Asante dr kwa mafundisho mazuri tumekua wake hodar
@triphoniadaniel5352 жыл бұрын
Nmebarikiwa kwa hil somo aiseee, kuna mambo nilikuwa sielew sasa nimejua ntabadilika
@levinaernest43642 жыл бұрын
Asante dr somo zuri sana hua nakuelewa sana
@ElizaAntony-k5b Жыл бұрын
Nimejifunza vingi Asante Kwa mafundisho
@christinamfaume71723 жыл бұрын
nikweri Dr chris mauki mungu atusaidie kwa aya
@rosengugi22353 жыл бұрын
Asante PST Chris Mauki hiyo ni ukweli mtupu . Barikiwa na Mungu sana
@fortunataangelo55753 жыл бұрын
Mara zote namwambia mpenzi wangu, ukiona mmoj anamfundisha mwenzie jinsi ya kumpenda, ujue tumefeli, maana lugha ya upendo inaeleweka na kiumbe chochote kilicho hai
@azizaiddy9149 Жыл бұрын
ASante kama nimekuelewa sana
@Assay-gn1wv11 ай бұрын
Siku my ex anasema nifundishe jinsi ya kukupenda after a year, i think hiyo ndio ilikuwa convo yetu ya mwisho, i never wanted anything to do with him kabisaaa, so disrepectful
@miriamjgoliama35133 жыл бұрын
Asante dr.mauki maan nilikuwa sijui
@hassankongolilo84089 ай бұрын
mkuu iyo kulazimishaa imenigusa sana. wallah mungu akubarik dokta.🤝🏾
@puritylobun53133 жыл бұрын
Ahsante sana kwa mafunzo, nimejifunza niwe nikimpa mkaka priorities
@gaudensiadickson76312 жыл бұрын
Naelewa sana najifunza kitu kupitia vipindi hivi, mungu azidi kukutia nguvu uzidi kuwa nasi
@hasnakid7 ай бұрын
Shukran san Rafik yet kipnz❤ #Allah akubarik
@elimathamushi28423 жыл бұрын
asante Dr nafuatilia masomo yako na yananijenga ,kazi yako ni njema
@ChrisMauki13 жыл бұрын
Asante sana
@FelisterNicholaus-i2iАй бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@mariamnestory67152 жыл бұрын
Mungu akubariki nimepokea kitu
@Evodiawilidon Жыл бұрын
Brother Chris making asant nimejifunza mengi kupitia kwako
@sylvestermahega97182 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa elimu yako tukufu
@EsterNest9 ай бұрын
Asantee sana Somo nzuri
@jenifaamosi74543 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaa Najifunz ving sanaa kupitia mafundisho yako
@madlynerose64932 жыл бұрын
Nimejifunza mengi Asante baba 🤩💖
@leahloketa96393 жыл бұрын
Umenifungua sana kwa somo lako la leo mungu akubaliki sana
@angelwasiawasia8023 Жыл бұрын
Duh! Nimekuelewa san shukran
@winfridaphidely53373 жыл бұрын
Dr Chris ujumbe wako ni mzuri sana
@lizzydiy45902 жыл бұрын
Huyu baba hajawah kuniangusha napenda sana video zako nyingi zinanigusa na zimenibadirisha kwa kias kikubwa asante
@rithamahindo71943 жыл бұрын
Umenifundisha somo zuri sana kaka angu na nimelipenda sana
@stellajohnson38872 жыл бұрын
Mungu akubariki sana DR
@emmaherman88033 жыл бұрын
thanks you doctor mafundisho mazur tumeyapokeaa🙏🙏
@ChrisMauki13 жыл бұрын
Asante sana
@consolatanzisa21573 жыл бұрын
Mafunzo mazuri haya.Asante sana
@julianaomary81643 жыл бұрын
True point napenda sana kujifunza kupitia we tunashukru kwa mafunzo chris
@ChrisMauki13 жыл бұрын
Asante sana. • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@siaeliringia77233 жыл бұрын
Asant barik sana Mtumshi wa MUNGU
@aalh10303 жыл бұрын
Asante sana doctor nimekuelewa sana ila nimeamini kwamba mahusiano niliyo nayo ni feki zaidi ya feki sasa nimejifunza
@agnessemmanuel84343 жыл бұрын
pole
@priscardanier82643 жыл бұрын
Hahaha jaman pole kipenzi
@nisejuma70873 жыл бұрын
Nashukuru kwa kuokoa mahusiano yangu ubarikiwe
@nazamgonja17093 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa mavuzo mazuri
@jannetjimv62312 жыл бұрын
Asant kwa somo kunavitu nilikuwa vinanivunja nguvu Ila nashkulu Umenifanya nielewe Kaka mungu akubalik
@rehemapima7693 жыл бұрын
Nakuelewa sana nimejifunza mengi sana toka kwako
@sophiamfikwa73402 жыл бұрын
Waooh I learn something nice here thank you
@dorismajenge30403 жыл бұрын
Ya 5 na 6 zimenifunza Sana nilikuwa hivyo sasa naenda kubadilika ubarikiwe Sana
@annmumbi84843 жыл бұрын
Very inspiring and instructive Fabulous pastor, May the Lord of abundance multiply more materials to teach and equipe for the glory of God 🙏🙏🙏🙏🙏
@juliancosmas95202 жыл бұрын
Mungu akubari nimejifunza kitu
@irenezamda1063 Жыл бұрын
SoMo zuri ubarikiwe sana
@veronicasabianus65353 жыл бұрын
🙏 tangu nimeanza kuona vidio zako naimejifunza kitu asante my
@gloriachao97352 жыл бұрын
Asante sanaaa doctor
@esterjackob58383 жыл бұрын
Hongera kwa mafunzo mazuri ubarikiwe
@eng_jocha3 жыл бұрын
Shukrani sana Dr. C. Mauki. Nilishaacha mtu kwa sababu ya uwezo wake finyu wa kufikiria na kuamua bila ya mimi kuwepo. Nillilaumiwa sana, lakini hii video yako imenihakikishia maamuzi yangu sikuyakosea.
@subiramohd18953 жыл бұрын
Na weye tu si ungemrekebisha tu lazima umuachee ulikua humtaki tuu
@olivalupala43383 жыл бұрын
Mungu akubari mtumishi kwaajili ya kutufundisha maan ht nikija kupata mchumba nakuwa naelewa vyakufanya
@eng_jocha3 жыл бұрын
@@subiramohd1895 Nilishapitia hatua zote. Kuachana nae ilikuwa ni maamuzi ya mwisho kabisa. Kuna watu unapowaelekeza jambo unagundua uwezo wao, kwa jinsi watavyoelewa na kufanyia kazi maelekezo yako. Unapoona mtu ni mzito na kuna mwingine mwepesi kwenye jambo hilo hilo, nadhani utaendana na mwepesi ili nia na lengo lako lifanikiwe. Hakuna anayependa ku_date kwa hasara maishani mwake. Kila mtu hutumainia mazuri (faida) kwa mahusiano ya kudumu. Au ni sawa na uwe na mfanyakazi kwenye kipindi cha matazamio afu akakuingizia hasara katika biashara yako, kisha ukaamua kuingia gharama kumwelimisha ili hasara isiwepo au ipungue, lakini bado akaendelea kuleta hasara. Huyo utampatia mkataba wa kazi? Ni wazi hutaendelea nae.
@sammg8133 жыл бұрын
Nice
@naisamawalla77733 жыл бұрын
How do you say how do you know how do you know true to you sorry do you have a WhatsApp number to ask you some questions
@glorymushi4982 жыл бұрын
Nimeelewa doctor thanks for your lesson
@wrestledboy77292 жыл бұрын
Napenda sana ushauri wako Dr
@zulphanclara72493 жыл бұрын
Asnte dr somo lako lime nisaidia sana 🙏🙏🙏😥😥
@bahizirebahati Жыл бұрын
Shukrani sana Dr
@witnessjulius95842 жыл бұрын
Very inspiring and be blessed always 🤗🙏
@evalineedwardsuzanne98623 жыл бұрын
Kiukweili Dr. umenisaidia mnoo asante sana
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@agneskamanga24933 жыл бұрын
Asante, Mungu akubarki
@enelesilisulile51593 жыл бұрын
Asante nashukuru Kwa ujumbe huu nimepata kitu kikubwa mno
@ChrisMauki13 жыл бұрын
Asante sana
@AyishaNyongore4 ай бұрын
Shukrn mno dr
@Pros_jooh1933 жыл бұрын
Utuwekee namba bhasi wengine tunataka ushauri binafsi😭😭😭
@rahmabenta83493 жыл бұрын
Nenda istagram ka search Chris Mauki ,kwenye bio utakuta kuna namba hapo ameweka
@mankarichard58513 жыл бұрын
Asante
@fatumakalimbo27222 жыл бұрын
Nimependa sana
@christinayohana38513 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri🙏
@ThinaMasika Жыл бұрын
Kazi nzuri barikiwa sana
@akhayadu4482 жыл бұрын
Macundisho ni mazur sana ningependa kungekuwa na group ata la whsap
@lucykavishe54302 жыл бұрын
Somo zur SNA asant kwa mafundisho
@agapejosceline76833 жыл бұрын
Asante sana Dokta
@ChrisMauki13 жыл бұрын
Asante sana
@amanimanase15913 жыл бұрын
Asante kwakujifunza
@marymwangware97212 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@rehemajohn19582 жыл бұрын
Asante sana dr
@gabreililumba41103 жыл бұрын
Asante sana kwa somo. . .
@beatricelucas1273 жыл бұрын
Asante sanaaaaaaa Dr hiyo point ya tano(5) sikuwa najua kuwa nakosea, nimejifunza kitu. Mafunzo yako ni mazuri mnooo najifunza mengi sana UBARIKIWE
@mteulemnyama78583 жыл бұрын
Hello...habar
@rehemamiraji94863 жыл бұрын
Yaani uko kama mm kumbe najua na care kumbe ndio nakosea duuh
@gracekisongo41163 жыл бұрын
Ahsante doctor,,
@drankchakariza78412 жыл бұрын
Asante kwai7 upjonswanaume
@drankchakariza78412 жыл бұрын
Asante kwa masomo yako mazuri may God bless you
@pendolazaro46863 жыл бұрын
Aisee umenifundisha vizuri sana
@aminajuma41213 жыл бұрын
Mie mahusiano yananitesa sana naomba kuongea na ww doctor
@Sharifa_Fashion_2111 ай бұрын
Jaribu kweny upande wa pesa my wangu
@kipembakipemba88343 жыл бұрын
Uko vizur mungu akubarik
@imaniedward80693 жыл бұрын
Asante umeifungua akili yangu saaanah
@naomileonald72402 жыл бұрын
Hakika nimekuelewa sanaa
@sheddykayanda43693 жыл бұрын
Ahsante dr nakukubali sana
@EvalinaSulle6 ай бұрын
Hongera kaka kwa mafundisho mazuri sana ila je kama yeye anapenda sana kunipigia simu kila wakati inakuwaje sasa?
@AyishaNyongore4 ай бұрын
Mvumilie
@beatricetumaini10983 жыл бұрын
Asante tumejifunza kitu
@zubedaally34832 жыл бұрын
Hongera upo vzr
@aminathaabubakarmasoud5652 жыл бұрын
Wow, thank you so much Dr.😍😍😍😍🙏
@alinenkomeje3 жыл бұрын
Asante kwa fundisho Dr naomba utupe number yako tukulize in box please
@saudarajabu38443 жыл бұрын
Nimepata elimu nzuri sana asante dokta,ila ni kweli na nimependa ulivyosema usimgande na usilazimishwe akupende that nice,
@upendocephas61423 жыл бұрын
Unatupa Sana mwanga Yani hayo wengine hatuukuujuaga wenda ndomana tunafeli
@elikamaguzu4043 жыл бұрын
@@upendocephas6142 Sana Yan miniliwahi lazimisha kupendwa nikafeli
@sabinaleonard39073 жыл бұрын
Asante Kwa somo zuri Sorry naweza kupata mawasiliano ya whatsapp ninashida ambayo ni private
@ChrisMauki13 жыл бұрын
0713407182 ni yakupiga tu
@elikamaguzu4043 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 minikushukuru Sana aisee umenifundisha Mungu akubariki kaka
@ChrisMauki13 жыл бұрын
@@elikamaguzu404 asante sana sana, I hope umesubscribe
@leahowire20683 жыл бұрын
🙏mwenye sikio na asikie... Asante
@witnessjulius95842 жыл бұрын
Wow very interested with your lessons 🙏🙏🤗
@rayyanhassan84533 жыл бұрын
Ahsante dokta mungu akujaalie umri naomba kuongea na ww
@dianajoel54133 жыл бұрын
Ahsante kwa elimu unayozid kunipatia hakika nimejifunza
@benterchepngetich53403 жыл бұрын
Shukrani sana kwa mafunzo bora
@ChrisMauki13 жыл бұрын
Asante sana
@FaridadumaDumadumaАй бұрын
Amiin nikimpata lazima nijitahidi kufanya ayo
@lucynaombjoely80673 жыл бұрын
Ubalikiwe kwa kutufundisha
@princessleonard64153 жыл бұрын
Hapa nimekupata jaman.somo zuri.
@robinahumphrey97253 жыл бұрын
Ubalikiwe sana ..Dr..namlaani akulaanie.
@blandinaandrubysforexvlogb97797 ай бұрын
Woow nimepata kitu kikubwa sana
@linetaidi47232 жыл бұрын
Asande kwa mafundisho hayo
@ericaheddy9796 Жыл бұрын
Dah nime enjoy dalasa lako
@gladnesstimothy74703 жыл бұрын
Thanx doctar umenisaidia kitu
@godlizenlukumay78963 жыл бұрын
Nashukur umenisaidia sanaa
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks