DR.MANYAUNYAU ,WAUMINI WA MCHUNGAJI WA BUZA ,WENGI NI WAISLAMU INASIKITISHA SANA.

  Рет қаралды 6,905

HABARI JAMII DIGITAL

HABARI JAMII DIGITAL

19 күн бұрын

DR.MANYAUNYAU ,WAUMINI WA MCHUNGAJI WA BUZA ,WENGI NI WAISLAMU INASIKITISHA SANA..

Пікірлер: 116
@user-ct3tu6bo8j
@user-ct3tu6bo8j 12 күн бұрын
Brandi gani hio wewe acha kuchafua viongozi wa dini ww kwa kutafta kiki na kutangaza uchawi wako huo ili watu wakuamini.... kweli wapo wengine wanakua niwachawi ila ww acha huo ujinga mungu mwenyewe amekataza uchawi
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 17 күн бұрын
Uneongea fact sana kaka alo na masikio atasikia
@bakariyusuph-uf7nc
@bakariyusuph-uf7nc 18 күн бұрын
Hao sio waisilamu na wakienda huko wanaenda kama wanavyoenda kwa mganga
@prochesernest5439
@prochesernest5439 17 күн бұрын
Kiboko ya wachawi amekualibia uchawi wako kazi unayo umejiita mchawi kijana mdogo hachana na hiyo kazi njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone
@K-go1qj
@K-go1qj 13 күн бұрын
Kiboko kaharibu biashara za wengi wakiwemo Sharif majini
@prochesernest5439
@prochesernest5439 13 күн бұрын
@@K-go1qj majini ni ndungu zao waislamu majini ni waislamu wanajua
@OmanOman-lq9jj
@OmanOman-lq9jj 5 күн бұрын
Nyiye. Matapeli nyiye. Wanganga tena matapeli. Wakubwa Sana nyiyr
@user-tx6nz4up5h
@user-tx6nz4up5h 17 күн бұрын
Hapo uliposema kuwa kama kweli Yesu alikufa hapo umekosea sana mana kuruani haikubali bali biblia imeandwa alikufa, nakubaliana na wewe kuwa manabii wa uongo wametokea na wanaibia wengi lakini Bwana wetu Yesu Kristo alikufa akazikwa na siku ya tatu alifufuka kwa ajili ya dhambi zetu 1kor 15:1-4
@madinajamada9180
@madinajamada9180 18 күн бұрын
Umelewka kaka ❤
@K-go1qj
@K-go1qj 13 күн бұрын
Yesu Kristo ndie kiboko ya wachawi kama hautaki kutapeliwa
@OmAn-jw4jt
@OmAn-jw4jt 16 күн бұрын
Utakuwa umefanya vizuri sana kaka maana watu wengi wanapotea kwa sababu ya tamaa zao
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 17 күн бұрын
Mungu anatosha nabii wake niyesu hao wengine Mungu atawazibitsha. Kwa matendo maana Mungu wakwel hategemei nguvu za ziada katka jambo lake but anahitaji imani au nafisi iliyosafi👉🙏
@GraceWilliam-d1w
@GraceWilliam-d1w Күн бұрын
Daah!!! Kweli yesu kiboko leo manyaunyau umeubiri injili daaah!
@user-fm4dk1ox3t
@user-fm4dk1ox3t 17 күн бұрын
Manyau nyau ki ukweli umeongea ni ukweli wengi ni ndugu zetu wa Islam kwa kweli mwisho wa dunia
@EdwardMatiyashi
@EdwardMatiyashi 18 күн бұрын
Na kukubali sana 🧌🧌🧌🧌
@t.jsaidia2047
@t.jsaidia2047 17 күн бұрын
Tunakupenda ukija Ujerumani tutakufuta. Hasante ❤
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 күн бұрын
Mganga ni Mungutu. Hakuna mwingine nyiewote mnaabudu majini wakikuambienimfanyekitu kibaya mnafanya Mungu awalaaniwote wa shilikina
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 17 күн бұрын
Tena huyo kiboko ya wachawi tapel tena mwizi mkubwa yan anawaambia waumin wake kua kawazid mpk dhambi we huogopi😂😂 lkn hao waumin wake huwaambii kitu yan ishatekwa ufahamu ipo km mizombi
@user-yj5es1jw8c
@user-yj5es1jw8c 17 күн бұрын
Asante sana mdogo angu
@user-wo2ny4bk4v
@user-wo2ny4bk4v 15 күн бұрын
Hongera kaka dema watu wapone
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 күн бұрын
Wengi sasahivi wachungaji Fillmasson
@ruthhamisi2902
@ruthhamisi2902 17 күн бұрын
Kumekucha,tutaona na kusikia mengi kwakweli yesu anarudi,tugeukee yesu anatupenda sote
@prochesernest5439
@prochesernest5439 17 күн бұрын
Kumbe Yesu unamjua Safi Sana huyo ni kiboko ya wachawi Yesu kristo WA Nazareth
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 17 күн бұрын
Kiboko wa wachawi?Mbona alishindwa kujikinga asiuwawe na Wahuni wa Kiyahudi?
@prochesernest5439
@prochesernest5439 17 күн бұрын
@@ramadhanwilbard8196 Soma huyo Allah yupo motoni anaomba kunusuriwa 47:7 usikose kusoma kwaiyo anwaomba nyie waislamu WA kibinadamu na waislamu WA kijini mapepo wachafu mashetani mliomuamini mkamunusuru mwenyezi mungu wenu kazi mnayo waislamu mnapotea mkiona hivihivi
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 17 күн бұрын
​@@ramadhanwilbard8196wapi?
@GraceWilliam-d1w
@GraceWilliam-d1w Күн бұрын
Umeongea ukweli lakini
@ainessfoya4463
@ainessfoya4463 14 күн бұрын
Hongera
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 18 күн бұрын
Umeongea ukweli kanisani hakuna mıjuuza n uchawı tu
@PaulRuben-eu5nh
@PaulRuben-eu5nh 10 күн бұрын
Kwali manyau
@alinebaby9064
@alinebaby9064 18 күн бұрын
Kweli kbs kaka👍
@bahatisalum3509
@bahatisalum3509 10 күн бұрын
Unazingua Mzee. KAZI za uganga Siku Hizi Haziko Fresh .
@AvityNjau-tz8gq
@AvityNjau-tz8gq 14 күн бұрын
Umeongea point dr manyaunyau
@LevinaModesti
@LevinaModesti 3 күн бұрын
Nasema hivi ufalme mmoja hauwezi kufitiniana Kiboko ya wachawi ni mtumishi wa Mungu wa kweli mnapoteza muda kumjadil mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe mbona nyie waganga hauwezi kufanya hayo.
@K-go1qj
@K-go1qj 13 күн бұрын
Dr upo nje
@user-yh8ny1nf3f
@user-yh8ny1nf3f 17 күн бұрын
Vita ni kubwa sana sasaivi
@salmauae2261
@salmauae2261 17 күн бұрын
Sema sema manyau nyau nyau
@user-wb1th3gn3k
@user-wb1th3gn3k 10 күн бұрын
YESU YU KARIBU KUJA ,ATAKUJA KUCHAMBUA NGANO NA MAGUGU, WATEULE WA BWANA ZIDISHENI KUJITAKASA
@judithhermann233
@judithhermann233 12 күн бұрын
Nataka kusema tu kuwa SHETANI HAWEZI AKAMTOA SHETANI MWENZAKE.
@winnesakara6957
@winnesakara6957 18 күн бұрын
Kweli kabisa
@K-go1qj
@K-go1qj 13 күн бұрын
Waganga wa kienyeji wamehamia makanisani. Walokole wamekuja kutuharibia Ukristo uonekane haufai
@GraceWilliam-d1w
@GraceWilliam-d1w Күн бұрын
Ipo siku utamjua yesu.ni nani
@bahatisalum3509
@bahatisalum3509 10 күн бұрын
DK za Mwisho Tunatangaza Biashara.Hatari Sana😂
@barakaalbert8987
@barakaalbert8987 18 күн бұрын
Uyu jama anasema kweli Kavita
@elizajoseph7209
@elizajoseph7209 18 күн бұрын
Huyu jaaama anasema ukweli kabisa.
@GasparMwandoe
@GasparMwandoe 16 күн бұрын
Wew bro ndio Kusema nakukubali kaka
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 күн бұрын
Hao unao waita waislam. Siyowaislam kama unajiona ww muislam kanisani.unafata nini akienda atajijua mwenyewe moto ni wake. Akifa. Aliitwahuko kanisani sijajipeleka mwenyewe.
@salmauae2261
@salmauae2261 17 күн бұрын
Kabisa huyo mchungaji anafukuza mtu kanisani eti toka jenga kanisa lako kweli😢
@AdamJonas-sx4mi
@AdamJonas-sx4mi 6 күн бұрын
Unaipenda Tanzania nawakati munayaharibu maisha ya baadhi ya wa Tanzania acha woga wewe kikinuka Tanzania unakimbilia Nchi zingine mbona hutulii hapa ulipuliwe.
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l 2 күн бұрын
Wee mweu wewe umerogwa Nini.wewe ndio mpuuzi na mshilikina mchawi mkubwa kiboko atakuangusha fruuuuuuu
@JosephKulwa-rc7en
@JosephKulwa-rc7en 17 күн бұрын
Kuhusu wachungaji na mashehe nimekuelewa sikuhiz wanatafuta hela tu sio mungu
@user-cg2tj9qz8h
@user-cg2tj9qz8h 15 күн бұрын
Mimi namukuumia mungu sisemi neno
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 17 күн бұрын
Mungu wa kweli yupo nyie tajaneni tu. Huku mkijua mamulaka yake hayapungui Wala kupunguzwa. Nakiumbe yoyote popote; haikuwezekana na haitowezekana 🙏
@AdamJonas-sx4mi
@AdamJonas-sx4mi 6 күн бұрын
Ko umekubali kwamba was isalaam Wana majini maana umesema nawewe umezaliwa nayo ko majini yanatoana yenyewe kwa yenyewe? Eti mkristo mwenye akili akafanye mudaharo na wewe we unamajini na mizimu ya kuzimu pigwa KIBOKO CHA WACHAWI hukohuko usije ukafia kwenye mikono ya watu. Tufungwe bure .
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l 2 күн бұрын
Acha umbeya manyau hao waislamu anawaita kwani ondoa ujinga wako basi
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 18 күн бұрын
waongooo hapo hakuna mıujıza ni uongoo tı umesema ukweli wajinga ndıo waliwao wataliwa mpka wakome umesema kitu point sana!!!!!!
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 18 күн бұрын
Kama kweli amechukua dawa ya mazingaombwe kwako siuloki tu paswedi za ilimazingaombwe yasifanyike?
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l 2 күн бұрын
Sasa wewe manyaunyau unateseka ukiwa wapi saizi acha kimsema sema uyo mtumishi wa mungu kama kiboko ya wachawi.manyaunyau sisi tushachoka na uganga wenu buana
@hildpaul7823
@hildpaul7823 12 күн бұрын
Mie mkristo naungana na wewe mnabii matapeli wengi sana
@OmanOman-lq9jj
@OmanOman-lq9jj 5 күн бұрын
Kazi zaunganga. Siku hizi. Hakuna. Bwana. Usitudanganye wewe. Achana. Na hao.
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l 2 күн бұрын
Umeona eeeh uyo manyau ameshakuja kutapeli watu kule tabata na kuwanyoa watu ovyoo ovyoo tu na akuna ulichosaidia majini watu wanayafuga mtaani ovyoo ovyoo tu
@mariamibrahim6544
@mariamibrahim6544 16 күн бұрын
Umezidiwa kete
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 6 сағат бұрын
Tapeli mkubwa, kamanda gwajima aliwahi kuku challenge ulikimbia vibaya mno, hadi sim yake ukamkatia tapeli mkubwa wewe, kwanza okoka la sivyo utakufa katika ushetani wako na Jehanam ina kusubili.
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l 2 күн бұрын
Sasa unakataa Nini kiboko kujiita kiboko ya wachawi? Kumbe wewe unatangaza biashara Yako sisi saizi tumeshituka na nyie waganga bola tuende kwa mapasta wetu
@isayacharles2850
@isayacharles2850 17 күн бұрын
Manyau sasa unaweza kujifunza sheria za mungu kupitia bible 😄
@tinertv1382
@tinertv1382 8 күн бұрын
Kamfuate siuna nguvu uone kiboko ya wachawi nini utaonyeshwa
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 5 күн бұрын
Mganga wakienyeji sio mtu
@HoseaMbilinyi-do4iu
@HoseaMbilinyi-do4iu 16 күн бұрын
Nyesu nijia iendayo uzimani
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 16 күн бұрын
huyu aliwahi kuja buguruni mahakama ya mwanzo tukampa huduma nilikuwa simjui mama mmoja akamuita Manyaunyau mzee wa pamba
@isayacharles2850
@isayacharles2850 17 күн бұрын
Manyau hapo unasema kweli, yesu alisema siku za mwisho watatokea manabii wa uongo watatumia jinalangu kama kivuli cha kujificha na kufanya maajabu yao, ili wawapoteze watu 🤔
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 17 күн бұрын
Wataje?
@prochesernest5439
@prochesernest5439 17 күн бұрын
Sasa wazungu wanakuelewa na uganga huo?
@mariamibrahim6544
@mariamibrahim6544 16 күн бұрын
Ndumba hazina ishu ndyo maana umalia
@OmanOman-lq9jj
@OmanOman-lq9jj 5 күн бұрын
Tapeli. Wewe. Unawatapeli tuu. Mnganga nimngu bwana. Mpaka. Mngu. Apende. Diyo. Apone. Mgojwa wAko. Huyo. Diyo. Utapeli. Huyo. Wewe. Usitudanganye wewe tapeli wewe
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 17 күн бұрын
Laki tano hela matibabu milion mbili mpaka milion tano
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 күн бұрын
😂😂😂😂 matapelitu
@princenelsonsinko5237
@princenelsonsinko5237 18 күн бұрын
Hahaha
@OmanOman-lq9jj
@OmanOman-lq9jj 5 күн бұрын
Wewe katangaze. Uchawi. Huko wewe huna. Pinya. Wewe. Tapeli. Mkubwa. Wewe. Tapeli. Wewe. Mkundu nini. Wewe. Wewe. Kanye. Huko. Usitafute. Lawama wewe
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 18 күн бұрын
Zana yako huiachi mbali dk
@user-yj5es1jw8c
@user-yj5es1jw8c 17 күн бұрын
Chalamila msikilize bwamdogo huyu
@user-cg2tj9qz8h
@user-cg2tj9qz8h 15 күн бұрын
Mimi kanichukulia sh 500000 kataka
@K-go1qj
@K-go1qj 13 күн бұрын
Uyajui maandiko kwani
@user-um7kj5kf6p
@user-um7kj5kf6p 18 күн бұрын
Manyaunyau wateja wamepungua huu .ni mwazo tu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 17 күн бұрын
Angeitwa Marekani na Ulaya?!
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 17 күн бұрын
Kweli sahiv waganga hawana soko
@user-ty8hu5gh4h
@user-ty8hu5gh4h 18 күн бұрын
Yule jamaa simpendi anamaneno ya kashfa kwa waumini wake
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 17 күн бұрын
Kweli Anna kashifa sana
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 18 күн бұрын
Usiwaanike loki dawa zoko zisifanye kazi ili miujiza ikikata tujue umechukua dawa zako
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 18 күн бұрын
KUNA VITU UMEONGEA VYA KWELI, NA VINGINE SIO KWELI. ILA NI KUSHAURI UOKOKE UMWAMINI YESU MAANA UKWELI UNAUJUA.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 17 күн бұрын
Amuamini yesu km nani
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 17 күн бұрын
Andiko gani linakutuma umwamini Yesu?
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 17 күн бұрын
Kwanza kuoka Nini???
@godefroidm741
@godefroidm741 17 күн бұрын
Mimi nina swali,wewe ni muganga wa kienyeji nani mueslam?
@OmanOman-lq9jj
@OmanOman-lq9jj 5 күн бұрын
Tapeli tuli We're. Huko. Tunafanikiwa. Siku. Mbili. Tuuu. Wewe. Diyo. Mwizi. Wewe. Tapeli. Mkubwa. Wewe. Waliye. Haohao. Wajinga. Weziyo. Lakini. Sisi. Wanjanja. Hawezi. Kuniliys. Hela. Yangu. Wewe. Mjinga. Wewe. Tena. Mpubavu. Sana. Wewe. Unawatapeli. Tuu. Wewe. Sasa. Unafundisha. Nini. Sasa. Unaonge. Uchizi. Wako kuku. Mamalako wewe
@josephinamkono5183
@josephinamkono5183 17 күн бұрын
Acha .kutangaza uchawi fungua kanisa ili utumie huo unganga Kwa jina la Yesu na ww umeck
@user-cw3vu8mu3k
@user-cw3vu8mu3k 17 күн бұрын
Manyanyau naona kiboko ya wachawi anakuharibia kaz kakupiga pabaya okoka acha kulalamika .
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 18 күн бұрын
We mhuni tu
@user-yd3cj5xs1z
@user-yd3cj5xs1z 17 күн бұрын
Amekulenga nini
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 17 күн бұрын
@@user-yd3cj5xs1z ndio
@user-um7kj5kf6p
@user-um7kj5kf6p 18 күн бұрын
Uko mbioni kuokoka huna mwendo tunakuhesabia siku mfate huyo.kiboko ya wachawi ukauone huouchawi alionao. , Zakayo alishangaa miujiza ya yesu akamfata. Bado zam yako. Njoo kwa yesu
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 17 күн бұрын
Kwani kuokoka Nini na yesu ninani maana tunavyojua kuokoka nimpaka ufe uhukumiwe sasa ukisha hukumiwa kwenda peponi hapo sasa ndio unasema umeokoka lakini hapa Duniani ukisema umeokoka basiujue unajidanganyatu
@user-um7kj5kf6p
@user-um7kj5kf6p 17 күн бұрын
@@zaidiissa3714 Soma kitabu cha.injili ya yesukitakusaidia kujua yesu ni Nani na kuokoka Nini maana usipomjua yesu wewe sichochote. Yohana 3 16. Yohana 1:12 Yohana. Yohana. 14.:6. Yohana. 17:..1: . 6. Yohana. 14 13:. 14
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 18 күн бұрын
Wewe muongo tu,, unataka umalufu kwendaaaa!! Naona umeamua kuhama nchi,,huna uwezo wa kuwataja mbweha wewe,, jaribu kuwataja tuone
@user-yd3cj5xs1z
@user-yd3cj5xs1z 17 күн бұрын
Tumbo joto
@barakabusima
@barakabusima 17 күн бұрын
Tulia wewe yawezekana ni mmoja wao😂
@elijahchegere4974
@elijahchegere4974 17 күн бұрын
Dr manyaunyau usimguse wala usimseme kiboko ya wachawi unaweza ukauliwa
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 17 күн бұрын
Kiboko wachawi atakuua
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 18 күн бұрын
Biashara yako imeanza potezwa kwishaaaaa
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 17 күн бұрын
Lakini yupo America hapo?!
@user-yd3cj5xs1z
@user-yd3cj5xs1z 17 күн бұрын
Shindaneni kipesa na DK
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 17 күн бұрын
Acha waislamu waende huko maana mashehe mmeshindwa kutatua matatizo ya wengi. Uchawi uchawi tu agent wa shetani
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 11 күн бұрын
Wewe boya hujielewi, mimi mwenyewe ni shekh na hao wachungaji baadhi wanakuja kwangu kuchukuwa maji ya dua na mafuta. Mabwege nyie mnaliwa tu huko makanisani kwenu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 күн бұрын
Nikweli kabisa​@@Maalim_Samatta
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 6 сағат бұрын
Nenda uko gwajima alikupigia sim ili akuchallenge ulimkimbia kweli kweli,,,, mjumbe wa shetani duniani. Okoka
@wellemawancogere6932
@wellemawancogere6932 17 күн бұрын
Waambiehao wanatumia dawa za kienyeji kununulia kutendauganga siomiujiza.
DUDU BAYA ACHUKIZWA NA KIBOKO YA WACHAWI, ONA AIVYO MUUMBUA
14:43
KIBOKO YA WACHAWI ATOA UKWELI WAKE JUU YA MANABII WENGINE WA MAKANISA MENGINE TAZAMA HII
5:57
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 21 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 16 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 833 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 474 М.
DADA WA AMINA BORA NDOA IFE NAUNGA MKONO MDOGO WANGU HAWEZI KUACHA KUCHEZA CHUR
20:16
TAZAMA MZEE ATAKA KUMPIGA MKEWE KISA KATOROKA NA KUJA KWA KIBOKO YA WACHAWI MENGI YAONGELEKA
5:35
MKASA WA KUSIKITISHA MGANGA TAZGENIUS AMCHINJA MLINZI WAKE  DENI LA LAK NA NUSU
14:24
MAMA MZAZI WA DEREVA BODABODA  AVUNJA NDOA HADHARANI SIMTAKI YULE MWANAMKE
14:54
VIONGOZI WALIOKOSA UWAZIRI KENYA WAMPA ONYO RUTO ,WATOA MASHARTI YAO
8:58
HABARI JAMII DIGITAL
Рет қаралды 7 М.
TRUTH: Is Raila a CONMAN?
17:58
Herman Manyora
Рет қаралды 23 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 16 МЛН