No video

Dr Chris Mauki - Utajuaje penzi la mpenzi wako limeisha?

  Рет қаралды 348,187

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Mara nyingi kwenye mahusiano au kwenye ndoa kuna watu wanalalamika pale wanapoona penzi kwa wenzi wao kuisha,leo nina kuletea sababu saba (7) zitakazo kusaidia kugundua pale penzi la mpenzi wako wa kiume kuisha :-
1.Hasira au hamaki za mara kwa mara.
2.Kupungua kwa kiu ya kukufurahisha
3.Kukosa muda na wewe (Lack of quality time)
4.Kujali kunapungua/kukuhudumia kunapungua.
5.Kupotea kwa mawasiliano.
6.Kuongeza kwa usiri na kutokuwa muwazi.
7.Anaweka mpaka wa maisha yake na maisha yako.
#DrChrisMauki#Mahusiano#Mapenzi

Пікірлер: 801
@glorytweve7992
@glorytweve7992 4 жыл бұрын
Me hapo zote anazo kabisaaaaa,picha limeisha basi new life sasa ndo ipo kwangu.🙌
@rowdyrondarouseyfire9476
@rowdyrondarouseyfire9476 4 жыл бұрын
Umenifanya nicheke japo ni maumivu...ila nakuona uko very strong...utaweza kuishi ktk hali ya upweke..pia naomba listokee kwako.
@rosemarydeograthius7041
@rosemarydeograthius7041 4 жыл бұрын
Safiiii kabisa
@aminaharun1103
@aminaharun1103 4 жыл бұрын
We ni mwenzangu
@nadyaally3229
@nadyaally3229 3 жыл бұрын
Yani 😂😂
@emmaculateaokoochieng6911
@emmaculateaokoochieng6911 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣can't stop laughing
@reginajustin2432
@reginajustin2432 3 жыл бұрын
Ukweli kabisa mungu atusaidie wote wanaoguswa
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 4 жыл бұрын
Hakika kweli dr Chris umesema kweli mm na miaka 31 kwenye ndoa nimo kuyapitia na omba aamuwe hataki hayo yote ulio ya sema nimesha yapitia na ninaendelea kuyapitia asante sana
@estermsabana8594
@estermsabana8594 3 жыл бұрын
Wanawake wengi tunavilio vyamausiano xnaa,,,,,Ebu tugeuke Sasa tumgeukie Mungu maana yy anafanya mambo ambayo mwanadam hawez kuyafanya njia sahh kwa Mungu peke yake
@marygoreth1593
@marygoreth1593 3 жыл бұрын
kwa kweli Mungu ndo anajua
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 Жыл бұрын
Kweli Mungu tusaid na kuomba kwa imani
@priscangoda7679
@priscangoda7679 Ай бұрын
Chris,kuna kitu Mungu ameweka ndani yako, endelea kubarikiwa
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 23 күн бұрын
Polee sna Dada wallah yanauma
@editudasanga4346
@editudasanga4346 4 жыл бұрын
Unapatikanaje,nahitaji ushauri wako Dr Mauki
@monicahchepchirchir2728
@monicahchepchirchir2728 4 жыл бұрын
Wooi am relating to all this ..Thanks much for opening my eyes..
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@janeroseokisai2651
@janeroseokisai2651 3 жыл бұрын
Ndio nijue Rafiki wa kweli ,Nitazidi kufuatilia Mafundisho haya,Mme ni Mungu Hupeana,Amani ni ya Muhimu Sana, Barikiwa Mtumishi 🙏🙏
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Asante sana kunifuatilia, Matumaini umesha subscribe channel hii. Usiache kwa Balozi mzuri kwa kuwakaribisha marafiki na wengine wengi waje kufurahia shule nzuri. Asante. Dr. Chris
@salomembodza2537
@salomembodza2537 3 жыл бұрын
Mm ata nlichoka na nkatoka nchini kabsa, bora ntafute pesa niendelee na maisha yangu. Men will always be men 🚶‍♀️🚶‍♀️💃
@merryjackline5961
@merryjackline5961 3 жыл бұрын
Asante kwa ushauri mungu akutunze
@salomembodza2537
@salomembodza2537 3 жыл бұрын
@@merryjackline5961 🙏
@mapachunyi4830
@mapachunyi4830 4 жыл бұрын
Hahaaaaaa.....men are very strategic they will do all things to get what they want with all efforts once they success their project,,,shading tears will be ur gift ooooooh,,,,mawasiliano ni swala kubwa sana ,akianza kukaa siku 2,3 n.k with no kuongea wakat before sim kila dk hiyo hata dr sio lazima aseme,,,kwishaaaaaaaaaa! Hahaaaa#HAPPYNESS IS YOUR CHOISE# kabisaDr.
@jeniphermushy627
@jeniphermushy627 4 жыл бұрын
Kwel kabisa
@RoseRose-qj5pw
@RoseRose-qj5pw 4 жыл бұрын
Mimi naona ukijipenda ww nafsi yako kwanza ata akakufanyia lipi halitokushtua tatizo sisi wanawake tunapenda kufosi mapenz ndio mana tunaumizwa. Mtu kesha kuonesha haya yote bado tu unamngangania. Jitoe uendelee na maisha yako
@jamilasaid1764
@jamilasaid1764 4 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@swaumamiriy2234
@swaumamiriy2234 3 жыл бұрын
Nikweli kbsa
@marympemba8843
@marympemba8843 4 жыл бұрын
Asante kwa somo nzuri Dr Chris. Ni vizuri kuweka mipaka ktk mahusiano ya aina yoyote unapoona mambo hayaendi kwa jinsi yanavyotakiwa yaende. Furaha ni kitu muhimu ktk maisha.
@zakiyaalmaas9254
@zakiyaalmaas9254 4 жыл бұрын
Jamani kupenda mm no
@marympemba8843
@marympemba8843 4 жыл бұрын
Zakiya almaas , sijuwi unazungumzia uhusiano gani, kupenda ni vizuri, usiache kupenda watu, wapo wazuri na wanaojari, usidhani kila bmwanadamu ni mbaya, wengine wazuri. Wasamehe, lakini weka mipaka, pia usipoteze muda mwingi kufanya mambo ya watu, fanya tu kama una muda na vitu vya dhiada, upendo wako usije ukawa msalaba wako
@araphatiddy3903
@araphatiddy3903 4 жыл бұрын
Mm naogopa mahusiano kabisa, sijawah kubahatika katika maisha yangu. Mpaka moyo umekufa ganz
@lovekyungai2658
@lovekyungai2658 4 жыл бұрын
Pole ndg muombe Mungu akusaidie kuna watu wanakuja Kama wana mapezi ya dhati kumbe waongo tu
@mariamhaji6935
@mariamhaji6935 4 жыл бұрын
Mm nimetendw
@dinaorio1852
@dinaorio1852 4 жыл бұрын
Pole beb
@rowdyrondarouseyfire9476
@rowdyrondarouseyfire9476 4 жыл бұрын
Very sorry my dear...but soon atakuja mwenye kheri na ww.
@Mohabmts
@Mohabmts 4 жыл бұрын
Hali kadhalika
@mankasindato7896
@mankasindato7896 3 жыл бұрын
Afanyweje arudi mwanzo. Maana kama wa kiapo anaumiza sana
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 23 күн бұрын
Wa kiapo ana kuambia mm na ww tumevunja ahadi wakt ww unampenda bado,, ss hapo unaweza mtafuta tena au manaa yeye kimyaa ww ukituma sms hajinlbu sasa hapo una fnyeje😊
@danielpaul84
@danielpaul84 2 жыл бұрын
Dalili za penzi la mpezi wako limeisha, 1: kuhamaki Mara kwa mara 2 : kupungua kwa kiu ya kukufurahisha 3: anakosa muda na ww 4: kujali kwake kunapungua 5: kupotea gafla kwa mawasiliano 6: kuongezeka kwa siri kufanya vitu kwa siri 7: anaweka mpk wa maisha yake na yako
@maggiemkawuda5870
@maggiemkawuda5870 2 жыл бұрын
Thanks for the sammary
@zeilamagelanga3972
@zeilamagelanga3972 Жыл бұрын
Ubarikiwe nimesreenshoot
@user-qv9ed3fe2v
@user-qv9ed3fe2v 10 ай бұрын
❤niambie hiyo kitabu😅
@PaskaliPatiliki
@PaskaliPatiliki 23 күн бұрын
Barikiwa sana
@MmmMmm-ye5lc
@MmmMmm-ye5lc 4 жыл бұрын
Asante kwa kunifumbua mapema kumbe tulikuwa twapotea bila kujijua
@kwabasimfaume6524
@kwabasimfaume6524 4 жыл бұрын
Thanks my kaka Allah akulipe naskia umenigusa moyoni
@NyakayiMwishagoli
@NyakayiMwishagoli Жыл бұрын
Ubarikiwe Dr maana umenibadirisha Kwa kias kikubwa ahsante sana
@jenipherrio7941
@jenipherrio7941 3 жыл бұрын
Dah kaka Chris yanii Mungu akubariki ningekujua mapema nisinge teseka hivyi Ila naamin wakati was Mungu huu nashukurukuru sanaa nimejifunza mnooo ahsant kaka
@fatumaluze7724
@fatumaluze7724 3 жыл бұрын
Thanks so much my brother Mungu akubariki Sana
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 3 жыл бұрын
You nailed it dr Chris mauki 🤣🤣🤣🤣everything is really big up 👍👍👍
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@bikhalimah420
@bikhalimah420 3 ай бұрын
Shukran sanaa kaka kwa somo
@btylove1870
@btylove1870 4 жыл бұрын
Hao ndio wanaume wa sasa wanakutumia wanakutupa. Evil souls!
@fridahmaingi6025
@fridahmaingi6025 3 жыл бұрын
Don't allow yourself to be used before marriage
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@marymuthoni4529
@marymuthoni4529 3 жыл бұрын
God bless you I have learned alot
@habbysalehe6796
@habbysalehe6796 4 жыл бұрын
kweli kabisa brother umenigusa sana na maneno yako
@Preciouscaren209
@Preciouscaren209 3 жыл бұрын
Mungu nisaidie haya yote ndio naiona kwa sasa lakini naomba nijifunze kunyamaza kabiza😭😭😭nkimwambia kitu aweza nijibu baadaye ama akose iam so in pain but I hope God will do something
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@annastaziantete6786
@annastaziantete6786 Ай бұрын
​@@ChrisMauki1doctor nahitaji kuongea na wew nakupataje
@episawaki3240
@episawaki3240 4 жыл бұрын
Kwass mapenzi tuwaaachie watoto tu....bora ibaki story
@erickbenjamini8154
@erickbenjamini8154 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Dr. Haya unayo ya fundisha ndo changamoto kwa wana Ndoa wanateseka sana. Mi ni Pastor nasuluhisha migogoro hizo Kila mala.
@kerryhoza6173
@kerryhoza6173 4 жыл бұрын
After all hv been said and done! !☺
@agnessmoyo4949
@agnessmoyo4949 2 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa mfundisho mazuri unayotupatiwa mungu akibariki sana
@salmasulleysh7101
@salmasulleysh7101 2 жыл бұрын
Waah kw kwli imenigusa sna 😭😭 izi sababu zote kwngu zpo ila n baada tu ya mm kusfr amegeuka km c yy ila jamaa zke unpa moyo maybe n hasira likuwa amezoea kila siku ,asante Dr kw kutufungua mackio ubarkiwe
@aishasalum3687
@aishasalum3687 2 жыл бұрын
Mmmmh Asira ndio zimefanyaje🤣🤣
@sahi5305
@sahi5305 3 жыл бұрын
Thank alot l'm done
@saladaniel9274
@saladaniel9274 4 жыл бұрын
Bora nilivyoamua kukaa peke yangu😀😀
@janekikoti2179
@janekikoti2179 4 жыл бұрын
😂😂 hii ni shida sana
@odiliasafari1461
@odiliasafari1461 4 жыл бұрын
@@janekikoti2179 kuna mahali ukifika inabidi iwe ivoo cause it pains
@janekikoti2179
@janekikoti2179 4 жыл бұрын
@@odiliasafari1461 your right dear!
@kamathimagretgm6952
@kamathimagretgm6952 3 жыл бұрын
😂😂
@mercyomobe8002
@mercyomobe8002 4 жыл бұрын
I happened to be here for the 1st time.. am happy to know Mr. Chris
@annnauwankas4548
@annnauwankas4548 4 жыл бұрын
I have been in different relationship but I have not been happy.
@AliceAlice-ol5zv
@AliceAlice-ol5zv 2 жыл бұрын
Umenigusa sana 🙏🥰🥰 shukurani 🙏 Baba yaani Acha Tu alafu yuwarudi tena yukuambia yukupenda siurongo huwo
@tausihasheem5051
@tausihasheem5051 4 жыл бұрын
Iyo ya tano inanihusu sanaaa...natuma txt sijibiwi
@LucySinkala
@LucySinkala 2 күн бұрын
Nipo kweny hiyo Hali ndugu yang nalizwa sana aise
@naimasaidy1426
@naimasaidy1426 4 жыл бұрын
Jamani roho imeniuma wallah najikuta machozi yananitoka hakika yote yananikuta yamenikuta mapenzi au mahusiano ✋
@usabaseprovidence490
@usabaseprovidence490 4 жыл бұрын
Mapenzi tumeyafanyia nini jamani
@neemamakubi7141
@neemamakubi7141 2 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka umenigusa sana ooooo Nalia mimi naumia na mapenzi mimi mpenzi wangu nampenda sana lkn saiv ni mkali hatali
@josephchiwango1262
@josephchiwango1262 4 жыл бұрын
Yan hyo mm kabsa aisee..... Hyo ya kwanza kwel kabsa
@annavenance4700
@annavenance4700 4 жыл бұрын
😂😂😂😂nacheka tu maana yote mi nayaona sitaki kufa mimi acha tu nicheke
@nipaelernest662
@nipaelernest662 4 жыл бұрын
hahaaaa poee maaa. jipe raha mwenyewe
@v_i_p1109
@v_i_p1109 4 жыл бұрын
😂😂
@doreenmkingi3117
@doreenmkingi3117 4 жыл бұрын
Tupo wengi mama..ngj tupambane
@unnarey-vijora
@unnarey-vijora 4 жыл бұрын
😎
@namnyakiabell3818
@namnyakiabell3818 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@RichieGidion
@RichieGidion 3 ай бұрын
OK,asante Kwa mengi unayo endelea kuelekeza Jamiii❤
@dinermafuru4433
@dinermafuru4433 3 жыл бұрын
Loh Bora nimejua ukweli hapa kujiongeza tuu😃😃😃
@nelimakitindaa6358
@nelimakitindaa6358 4 жыл бұрын
I've gone thru all these things,,,naked truth likiisha unaelewa tu😒
@mwanaidhassan229
@mwanaidhassan229 4 жыл бұрын
We baba unaelewa sana mahusiano wallah
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 жыл бұрын
Nashkuru sana
@tripletwins330
@tripletwins330 3 жыл бұрын
Dalili zangu kabisa hizi deal ✔ 👍
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@tracypaul7605
@tracypaul7605 3 жыл бұрын
Naomba no yako Chris Nina mengi ya kukuliza
@salmagungurugwa6854
@salmagungurugwa6854 4 жыл бұрын
Duuuhhh kweli wanaume nyokooo hujakosea hata moja lkn kwa upande wangu msondo ngoma akili kumkichwa km maslah yapo mi nakomaa yy atajua mwenyewe
@tanyanyakipande8082
@tanyanyakipande8082 3 жыл бұрын
Weee utajutaaaa
@racheljoel5511
@racheljoel5511 3 жыл бұрын
Asante kwa kunifundisha
@marymlay2824
@marymlay2824 Жыл бұрын
Duh Asante sana Dr.Mmmmmh nimejifunza
@rispathequeen
@rispathequeen 4 жыл бұрын
Thex Dr Chris all talk about l went through all this is true.thex for opening my eyes heart and mind. Watching through KZbin in Qatar Doha but from Kenya.
@rolinekisuru1750
@rolinekisuru1750 3 жыл бұрын
Hi there.
@angelstacy7592
@angelstacy7592 3 жыл бұрын
Tuko wengi wengi dear hki mapenzi haya
@lovehamis1332
@lovehamis1332 3 жыл бұрын
Asante dokta , kwa somo zuri
@amoskorir4636
@amoskorir4636 3 жыл бұрын
True chris mauki..umenisaidia sana hya yote n yakwangu
@levinavenance1200
@levinavenance1200 Ай бұрын
1.experience hasira za mara kwa mara kitu kdg tu kero 2.kupungua kiu ya kukufurahisha 3.lack of quality time 4.unaona hali ya kujali kwake kunapungua 5.kupotea gafla mawasiliano 6.kuongezeka kwa siri na uwazi 7.mpaka wa maisha yake na yako
@mwanaishaomary5010
@mwanaishaomary5010 4 жыл бұрын
Aisee kweli kabisa yani nikikumbuka Siku nilimuuliza mpenzi wangu kwanini amebadirika kila nikimtafuta anasema tu niambie nawakati mwanzo hajawahi kuwa hivyo lakini baadae niambie nyingi yani kama yeye hana lolote lakuniambia ilabaada yakuuliza alikasirika mnoo na ilikuwa nijambo analokumbusha kila Siku kuwa nimemkosea sanaa.acha nijipende mwenyewe mie
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 жыл бұрын
Mapenzi,mapenzi , mapenzi haya hapa ......Hardly to explain.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@hadijasalimu1808
@hadijasalimu1808 4 жыл бұрын
Kabisa kaka yani hata kitu kimoja ndo tabia zao wanaume wallah anakua anakitupia rawama yani apanilipo sinahamu haki asante kaka allah akubariki
@neemaeppah2992
@neemaeppah2992 4 жыл бұрын
Mm ndo nimeshachoka kabisaa maana hayo uliyoyasema ndo yanayofanyika kwa huyu wa kwangu .Mungu anisaidie tuu maana kama kulia nimeshalia sana.
@neemanelson3001
@neemanelson3001 4 жыл бұрын
Tupo wengi tunao lia jaman
@kevinbulambo6196
@kevinbulambo6196 Жыл бұрын
Habari zako mtumishi WA MUNGU Nashukuru Sana Kwa videos zote ambazo unasambaza kwenye channel yetu wengine zina tusaidiya Sana. Sasa Ombi langu ni Kwamba ningependeleya utumiye wakati zote Swahili sababu wengine ni vigumu kuelewa English maana Sisi ni wa congolese na kama unatumiya English inaweza kuwa vizuri Sana kufasiriya maana ya hiyo neno. Aksanti sana na Usikivu mwema. Kevin bulambo toka Dr Congo
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 4 жыл бұрын
Yote niliyapitia weee mungu nisaidia
@ladiasony9735
@ladiasony9735 2 жыл бұрын
Wonders this life no balance that is what am going through now but thanks to GOD you have adviced me,much love DR.whatching you from saudia Arabia
@doreenabdalah7166
@doreenabdalah7166 4 жыл бұрын
Duuu! Naked truth mr mauki.
@cyrilchamungwana6718
@cyrilchamungwana6718 8 ай бұрын
Mie kiukwwri mpenzi wangu yupo bize sana nami kiukwwri ila mimi ndio napenda sana kudeka nae mara nimenuna mara nimecheka kiukweri nijilekebishe nisije nikajuta bure badae kwani ananijali mno mungu asante asije badilika
@mariasongea5518
@mariasongea5518 4 жыл бұрын
Dr. Mauki IMEISHA HIYOOOO!!!
@fridamweni8110
@fridamweni8110 3 жыл бұрын
Na imeisha kweli🤛
@catherinewakesho1739
@catherinewakesho1739 4 жыл бұрын
I relate..naked truth 💯it really hurt when u dedicate all ur emotions to someone who doesn’t care about ur feelings#narcissist men
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Very hurting
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 3 жыл бұрын
Relationship is tougher when only one person is working on it
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
@@bahatinzelani504 piga 0713407281. Asante kutazama. Pls usiache kusubscribe
@amanistanley2746
@amanistanley2746 2 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 nazid kukufuatilia san kaka
@Rachel-wl5lc
@Rachel-wl5lc Жыл бұрын
@@ChrisMauki1 hy
@rispathequeen
@rispathequeen 4 жыл бұрын
Haya.yote nilipitia kwangu asante kwa haya mazungumuzo.ad that l quited
@janeroseokisai2651
@janeroseokisai2651 3 жыл бұрын
I love the Teaching, 🙏 Ukweli mtupu , Baraka 🙌🙏
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@pattypatty9315
@pattypatty9315 Жыл бұрын
Sina nia ya kujiuliza maswali mengi asante Dr majibu ya maswali yangu nimeyapata
@rosemarydeograthius7041
@rosemarydeograthius7041 4 жыл бұрын
Aisee stamani tena mahusiano
@josephinesakaya2616
@josephinesakaya2616 3 жыл бұрын
Naendlea kujifunza aksante Dr.
@katecathlyne4148
@katecathlyne4148 4 жыл бұрын
Asante...afadhali nliamua kukaa pekee yangu..shida tupu... But i believe in God...He will make a way
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 жыл бұрын
He will surely do
@mudymdee6340
@mudymdee6340 3 жыл бұрын
Mimi sijui nikwanini tukigombana na mpenz wangu kidog tu ananiambia km umrmove on niambie nanimara kwa Mara nisababu pia penz limeisha
@priscagabriel5647
@priscagabriel5647 4 жыл бұрын
Duuuh kila kitu kimenigusa kuanzia 1-7 yaan naona napotezewa mda tuu
@gracendaki4515
@gracendaki4515 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣pole mwaya
@mgeniali941
@mgeniali941 3 жыл бұрын
Weacha tuu ndugu yangu
@nasrajamaldin5505
@nasrajamaldin5505 2 жыл бұрын
Wale tunaoishi ktk jumba la makumbushoo mikono juu...kweli shikamoo mapenzi doc Asante Sana kwa tiba
@hidayakisensi2747
@hidayakisensi2747 2 жыл бұрын
@lucyrono8052
@lucyrono8052 3 жыл бұрын
Chris you are right.
@janeroseokisai2651
@janeroseokisai2651 3 жыл бұрын
Good Message, Better Abroken Relationship than Abroken Married , More Grace Sir,🙏🙏.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Asante sana kunifuatilia, Matumaini umesha subscribe channel hii. Usiache kwa Balozi mzuri kwa kuwakaribisha marafiki na wengine wengi waje kufurahia shule nzuri. Asante. Dr. Chris
@neemammassy8072
@neemammassy8072 2 жыл бұрын
God bless you 🙏 uzidi kutupa ujuzi kila siku yaan naona kila kitu kimenigusa Mimi
@mackilinapatrick4717
@mackilinapatrick4717 2 жыл бұрын
Alihamdulilah nisaidie mwnyez mungu
@marymusangi5568
@marymusangi5568 4 жыл бұрын
hayo ndiyo ninayo pitia sijui utanisaidiaje DR
@faridamohamed6058
@faridamohamed6058 3 жыл бұрын
Asante doct kwa somo nzri
@niriacatering172
@niriacatering172 Жыл бұрын
Asante sana
@gracekasembe7615
@gracekasembe7615 3 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana nnapokusikiliza
@reginaoyugi8143
@reginaoyugi8143 4 жыл бұрын
Ukweli mtupu. Asante mtaalam.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@najmahamiri6889
@najmahamiri6889 3 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 naomba mawasiriano yk Dr nipo na wakt mgumu sana
@beatricemabula4783
@beatricemabula4783 3 жыл бұрын
Ahsate kwa somo nimekuelewa sana
@elizabethkaroli3799
@elizabethkaroli3799 3 жыл бұрын
Hakuna mwanaume duniani duniani anayeweza kupenda mwanzo mwisho bila kupunguza upendo .....hasa wa kibongoooooo...akikuzoea aaaaa tayariiiii kashaanza kuchepuka muda na mapenzi yakishagawanywa taaaaayariiii mwanamke wake au mke anaanza kuambulia tu matusiii na hasira mda wote kama ulivyosema Dr Chris
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 жыл бұрын
kabisa dia ht mm yananikuta
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 жыл бұрын
Ubarikiwe dr. Cris mauki be blessed
@jenifamikupi5244
@jenifamikupi5244 2 жыл бұрын
Asante sana dk mauki maana yote uliyoeleza yameniingia san
@fatmakombo7584
@fatmakombo7584 3 жыл бұрын
Wanaume wa siku hizi sijui wanataka nini kwa kweli
@saumumustafa4495
@saumumustafa4495 3 жыл бұрын
Thank you
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
Hivi nyie mnaoandika comment mwa kingereza ili mie nisisome au Aaaah Tafadharini bwana andikeni kiswaili au kiarabu bwana mie najua kiarabu 🤣🤣🤣 AISEEE shikamoho mapenzi sina hamu mie na wanaume wote mataperi 🙌🙌😌😌
@hulumakandonga6740
@hulumakandonga6740 3 жыл бұрын
Daaaaaaaah unagux mlemle kam ulion Dr axant xan kwaxom
@snoopfox2424
@snoopfox2424 4 жыл бұрын
Thank God niliamua kujikalisha hata kama ninaaumia siku moja nitaacha kuumia.nikimuuliza kitu anakuwa rude ama anani ignore ikafika mahali nikashindwa na kula na kukosa usingizi.nikaamua kunyamaza hata text situmi akakaa siku kama tatu ananisalimia ananiambia ilikuwa ni salamu,akarudi akaaniambia ameamua ku keep distance kwa sababu akiwa so near ananiumiza nikaamwambia mtu akijua makosa yake watu huongea akaniambia tutaongea baadaye sikumsikia tena,nilimsikia baada ya wiki moja akanitext,hey babe morning sikumjibu na ninaomba mungu sana nisijipate nikimwongelesha.though tulidate only for 3 months
@carzolaalone3126
@carzolaalone3126 3 жыл бұрын
Pole duuh
@lydiaedwin3998
@lydiaedwin3998 3 жыл бұрын
Pole
@naimat56
@naimat56 2 жыл бұрын
pole my
@nurulukali4291
@nurulukali4291 Жыл бұрын
Daaah 😢
@halifahassan3586
@halifahassan3586 3 жыл бұрын
I like the way u teach daddy
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@happylaurent8124
@happylaurent8124 4 жыл бұрын
Very true kbxa daah doctor hongera kwa kipaji
@hamisaupatu4744
@hamisaupatu4744 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie tu,
@fikilimgaya3504
@fikilimgaya3504 3 жыл бұрын
Amina yote haya nayapitia lakin namwachia mungu ndo mwenye jib true Na pia nipo kimya
@Hancy05
@Hancy05 2 жыл бұрын
Asante Sana nimepata kitu
@adelvinailomo3402
@adelvinailomo3402 3 жыл бұрын
Mung atupstie macho Matatu ,ubarikiwe
@vanitosha844
@vanitosha844 Жыл бұрын
ukweli mchunguu huuuu uwiiiiiiii nimejikuta nalia tu
@teresiahkiarie8440
@teresiahkiarie8440 4 жыл бұрын
Waa hii noma kweli mengine yana umiza roho Sana thanks doctor for the advice
@davidngailo1618
@davidngailo1618 3 жыл бұрын
Umh me pia Niko hvyo nw.... Lakini nampenda huyu mke wangu, wanawake wengi mnakosea padogo tu mnajisahau......
@winfredmakumbuli642
@winfredmakumbuli642 2 жыл бұрын
Daaaaah yaaani kwangu ni shida..hamna mapenzi
Dr Chris Mauki : Utajuaje kama mpenzi wako sio mwaminifu?
9:41
Chris Mauki
Рет қаралды 110 М.
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 91 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
SABABU 3 ZA MWANAMKE KUKUACHA
12:56
Mbeki TV
Рет қаралды 35 М.
Usiruhusu mtu mwingine akuumize
4:43
Elias Mwinuka
Рет қаралды 10 М.
HII NDIO DAWA YA MWANAUME MWENYE GUBU (HUBBUL HALAL)
23:22
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 7 М.
UKIONA HIVI UJUE ANAKUPENDA SAANA ILA ANAOGOPA KUKWAMBIA
11:54
FAFANUO MEDIA
Рет қаралды 219 М.
Dr. Chris Mauki:  Mambo 5 ya wanawake yanayo waudhi wanaume
10:15
Chris Mauki
Рет қаралды 243 М.
CHRIS MAUKI- UKITAKA KUFANIKIWA MTUNZE MKEO (FULL VIDEO)
36:54
Tacmen Group
Рет қаралды 67 М.