha, ili ubadilike lazima ujifunze vitu muhimu kwenye mabadiliko hayo. Ndio maana wengi wanatabia fulani zinazowasumbua na bado wanapata shida sana kubadilika hata kama wanajua madhara na athari za tabia hizo. Je unajua nini cha kuzingatia pale unapotaka kubadili tabia yako? Fuatilia somo hili muhimu sana

Пікірлер: 36
@careencharlescharles9749
@careencharlescharles9749 4 жыл бұрын
asante sana sana umenibadilisha mno na masomo yako MUNGU akubariki sana
@esthermichael3989
@esthermichael3989 Жыл бұрын
Kweli ushauri wa kisaikolojia ni tiba. Endelea kubarikiwa sana Mr. Chris Mauki
@ladyfausta7448
@ladyfausta7448 4 жыл бұрын
Mm jamani ninashida kila nikianzisha mawasiliano hayadumu ninakuwa na hasira cjui tatizo nn hapo kaka angu unaweza nisaidia
@davidshedrack6038
@davidshedrack6038 3 жыл бұрын
Nimeifurahiyaa somo yako kweli Dr
@janiphacosmas1777
@janiphacosmas1777 2 жыл бұрын
Asante kwa. Somo zri
@lydiamuhando2803
@lydiamuhando2803 3 жыл бұрын
Nabarikiwa na mafundisho yako mtumishi
@amarislam1589
@amarislam1589 3 жыл бұрын
mada imenisaidia sanaaaa safi sanaaaaa
@estherkabeya4453
@estherkabeya4453 4 жыл бұрын
Iyo ni kweli kabisa , ubarikiwe sana.
@aminaely3263
@aminaely3263 4 жыл бұрын
Nzuri Sana kaka umenisaidia
@rukiajumaa574
@rukiajumaa574 4 жыл бұрын
Asante dr
@swalhinajuma4149
@swalhinajuma4149 4 жыл бұрын
Umenikuza sana kiakili
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 жыл бұрын
Asante sanaa
@shanihamimu5288
@shanihamimu5288 2 жыл бұрын
Hbr..NahitAji.unisaidie.je.mapenzi.ni.pesa
@darejoTV
@darejoTV 4 жыл бұрын
Nice
@fatmamapinda7222
@fatmamapinda7222 4 жыл бұрын
Asante
@episawaki3240
@episawaki3240 4 жыл бұрын
Ninashort temper sana najaribu kuiacha lkn niliyenae ndo so ya kuirejesha sababu ya makwazo yake
@zuhuramike1399
@zuhuramike1399 4 жыл бұрын
Amen
@luciananyarash1681
@luciananyarash1681 2 жыл бұрын
Nna mwenza tumepanga kuingia kwenye ndoa lkn yuaniambia hayuko tayari nimpe muda ajipange ntafanyaje
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 4 жыл бұрын
Nataka kubadilika nisimpoteze niliye nae sasa lakini nina wivu sana na hunipelekea kuongea maneno ambayo yanamchukiza mwenzangu.
@assiajuma4988
@assiajuma4988 4 жыл бұрын
Hongera sana kutufamisha
@suleimansalum9675
@suleimansalum9675 2 жыл бұрын
Dokta mm ntk nibdilik kuhus Ii masterbation mbn cbdilki
@esterbarinaba5891
@esterbarinaba5891 4 жыл бұрын
Asante doctor ulinitumia number ya mawasiliano nikaambiwa nitatumiwa muongozo nikawa nawakumbushia sikupewa jibu Hadi leo Nilitaka kuonana na wewe
@rhodasaid3262
@rhodasaid3262 2 жыл бұрын
Doctor Mimi nipo Bagamoyo, nimetoka Tabora naomba nipate ssfac ya kuonana na wewe ana kwa ana tafadhali, naomba msaada huo please!please!
@DaveHumphrey2514
@DaveHumphrey2514 4 жыл бұрын
Nilifanya diet, motivation yangu ilikuwa suruali ya besti angu flani ivi. Nikasema, nitapungua ili nivae suruali yake. Ila sasa... Celibacy ndo ninaaim, ila cjui manufaa yake ila i want to be so
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 жыл бұрын
Inawezekana kabisa
@angelkanyambokanyambo3750
@angelkanyambokanyambo3750 4 жыл бұрын
Umenifungua kiukwel
@jacobkilimba748
@jacobkilimba748 4 жыл бұрын
Powerful Talk am Psychology Student I wish One Day Nisimame Ukumbi mmoja naww Kiongozi , am inspired by ur life story
@fatmadevd8072
@fatmadevd8072 4 жыл бұрын
Nkwel mm binafs nataman kbadirk lkn nmeshindwa so na fanya nn?..
@elvinandy5892
@elvinandy5892 3 жыл бұрын
Tafta pesa @fatma d
@ramseywanjala6295
@ramseywanjala6295 4 жыл бұрын
Dr Chris Mimi nina matatizo naomba mawasilino yako nisha kata tamaa na hii dunia naomba number ya WhatsApp am imo kwamana niko ije ya inji Mimi David
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 жыл бұрын
0713407182
@janethmakaranga7709
@janethmakaranga7709 4 жыл бұрын
Ramsey wanjala kila mtu Ana matatizo ktk dunia hii. Hutakiwi kukata tamaa. Anyway fuata atakachosema mr mauki uko mikono salama. He is indeed a GENIUS
@bahatijohn4877
@bahatijohn4877 4 жыл бұрын
Mm uongeajii jaman naongea Sana et alaka alaka yaan natakan niwe naongea polepole Ila nashindwa
@sheddykayanda4369
@sheddykayanda4369 3 жыл бұрын
😀😁😂😃😄punguza idadi ya meno kwa mdomo
@joycesengo3976
@joycesengo3976 3 жыл бұрын
@@sheddykayanda4369 😆😆😆
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Жыл бұрын
@@sheddykayanda4369 😆😆😆😆😆
Dr. Chris Mauki: Tabia 5 zitakazo kusaidia kustahimili mapito
8:47
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 54 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 476 М.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 186 МЛН
Tabia 5 Kubwa Zinazopoteza Fedha Zako Na Jinsi Ya Kuzishinda.
5:51
Wajue Maadui 4 Kwenye Maisha Yako
7:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 142 М.
AUDIO BOOK: ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO - JOEL NANAUKA
1:09:55
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kujenga tabia njema kwa mtoto wako
8:43
Maamuzi manne (4) muhimu sana kwenye maisha yako.
7:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 108 М.
Jinsi ya kuacha tabia usiyoipenda.
8:54
Joel Nanauka
Рет қаралды 157 М.
Nguvu Ya Tabia Katika Mafanikio Yetu Ya Kila Siku.
7:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 48 М.
# DALILI ZA HATARI KATIKA UCHUMBA # 5
20:57
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 34 М.
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 54 МЛН