Tabia 5 Kubwa Zinazopoteza Fedha Zako Na Jinsi Ya Kuzishinda.

  Рет қаралды 34,488

Joel Nanauka

Joel Nanauka

3 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 47
@kayombog1694
@kayombog1694 3 жыл бұрын
1.Impulse purchasing Kununua vitu bila mpangilio! 2. Kutokuwa na budget Bajeti nauli , vocha nk 3. Mikopo bila mpangilio Hata kama hauhitaji 4. Expecting miracles No strategies to overcome poverty 5. Entitlement mentality Kufikiri wengine wanatakiwa kufanikiwa ndio wakusaidie wewe You're blessed!
@godblessappiah9428
@godblessappiah9428 3 жыл бұрын
Hizi tabia zote zimeniathiri sana brother
@redmastv9584
@redmastv9584 3 жыл бұрын
NANAUKA THE GENIUS❤️
@nataliasr3013
@nataliasr3013 2 ай бұрын
Mm natumia pesa zangu pasipo na mpangilio sahihi hivyo najikuta pesa kupotea Asante sana kwakipindi chako nimejifunza namna ya kuwa na bajeti Asante kaka joel
@jeyshillyjack4470
@jeyshillyjack4470 3 жыл бұрын
Wangwani,solo nzuri Sana Kaka angu hongera
@saidmwangasama
@saidmwangasama 11 ай бұрын
Asante kaka nimefanikiwa kwa kiwango kupitia wewe na sasa nipo sawa kifeza,mungu akulinde kaka by exaud, kalibu kwetu mkowa wa songwe mboz mrowo
@furahairene1829
@furahairene1829 3 жыл бұрын
Oooh thanks Aki Mara nyingi budget inanishinda dhow nmeona njia za kuifatilza tangu nifuatilie masomo yako bro,barikiwa
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Ahsante mkuu kwa kutupa Elimu hii Ubarikiwe sana 🙏💎
@restutamjuni4739
@restutamjuni4739 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@alanluwumba5104
@alanluwumba5104 3 жыл бұрын
Matumiz ya kifedha ni elimu good sana
@paulinambelwa6188
@paulinambelwa6188 3 жыл бұрын
Nakupenda san kaka joel mungu akubariki sana
@merykyungai2551
@merykyungai2551 9 ай бұрын
Asante ubarikiwe kuliko jana
@maliselinapetro4168
@maliselinapetro4168 3 жыл бұрын
Asante Sana My mentor Najifunza mengi Sana kupitiaa wewe Mungu akubariki Sana.
@nkungwiprimary2363
@nkungwiprimary2363 3 жыл бұрын
Be blessed Joel Nanauka
@macksemuyango6108
@macksemuyango6108 3 жыл бұрын
Habari yako Mwalimu wangu,,,, namba hiyo unayoitoa hapo kwa ajili ya kupata vitabu haipokelewiiiiii!!!
@zawadishiga1123
@zawadishiga1123 3 жыл бұрын
Be blessed
@adelinakibejile4696
@adelinakibejile4696 Жыл бұрын
Thank u kaka
@maribasimon6993
@maribasimon6993 3 жыл бұрын
Thank you
@ErNesto-ty9yz
@ErNesto-ty9yz 3 жыл бұрын
Tuko pamoja kaka Joel Nanauka
@ezironvyats433
@ezironvyats433 3 жыл бұрын
Ahsante kwa malifaa
@muhillukelliy5992
@muhillukelliy5992 3 жыл бұрын
dahh kk umenena yani yote uliyosem hpo yananigusa nifanyeje nitoke huko kaka nanauka?
@michaelkayoka1615
@michaelkayoka1615 3 жыл бұрын
Asante
@robertemmanuel1685
@robertemmanuel1685 3 жыл бұрын
Nice lesson 🤝
@pendothomas7258
@pendothomas7258 3 жыл бұрын
Barikiwa sanaa
@shedrackkiluswa5902
@shedrackkiluswa5902 2 жыл бұрын
Mwalimu nashukuru najitahidi sana kutaka kuwa na nidhamu na fedha lkn nashindwa nashindwa kujizuia kumsaidia mtu nikipata hela wanakuja wengi kweli wengine ni ndugu nifanyeje
@williammasese7737
@williammasese7737 2 жыл бұрын
Impulse purchasing Kutokea na Budget Hizi vitu vinanitesa sana nimeshajaribu sana kubadilika lakini zinanishinda
@mussaukwaju6495
@mussaukwaju6495 3 жыл бұрын
Bro samahani ila namba inaita tu haipokelewi na kwenye watsup last visit ni 4 apr bro ama kuna namba nyingine
@unique1brand984
@unique1brand984 3 жыл бұрын
Nice
@emanuelavaleriani8646
@emanuelavaleriani8646 4 ай бұрын
Kama sisi wadada tunavyopenda nunua nguo, viatu, mapochi utafir una duka nyumbani kwako.
@mwafrikaissa491
@mwafrikaissa491 3 жыл бұрын
I'm the first today, big up mr nanauka
@mariammaligwa8887
@mariammaligwa8887 3 жыл бұрын
Hii ya tano ilikuwa inanihusu sana mm lkn kwa Sasa unanifungua sana na masomo yako nimetoka na najitahd kusimama kbsa
@azizaisack2572
@azizaisack2572 3 жыл бұрын
Somo zur san
@venajah3033
@venajah3033 2 жыл бұрын
Asant kk
@harunmwazembe9980
@harunmwazembe9980 3 жыл бұрын
Tabia inayochangia mimi kutokufanikiwa ni kutokua na BAJETI na impulse purchasing. Kuna wakati nanunua kitu kwasababu flani mf, saiv diary yangu imeisha nataka ninunue lkn haipo kwenye budget, na hii pia ni impluse purchasing?
@elinileabukhay8650
@elinileabukhay8650 2 жыл бұрын
Hapana sio impulse purchase ila iingize kwenye zile asilimia 30 za wants kwenye budget yako ijayo
@micky6touch523
@micky6touch523 3 жыл бұрын
Namb za simu please # joelNanauka#
@jumamaabad5430
@jumamaabad5430 3 жыл бұрын
Namba haipatikani tunahitaji vitabu
@nimubonainnocent2183
@nimubonainnocent2183 Жыл бұрын
Iyo badget mim kiwukweli nashwinda kupangiliya sababu mimi ni mufanya kazi najitegemeya namanisha Sina mushahara malum sasa nifanye je
@alfredkenz380
@alfredkenz380 2 жыл бұрын
Staying without budget
@chrismassawe326
@chrismassawe326 3 жыл бұрын
Somo muhimu kwa anaejielewa anaetamani kufanikiwa nimelirudia kama mara 4 hivi nimejifunza vingi
@jenipherrio7941
@jenipherrio7941 3 жыл бұрын
Ahsant kaka umenifundisha Yani kila kinonacho lazma ninunue Nia Sina Tania yakupanga bajet
@isikesamike
@isikesamike 3 жыл бұрын
Nitarekebisha #1 and #2 maana ndo tabia hasaa zinazonisumbua.
@uwezobarton8764
@uwezobarton8764 3 жыл бұрын
Kushinda kujizuia kununua vitu bila mpangilio
@ashakhamis3006
@ashakhamis3006 3 жыл бұрын
Asante sana umenifunza mambo muhim mwalim
@kinglugano6475
@kinglugano6475 3 жыл бұрын
No bajet😭😭😭😭
@isackmaloha-vk7hm
@isackmaloha-vk7hm 11 ай бұрын
Ziko mbili ambazo ni kukosa bajeti na kupenda kununua vitukwa just watu wanione
@bestcakes7098
@bestcakes7098 3 жыл бұрын
Tabia ya kutokupanga bajeti
LIFE WISDOM : AINA 6 ZA UTAJIRI - JOEL NANAUKA
18:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
Epuka Marafiki Hawa Kwenye Maisha Yako
7:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 183 М.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 100 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 3 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 35 МЛН
Njia 4 Rahisi Za Kujenga Nidhamu Ya Fedha Ili Utimize Malengo Yako
7:52
Usiruhusu mtu mwingine akuumize
4:43
Elias Mwinuka
Рет қаралды 7 М.
Vitu Vinavyopoteza Focus Yako Kwenye Maisha - Joel Nanauka
14:16
Hamasika Tv
Рет қаралды 47 М.
MATOKEO YA PESA UNAZOZIPATA - JOEL NANAUKA
6:38
Joel Nanauka
Рет қаралды 26 М.
HATUA 4 ZA KUONGEZA KIPATO - Victor Mwambene.
8:59
Victor Mwambene
Рет қаралды 2,1 М.
EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA
10:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 50 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 376 М.
SABABU ZA KWANINI WATU WENGI WANASHINDWA KUWEKA AKIBA  | Victor Mwambene
18:47
Vitu  Vya Kufanya Ili Ufanikiwe - Joel Nanauka
5:36
Joel Nanauka
Рет қаралды 52 М.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 100 МЛН