Dr. Chris Mauki: Siri 3 za kisayansi za kuwa na furaha

  Рет қаралды 13,024

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@aishadotto3640
@aishadotto3640 Жыл бұрын
Wallah mimi sina furaha Ila kupitia hili somo nitakuwa na furaha hata kama napitia mapito. Alhamdulillah for everything 🤲
@Sashabigbenz
@Sashabigbenz 11 ай бұрын
You are the best Brother such a healer😊
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 Жыл бұрын
Asante sana mwanasaikolojia Mauki. Ushauri wako umenisaidia brother.
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 Жыл бұрын
Ila sehemu ya sabscrible mbona haionekani? Tuelekeze.
@Mawazo861
@Mawazo861 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana.
@mwafrikaissa491
@mwafrikaissa491 2 жыл бұрын
Nakukubali sana Dr Mauki
@paskomnara9004
@paskomnara9004 2 жыл бұрын
Kazi nzuri dk. Mauki nimekuelewa sana ahsante kwa somo zuri..
@amidazubeda1320
@amidazubeda1320 2 жыл бұрын
Furaha yangu sio yakukaa na watu ni yakukaa mwenye tu na mind my business hua naenjoy sana kuliko niwe na watu kwa kweli.
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 2 жыл бұрын
Mimi furaha yangu nikiwa mwenyewe na watoto wangu , mifugo, maua niwe nacho nisiwe nacho huwa nafurahia maisha
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 2 жыл бұрын
Mimi furaha yangu nikiwa mwenyewe na watoto wangu , mifugo, maua niwe nacho nisiwe nacho huwa nafurahia maisha
@jamesobedy3940
@jamesobedy3940 2 жыл бұрын
Me to
@neemaedgar5594
@neemaedgar5594 2 жыл бұрын
Nakukubali sana dokta mung akubariki kwa elimu mzur
@miriambethuel8892
@miriambethuel8892 2 жыл бұрын
💪💪💪💪🤜 very true Brother.
@fatumamwalimu6135
@fatumamwalimu6135 2 жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe
@asmaafamau9293
@asmaafamau9293 2 жыл бұрын
Shukran Dr mngu akubariki
@janiphacosmas1777
@janiphacosmas1777 2 жыл бұрын
Asante kwa somo Zur
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 2 жыл бұрын
Asante sana
@winniejames5667
@winniejames5667 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa somo nzuri
@salometemba5225
@salometemba5225 2 жыл бұрын
Nashukuru sana Dr.
@catherinenasambu5366
@catherinenasambu5366 2 жыл бұрын
Thxz boss for th points
@aminamsangi698
@aminamsangi698 2 жыл бұрын
Mauki somo zuri sana
@irenekyando4429
@irenekyando4429 2 жыл бұрын
God bless you doctor
@aminakarisa2721
@aminakarisa2721 2 жыл бұрын
Nashkuru sana kwa mafunzo yako
@fatmahaniu1234
@fatmahaniu1234 2 жыл бұрын
👌
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 2 жыл бұрын
Mimi nikiwa peke yangu huwa nafurahi sana
@trustmwimanzi3754
@trustmwimanzi3754 2 жыл бұрын
🙌🙌🙌
@batamulizaalice5060
@batamulizaalice5060 2 жыл бұрын
Dr nisaidie namba ako
@sheillamwinyi7349
@sheillamwinyi7349 2 жыл бұрын
Dr Criss tuletee dalili za mtu manipulative kuna watu wanakuumiza alafu wanalia wao na kutia huruma ujihisi wewe ndio mkosa
@rehemanelson4616
@rehemanelson4616 2 жыл бұрын
Yaan na mm nasubiri
@coonykisau5268
@coonykisau5268 2 жыл бұрын
Asante Kwa ushauri nzuri
DALILI 4 ZA WAKATI WAKO WA KUINULIWA - JOEL NANAUKA
7:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 5 МЛН
ЛУЧШИЙ ФОКУС + секрет! #shorts
00:12
Роман Magic
Рет қаралды 7 МЛН
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kujenga tabia njema kwa mtoto wako
8:43
Dr. Chris Mauki: Kanuni 3 katika kuchagua wa kukupenda
5:28
Chris Mauki
Рет қаралды 10 М.
JOEL NANAUKA - MUDA SAHIHI WA KUKAA KIMYA
8:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 95 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kujipa furaha mwenyewe
8:08
Chris Mauki
Рет қаралды 35 М.
Dr. Chris Mauki:  Hivi ndivyo afya yako huathirika na stress
9:50
Dr. Chris Mauki: Mambo 8 ya Kukusaidia Kuishinda Hofu
12:14
Chris Mauki
Рет қаралды 36 М.
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 5 МЛН