No video

LEMA BALAA! AMUWASHIA MOTO MAKONDA NA MBUNGE WA ARUSHA MJINI | MWAMPOSA | "POLISI NJOONI MNIKAMATE"

  Рет қаралды 98,347

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 326
@rehemakimungu6494
@rehemakimungu6494 Ай бұрын
Sasa chadema sera zenu ni nini jamani? Maana mnaishia kutukana tu, acheni ujinga mafala nyinyi
@marymalema258
@marymalema258 Ай бұрын
Makonda Mungu akupe maisha marefu kipenzi chetu
@vicentntamausu-gm3og
@vicentntamausu-gm3og Ай бұрын
Makonda kamanda, mungu akulinde, hatuna chakusema zaidi ya kukuombea
@lightnessgamasa6039
@lightnessgamasa6039 Ай бұрын
Lema tafuta AMANI kwenye haya maisha , Muache makonda kabisaaa,Kwanza ni Mtmish wamungu Muache Muache 🙌🙌🙏
@dicksonlusinde2830
@dicksonlusinde2830 Ай бұрын
Peleka huko nywumbie ww mtumishi wa mungu unamjuwa ww acha uboya
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 Ай бұрын
Mm ni chadema lkn makonda namkubali apo lema mm ujanishawishi chochote
@user-ju5ee1gx2w
@user-ju5ee1gx2w Ай бұрын
Ukiona mtu anatuka bila sababu yamsingi ujuwe ameishiwa selaa Tena anamtukana makonda mtetezi wa wanyonge wakati macho ya watanzania wanaona kazi za makonda,kweli Lema amefilisika kisela ?
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 Ай бұрын
makonda hafai ata kulinda choo
@maimunaabdullabi
@maimunaabdullabi Ай бұрын
Ajira zote wamewapa watoto wawo shule wanasomeshwa ulaya kwa pesa ya watanzania
@user-jo3cs3yu3o
@user-jo3cs3yu3o Ай бұрын
Lazma aseme hivyo. Ataishije!?? Ww unaensikiliza tu ,ndo uwe na Busara kwakumuelewa na kutambua KWAMBA amekosa kazi.
@richardkaula6847
@richardkaula6847 Ай бұрын
Hana jipya ameishiwa sera huyooooooo,wewe kwenye viatu vya makonda huingii hata robo piga kelele ukalale.
@ramadhanrashidmthailand9553
@ramadhanrashidmthailand9553 Ай бұрын
​@@donaldmaziku7915wewe unaefaa unamsaada Gani hata kwenye familia yako!
@augustinemainde
@augustinemainde Ай бұрын
Siasa za Lema bwana watu wanakuona komediani 😂😂😂😂
@HassanAthuman
@HassanAthuman Ай бұрын
Huyo ni mchekeshaji
@HassanAthuman
@HassanAthuman Ай бұрын
Si uwape chakula
@MarthaWambura-kz5xb
@MarthaWambura-kz5xb Ай бұрын
Dogo chengaa Sanaa was INTERESTING 😅😅
@JosephLukumay-wh8sc
@JosephLukumay-wh8sc Ай бұрын
Hapa dalili inaonesha tutarudi tena nyuma kuanza maandamano badala ya kufanya KAZI tupate chakula na maendeleo huyu pakuna hapa Tanzania anakimbilia Canada sisi tutaenda wapi hata Kenya hatujawahi kufika uuuwwwiiii Mungu atusaidie.
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
Bora turudi maandamano ili tujipange,tujiongoze badala ya maneno matupu ya CCM
@nahlaaasidee1848
@nahlaaasidee1848 Ай бұрын
Ukapimwe akili wewe​@@mataypanga5262
@BorySaronge
@BorySaronge Ай бұрын
Vijana wa Arusha angalieni maslahi ya wanawaarusha sio maneno ya huyo mpumbavu asiyejua lolote na mjinga kupindukia atawatia umaskini kuliko anavyosema kama hakuna faida unasimama hapo kufanya Nini acha ujinga
@geofreykasinda1895
@geofreykasinda1895 Ай бұрын
Bila kuwa na connection inchi hii ni tabu
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb Ай бұрын
Lemaaaaa! Duhh kisiasa pumzika kwa amani!
@user-gt4ki8js1u
@user-gt4ki8js1u Ай бұрын
Makonda oyeee
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Ай бұрын
Mhhh tuu mwacheni makonda wetu
@DanielMdota-gl4ru
@DanielMdota-gl4ru Ай бұрын
Fact , but we need action, bro... 👊👊
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Ай бұрын
Toa hoja sio maneno makali kaka
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 21 күн бұрын
Wewe kaa kimya huna jipya acha Makonda amalize shida za wananchi
@joseygaudence4922
@joseygaudence4922 Ай бұрын
lema anatukana tukana tu hana habari mpya sera hamna anaongea nn sijui😂😂
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 13 күн бұрын
Arusha wanaongoza kwa MAIGIZO NA KUSUBIRI MIUJIZA😢😢😢😢
@user-bc5sd9qv8w
@user-bc5sd9qv8w Ай бұрын
Wewe una sera na matusi yako nan akupe kura achana na Makonda kawasaidia sana tena sana tena muombe radhi paulo
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Ай бұрын
Makonda anafanya maigizo tu,utashindwAje kwelewa Mfumo huu niccm sheriambovu wamezitunga wao iliwajinufaishe,wenyewe Leo kiinamacho unachanaganikiw
@jumahabibi3500
@jumahabibi3500 17 күн бұрын
Tena muache makonda achape Kaz kenge madangaji wew
@nahlaaasidee1848
@nahlaaasidee1848 Ай бұрын
Hawa sindano za makonda zinawaingia na bado mpaka mtasema.
@AugustinoSirong-eo3yj
@AugustinoSirong-eo3yj Ай бұрын
@@nahlaaasidee1848 kama lema imempata, kajikuta si kitu. Nashangaa lema kulalamikia ubunifu wa Makonda mpaka anashuka jukwaa hajaeleza mkakati mbadala duh!
@bahatigewa4163
@bahatigewa4163 Ай бұрын
Ebu achana na makonda kwanza, maana ni kipenzi chetu watanzania wote.
@dedankalinga6291
@dedankalinga6291 Ай бұрын
Wote au ww na wajinga wenzio
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Ай бұрын
Kutojitambua pia ni ujinga, jitafakari halafu ukimaliza kitafakari uyambue kila mtu ana haki ya kuchagua anachoona kinafaa.​@@dedankalinga6291
@ShifaSinani-ed6po
@ShifaSinani-ed6po Ай бұрын
Uongo
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Ай бұрын
Kumbe duniani kunawatu wanapenda uharifu yaani Makonda nimuuaji tenakatili
@DigidigiSekelwa-l4y
@DigidigiSekelwa-l4y 18 күн бұрын
huna sela sisi tunamwombeaMakonda Mungu amjaliye kama anaumwa au yuko likizo ulijee salama shujaa wetu
@yussufhashim4472
@yussufhashim4472 Ай бұрын
Huyu watoto wake wako canada nä mimi niko sweden usituaribie tanzania yetu vita inaanza wenyekuumia niwale wako Ndani ya nchi wewe Na slaaa nä mbowe watoto Wenu hawako tz nä usiongelee juu makonda makonda ni dume
@deomushy2594
@deomushy2594 19 күн бұрын
Una mwonea makonda wivu kwa kaz njema Mungu atazid kujidhirisha ndan ya makonda
@user-up2zn1pt2m
@user-up2zn1pt2m Ай бұрын
KIPI NI KIPI MKUU...MBONA HATUKUELEWI .......
@josephmahando493
@josephmahando493 Ай бұрын
Lema umefiriska kifikra , lililo jema pongeza , siyo kupinga kila jambo, Arusha watu wametibiwa bule kwa ushawishi wa Makonda, na wengine kupewa haki yao nk
@Stevenmollel
@Stevenmollel Ай бұрын
Bado hajaona yote ayo kwanz ajiulize aliongoza miaka mingp alifanya nn kwa ajir ya wananchi
@richardkaula6847
@richardkaula6847 Ай бұрын
Duuuu hatuna upinzani Nchii hii,wanasiasa tuliowategemea sana wameishiwa hoja zenye nguvu, umebaki uwana harakati tu na matusi.
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 Ай бұрын
Makonda baba lao
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Ай бұрын
Kwalipi maigizo Yao wenyewe
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@hassankilengah4786
@hassankilengah4786 Ай бұрын
Kwa sera hizi amachemka
@HamisiNguche
@HamisiNguche Ай бұрын
BIG UP LEMA.
@NicomedMartine
@NicomedMartine Ай бұрын
Lema UtakuaUmecjanganyikiwa wew
@user-eu5uy8vm6i
@user-eu5uy8vm6i 23 күн бұрын
Angekuwepo makonda usingeweza kuongea na kuvimba hivyo
@PendoMlowosa
@PendoMlowosa Ай бұрын
Wewe nae kakae hko
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m Ай бұрын
Acha ujinga lema boda boda wanakufa kila siku kwa ajali za barabarani hamuzioni acha ufala hata wew tukikupa hii tanzania huwezi kumfanya kila mtanzania awe tajili
@SalomeKiduko
@SalomeKiduko Ай бұрын
Wajanja wanashindana kwa hoja si kwa matusi,chadema mko vizuri ,ila matusi ndo yanakiangusha chama,(badirikeni
@Stevenmollel
@Stevenmollel Ай бұрын
Makelele tu hakuna cha maana
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Ай бұрын
​@@Stevenmollelnakushangaa ebufanya tadhumini zauchaguzi ndipo utajuwa CCM haipokabisa isipokuwa mapolisi bebabeba tu,
@user-ym5ko9ov2o
@user-ym5ko9ov2o Ай бұрын
Wewe kwenye utawala wako ulifanya nini
@LijueNeno
@LijueNeno 5 күн бұрын
Wewe unatoa sifa, unaongelea usela Lakini hauna msaada kwa wananchi.. muda mwingine tafuta jinsi ya kuwasaidia watu wala siyo maneno
@user-zf3rj9bu4t
@user-zf3rj9bu4t 25 күн бұрын
Lema Wewe hunaga Jema kila mtu Mbaya tafuta Sera angalia kile kizuri anachofanya Mwenzako umtie Moyo siyo kumkosoa tuu Makonda anapambana Sana halafu anaye hofu ya MUNGU
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 Ай бұрын
Toa sera sio vijembe wewe ndye unageuke kuwa boya
@BenjaminChombo-o8o
@BenjaminChombo-o8o Ай бұрын
Huna jipya brother.
@HeriMohamedi-re7xu
@HeriMohamedi-re7xu Ай бұрын
Watu wa Arusha ni wajanja midomo tu lakini Hakuna Cha wadudu mnatawaliwa na watu kutoka nje mnadanganywa na kina makonda Ina maana Hakuna mtu wa Arusha akawa mbunge
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 Ай бұрын
Kuna aina ya kufikisha ujumbe kwa raia ila lema wewe ni genius be blessed okoa wasio jitambua machawa
@Shaabanhmakiya
@Shaabanhmakiya 29 күн бұрын
Wewe kima mdogo huna jipya😮😮😮😮
@JeremiaholendikaMakeseni
@JeremiaholendikaMakeseni Ай бұрын
Heshima Yako baba tupo pamoja
@MarthaWambura-kz5xb
@MarthaWambura-kz5xb Ай бұрын
Toooo interesting 😅😅 DOGO ANA WENGEEE .... acha ujinga LEMA MAKONDA HE IS ANOTHER MAN 👊👊👊👊
@user-ek7kq7fq4f
@user-ek7kq7fq4f 10 күн бұрын
Mungu hapendi matusi..toa hotuba bila kumtusi mtu,Wala chama nadhan utabarikiwa kuliko kutoka matusi na kutukn watu.ni ushaur tu
@jumahabibi3500
@jumahabibi3500 17 күн бұрын
Yani wew nimsenge sana ukikalibia uchanguzi mnaaza kukashifu seriksli maneno Gani unayo ongea mbwa wew makonda kakufanyann makonda anapingamia haki za wanaichi wew wa na chama chako kipi mlicho Fanya wanaichi
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Ай бұрын
Lema Hana kitu badala ya kuongea Sera na kuikosoa serikali pale ambapo inakosea mnakaa kutukana watu ovyoo sana
@NdayishimyeJackson
@NdayishimyeJackson 12 күн бұрын
Lema hizo zote ni dalili za kushindwa siasa, umebakiza kumwaga sela za matusi?? hapo uko ukingoni!!!!
@maulidimsingwa3263
@maulidimsingwa3263 Ай бұрын
Laiti tungempata makonda mkoa wetu wa tanga,nina uhakika muheza ingekuwa na kiwanda chakusindika juice,mama samia tuletee makonda tanga,arusha hawamtaki.
@songeza
@songeza Ай бұрын
Mumgu akuponye RC nimeumia nimeumia nimeumia kama kweli amekufa kwa kweli itavuruga uchaguzi
@FilbertMsongela-xt9tq
@FilbertMsongela-xt9tq Ай бұрын
Big up Mr lema
@VeraVeramollel
@VeraVeramollel Күн бұрын
Lema Hiyo ni wivu hutaKaa umkutie makonda hata tone acha sera za ……
@user-zq2vl2nf2w
@user-zq2vl2nf2w Ай бұрын
Huyu mental case sio akili ya kawaida Wana wa Arusha kuweni Makini na huyo mtu kila siku atasababisha watu kuwa vilema kwa maandamano
@joshuandabazaniye7642
@joshuandabazaniye7642 Ай бұрын
uko sahihi
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 Ай бұрын
Mwenye Arusha yake vivaaaaaa mheshimiwa Lema Makonda anapumbaza watu wako huko mtoe mitaaaaaa
@maruhe1958
@maruhe1958 Ай бұрын
Kazi ni nini? Ni shughuli halali inayompatia kipato. Boda boda lema anaowadharau leo wamejenga nyumba, wana viwanja nk.
@mohamedbakari2874
@mohamedbakari2874 Ай бұрын
Hizi siasa za lema ndio anasema Arusha wajanja Kwa uhuni Kwa sera za upinzani kama ndio hizi Mimi acha niendelee kufunga mkono chama Cha mapinduzi
@RobbinWalt
@RobbinWalt 29 күн бұрын
Huyo Lema ashapoteza dila bangi tupu Hana jipya
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 Ай бұрын
Leta sera mambo ya mke wa makonda ayatuusu yeye makonda mbona ajaongera mke wako unaferi best
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 Ай бұрын
Umetumwa wewe hapo hampati kitu Arusha ina wenyewe
@faustinejemsi1488
@faustinejemsi1488 Ай бұрын
Umeona mm Niko Kenya nafatiria lema mupeni jimbo lake
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
Kwani Makonda ana sera gani, kudanganya wajinga tu😂
@SalomeKiduko
@SalomeKiduko Ай бұрын
MAKONDA tunayaona anayofanya,wewe lema umefanya jambo gani ili wananchi wakuelewe,shikamana na MAKONDA ili Arusha ipate maendeleo makubwa zaidi
@mossespallangyo2345
@mossespallangyo2345 Ай бұрын
Elewa mtu anayepambana kwa ajili ya taifa kwa ujumla na sio upande mmoja wala mkoa mmoja,Mmeletewa makonda awafunge macho ili mama abinafsishe vit vingine
@ChugaKazi
@ChugaKazi 28 күн бұрын
Mbunge Kama mbunge ❤❤❤
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 Ай бұрын
Ukitaka kuamnini makonda yupo juuu ya hawa kunguni...waweke..mdahalo na kila mtu aelezeee chama chake..huyu..atasepa bila mtu kuku huyuuuuuu..hajui siasa....siasa ni sera sio matusi na porojo porojo..watu wanataka udeal na kero zao ..sio tatalinta
@user-bc5sd9qv8w
@user-bc5sd9qv8w Ай бұрын
Pigania ugali kuna mtu anapigania sehemu isiyo na makoti hizo sera tu saundi tu
@user-uo6zj2jm3e
@user-uo6zj2jm3e Ай бұрын
Muda ufike tu huyo mbunge wao aondoke
@evancetarimo1310
@evancetarimo1310 Ай бұрын
Lema mm naipenda chadema lkn ukitaka tukosane endelea kumtaja Makonda
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l Ай бұрын
Lema na wewe umechema sana mwaposa unamuwekaje tena kwenye aiese
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 Ай бұрын
Big brain 🧠 lema akilikubwa
@mathewyoung2159
@mathewyoung2159 Ай бұрын
Kweli kabisa kamanda ✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@NicomedMartine
@NicomedMartine Ай бұрын
Lema Umechoka Na Siasa Kapunzike Tu Kaleee Watoto Hua Mnachukia Kiongozi Anaetetea Wanyonge Sasa Bc Kwa Hayo Kashfa Unayo YaOngea Utakosa Hata Hiyo Nafasi Hufai Kua Kiongozi Hewatu
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
Nape nauye is not a politician has got no capacity of been politician makonda kwa god bless lema naona pazito maybe makonda use police force can challenge God bless lema without that makonda will face big challenge from God bless lema chadema on my research l have seen that
@jumahabibi3500
@jumahabibi3500 17 күн бұрын
Kama huna sela kaa kimy mbwa wew
@user-qx7jg4gh6i
@user-qx7jg4gh6i Ай бұрын
Bora makondaa Mara Mia kuliko lemaa
@abdallahibrahim280
@abdallahibrahim280 Ай бұрын
Unamponda makonda kwa mbadala upi kama sio kuchezea akili za vijana, huna lolote
@user-qx7jg4gh6i
@user-qx7jg4gh6i Ай бұрын
Mbona wewe uliongoza miaka tano Mbona walikuwa wanaedesha pikpiki hatukuona mabadiko uliyofanya?
@mirajimtoi8511
@mirajimtoi8511 25 күн бұрын
Ila Lema alikua mwizi basi sema ilikua njaa sawa
@VeraVeramollel
@VeraVeramollel Күн бұрын
Sasa wewe unataka nini mwenzako yuko juu kaa hapo
@EliasAbel-qr8pz
@EliasAbel-qr8pz Ай бұрын
Acha kuchongani sha Sana nch😊
@user-if7qm5gj2z
@user-if7qm5gj2z 29 күн бұрын
Lema yupo saw sana achana na vicha wa Arusha wamechalogwa na makonda
@sarahyesaya6265
@sarahyesaya6265 23 күн бұрын
Mmmh! Kazi ya Makonda wewe usingeweza hata robo
@ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl
@ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl Ай бұрын
jamaa ni matusi tu hatupati mpango Kazi wowote tuambie nn mtafanya mkipata nafasi
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Kwani tangu unasikiliza ujaona wao wanachofanya
@DigidigiSekelwa-l4y
@DigidigiSekelwa-l4y 18 күн бұрын
sioni pointi unapoongea kinachomshawishi mwananchi Makonda ndiyo kiboko yako
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm Ай бұрын
Kwenda zako nawewe usie na point
@user-ce9pr3zs6b
@user-ce9pr3zs6b Ай бұрын
Hata wewe upewe nchi, utatubadilishiya luga ya kutuambiya muongo mmoja.
@janethrwambali2782
@janethrwambali2782 Ай бұрын
LEMA HATUKUPENDI RUDI CANADA. ACHANA NA MAKONDA KIPENZIIIII CHETU❤
@annanasoro3007
@annanasoro3007 26 күн бұрын
Aliekufa niani mbona vyombi vya habari havijasema unamchafua tu siku zote upo mbona ujatatua anayoyatatua makonda
@jumahabibi3500
@jumahabibi3500 17 күн бұрын
Hata muongee nn hampati urais hata ule umengonoka hampati ursisi hata siku moja
@JoshuaSamunge
@JoshuaSamunge 23 күн бұрын
Sasa waambie sere wewe unawasaidiaje watu kosoa Kwa hoja , ukiwaambia bodaboda wao wafanye nin Sasa ,jaribu kutupa sera zenye mantic
@babarungurallyteam2754
@babarungurallyteam2754 Ай бұрын
Mkuu Mimi simwanasiasa Ila makonda hajakosea kuandaa tamasha ni anajali vipaji Viwe fursa nanikwambie Mimi hua ndioninaratibu MASHINDANO YA PIKIPIKI nikwambie siasa zenu zielekezeni KATIKA KUSAIDIA jamii na msiwaponde wanaogusa maisha ya WATU Ila nikwambie kaka HAKUNA MCHEZAJI ALIEKUFA, HIZO TAARIFA ULIEPEWA ZA WATU8 ZICHUNGUZE SIOKWELI KAKA.
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 Ай бұрын
Katika hili analoongea lema niukweli ila kwawajinga hawaoni hilo
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 Ай бұрын
Chadomoooooooooo. Moja ya sera ya kufirisika ni kuishia kutukana tu.
@ponsianomwakisunga899
@ponsianomwakisunga899 Ай бұрын
Boda boda nikaz kama kaz zingne
@mossespallangyo2345
@mossespallangyo2345 Ай бұрын
Makonda amekuja kwa kazi maalum maana Arusha ni kambi ya upinzani,Sasa amekuja kupumbaza watu,Ccm ikishakamata jiji mtaachwa hapo.kwan Makonda Amefanya nn??Maana mm hata siwaelew wanaosema makonda ni jembe.
@MarthaWambura-kz5xb
@MarthaWambura-kz5xb Ай бұрын
Mimi n8 chadema lakini MAKONDA hebu usi muongelee ...shughulika na hao maboya wengine ulio wataja
@AbeidKibuga78
@AbeidKibuga78 5 күн бұрын
Peleka hoja lema kwa wananchi sijakuelewa hoja yako
@user-wl3it6sh1v
@user-wl3it6sh1v Ай бұрын
Huna sera.
@dianamollel7839
@dianamollel7839 Ай бұрын
Makonda hoyeeeee we lema tuachieni Tanzania yetu wewe nikibaraka tu
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Ай бұрын
Lema wewe ni msenge nakukubaligi kumbe chenga tu yani unakaa kumzungumzia Makonda mpumbavu mkubwa ww ,fanya mambo yako ila Makonda muache aseeh chalii etu
@abdallahibrahim280
@abdallahibrahim280 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@StevinGodfrey
@StevinGodfrey 21 күн бұрын
lemaa ana lolotee makondaa oyee
@deomushy2594
@deomushy2594 19 күн бұрын
imejengwa na neno
@charlesngalison7554
@charlesngalison7554 Ай бұрын
Lema unakuwa nyota Tanzania
@LambertJames
@LambertJames Ай бұрын
Huna point mbona brother kweli chadema nichama Cha mafara , unaongelea chama ? Au unamuongelea makonda ? Yaani nidhahiri we mhuni
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 39 М.
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 643 М.
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 40 МЛН
#LIVE: LEMA ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU JUU YA UTEKAJI WA SOKA NA WENZAKE
1:15:35
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН