DR SLAA ANAHOJI MKOPO ULIOKOPWA NA SERIKALI YA ZANZIBAR.NANI ATAULIPA, ZANZIBAR HAINA HAKI YA KUKOPA

  Рет қаралды 13,657

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

26 күн бұрын

Пікірлер: 79
@shaabanmakame2690
@shaabanmakame2690 24 күн бұрын
Mama,Dr,Mh Samia tuletee pesa ndugu zako Watanganyika wache waumie kuumia kwa zamu 😂😂😂😂😂😂😂
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 24 күн бұрын
Mkome kwani mliambiwa mvae koti
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 23 күн бұрын
Mimi ni Mzanzibari na Samia kura yangu anayo 2025 inshaallah
@k2plusstudio858
@k2plusstudio858 22 күн бұрын
Uzee tena Zanzibar inapata Uhuru hela yake sh 1 za na laundi 8 ya uingereza kitu cha umoja wa mataifa walitulipia Tanzania bara banki kuu walichangia asilimia zaidi ya 8 gawiwo lake inatakiwa apewe asilimia 8 ajalipwa miaka kibao sisi tunadaiwa na Zanzibar hela hatuwezi kuilipa
@rashidsaid7823
@rashidsaid7823 21 күн бұрын
Huyu mnafiki alikuwa aseme haya wakati alipopewa Ubalozi...Na ni uongo Mkopo hakusaini Mh.Sada,alisaini Dr.Natu Mwamba.
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 24 күн бұрын
Sasa kwanini isikope ndio ujuwe haina haja ya muungano ss zanzibar
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 21 күн бұрын
Asalam alykum Mzee slaa acha ujinga ww Ss wazanzibar mumetudhulumu kwa miaka mingi sana kuanzia tangia raisi wenu kambarage nyerere up to raisi wenu magufuli Leo Allah sw ametuletea mama etu mama samia juu ya haki zetu za Zanzibar inawaumiza Sasa sisi wazanzibar tumeshasema kuwa huu muungano hatufaii mukawa kimya bcoz nyinyi tanganyika mume vaa koti la muungano Sasa vunjeni muungano or wekeni mfumo wa kila nchi iwe na mamlaka yake ,iwe na mkuu wake wa nchii Tanganyika iwe na mkuu wake wa nchi na Zanzibar iwe na mkuu wake wa nchi Acheni maneno muacheni mama afanye kazi
@shaabanmakame2690
@shaabanmakame2690 24 күн бұрын
Uzalendo utakuwepo wapi ?wkt muna taifa la kukodi toeni tanganyika yenu nyie wazembe wa Kitanganyika😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-wz7tm6bp1g
@user-wz7tm6bp1g 15 күн бұрын
Dah! Kumbe ndo hivyo MAMLAKA KAMILI muhimu jamani tuwafamu wenzetu ACT
@rashidsaid7823
@rashidsaid7823 21 күн бұрын
Mlikuwa wapi siku zote?
@user-ec8zv7lq8y
@user-ec8zv7lq8y 23 күн бұрын
Muungano wetu bado kuna mambo mengi hayajakaa sawa
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 24 күн бұрын
BRAVO KOMREDI SILAA....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU....WATANZANIA TUNAKUELEWA NA TUKO NYUMA YAKO.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 24 күн бұрын
User kama hueleweki
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck 20 күн бұрын
Kama Nini kata muungano
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 25 күн бұрын
Watanganyika wengi kwa sababu ya matumbo yao na njaa zao hawaoni shida yo yote.
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 23 күн бұрын
Watanganyika amkeni muvunje Muungano hata Sisi Wazanzibari tumewachoka ila hawa ma CCM yanatuganda Wazanzibari
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 22 күн бұрын
Nje ya Muungano hakuna nchi inayoitwa Zanzibar.
@omarhababuu3159
@omarhababuu3159 22 күн бұрын
​@@venancemwanya4212nazani. Akiliyako imeungana namshipa wamavi
@muflih85
@muflih85 20 күн бұрын
Zanzibar ipo tokea kabla ya muungao na iyo Zanzibar ndo inayojuulikana zaidi duniani kuliko iyo Tanganyika yenu na ingekua Zanzibar Wana passport zao iyo Tanganyika yenu ndo ingezidi kufa mana hakuna mtu angeijua
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 21 күн бұрын
Watayalipa wazanzibar wenyewe,,,
@isackcharukula-wy2hn
@isackcharukula-wy2hn 20 күн бұрын
Wanao bishi professor semeni nyie mnachokijua
@isackcharukula-wy2hn
@isackcharukula-wy2hn 20 күн бұрын
Duuu hatari
@user-pf2qk8fz9o
@user-pf2qk8fz9o 24 күн бұрын
Asante mzee wangu Niko upande wako inatia saaana UCHUNGU 😂😂
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 25 күн бұрын
Kama wanajeshi hawajalipwa alafu hawsemi kwa nini tuwasemee? Kama hawasemi basi wanafurahia hiyo hali. Dr Slaa asante kwa kutujulisha kinacho fanyika katika Tanganyika watu wenye akili wapate kuelewa ni wazalendo wasiyo wachawa CCM wote ni wachawa wakubwa. Professor Mkumbo alipokuwa tumbo halina kitu alikuwa na chama cha upinzani. Lakini baada ya kupata mshiko wa kujaza tumbo lake ni mbaya kuliko CCM original.
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 25 күн бұрын
Huyu mzee namkubali sana
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 21 күн бұрын
Wewe ni fitina hakuna kiongozi fitina kama huyu babu ni fitina na samia bado miaka 10 sio 5 mitano alipewa na katiba cc tutaanza 25 na 30 usijitoe akili leo sptali kujengwa unanuna dhaifu mkubwa
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 20 күн бұрын
WATANGANYIKA WALIO CCM NA WALIO VYAMA VYENGINE, NYOTE MTALIPA MADENI NA MIKOPO WANAYOKOPA WAZANZIBARI KWA DHAMBI MLIYOWAFANYIA!
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 25 күн бұрын
Ukweli unauma. Baba Dr. Slaa nchi hii mambo magumu! Hawa wanaosifia kila kukicha. Shida kubwa na waTanzania elimu hizi za siasa hatuna. Hawa CCM ni mchwa !!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 24 күн бұрын
Yetu macho na kusikiliza Hotuba Maoni ya watanzania na vyana vyote Tunachoomba Amani tu Tanzania
@rashidsaid7823
@rashidsaid7823 21 күн бұрын
Kwa Mujibu wa Katiba ya Muungano,Zanzibar haina mamlaka ya Kukopa ,wewe Boya Slaa ulitaka Zanzibar ikakope wapi na haina uwezo huo?
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck 20 күн бұрын
Nyinyi watanganyika sasa mnajuwa kuhusu muungano.miaka 60.mnatuibia wazanzibar sasa mutulie kama moja kutesa kwa zamu.wajinga nyinyi
@user-qv4jb7mt5q
@user-qv4jb7mt5q 23 күн бұрын
Baba unapokata tamaa na kusema ungetamani kufa, maana yake unataka sisi watoto wako au wafuasi wako tufe pia kwavile wewe ndio dira yetu, mfano mwingine ni kama vile waisraeli walivyotaka kubaki utumwani kwenye mateso Misri badala ya kwenda nchi ya ahadi, na Moses akawakemea.
@shaabanmakame2690
@shaabanmakame2690 24 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂TANGANYIKA OYEEEEEEEEE DADEKI MPK MUSEME DADEKI
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 25 күн бұрын
Wachawa CCM wanapiga makofi kwa kila neno linalo toka mudomoni mwake huyo mama yao
@user-lq8mi3zz2c
@user-lq8mi3zz2c 24 күн бұрын
Pole sana kwa kweli inauma sana yote unayosema ni kweli
@ahmedhemed3983
@ahmedhemed3983 24 күн бұрын
Hi
@lucasmkui3160
@lucasmkui3160 20 күн бұрын
Unayecoment kwakutoamaneno yauchochezi achamaramoja amri.
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 21 күн бұрын
Acheni udhaifu acheni uroho acheni wivu acheni udini roho zenu mbaya sana samia bodo anamiaka 10
@haidarybabuu2075
@haidarybabuu2075 22 күн бұрын
Vunjeni muungano kwanza ila tuache zanzibar ijitawala
@bernardndemba2253
@bernardndemba2253 21 күн бұрын
jitawaleni ns mtoke wote huku kwetu .
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 21 күн бұрын
Mpuuzi wewe zazibary isikope nyee mkope wewe babu huna akili mmeidhulumu zazazibr kwa miaka 60 nyie mjenge barabara sisi tusijenge
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 21 күн бұрын
Ulipopewa ubalozi ulikaa kimnya sasa hivi huupati tena ubalozo
@monicamwita7865
@monicamwita7865 21 күн бұрын
Kipindi kile madudu haya hawakuwepo.
@user-hu4sd7bg8n
@user-hu4sd7bg8n 22 күн бұрын
Wacha kelele wewe mzee basi muungano uvunjike ili na sisi wazanzibar tutambulike kimataifa na kuweza kukopa wenyewe kila mtu afe na chake
@bongo39
@bongo39 24 күн бұрын
Mama yako aliopo kijijini ndio atalipa
@alisalum5845
@alisalum5845 21 күн бұрын
Tutalipa Watanzania sote, kama vile Tanganyika mukikopa tunalipa tanzania sote
@user-vi1ds6gw9g
@user-vi1ds6gw9g 23 күн бұрын
Asante mzee Slaa watz tuliharibiwa toka mwanzo kabisa, siku zote mimi namlaumu mwalimu alitukosea sana kutufundishwa kiswahili peke yake hili limekuwa tatizo kubwa sana la uelewa wa mambo kwa upana wake, tutazunguka na kuwalaumu watanzania lakini tatizo letu liko hapo hapo tu, yaani kuongoza watz ni rahisi mno maana ni kuswaga tu!😭😭😭🇹🇿🇹🇿
@ZuenaSharifu
@ZuenaSharifu 23 күн бұрын
Atasaiz hujacherewa kuongea kingereza
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 22 күн бұрын
KATIBA MPYA NI LEO
@RukiyaKombo-mm5pr
@RukiyaKombo-mm5pr 23 күн бұрын
Ww mzee mbinafsi sana na nyinyi ndio munao iekea mmguu Zanzibar tangu zaman tunawajua saiv unaumia hutaki kuona maendeleo yoyot ktk nnchi ya Zanzibar duh apao ulipo utubu ufanye ibda t utakufa ulimi nnje kwa ubinasi wabaya wenzio wot washtangulia
@RukiyaKombo-mm5pr
@RukiyaKombo-mm5pr 23 күн бұрын
Ww mze mnafiki hakiamungu hayo unayosema ww yot wazanzibar washayasema kabla ya rais samia ikafika hadi masheh kufungwa ila uliufyta kimya kisa raisi anaetawala sio mzazibar ila saiv unaongea uo unafiki wako ww na ubaguzi t
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j 22 күн бұрын
Wewe mzee huaminiki una tabia ya uzushi uliwasingizia chadema kuna kundi la utekaji na utesaji na una ushahidi, kisa ulihadaika na madaraka mafupi ya ubalozi....
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 23 күн бұрын
Hawa watanzania wanaoiunga ccm mkono nilini watafunguka akili zao
@monicamwita7865
@monicamwita7865 21 күн бұрын
Kama vile tumefiwa.
@alinassor1201
@alinassor1201 22 күн бұрын
Bado hamjasema
@user-dd1ci8eu1c
@user-dd1ci8eu1c 24 күн бұрын
Ume ongea kwa uchungu mkuu hadi mimi nime bubujikwa na machozi😂😂
@RukiyaKombo-mm5pr
@RukiyaKombo-mm5pr 23 күн бұрын
Kila raisi hakosi Wat wanafiki km hawa Ww muache mama apige kazi mbona hukusema kipind chamagu kikwete wakat wenzako wanamsema hao ila kwa chuki zako t kwa huyu mama saiv ndo unaporoja t roho mbaya io yko kisia mzanzibar
@bernardndemba2253
@bernardndemba2253 21 күн бұрын
kazi gani anapiga kuzurura ndiyo kazi.pole
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 25 күн бұрын
Dr Slaa. Wewe ni muongo angekuwa hana hela angeweza kwenda Korea pamoja na wote alioondoka nao mpaka wasanii
@user-dd1ci8eu1c
@user-dd1ci8eu1c 24 күн бұрын
Kwani huwezi kwenda na wasanii kwa mkopo tulia wewe huekewi kinacho endelea
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 24 күн бұрын
Edson hujui kuwa hayo ni matumizi mabaya ya pesa kusafiri na lundo la watu tele huku watu wabapata tabu kwa Bima za Afya hasa kwa Mama Wajawazito na Watoto hawatibiwi bure
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 23 күн бұрын
Jana husein mwinyi ameongezea watumishi wake hadi transport allowance vipi rais wetu samiah?
@salimukimwaga-fu8cc
@salimukimwaga-fu8cc 22 күн бұрын
Bado inataka kujengwa Barbara ya dar to zanz sijui Kuna faida gani au usafiri wa kwenda zanz kununua mihogo ni kuijazia madeni nchi
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 25 күн бұрын
asante sana baba Dr silaa je nauliza madeni ya Zanzibar yatalipwa na. Tanganyika itakua ni kinyume Cha Sheria atutapenda kulipia Zanzibar madeni yake je nauliza nikwanini basi sisi watanganyika tutawaliwe kwa njia iyo tunataka Zanzibar wapewe ulinzi tuuu
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 24 күн бұрын
Mulitumwa muungane hata ccm zanzibar tunahitaji uhuru wetu hatutaki kukopewa hakuna nchi hiyo
@rashidsaid7823
@rashidsaid7823 21 күн бұрын
Ulitakiwa kujiuliza kwanza kwanini Zanzibar haiwezi kukopa ?
@jituakilimali15
@jituakilimali15 23 күн бұрын
Watalipa wabara tu Dada yetu kopa tu nyie mmestuka sasa hivi kuna mikopo mingi tu kila Safari Ya samia si munamuona Saada yupo tulieni kabisa
@malkavoice2570
@malkavoice2570 21 күн бұрын
Watanganyika bado hatujapata uhuru mpaka kesho hiyo 61 ilipata uhuru Tanu pekeake na leo inaitwa CCM na kwa kuwa Nyerere alifanya maamuzi ya Vyama vingi kimakosa basi ndio kinachotutafuna mpaka kesho,laiti kama Nyerere angekubali kura za chama kimoja huenda hii nchi leo ingekuwa mbali kimaendeleo kuliko Taifa lo lote hapa Africa,7bu kila mwanasiasa angepanga foleni ktk chama kimoja na wangekuwa juu zaidi kwakuwa akina Lissu wangeshakuwa Maraisi na Mbowe unadhani tugekuwa hapa tulipo
@user-wp3fp9ts2q
@user-wp3fp9ts2q 21 күн бұрын
docta Slaha usomi wako wote hujajuwa kuwa akopae ndie alipae
@salimukimwaga-fu8cc
@salimukimwaga-fu8cc 22 күн бұрын
Watanganyika hawana u hungu na nchi Yao tumewaachia wa hachache kuisemea Tanganyika
@rashidsaid7823
@rashidsaid7823 21 күн бұрын
Uongo mwengine mkopo ule haukutolewa na EXIM BANK ya China
@user-kx4wd5vb4j
@user-kx4wd5vb4j 23 күн бұрын
Vunjeni muungano ili Zanzibar ikope na kulipa wenyewe.
@ahmedhemed3983
@ahmedhemed3983 24 күн бұрын
Hi
@ZuenaSharifu
@ZuenaSharifu 23 күн бұрын
Watanganyika wanaumi hahaha atabado samia bado 10 achatuwatawale
Full Debate: Biden and Trump in the First 2024 Presidential Debate | WSJ
1:38:19
The Wall Street Journal
Рет қаралды 18 МЛН
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 7 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 157 МЛН
Kim Jong un drives Putin during state visit to North Korea
1:39
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 6 МЛН
#YALIYOMO NDANI YA SOKO LA KWEREKWE ZANZIBAR
29:19
IsleBlogTv
Рет қаралды 17 М.
LIVE: Rajya Sabha proceedings
2:25:08
ThePrint
Рет қаралды 6 М.
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 7 МЛН