Hata ndimi elfu hazitoshi.ushuhuda ninao.Ainuliwe Jehova
@worshiplibrary71572 жыл бұрын
To whoever is reading this,this isn't a coincidence. You're reading this bcos GOD has your life. GOD'S word says,"B4 I formed you in the womb I knew you, b4 you were born I set you apart."GOD has a plan for your life. Never forget that.
@MillicentOweya6 ай бұрын
Amen
@AliethSemo4 ай бұрын
Thankyu
@estherwanjiru415027 күн бұрын
Thank you
@fridayndimbwa57196 жыл бұрын
I've been passing through difficult moments but God has been so faithful to me..My heart can not praise him enough for sure.. Kuna wakati nilikosa ada ya chuo kikuu na siku ninayopeleka barua ya kusimamisha masomo yangu, Mungu akatenda kwa kunipa mtu ambaye sikumfaham akanipatia 1.5 Millions ya ada nikaendelea na masomo kiukweli moyo wangu hauwezi kumsifu kweli kwa yote aliyonitendea.
@rahabm20016 жыл бұрын
Praise God!!!
@fridayndimbwa57196 жыл бұрын
Amen
@eliyamusiclistbashigwa39526 жыл бұрын
Ameen
@marthamic72186 жыл бұрын
God is soo good, Hallelujah!!
@fridayndimbwa57196 жыл бұрын
@@mchkalisti770 Ametenda tena ametenda
@hariticnetworking6909 Жыл бұрын
This song reminds me when my daughter was attacked, she couldn't not open her eyes due to forces of darkness i played this song every morning na kweli Mungu akatenda .Today my daughter she's completely delivered oh GOD YOUR SO GOOD
@wafabian8116 Жыл бұрын
Glory to GOD
@emidalumwesa5765 Жыл бұрын
Miracle worker..amen for what has done
@BenjaminKivuitu-h7r Жыл бұрын
Gorly to God
@justusaganyilatvonline14175 жыл бұрын
Ametenda,Amefanya kweli. Now Am engineer of Africa Mashariki as a construction manager. Sure he has done toka mavumbini haxi juu ya wakuu. Thanks God.
Hata ndimi elf hazitoshi kamwe kukusifu kwa matendo yako Ila sifa zangu hizi bwana zikubalii Amen
@joelnanauka6 жыл бұрын
What a glorious experience-am in repeat mode for this song👏👏👏
@TabernacleofPraiseTZ6 жыл бұрын
Amen barikiwa
@mmtogolani6 жыл бұрын
I can't tell how many times I have watched this recording for the past three days. It is absolutely glorious & uplifting.
@anisiamedard37756 жыл бұрын
Joel Nanauka Amazing amazing
@winniemalimbwi7176 жыл бұрын
Me too
@justusaganyilatvonline14175 жыл бұрын
Joel Nanauka brother this is awesome song never tired to here this
@sabunisoap32594 жыл бұрын
Moyo wangu auwezikukusifukweli Asante Mungu ujawai kuniacha toka utoto wangu umeni fanya nijiamini kupitia Yesu kristo Amen
@petterbarnaba5043 жыл бұрын
Kwakweli Mungu aendele kuunua huduma yako maana tunabarkiwa sana tukisiliza nyimbo zake
@LilianJulius-o7m2 ай бұрын
Mungu wangu asanteee umenitendea mambo magumu na makubwa kwenye maisha yangu hata siwezi kuelezea sifa heshima na utukufu nakurudishia kwenye kiti chako cha enziii
@faithndunge53642 жыл бұрын
When I first heard this song I cried😭😭😭😭😭I was done with form four..I lacked fees😭😭my God is faithful, najua ashatenda😭😭😭😭😭😭nasubiria wakati wake😭😭😭here are my praises dear lord.Receive them
@janetmasitsa4622 Жыл бұрын
this is me. Unworthy, but here I am.
@godlistenkileo83634 жыл бұрын
kama huu wimbo bado unaupenda gonga like tuwe sawa
@farajaMezza-qn4be4 ай бұрын
2024nimerudi tena hapa kumwambia Bwana amefanya! Thank you Lord❤
@wakeshomargaret65094 жыл бұрын
Moyo wangu hauwezi kukisifu kweli ila sifa zangu hizi bwana zikubali. I found Jesus and my life totaly changed nani kama huyu mungu jamani.
@GloryFrank-gn1ds Жыл бұрын
Sifa zangu hizi bwana zikubali❤
@flavierowiso13812 жыл бұрын
Moyo wangu hauwezi (My soul/heart cannot) Kukusifu kweli (Truly praise you) Ila sifa zangu hizi (But here are my praises) Bwana zikubali (Father accept them) (Repeat) Hata ndimi elfu (Even a thousand times) Hazitoshi kamwe (Are not enough) Kukusifu kweli (To praise You in truth) Kwa mapendo yako (For Your deeds) (Repeat) (Refrain) Ametenda/Amefanya (He has done) Tena ametenda/amefanya (Once again, He has done) (Repeat) Haleluya, Haleluya (Hallelujah) Haleluya, Hale Haleluya (Hallelujah) (Repeat) (Refrain)
@britydenick65482 жыл бұрын
Amen.. Be blessed
@catherinewangari94442 жыл бұрын
Thanks forlyrics🙏🙏
@lizchola81412 жыл бұрын
No njjjyihggffgguu BheqsxLLLOPOOPP
@epimaquendabazaniye52 Жыл бұрын
Thx sir for writing you make understand deeply
@JOSEPHINEMOSHY Жыл бұрын
Kama si mkono wa Bwana , ningekuwa wapi mm jamani, .. Hakika ni mkono wake umeniinua na kuweka mahali pa juu, kila nikitafakari vile Mungu amenikumbuka na kunihurumia ninazidi kumtukuza tu. God bless you Dr Ipyana for the deep worship. Tumwambudu Mungu wetu siku zote, kwake kuna majibu yote. Yeyote unaepitia kipind kigumu usikate tamaa wala usimwache Mungu kamwe , endelea kumwamini kwa wakati na majira yake atajibu yy ni Mwaminifu
@jemimahnjoroge13223 жыл бұрын
I'm happy for my neighbors Tanzania. There's a great revival in worship. Keep up with the worship spirit. From 🇰🇪
@elizabethnaipanui48192 жыл бұрын
Sure
@farajafaston5692 жыл бұрын
🙏😘
@chemutailucy18593 жыл бұрын
Mimi bado nashangaanga na wenye wana dislike such powerful songs. Keep ministering to us. 🔥🔥
@worshippersincharge14956 жыл бұрын
Naifurahia Tanzania yangu nawaona worshippers wengi wenye nguvu za Mungu na ndio tunataka... Kaka Ameeeeen
@dorineanatory76106 жыл бұрын
Jamani huwa zinafanyika wap
@hobokelamwakajuja41745 жыл бұрын
Sana
@neemawilly10824 жыл бұрын
Huygghk
@latenitepiano4 жыл бұрын
@@dorineanatory7610 Zina fanyika Mbeya! Pia katika sehemu mbali mbali za nchi! Kwa hiyo, Tafadhali sana, Jaribu ku wasiliana na Kaka Ipyana au Mwasongwe, wata kupata taarifa kamili hapa KZbin au Instagram na Facebook, au kwa namba zao za simu, pia kwa website yao! Na tumaini kwamba, sote tuta urithi ufalme wa Mbinguni siku ile tunayo itazamia 🥺😢😭, Kwa jina la YESU KRISTO! Ubarikiwe na Bwana, Amen 🙏🏽!
@brayanmlay61824 жыл бұрын
Mungu nimzur naomba mwenye nyimbo anirushie 0652030228 watspu
@zuhuramohamed34242 жыл бұрын
Hku moyo wangu ukiwa na huzuni sana nimejikuta kwenye huu wimbo.
@realscholarships-bolde.23442 жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe sanaa!! Nilisikia injili hii kwa mtumishi wa Mungu, Apostle Mwamposa akiimba nikajawa na kiu ya kumsifu Mungu. Kila jambo juu ya Maisha yangu nasema na kuimba nafsini mwangu au nikiwa peke yangu ....🎶 Bwana. ametenda 🎶 Mbarikiwe nyote.
Yaani huu Wimbo unanigusa kwa njia siwezi kuielezea! Ubarikiwe Kuhani wa Bwana! Unatubariki na hizi Nyimbo za kumtukuza Mungu! Endelea kumtumikia Mungu.
@justusaganyilatvonline14175 жыл бұрын
Hakika Mungu moyo wangu hauwezi kukusifu kweli. My heart can not truer praise you. He has done to me my Daddy cause he surprising me. Nilikuwa naumiza akili kila Mara juu ya kodi ya nyumba but Leo ametenda kukabidhiwa the key of house 2 rooms and sitting room. Mpaka sasa naandika huu ushuhuda siamini kabisa yan mtu anasema you're the servant of God haupaswi kuwaza juu ya kodi Bali waza juu ya kumtumikia Mungu. Aiseeh huyu Mungu nashindwa kumuelewa kwakweli. Ebu mpendwa ushuhuda huu ukuinue na wewe Bwana akutendee mema katika jina la Yesu
@franckirakoze8968 Жыл бұрын
Amen amen
@aliceblesseddaughter Жыл бұрын
Yes Lord receive my Praise you know I am passing through a hard time but because you delivered me in the past hata sasa Yesu unaweza I Join to praise you this evening
@chalaleiwen51454 жыл бұрын
Moyo wangu hauwezi kukusifi kweli, Ila sifa zangu hizi Bwana zikubali×2 Hata Mimi Eee! Mungu hazitoshi kamwe kukusifu kweli kwa matendo yako, Chorus : Moyo Wang hauwezi kukusifu kweli ila sifa zangu hizi Bwana zikubali×2 Ametenda ametanda ametenda kweli Ametenda ×3 Amefanya amefanya amefanya ×3 Haleluya! Haleluya! Haleluya ×3
@Scarlett-m5x4 жыл бұрын
Hata ndimi elfu hazitoshi kamwe kukusifu kweli kwa mapendo yako
@faithntukamazina84804 жыл бұрын
Moyo hauwezi kukusifu kweli, ila sifa zangu hizi Bwana zikubali
@hellenrichard1876 ай бұрын
Moyo wangu hauwezi kweli Mungu bali sifa hizi zipokee baba❤
@JafariSimon-n4v4 ай бұрын
Ukiusikiliza huu wimbo kwa utulivu hakika unagusa mpaka ndani, hakika inabariki,❤ yale mungu anatenda maishani mwetu nimengi sana,,
@adelthamiyonga24354 жыл бұрын
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli Jehovah ila sifa na shukurani zangu Bwana zikubali wewe ulie mfalme wa amani.Nabarikiwa sana na huu wimbo Mungu awabariki sana waimbaji🙏
@tadeisauti14596 жыл бұрын
mungu amejibu maombi yangu niliomba cku moja nasi tuimbe kwa ibada na kumaanisha na kwa viwango kama South Africa xaxa ametenda amefanya huyu Yesu
@dainessmichael14805 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo , unanifanya nijivunie kuwa mkristo .
@euverusjohn5393 жыл бұрын
Wow
@lynelee58464 жыл бұрын
Hakuna Jambo jema kama kuwa na Yesu maishani mwako yaani ni rahaa.. YESU SHIKAMOO 🙋🙋🙋
@christinetina7702 Жыл бұрын
The worship that touches my heart.... Hata ndimi elfu hazitoshi kweli . Hakika ametenda
@AlanKimaro16 күн бұрын
I completed my university education last year, I am still not employed but through listening to this song...... the doors of employment will be open soon......🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@nuruchriss70174 жыл бұрын
Moyo wangu hauwezi kabisa kukusifu kweli umetenda na umefanya mambo makubwa maishani mwangu. Pokea sifa zangu BWANA uzikubali.
@euverusjohn5393 жыл бұрын
Amen
@ekasasimba71062 жыл бұрын
ILA SIFA ZANGU HIZI BWANA ZIKUBALI....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🎉🎉🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💯💯💯💯💯💯💯💯😇😇😍😍😍😍
@pendomlanda1990 Жыл бұрын
It's a beautiful morning and I want to thank and glorify the Almighty God He was the same yesterday today and tomorrow.......nimebarikiwa Sana na wimbo huu it is my first time to listen to it I was operated yesterday and it was successful I believe it's all because of Jesus.
@priscillahjackson36642 жыл бұрын
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli ila sifa zangu zikubali bwana Yesu...... Ametenda, Amefanya hata siwezi kusimulia ila nashukuru Mungu kwa kutenda na kufanya juu ya maisha yangu🙏
@emilydavidmdoe35526 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wimbo huu unaamsha roho Mtakatifu ndani yangu.Haleluya atukuzwe Yesu
@JacyMN2 ай бұрын
Moyo wangu hauwezi Bwana ila sifa za moyo wangu zipokee🤲🙏❤
@AngelRimoy8 ай бұрын
NINAKUSHUKURU MUNGU WANGU ❤
@hildarajabu23285 жыл бұрын
Mara ya kwanza kuusikia huu wimbo nilibubujikwa na machozi nikatambua ukuu wa mungu haupimiki barikiwa. Mtunzi na mwimbaji
@DrIpyana5 жыл бұрын
Hilda Rajabu utukufu una Mungu milele na milele
@lizzahsam49285 жыл бұрын
+254 if u r here in 2019 Nov and this song still bless you gonga like. Hata ndimi elfu hazitoshi kamwe kukusifu kwelii kwa mapedo yako...This song always bless me
@rizzy4604 Жыл бұрын
NEEMA iliyoshuka Tanzania,ishuke pia Kenya,,barikiwa mtumishi
@nisilebenjamin31744 жыл бұрын
Who's listening in Sept 2020? My soul needed this worship after not being able to attend Church two weeks in a row. This is a reminder that there's always a chance to praise God. God bless you ministers, may he continue using you as vessels
@stellakalinga47475 жыл бұрын
Naloli Chibhona, Umalafyale akwimile ubhombe imbombo yake na maka ghoshi! Wimbo umenigusa mpk nimejikuta naandika kikwetu. Kwa kweli nkamu umeimba Mungu akuinue kutoka utukufu kwenda utukufu.
@mugoyedouglas35014 жыл бұрын
There was a time I could not afford to feed my self NIR pay rent.... But this great God made away now I can..... Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli bwana.......
@evansambunya44846 жыл бұрын
Ninabarikiwa na huu wimbo. Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli,ila sifa hizi zipokee Baba...Ameen...
@holidaytripstanzania6 жыл бұрын
Naamini sasa naweza kwenda kuangalia live performances zetu. Now we are doing better for our singing groups, viva Tanzania, shalom Tanzanians and the glory be to God.
@annamsuya26605 жыл бұрын
Goodluck nimekuwa nikikufahamu ukitumika kwa kazi ya bwana, Mungu akuinue na akubariki sana amen.
@misswilliam97964 жыл бұрын
Frankly speaking the guy singing the second verse is another level of blessing.... I get goosebumps anapoaanza hapo "hata ndimi elfu ....." Na ametenda part.... God his voice is just absolutely amazing... God bless them all for this awesome song...let's keep honouring God
@godfraybalinako50123 жыл бұрын
A
@godfraybalinako50123 жыл бұрын
A
@godfraybalinako50123 жыл бұрын
À
@alfredjoshua86254 жыл бұрын
barikiwe sana mtumishi wa BWANA YESU KRISTO, wimbo huu huniweka karibu kwa ajili ya ibada na kuabudu.
@johnkeneth65566 жыл бұрын
Hata ndimi elfu...Hazitoshi kamwe kukusifu kweli kwa matendo yako.....
@TabernacleofPraiseTZ6 жыл бұрын
Kabila
@lightnessmori64854 жыл бұрын
Ni kwel
@danielmbugua2789 Жыл бұрын
Very profound and humbling too
@geofreymollel69734 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mkuu San akun km yy Mungu azidi kuwaongez mzidi kumuinua yy pekee ndio Mungu wa kuabudiwa ameeen
@brendaamati26485 жыл бұрын
Came through the right time been crying for God to connect to me spiritually This time not needing help but to just connect with him in truth and in spirit Moyo wangu
@allankimaro43275 ай бұрын
Its very true. Because I completed my university education last year and till now am not employed, but i believe God will open the doors soon. I really believe God is on my side through these difficult times..,.....
@uwerafaith3 жыл бұрын
Am a Rwandan but am in with this song even ten thousand tongues can't be enough to praise him we love father u deserve all the glory
@zakariampompo9534 жыл бұрын
Utukufu,Enzi ,Heshima,na Mamlaka Vina Yeye Mungu Wetu Aketitiye Juu ya Mbingu Zote,Haleluya.
@wilhardandaisaba49636 жыл бұрын
It is always joyful to see someone rising! when you see a miracle in the neighbourhood you should know your turn is so close since God is that near! Dr. Ipyana, we celebrate you!
@TabernacleofPraiseTZ6 жыл бұрын
amen indeed
@suleimankiswaga76856 жыл бұрын
Amen
@jenifamuia22862 жыл бұрын
Amen
@lucygathii60772 жыл бұрын
Amen
@zipporahsimiyu48172 жыл бұрын
Amen
@abdullahbarwani83064 жыл бұрын
moyo wangu hauwez kukusifu kweli ila sifa zangu hizi bwana zikubali Mbarikiwe kwa ujumbe huu 🙇Amen🙇
@corryitrend62134 жыл бұрын
At my darkest - God is my hope. At my darkest - God is my Light. At my weakest - God is my strength. At my saddest - God is my comfort. I WORSHIP YOU LORD.
@albertk53234 жыл бұрын
Mungu ni zaidi ya yote, lakini watazania muwa mnatubariki saana na nyimbo zenu, huku Kenya, Ameeeen!
@janiffernduku21832 жыл бұрын
Kweli moyo wangu hauwezi kukusifu yakutosha ila sifa zako naomba naomba zikae kwakinywa changu milele milele 🙏🏻🙏🏻be blessed man of God for such an amazing and inspirational song..
@annymallugu4287 Жыл бұрын
Qqqqqqqq1q1q1qq1qqq111qqqq1q1q1q1q11111qq1qqq1
@palokuthereza25554 жыл бұрын
He has done.Kuna wakati nilihukumiwa mnoo Mungu kama sikukimbilia madhabahu leo ningekuwa wapi😢😢Asante Yesu walisema nitakufa na ukimwi,nitakufa maiti haitaonekana😭😭 Leo nimekuwa msaada kwa wengi Neema yako Mungu kubwa sana.Nikaja nje wakasema sitafanikiwa lord now 7yrs umenibariki naishi nchi yenye baraka kwangu asante Yesu
@DrIpyana4 жыл бұрын
Umenigusa na Huu ushuhuda Ndugu ubarikiwe
@DrIpyana4 жыл бұрын
Umenigusa na Huu ushuhuda Ndugu ubarikiwe
@mmtogolani6 жыл бұрын
I think this is one of the best gospel songs in Swahili.... well composed and the DVD shooting is superb .. I like the music, the singing, the leader, the backup singers, the choreography, and much more the Zulu genre. God bless you Dr Ipyana and the team.
@DrIpyana6 жыл бұрын
Mathew Mndeme thanks a lot man of God we are careful to return all the glory to God
@mmtogolani6 жыл бұрын
@@DrIpyana Had I been there you could be forced to call security to take me away from the stage. I dont see why I wouldn't join you for the dance💃
@DrIpyana6 жыл бұрын
Mathew Mndeme I see 😂😂😂
@yohanalukasimundo35446 жыл бұрын
exactly
@holidaytripstanzania6 жыл бұрын
Surely brother, is the one of, good arrangement, nice location, as well we starting improving in live performance, some one also known as Rev, Mwangosi with his team they also do the best. Go go fare, Dr.
@annenyabuto6781 Жыл бұрын
Yees lord I found this today and sang it along touching my CS healed wound n focusing on how my son is growing up to be a big boy I remember the odeal I said moyo wangu hauwezikusifu kweli 🙌🙌🙌🙌
@maliamutadei41423 жыл бұрын
Ila sifa zangu hizi bwana zikubali 🙏🙏🙏
@happinesssweke78213 ай бұрын
Ametenda ametenda kwangu hakika jina la BWANA litukuzweee ,🙌🙌🙌
@zipporahmutua91243 жыл бұрын
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli ninapokumbuka yote umenifanyia,just repeating listening the song more than uncountable times,this song is of another level,glory to might God.
@AmanmathayoKafuku-ce5rg Жыл бұрын
Kwa keel wimbo huu in kichwa
@magrethgilbert58865 жыл бұрын
Oooh my Lord..... Umetenda mengi kwangu Jehovah siwezi kuelezea nakuamini Umetenda na utaendelea kutenda 2020.... Nakupenda Mungu wangu.... Jmn kwa yesu kuna raha....
@beatricendele92584 жыл бұрын
Hakika Yesu ametenda sifa na utuku ni kwakwe Ali juu ya vitu vyote hakika sijutii kuwa na huyu Yesu
@judithmbwilo74706 жыл бұрын
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli Bwana Yesu, ila sifa zangu hizi Bwana zikubali 👏👏👏
@annaignatio92336 жыл бұрын
Wimbo umekua faraja kubwa kwenye maisha yangu ninapo usikia najiona niko kwenye uwepo wa Mungu usio wakawaida Mungu akubariki sanaaaa
@amosmiregwa2382 Жыл бұрын
I love the composure both singing and those behind the instruments what a real praise....Glory be to God
@cynthiamuriithi4678 Жыл бұрын
Truly agree 💯, the collabo is on fire 🔥
@rosenyenyembe46984 жыл бұрын
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli,Ila sifa zangu hizi Yesu Kristu zikubali
@elizabetheliya15925 жыл бұрын
MUNGU ni mkuu sana akifanya anafanya kweli ili atukuzwe milele na ijulikane yupo. kaka ipyana💪💪💪💪
@irenemamadi Жыл бұрын
Perfect
@irenemamadi Жыл бұрын
Doctor ipyana keep it up
@abigaelmukui30954 жыл бұрын
Bwana sifa zangu zikubali .bwana ametenda na amefanya miujiza hakuna kama yeye .Asifiwe.amen.
@nathanmwiruki27973 жыл бұрын
Really Jesus Christ has done it beyond and above everything for his glory!
@eglaChipaga-fi1ig Жыл бұрын
Glory be to God, too much blessings, Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli. More biessing to Dr Ipyana
@VeeveeK2 жыл бұрын
October 2022 Ametenda... Tena ametenda 🙌🙏 Amenfanya... Tena amenfanya 🙌🙏 Hallelujah..... Amen hallelujah 🙌🙌 Nashukuru Baba 🙏
@IsaackMabulla5 ай бұрын
Kweli me moyo wangu hatuwezi kabisa😢😢
@faithfulmbise76364 жыл бұрын
I can't stop praising my Lord, My heart will always praising the blessing of God, With this song Everything will be good Thank you God
@marianandisi1641 Жыл бұрын
2023 Mungu nipe ushuhuda
@maryblessed88034 жыл бұрын
When I am moved by the spirit of God which assure me that HE has done it ..i just shout a big AMEN
@wandutaackimu43755 жыл бұрын
Bwana zikubali sifa zangu ...... Yesu ni mzuri saaaana nashindwa kumwelezea.......
@abbyclassic82816 жыл бұрын
Who see that there is the taste of south african music Joyous celebration
@gloriousnp5 жыл бұрын
Abby Classic have also figured that out but again WE ARE ALL PRAISING THE LIVING GOD🙏🙏🙏🙏🙏 Haijalishi 😊😊
@phidewihanzi90355 жыл бұрын
Abby Classic ameeeeeeeen
@RoseAkudo4 жыл бұрын
I've posted exactly that. Spirit Praise!
@joanwanjiru14152 жыл бұрын
One of those days I was hawking Chapo and tea today am a qualified nurse,employed,,Lord at times I don't know how to thank you,ila sifa zangu hizi naomba uzipokee....
@abbyjustine79065 жыл бұрын
Tujitaidi pia kutunga nyimbo kama hizii zenye mpangilio mzuri wa beti na sauti. But hongera tunajitaidi mdgmdg ndo mwendo naziona worshipp mpya zenye nguvu.
@deniskikasiga6172 жыл бұрын
Amina
@lydiekalende72102 жыл бұрын
Mungu akuongezee kibali... Nafata tokea Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩. Ninabarikiwa na nyimbo zako. Asante sana kabisa. Hata kunakuwa Siku nakosa usingizi naanja imba tu🧘
@OrtizJasembo5 жыл бұрын
Singing to this worship song from Kenya and what I marvel most at is the magnitude of faith our God has bestowed upon His servants to His honour and glory. May His name be lifted up higher.
@lillymumbi.39693 жыл бұрын
Wow wow 💗🤲🙌 Baba moyo wangu hauwezi kukusifu kweli... Pokea sifa za moyo wangu 🙌
@paulsaimon87506 жыл бұрын
kweli hata ndimi elfu elfu haztosh kukusifu hakika YESU wangu anatosha
@vierabrand89722 жыл бұрын
Mungu ni muaminifu 2021 nilipitia changamoto nyingi ila hakuruhusu niaibike ..wanadamu waliposema haiwezekani Mungu aliniinulia wakuu wakashuka kunisaidia 🙌🙌kwakua niliweka tumaini langu kwake Halelluya .Moyo wangu wakusifu Bwana wewe ni mtakatifu Amen.
@sarahchamshama56616 жыл бұрын
Barikiwa kaka kwa wimbo mzuri wa kuabudu Mungu azidi kukutumia zaidi na kukupandisha viwango vya juu zaidi.
@victorjohn70495 жыл бұрын
Hakika moyo wangu hauwezi kumsifu astahilivyo kisifiwa. Kazi njema sana Mungu azidi kukuinua mtumishi wa BWANA YESU. Utukufu uwe kwake daima
@patrickshaka31404 жыл бұрын
Moyo wangu hauwezi kusifu mungu bila yesu siwezi 🙏🙏🙏