DR SLAA : MAKONDA HANA MAJIBU ANATUMIA PROPAGANDA. WANANCHI HAWANA IMANI NA RAIS KAMA ATAWASAIDIA

  Рет қаралды 3,565

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 2 ай бұрын
Kiĺa aliyeshindwa anachukua mfano wa kazi za makonda, mwacheni afanye kazi yako
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 2 ай бұрын
Tafuta vya kuzungumza badara ya kumsema mh Makonda utachekwa na walio saidiwa na huyo unae msema. Acha Makonda Ajijenge kwa mema kuliko ninyi mnao zunguka kuhubiri chuki dhidi ya serikali
@robertzamani5612
@robertzamani5612 2 ай бұрын
Mzee kweli umeanza kuchoka
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 ай бұрын
Mzee huna aibu kwanza uliapa auta jiusisha na mambo ya kisisa .ulitaka yeye afanyeje umezeeka unategemea
@DiorMabaril-qy6yp
@DiorMabaril-qy6yp Ай бұрын
Slaa slaa slaa nimekuita mala tatu usimtaje makonda vibaya tena
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 2 ай бұрын
Nchi hii ukiwa bumbumbu utaburuzwa mpaka upauke, ukiambiwa geuka kulia, unageuka tu hujiulizi kwanini nimeambiwa nigeuke kulia!
@seleshaban48
@seleshaban48 2 ай бұрын
Doctor slaa, kakojoe ulale.....
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 2 ай бұрын
Umekosa fikra, huna fikra pana jinsi inchi inavyoliwa, makonda ni uchafu Samia anasubira aufagie.
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 ай бұрын
Huyu mzee anapinga kila kitu
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 ай бұрын
Mimi ni CHADEMA sasa mzee unaanza kutukosea muache Makonda afanye kazi msituvuluge kumbe na nyie ni ovyo tu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
kinachotakiwa ni loliondo irudishwe kwa Wamasai tu ndiyo nchi itaeleweka maana kila Mkoa wananchi wanalalamika kuchukuliwq maeneo yao kuhusu kisa kuwekwa mbuga za wanyama
@francismadirisha3511
@francismadirisha3511 2 ай бұрын
Mzee slaa Acha kujishushia heshima yako Kwan Nani hajui kwamba makonda Yuko vizuri kijana anachapa KAZI
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 2 ай бұрын
Akili huna
@josephdogani3419
@josephdogani3419 2 ай бұрын
HV unamsema vibaya slaa ,umemuelewa?tumor I smili
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si 2 ай бұрын
Wewe naye nilikuwa nakuona una akili kumbe nawe ni mpumbavu wewe uliwahi kumsaidia nani hasa ulipo kuwa balozi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Lovely huna akili wewe ambae hukwenda shule maana humueĺewi nyau wewe
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 ай бұрын
Wewe kunguni jibu hoja babu kazeeka pia amejaa chuki​@@margarethpolepole7438
@josephdogani3419
@josephdogani3419 2 ай бұрын
Sacha upumbavu anayoongea slaa ni kweli nchi imeoza.mifumo ya utawsls imekufai.tasisi hazifanyi kazi.,umejiuliza akifa Makonda leo nani status matatizo ya Arusha? Mgumo wore uliosababisha matatizo ambauo Malinda anayatatua umeondolewa kwa kusababisha matatizo na kuwekwa mfumo mpya?acheni kuchotwa akili km watoto. Wadogo. Km makonda anatatua matatizo je kwa nini mama asiteue wachapa kz km makonda nchi nzima ili matatizo na help ziishe. Kwa mini asitrue wakururugenzi na wengineo ili tuondokane na matatizo yanayotatulika. Ukiona mkuu wa mkoa amegeuka mahakama ,mjurugenzi ,mkuu wa wilaya ,polisi na anafanya kz ambaxozingtakiwa kufannywa na wa chini yake,ujue hicho chama kinavjotawala kimeoza kuneparaganyika na kupoteza muelekeo. HV miaka stin ya kujitawala chama kimedhindwa kutengeza utawala bora unsotatua shida za wstu.mpska wary wsidhi kwa huruma ya kiongozi?
@mataypanga5262
@mataypanga5262 2 ай бұрын
Makonda kama babu wa Loliondo😂
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k 2 ай бұрын
Achana na makonda we mzee
@nurubarakekenwa7557
@nurubarakekenwa7557 2 ай бұрын
Yaan mzee achana na makonda anapiga kazi nzuri sana acha propaganda za kisiasa.mfano unakuta mahakama imeshafanya maamzi ya kisheria ila watendaji walio chini ya mkuu wa mkoa hawajatekeleza maamzi hayo unategemea nani atatoka mbinguni kuja kusimamia maamzi ya mahakama.pumzika mzee wana nch i tunakuheshimu.mwache makonda atekeleze wajibu wake.weww ulifanya nini wakati ukiwa barozi wa tz nchi fulani.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18