Dr. Chris Mauki: Tabia 5 zitakazo kusaidia kustahimili mapito

  Рет қаралды 18,131

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@pretty_witney8124
@pretty_witney8124 3 жыл бұрын
Asante sna kupitia ww najifunza meng doctor mungu akupe umri mrefu uendelee kuwaokoa wengi🙏🙏
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@FatumaAlly-f4v
@FatumaAlly-f4v 4 ай бұрын
Asante doctor umenipa moyo sana nilishakata taama adi mwisho
@OdetteKahambu
@OdetteKahambu 8 ай бұрын
Aksante Dr. Kupita mufundisho yako, nime badilika positivement. Tena sasa nina ujasiri
@Pixxmoleli
@Pixxmoleli 6 ай бұрын
Mungu naomba unisaidie
@yerikombilinyi8947
@yerikombilinyi8947 2 ай бұрын
Asante sana My Mentor
@NyakayiMwishagoli
@NyakayiMwishagoli Жыл бұрын
Dr ubarikiwe sana hakika umenifanya nizidi kukupenda kwa meng mazuri yak
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤😂😂 nililia kufiwa navwazazi nikaja nikazushiwa Jambo kubwa na dada yangu wa tumbo moka ashukuriwe Mungu hakuwai kumuacha hata siku moja Mungu akutangulie
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 Жыл бұрын
Asante Sana ubarikiwe tunajifunza mengi kupitia kwako.
@bensonjohn5400
@bensonjohn5400 3 жыл бұрын
Thanks for this message
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@rejinajoseph2994
@rejinajoseph2994 Жыл бұрын
Docta honger mungu akulinde
@thomasferdinand8769
@thomasferdinand8769 2 жыл бұрын
Daah asante sana Dr hiyo hali nimepitia Mungu akubariki sana
@KhadijaYusuph-n9z
@KhadijaYusuph-n9z 11 ай бұрын
thanks docter Mungu akupe miaka mingi , kupitia ww ninapiga hatua
@zaitunisingano8295
@zaitunisingano8295 Жыл бұрын
Ahsante sn dr kwa maneno mazuri yenyekutia faraja.🙏
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
Yana Faraja, na Yana tia moyo
@reginakirway3626
@reginakirway3626 Жыл бұрын
Hapa ndo mapumziko yangu wakati wa huzuni au nyakati zote nikiwa na bando God bless you 🙏
@irenekyando4429
@irenekyando4429 3 жыл бұрын
Asant doctor Mungu azidi kuku bariki najifunza vingi kupitia masomo yako
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@Hungrydonkey9345
@Hungrydonkey9345 2 жыл бұрын
Asante sana Mr. Chris!!!!
@nancypeter4300
@nancypeter4300 Жыл бұрын
Ishi Sana Dr mauki
@nellygondwin3735
@nellygondwin3735 2 жыл бұрын
Nakupenda sana unifaliji sana nimejifuza vitu vingi sana kutoka kwako mungu akupe maisha malefu
@niriacatering172
@niriacatering172 Жыл бұрын
Shukrani sana
@ErnestAfrika
@ErnestAfrika Жыл бұрын
Kwa kweli somo hili limenigusa sana
@neemashirima6121
@neemashirima6121 2 жыл бұрын
Yesu akulinde
@estherkalenge1689
@estherkalenge1689 3 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa ujumbe huu, umenivueha mahali, Asante
@enockaward7346
@enockaward7346 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@elishsntugwa344
@elishsntugwa344 2 жыл бұрын
Asante Sana dr
@sufoorembo5925
@sufoorembo5925 2 жыл бұрын
Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique 🇲🇿 naomba mawasiliano
@christinasiikon4708
@christinasiikon4708 3 жыл бұрын
Ujumbe huu. I hope ulimwengu mzima ungesikia.
@happyhaule5865
@happyhaule5865 2 жыл бұрын
Amina sanaa
@NZAMUYEJoseph
@NZAMUYEJoseph 3 ай бұрын
Wewe ni role model wangu nitakuwa kama wewe an
@esthermikoma9393
@esthermikoma9393 2 жыл бұрын
Nakukibali Sana Dr kweli wewe ni Dr wa ukweli
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@bahizirebahati
@bahizirebahati 10 ай бұрын
​@@ChrisMauki1 I'm from Kigali How can I get your WhatsApp number???
@jemajoseph1464
@jemajoseph1464 Жыл бұрын
🔥🙏
@halimamrope5510
@halimamrope5510 2 жыл бұрын
Ahsante kwa ujumbe murua ,hakika huu ujumbe unanisaidia saaana kwa ninayoyapitia.
@paulosman4685
@paulosman4685 2 жыл бұрын
Pole dada
@janiphacosmas1777
@janiphacosmas1777 2 жыл бұрын
Doctor asante najifunza kupitia somo lako
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@scolakalindu8077
@scolakalindu8077 2 жыл бұрын
Baba Mungu azidi kukupa neema na hekimaaa❤❤❤❤❤
@alicemzaza8460
@alicemzaza8460 3 жыл бұрын
Ahsante Sana doctor mauki ubarikiwe unanitoa level flan kwenda level nyingine
@halimamrope5510
@halimamrope5510 2 жыл бұрын
Ahsante doctor kwa msg nzuri
@khadijaally3753
@khadijaally3753 3 жыл бұрын
Asante mungu akubariki
@hemedhemed7565
@hemedhemed7565 3 жыл бұрын
Asante Sana doctor
@benedictojanuary4930
@benedictojanuary4930 3 жыл бұрын
Asante sana daktari umenifungua sana
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@meryfrank5272
@meryfrank5272 3 жыл бұрын
Asante kaka ubarikiwe
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@nuruyanga1355
@nuruyanga1355 3 жыл бұрын
Asante dkt ubarikiwe mno
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@agathajinai3803
@agathajinai3803 3 жыл бұрын
Asante doctor
@nivardkiwesi8104
@nivardkiwesi8104 2 жыл бұрын
Napenda mafundisho yako, ahxante
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@amarislam1589
@amarislam1589 3 жыл бұрын
Safi sanaa doctor Chris
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 11 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 2 жыл бұрын
Nakubali sana mawazo yako kaka
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@catherinenasambu5366
@catherinenasambu5366 3 жыл бұрын
Nceee advice boss thxz alot
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Kabisa
@veronicamigera5227
@veronicamigera5227 3 жыл бұрын
Kabisaaaaaaa 😭😭😭
@jacksonrichard9153
@jacksonrichard9153 3 жыл бұрын
"UBARIKIWE" nahis nimefungua kurasa mpya mwak huu baad ya kusikia maneno yako.
@drvidah7030
@drvidah7030 3 жыл бұрын
Amen
@gshbnz4368
@gshbnz4368 3 жыл бұрын
💖🙏🤝
@wasaizimilanzi9110
@wasaizimilanzi9110 3 жыл бұрын
Napenda mafunzo yako na yananisaidia sana
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@christinasiikon4708
@christinasiikon4708 3 жыл бұрын
Ukweli mtupu
@beatricetumaini6364
@beatricetumaini6364 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@asmabakar6942
@asmabakar6942 2 жыл бұрын
Najifunza virus vingi sana kutoka kwako na kwakweli unayoyazungumza dah! Ni sahihi yananisaidia dokta mauki
@christinasiikon4708
@christinasiikon4708 3 жыл бұрын
Watu ni Hazina
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@christinasiikon4708
@christinasiikon4708 2 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 Nakushukuru wewe kwa mafunzo mazuri
Dr. Chris Mauki: Tabia 9 zitakazokuongezea ujasiri maishani
12:13
Dr. Chris Mauki: Kwa sababu hizi 5 mkeo atakukwepa kitandani
7:55
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Dr.Chris Mauki:Vitu 3 Vitakavyo Yavuta Mafanikio Yako Kwa Kasi
9:34
Ufanye nini ili uwe na furaha muda mwingi?
8:37
Chris Mauki
Рет қаралды 33 М.
Dr. Chris Mauki: Tabia 5 za mpenzi mwenye akili ya mahaba
8:48
Chris Mauki
Рет қаралды 51 М.
5 Ways to Handle People Who  Don't Respect You | STOIC PHILOSOPHY
29:24
James The Stoic
Рет қаралды 1,3 МЛН
Ishi na Wanawake kwa akili - Dr Chris Mauki
9:01
Hamasika Tv
Рет қаралды 15 М.
ONDOA UCHUNGU NDANI YA MOYO - JOEL NANAUKA
7:04
Joel Nanauka
Рет қаралды 101 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo 8 ya Kukusaidia Kuishinda Hofu
12:14
Chris Mauki
Рет қаралды 42 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН