Dr mauki. Nakuelewa sana may God in heaven bless you baba
@EutropiaSekajingo7 ай бұрын
Dr. Chris umesema kweli shida nyingi ktk ndoa zinaanzia pale uaminifu unapokosekana upande mmoja au pande zote na kusikiliza mtu wa tatu.
@ChrisMauki17 ай бұрын
very true rafiki
@fauaulit20923 күн бұрын
Dr. Maneno yako kila mara najifunza sana shukran jazeelan.
@alexandersylivester28984 ай бұрын
Dr Asante sana kwa mafundisho yako mazuri pili umegusia upande wa wazazi ndio changamoto kubwa wanahalibu ndoa za watoto wao naomba uwandae somo lao kwa wazazi wetu
@ShubiraCostac5 ай бұрын
Mme wangu nilianza nae kwa shida sana tulijitoa kufanya kazi kwa bidii yeye alifanya biashara ndogo mimi nililima ili tupate chakula ,lakini alipofanikiwa kidogo alinidhalilisha sana na kunitelekeza na watot wawili na kuchukua jimama lililoachwa na mmewe na kukaa nalo na kuzaa nalo,mi nimeamua kuishi maisha yangu nikimtanguliza Mungu ,barikiwa sana kaka chris❤
@kubojajoseph3226Ай бұрын
Pole sana Mungu akutie Nguvu
@joycembelwa64277 ай бұрын
Kupata taarifa bila kutafuta baba hapo umenigusa kabisa nilizani ni mimi peke yangu....
@ShubiraCostac5 ай бұрын
ASANTE umenikomaza,yote uliyosema nimeyapitia na yote hayo ,Ubarikiwe sana,
@mollelyrebecah6840Ай бұрын
Amen
@MarryMasewe-co8qo7 ай бұрын
Kuna namna umezungumza na ndoa yangu... kaka asante...