No video

Dr. Chris Mauki: Mambo 8 ya kuwa makini kwa mchumba wako kabla ya kuoana.(Part 2)

  Рет қаралды 62,976

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Ndoa nyingi leo zinapata tabu kwasabau watu walichemka vitu muhimu wakati wa uchumba, je unavijua vitu hivyo? Fuatana nami nikusaidie kuvijua kimoja baada ya kingine
#DrChrisMauki#Mchumba#Kuoana

Пікірлер: 78
@user-ju2og9dy8t
@user-ju2og9dy8t 6 ай бұрын
Very true mtu hawezi badilisha mtu ni mungu pekee mm nilijaribu kubadilisha mwanaume kutoka kwa uchafu awe msafi but ilinishinda hadi nikainua mikono juu
@omukadahlmmaculate7810
@omukadahlmmaculate7810 2 жыл бұрын
Wow what a great lesson is this.Thank you Dr Chris l hope everybody will follow this carefully,with a lot of love and cheerful l am so impressed with this.may God bless you and expanding your territories.🙏💪👍💞👏
@mrsinia3064
@mrsinia3064 3 жыл бұрын
Ahsant sana kwa somo zur mr chriss, mung akupe maisha marefu
@margaretkast5138
@margaretkast5138 Жыл бұрын
Ad UgandaASA NZMBVyxc
@saifsaif8162
@saifsaif8162 3 жыл бұрын
Somo ni zur sana doctar mbarkiwe
@yasintasamson6247
@yasintasamson6247 Жыл бұрын
Nakuelewa💯💯 thanks kwa somo zuri
@josepherickson2603
@josepherickson2603 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Dr Chris mauki najifunza vitu vingi sana kutoka kwako mpaka naenjoy mapenz yangu na mchumba wangu pia unanienspire sana mama Miriam lukindo mauki Mungu awape maisha marefu mpaka mshangae.
@angelmongi9986
@angelmongi9986 Жыл бұрын
Mafunzo mazuri Sanaa, majifunzaa vitu vingii Sanaa.
@AfricanFolktalesStories-2024
@AfricanFolktalesStories-2024 3 жыл бұрын
Hii semina ni nzuri sana lakini audience wanasinzia hatari!
@beckygura4177
@beckygura4177 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@oscarkiti8547
@oscarkiti8547 Жыл бұрын
😂
@christinamlawa2260
@christinamlawa2260 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@irenezamda1063
@irenezamda1063 3 жыл бұрын
Mungu akutunze Sana Kwa mafundisho mazuri
@user-yu5sm6mv9p
@user-yu5sm6mv9p 5 ай бұрын
Asante sana kwa somo zur mungu akubarik
@peshmattis6556
@peshmattis6556 3 жыл бұрын
Very educative...thanks alot dad.
@everadakayanda7885
@everadakayanda7885 3 жыл бұрын
Somo zuri, Asante Dr. Chris
@zuhuramike1399
@zuhuramike1399 3 жыл бұрын
Amen p, c.m ilifanyika kwangu asante kwa somo
@atluckynjovu9081
@atluckynjovu9081 3 жыл бұрын
Thank u be blessed...
@gretagonga2966
@gretagonga2966 3 жыл бұрын
Ila huwezi kupata mkamilifu Sema kama unaweza kustahimili udhaifu wake basi sawa, kama huwez mwache. Wanawake pia hakuna mkamilifu.
@lwimikomwakasitu4542
@lwimikomwakasitu4542 3 жыл бұрын
God bless you man of God
@adventinaIlomo-gf4oq
@adventinaIlomo-gf4oq Жыл бұрын
Thanks so much may God bless you
@ibahatimoses6431
@ibahatimoses6431 3 жыл бұрын
Asante Dr kwa somo zuri
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Asante kwa kutazama, natumaini ume subscribe
@janekalondu4633
@janekalondu4633 2 жыл бұрын
God bless you.. asante sana Kwa mafunzo mazuri
@susanekuyi2988
@susanekuyi2988 3 жыл бұрын
Asante mauki kweli uliyosema.
@evancekimath7405
@evancekimath7405 3 жыл бұрын
Thankyou....!!
@jocety4426
@jocety4426 3 жыл бұрын
Nasubiria pati 2, Badoo haifunguki,, Somo zur Sana nilipenda pati 1
@kulwabanga4807
@kulwabanga4807 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana,Mungu akubariki.
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 3 жыл бұрын
Ahsante sn
@hildajoshua2906
@hildajoshua2906 3 жыл бұрын
Be blessed
@lilianlubanga4010
@lilianlubanga4010 3 жыл бұрын
Powerful nafundishika .
@Maggie-yx8pw
@Maggie-yx8pw 3 жыл бұрын
Madini hayaa Kaka nimekuelewa sanaaa Vijana eleweni msikurupuke kama Mama zenu kunguzaneni kwanza habari za kujuana Mjini hizi Jamani Uwiiiiii.
@KhalidAshjaie-cz7vg
@KhalidAshjaie-cz7vg 7 ай бұрын
thanks 🎉
@WinifridaMamuya-yu1or
@WinifridaMamuya-yu1or Жыл бұрын
Nikweli kabisa,utofauti mkubwa hasa katika dini na elimu ni Sababu yakugombana sana
@jackycute2047
@jackycute2047 3 жыл бұрын
Asante doctar
@priscahnafula7053
@priscahnafula7053 Жыл бұрын
Thanks
@mariamayoob8734
@mariamayoob8734 3 жыл бұрын
Thank you
@hadijakonyaki5580
@hadijakonyaki5580 3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@winniepeter3012
@winniepeter3012 3 жыл бұрын
Somo zuri sana nimejifunza na nimebarikiwa sana
@farijihaule6881
@farijihaule6881 3 жыл бұрын
Tutambana tuu ndani umo umo maana exactly hawapo
@queenmunuo5269
@queenmunuo5269 3 жыл бұрын
Dr. Swala la Elimu ni must jmn cz ukikuta mwanaume ndo hana Elimu wanakuwa na inferiority complex sana na ndoa nyingi za hivyo nimeziona zina majuto sana jmn
@magrethrk3125
@magrethrk3125 2 жыл бұрын
Mwanafunzi wa chuo hiki kwakwel.nabarikiwa na kujifunza sana
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 3 жыл бұрын
Ssa kma una mahusiano na pia una mtto nae lakin mpo dini tofauti je hapo hapo mnapendana
@lizzyemil6807
@lizzyemil6807 3 жыл бұрын
nicee
@hellinahombuya5174
@hellinahombuya5174 Жыл бұрын
Wow
@mohammedalshahwani1542
@mohammedalshahwani1542 2 жыл бұрын
Nakuelewa na kujifunza
@captainbosingwa7226
@captainbosingwa7226 3 жыл бұрын
Na kama family iko na shida ya divorce but Ukiomba na kudungwa unaoteshwa kwandoto ni yeye ndio mchumba wa kuoa ama kuolewa hapo Naye utafanyaje?
@johnmalila1485
@johnmalila1485 3 жыл бұрын
Absolutely true
@mariangwada1261
@mariangwada1261 3 жыл бұрын
Semina nzuri xan by madam merry
@queenmunuo5269
@queenmunuo5269 3 жыл бұрын
Dr. Mauki pls naomba mawasiliano yako km inawezekana
@josephinemichael1514
@josephinemichael1514 3 жыл бұрын
Nenda fb page yake anaandikaga namba zake hapo utampata
@williadiemmanuel6275
@williadiemmanuel6275 3 жыл бұрын
Poa
@bennieathuman9917
@bennieathuman9917 3 жыл бұрын
Daaaaaah yaaan kuja kumpata mwenye hivyo ni bonge la job
@mrsinia3064
@mrsinia3064 3 жыл бұрын
Kabisa
@joycehaule9717
@joycehaule9717 4 ай бұрын
Malaika tu ndio anakila tabia hizo
@user-wx5bg3zo1e
@user-wx5bg3zo1e 10 ай бұрын
@malackbayaga
@malackbayaga 3 жыл бұрын
PCM PRINCIPLE:Hii balaa ya mauti ya roho ya mtu
@mohamedsiwa5113
@mohamedsiwa5113 Жыл бұрын
Mafunzo mazuri.
@bhokelilyafrohomequeen1176
@bhokelilyafrohomequeen1176 2 жыл бұрын
Kunavitu natamani ningeambiwa 6yrs ago
@mimywayesu5873
@mimywayesu5873 Жыл бұрын
Natamani ningeyajua haya kabla ya kuingia kwenye ndoa.
@user-wb3rq1ns2g
@user-wb3rq1ns2g 2 ай бұрын
Sasa Kama anahasira nafanyaje
@KhalidAshjaie-cz7vg
@KhalidAshjaie-cz7vg 7 ай бұрын
😂😂😂😂❤
@pauledenrgs9298
@pauledenrgs9298 3 жыл бұрын
Habari counsellor nilikuwa na swali nauliza kwamba unaweza kudate na mwanamke na kusubiriana mpaka mfike ndoa bila kulala nae..?
@gutumberayesuministry974
@gutumberayesuministry974 2 жыл бұрын
Ndio lazima usubiri kwenye ndoa
@joycehaule9717
@joycehaule9717 4 ай бұрын
Huoni kulala kabla ya ndoa ni UZINIFU kama uzinifu mwingine
@captainbosingwa7226
@captainbosingwa7226 3 жыл бұрын
Na kama family iko na shida ya divorce but Ukiomba na kufunga unaoteshwa kwandoto ni yeye ndio mchumba wa kuoa ama kuolewa hapo Naye utafanyaje?
@MaryAddam-my8nh
@MaryAddam-my8nh 10 ай бұрын
Maukiiiiii😄😄😄😄
@ramsonhudson4013
@ramsonhudson4013 3 жыл бұрын
Aisee yaani najitahidi kufanya yote haya kama mwanaume but mchumba wangu hanielewi kabsa yaani mpaka nashangaa
@ashasuleiman5901
@ashasuleiman5901 2 жыл бұрын
Pole mway
@jessicadavid3414
@jessicadavid3414 2 жыл бұрын
So sorry
@jacklinejoseph4060
@jacklinejoseph4060 3 жыл бұрын
Nataman mtu fulan aone hili somo dah...
@mrsinia3064
@mrsinia3064 3 жыл бұрын
Mtumie link 🤣🤣
@belvinwanjala1288
@belvinwanjala1288 3 жыл бұрын
Wat if u r dating an islamic guy n u r a christian,is it okay or not
@evancekimath7405
@evancekimath7405 3 жыл бұрын
Religious difference is not an issue, the issue is about couple agreement mbeleni jinsi mtakavyoishi nastability ya imani yawatoto wenu.
@annamtega3885
@annamtega3885 2 жыл бұрын
Ahsantee sana daktari Kwa somo zuri... ubarikiwe sana
@joselyinajohnstone1965
@joselyinajohnstone1965 Жыл бұрын
Ppppp
@WinifridaMamuya-yu1or
@WinifridaMamuya-yu1or Жыл бұрын
Nikweli kabisa,utofauti mkubwa hasa katika dini na elimu ni Sababu yakugombana sana
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 90 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 15 МЛН
Maximizing your season - Joel Nanauka
1:23:37
Destiny City Church
Рет қаралды 8 М.
Je,Wewe Una Maono Gani Kwenye Maisha Yako?
46:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 180 М.
HARUFU MBAYA INAHARIBU UJASIRI WA MWANAUME KATIKA NDOA "PASTOR MGOGO
22:40
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 223 М.
Kuwa Makini Nani Unamuoa | Kuuweza Wakati Ujao | Pastor Tony Kapola
17:02
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 95 М.