Tangu nimepata kazi kwenye hii kampuni, nimekutana na maadui watatu wa kwanza. Ila Mungu kanipigania na sasa niko ktk kitengo ambacho, hawana access kubwa ya kuniathiri. Ila Namshukuru Mungu sana.
@merymanswet77243 жыл бұрын
Sasanasana uyu hamani uyu ndio yupo ananizingra
@abdultandala96003 жыл бұрын
Nimekuelewa brother' ww nimkombozi wa fikra mungu akupe maisha marefuuuuu!
@lovenessmasai22043 жыл бұрын
Toka nimekujua kaka sijawahi ona kama napoteza MB zangu,thanks much stay blessed Mungu akupe mbawa za tai uruke mbaali na maadui wote,tuzidi tupate elimu zaidi.
@neemaemanuel7715 Жыл бұрын
Kwanza asante Sana kwa kutupatia elimu kweli binafsi nashukur, mim nimeshakutana na Hawa maadui ila Adui Kaini daaa anatisha saana
@naomimasawe45713 жыл бұрын
Dah!!! Haya yote yamenitokea kwenye maisha. Asante kwa mafundisho yako mazuri ndugu.
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Sawa brother
@kidstvk3 жыл бұрын
Ikiwa ningejuwa hii miaka saba iliopita singekuwa jinsi nilivyo. Nimekutana na maadui wote hao maishani mwangu hadi sasa nina maumivu yalio sababishwa na maadui. Kwa kweli hili ni somo kubwa kwa wale hasa hawajakutana na baadhi ya maadui hawa. Hata na mimi itazidi tu kunifungua macho. Asante sana Joel N. Tuko pamoja sana kk nikiwa hapa 🇺🇸.
@joelnanauka3 жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻 pamoja sana
@groryrichard83673 жыл бұрын
kaka huwa nakuelewa sana mungu akubarki sana
@groryrichard83673 жыл бұрын
broo naomba utusaidie sana maana hao ndoo tuko nao ktk maisha yetu
@samwellishinu8723 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu maan umenipa hamasa zaidi juu ya ujasiri I thought that I was nothing in this world but through your videos,now I see the greatness inside me
@radhiafujdvinradhia41443 жыл бұрын
Daaaaahh yaani kaka Joel mm hao wote nimekuta nao pia nimebaki Na maumivu moyon ,Ila ninaamini kupitia makala zako nitapona kwa haraka zaidi ,pia nimepata njia ya kuwaepuka kaka,ubarikiwe kaka Joel kwa mafundisho yako maana napata faraja kubwa sn .....
@jamesibrahim88493 жыл бұрын
Kwangu Mimi takribani mahadui wote wanne wamegusa maisha yangu. Ndio maana mpaka sasa sijui nani wakumwamini. Tunashukuru sana kwa somo na Mada hii
@tatoissa44423 жыл бұрын
Hao tunao huku mtaani
@AngelMassawe-nz9sk2 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili yako japo dunia imefika nyakati zilizosemwa Mungu hajatuacha ameleta watu kina Joel Mungu asante bado unatupenda ubarikiwe JOEL
@tressamakunzo22033 жыл бұрын
Kaka wote hao ekutana nao,wmenifanya nilie sana na kukosa tumaini ila now namwamini Mungu tyu ndio rafiki mzazi mshauri ubarikiwe kaka Joel😓😓
@saidiramadhani28833 жыл бұрын
Nilishakutana nao maadui hao nilichofanya ni kuwapuuza
@lizzybahati98333 жыл бұрын
@@saidiramadhani2883 yaan wanachochea ungovi pia na roho za chuki
@evaharuna5595 Жыл бұрын
Usilie
@tabsonmgallah Жыл бұрын
Adui penina nomekutana NAYE nimuepukaje
@tabsonmgallah Жыл бұрын
Haman pia NAYE nomekutana NAYE hasa KWENYE mambo ya kiroho
@ponsianamataka4607 Жыл бұрын
Asante sana kutusaidia zaidi na zaidi kufafanua, kuielewa Biblia na kuhusuanisha na maisha. Mungu akubariki sana.
@monicacharles14433 жыл бұрын
Naona kuna mmoja kabeba kombe kaka Joel maana aina zote 4 zinamuhusu, namshukuru Mungu nimemjua, ubarikiwe Kaka
@joelnanauka3 жыл бұрын
😂😂😂 eti kombe
@monicacharles14433 жыл бұрын
@@joelnanauka ndio maana kabeba yooote 😅😅😅
@buyeginkwabi84093 жыл бұрын
I appreciate......Natamani pia kufahamu tunawezaje kuishi nao au kukabiliana nao wasilete madhara kwetu....Thank you very much.....
@godfreymwanache6683 жыл бұрын
Brother be blessed sana MUNGU anakutumia kuwakomboa vijana katika fikra na uchumi
@jumamabruck78463 жыл бұрын
😭😭😭😭😭uwiih Kain na Delila Penina Ni mtu mmoja ana tabia za hao wote .....ila nimejifunza Asante...
@FrolaMbembela-lt8jy2 ай бұрын
Jamani sina chakusema mungu pekee ndiyo tumaini langu pekee mungu akubaliki kaka endelea kututia moyo tulio vijika 🙏🏼🙏🏼
@user-xi4pd1yw7o7 ай бұрын
Jomn uyu Kaka namuelewa mmpk namuelewa tena mashallah Allah akupe siha na afya ilokua mzr
@aminatundondege93843 жыл бұрын
Na ni kweli lazima kuomba Mungu sana,ili akujuze na kukuepusha maadui hao,ni hatari!
@SHILECKIZACHARIA13 күн бұрын
Kaka kaka Mungu akubariki adui Kaini alinitesa saaaaaaana! Yaaaani walinitesa jamani ! Niliwapenda ndugu zangu wa damu niliwasidia! Ila mwisho wa siku hiiiiiii walichonifanya kina kaini! Hadi mamaangu , kumbe nilikuwa sijui kama huwa wananiombea mabaya ndugu zangu! Hadi wakanitamkia kabisa, una nini nawewe, mshahara wako wenyewe wakununua pedi tu! Anayesema hivyo, nimemsaidia jamani ! Uwiiiiii ni mdogo wangu kabisa! Nimelia jamani! Ndugu zangu wameniliza, nilipambana kusoma na wao hawakusoma! Basi uwiiiiiiii ! Jamani ila kwa sasa baada ya kujua vizri kwakweli nimeamua kupambana na maisha yangu huku nikifuata ushauri wako! Kwakwelinimekuja kwako wakati sahihi! Naomba nipone nina majeraha yanamwaga damu nyekundu mno! Halafu nilipoharibikiwa wakanitenga!!!! Wakamshawishi mpka mama, nae akanichukia, wakaingia mpka kwenye ndoa yangu! Mpka kwa majirani! Uwiiiii mwalimu! Itoshe tu kusema Mungu akuinue zaidi!
@matrugnawangaeli48153 жыл бұрын
Kwa kipindi ninachopitia inawezekana kabisa kwamba kuna adui. Ni nani adui wangu kusema ukweli sijui. mambo ni mengi na kama unavyo jua huu wakati hatuambatani na watu. Mimi nafuata ushauri wa Mungu kwamba nipende watu wote na kwamba adui wangu ni adui wa Mungu wangu, na naamini kwamba Mungu atamshughulikia. Ahsente kwa maeleyo ninajifunza mengi. ubarikiwe
@SmilingBabyPenguin-sp9ro4 ай бұрын
Asante sana brow nimikubari waminitokeya watu kamawo
@charlesfaida15153 жыл бұрын
Asante Sana Bro Joel Nanauka MUNGU aendelee kukulinda Sana 🙏
@joelnanauka3 жыл бұрын
Ameen, Charles
@elizabethkhagile7530 Жыл бұрын
Dah,,,,ahsante Sana, hasa haps nibora kua mwenyewe mwenyewe tu
@JenniferKimath-px5fo9 ай бұрын
Asante Kwa mafundisho mazuri jinsi ya kukaa na marafiki Mungu akutunze na kukupa mafunuo zaidi.
@josej9888 Жыл бұрын
Tunaishi nao Sana hao.
@otiliahaule51803 жыл бұрын
Mungu wambinguni naomba uniepushie maadui zangu
@joelnanauka3 жыл бұрын
Ameen
@anisetaberi30933 жыл бұрын
Kaka kaka be blessed umekuwa msaada sana in mylife
@joelnanauka3 жыл бұрын
Nashukuru sana, tuendelee kujifunza
@latiphakiwelu83942 жыл бұрын
@@joelnanauka kweli mtumishi wa mungu jmn ni kweli kbs MUNGU niponye
@latiphakiwelu83942 жыл бұрын
@@joelnanauka minimewahi kukutana nap wote Mtumishi wa MuNGU
@upendonsemwa4573 Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri sana.Huyo adui kaini nimekutana nae ameniumiza sana sana ila nimemgundua nimeamua kukaa nae mbli ,asante kwa kunikomboa fikira zangu ubarikiwe kwa somo zuri
@hamissitta70623 жыл бұрын
Ni kweli kaka maana unayoyazungumza kwenye makala hii nayaona ktk mazingira ya kaz, nakutana na kila aina ya maadui hawa, asante mungu akubarki!
@tommykailanga7302 жыл бұрын
Asee! Hiii imenigusa sana kama Unanijuwa Mungu akutangulie popote Uwendaka!Joel Nanauka.
@nickvonmusic2 жыл бұрын
Asante Mungu ,kwa zawadi hii ..kutoka kwa kaka Joel Nanauka
@upperclass68Ай бұрын
aisee somo la leo limenigusa sana kaka joel endelea hivyohivyo
@merryhussen27753 жыл бұрын
Asante kaka !! adui yangu no moja Ni penina alikua karbu sana kila nitakachofanya anajifanya mwema kwangu kumbe ni Mt mbaya kwangu, no mbili ni kaini ni mtu ambaye nilikua nashea nae changamoto zangu za biashara anasikitika na mm kumbe ni muongo moyoni anajua anachokifanya na hata kama Nina shida na pesa kiasi ananipatia kumbe ni kaini hatari ila namshukulu mungu nimemfahamu
@nagiphasuleimani9246 Жыл бұрын
Yàaani advice zako ni dawa na tiba tosha M/Mungu akuzidishie Kwa kile ulichonacho kaka angu 🙏.
@MaarifaZaidimz3 жыл бұрын
Kaka God bless you kwa kweli Mungu amekuleta kwa kusudi hapa Tanzania
@emmanuelbenjamin4656 Жыл бұрын
You are a professor of the reality.
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Duh shukrani Sana nimejifunza
@tupokengwala20273 жыл бұрын
Asante kwa kutujuza
@ramadhanalmashamza34589 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka
@momkabura89552 ай бұрын
Kaka hakika asante sana wapo na tupo nao mimi nimeshawaham kwa sasa nipo mbali nao sana na naendelea kuondokana nao
@MwambaDidier-wq4qu5 ай бұрын
Niaje unaweza kujilinda hao aina zamaadui nanivipi unaweza ukawapiganishe kwakuwakomeshe ili wasije wakayaharishe maisha yako ,nafurahiya masomo yako muchungaji.
@user-gv4pc9if2uАй бұрын
Unapendwa na MUNGU BABA siyo bure uwezo huo alikuandaa kwa namna yake I trust you our Kaka
@husnamohamed924510 ай бұрын
Nskupenda sana kwa elimu unayotupa kwa kwelibinatisaidia sana asante sana kaka. Mungu akubariki. Amin
@_benytz15733 жыл бұрын
Nilichogundua ndio maan hata wealth people huwa hawapendi sana kuwa na watu ovyo ovyo.....nafkr ni kwa sababu ya kuminimize that enemies.......tunahitaji kumuomb sana mungu juu ya hili kwenye kuliepuka....
@aishanasri75612 жыл бұрын
Nafurahishwa katika mafundisho yako
@mimallitho1 Жыл бұрын
Nimekutana na Huyo adui penina juzi tu wananichafu Kwa magrp yao wananiongelea vibaya ila yote nimemuachia Mungu Nina imani ipo siku Allah Atanilipia Kwa Yote🙏🙏🙏
@josephinajosephu68593 жыл бұрын
Cna cha kusema juu yako♥️♥️♥️mungu akuweke zaid uzid kutupa madini🙏🙏🙏yang dua tu my lovely broo🙏🙏🙏
@vumiliajulias66252 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe ubarikiwe
@meijomakeseni47472 жыл бұрын
Ubarikiwe mpendwa joel
@levinalyimo6240 Жыл бұрын
Jaman kweli umenifundisha Sana kuhusu Hawa maadui hasa huyu Kain. Napenina mungu akupu miaka mingi uendelee kutufundisha hakika wewe no doctor
@reginaldipeter22722 жыл бұрын
Haya nakutana nayo JEHOVAH NISS ,WARUMI 8:37 Atatushindia Mungu akuinulie watu sahihi wa kukuombea Siku zote
@raphaelassenga554 Жыл бұрын
Yes...you are a great Man... perfect
@leilalusekelo153 Жыл бұрын
Daah wote hao tunaishi nao kwa akili sana maana ukikaa vibaya tu🐍🐍 kaka Joel Mungu akubariki sana nazid kujifunza zaid
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Umenitoa mbali sana my brother from another mother ubarikiwe Sana mpaka ushangae
@wilfredlukumay6311 Жыл бұрын
Kwa kweli haya yote nimesha kutana nayo. Huyu wa nne nimekaa naye muda mrefu sana,ila Mungu alikua upande wangu.
@rebeccamukonyi3489 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 nikweli.nimejifunza utofauti wa maadui
@Meck25554 Жыл бұрын
Asante Kwa mafundisho
@abelntobi3823 жыл бұрын
Thanks kwa elimu yako kubwaa
@user-qy7wv3xv4o14 күн бұрын
Kweli kabisa Mimi ninandugu yangu ila utasjabu unakuta mtu ananiulizia anataka tuonane akiulizwa tu huwaambia jamaa amesafiri mara unapokutana nahuyo anayekutafta anabaki na mshangao kweli.
@phocuskifaluka9027 Жыл бұрын
Yaaan ninao wote aise. Dahhh. Joel. Bg up kaka
@KingSolomon-jo3dh9 ай бұрын
Nashukuru sana kaka una tupa seaport ya tunako kwenda
@hellenachola98083 жыл бұрын
God is able in every seasons
@neemaamon49603 жыл бұрын
Nimekutana na kaini,Delila na hamani hivi Sasa ananitesa sanaaa
@josephmuhoji38132 жыл бұрын
Asante braza nimeelew
@willysteyofficial44502 жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho yako nimejuwa aina za maadui
@rachelraphael13552 жыл бұрын
Aisee Maadui hawa nimekutana nao hasa Penina habil na Naamani ni wauaji kabisaa
@frademyindustry37512 ай бұрын
God be with you
@anordgerison86393 жыл бұрын
Nakukubali Sana officer Wang
@almannahcompany2365 Жыл бұрын
Mwalimu ahsante Sana huyo adui wa tatu alikuwa ni mama yangu mkubwa,aisee alisimama ila hakuweza mungu akanipa ushindi.
@bombokojunior74793 жыл бұрын
Asante sana Joel 🙏
@kuruthumcharles6263 жыл бұрын
asante kutufumbua macho delila mbaya sana unajua mwenzio kumbe mbaya du
@kelvooonowbert7427 Жыл бұрын
Asante mwalim
@user-we4pv3hj2w6 ай бұрын
Asante kaka joel
@thepowerofchristministry19183 жыл бұрын
Aise nimepitia sana,nilistushwa kusikia maneno yamtu nilie msaidia sana,akisema vibaya sana kuhusu mimi
@masungamusingi-lu6qxАй бұрын
Kaka upo vizuri sana yan
@anzub75089 ай бұрын
Nimekuerewa joel
@beatricemshubi479 Жыл бұрын
God bless u mom nimekuta a sana na kain na penina
@daniellepari45253 жыл бұрын
Ahsante sana Nanauka kwa mafunzo yako mungu akupe maisha marefu enye uzima ndaniake 🤞
@salehali4saleh193 жыл бұрын
Hao wote nishakutana nao ila nimewapiga na chini na kwa sasa naishi peke yangu naamini rafiki wa kweli ni Allah
@saifalhabsi48293 жыл бұрын
Dh kaka asante sana nakuelewa hayo yote unayo yasema yapo kweri mungu akubaliki kutukumbusha na kutuelimisha
@justinmsigwa17913 жыл бұрын
Mungu akuzidishie nguvu Zaid coz masomo yako kwakweli yanamafunzo makubwa Sana mkuu
@aash4145 Жыл бұрын
Shukrani kaka kwa tupa elimu
@Bintilundo33622 жыл бұрын
Mungu awe msaada wa ulinzi wa maisha yetu
@simionbirai7851 Жыл бұрын
Nimependa sana
@rpgmovies.3503 жыл бұрын
Nipo nao maadui wa namna hiyo wote kabisa kama ulijua ulijua bro asante sana.
@shukranjulius95262 жыл бұрын
Barikiwa zaidi kaka wengine nindugu kabisa
@aminatundondege93843 жыл бұрын
Kaka Joel mmh!yaani ni kweli kabisa !unachosema ndivyo ninavyokutana nao,mie nina adui Delila na Kaini,yaani tena wa karibu sana.Asante kwa kunifungua macho zaidi,yaani wakati mwingine unajiuliza kwani kuna shida gani?
@wardw30222 жыл бұрын
Wote nimekutana nao watu wa namna hii.Mungu akubariki
@lucianambalamwezi18642 жыл бұрын
Yaani nimejifunza kaka asante sana
@essaukumburu3414 Жыл бұрын
Nimekutananao wengi sana!
@cecylianhumbi26723 жыл бұрын
Nimekutana nao Sana hasa adui hamani,,, ubarikiwe sana kwa masomo mazuri
@roi25543 жыл бұрын
#JOEL_NANAUKA *WATU WENGI HUWA TUNASUMBULIWA SANA NA WIVU WA KIMAPENZI SO, NINGEPENDA UTUPE ADVICE JINSI YA KUEPUKANA NAO*
@esthetbabu74813 жыл бұрын
Thank you for good reason
@irenewanyonyi59233 жыл бұрын
Mimi nimekutana na hao maadui wote wanne Asante kwa kunipatia elimu
@hadijajohn74342 жыл бұрын
Yani kweli kabisaa wanawivuu sana
@hadijajohn74342 жыл бұрын
Naona ni wote ninekutana nao lakini kwa mipango ya mungu nimesimama.tena asante