DR. SULLE | MTO NILE ASILI YAKE NI PEPONI | HII NDIO MIUJIZA ALLAH ( S.W ) AMEIWEKA KATIKA MTO NILE Masjid_Mtoro_Online_Tv #DrSulle
Пікірлер: 459
@willydusenge92632 жыл бұрын
Mtoo Nile ( Fleuve Nil ) inaanziya Burundi sehem ya Bururi - Rutovu hata leo ukienda utapakuta chemechemu yamaji kama zam zam najinsi walipajengeya mi nimuislam kutoka Burundi na nakupenda saaana Docta Sule ila apo kosoa inshaAllah na Allah akujaz kheri
@ponsianangonyani66102 жыл бұрын
Asante kwa somo nimelifurahia
@hamissiali41213 жыл бұрын
Sh,Allah akujaze kheri kwa kufikisha ila kwa kukumbushana tu mto Nile unaanzia Burundi ndiyo kunapatikana source of Nile which is located in Bururi Province in south-western Burundi.Jazaakah llaukheir
@mbarakachipota50473 жыл бұрын
Burundi tena mzee mbona hakuna kitabu cha historia kinachosema hivyo nduguuuu
@hamissiali41213 жыл бұрын
@@mbarakachipota5047 Ni kweli hakuna kitabu kutokana na research ya kwanza ni kweli inaonyesha ni Uganda but hii ya pili wameificha na ndiyo ya kweli
@hamissiali41213 жыл бұрын
@@mbarakachipota5047 In addition to Egypt, the Nile runs through or along the border of 10 other African countries, namely, Burundi, Tanzania, Rwanda, the Democratic Republic of the Congo, Kenya, Uganda, Sudan, Ethiopia, and South Sudan. Its three main tributaries are the White Nile, the Blue Nile, and the Atbara.Feb 22, 2019
@afric013 жыл бұрын
Aslm alkm ww... Popote pale pepo ilipo anzia na ilipo ishia. Allah atujaalie Kati ya vipenzi vyake na atujaalie pepo firdaus kila muislam. Jazakallahu kheir Sheikh.
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
باركم الله فيكم Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojli
@othmanmohammedhabibu78223 жыл бұрын
MashaaAllah ARRAHMAAN akuhifadhi akuongozi Marika haki
@husseinhousni89433 жыл бұрын
Burundi ndipo source ya mto nile unaanzia
@desanta.0173 жыл бұрын
Mto nile unaanzia Burundi🇧🇮🇧🇮
@samwelimoshi56143 жыл бұрын
Bhang
@ruwagwede41613 жыл бұрын
Asante kwa kutufahamisha
@khadijakhamis56043 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuhifadhi na ajalie mema na afya hapa dunian na upate mwisho mwema na akujalie elim maishaa llah tabaraka rahman
@stanslausmteme8455 Жыл бұрын
Ili aendelee kuwadanganya na kupotosha
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Mashaallah Allah anatupenda na ss tumpende.
@salumsimai27282 жыл бұрын
Mashallah Allah is greater
@hassanmakame3 жыл бұрын
Jamaa muongo sana, amazing ana wafuasi wa kumpatiliza...😃
@VincentMwiti-s4p5 ай бұрын
Kweli kabisa ,
@umojatunzwetv3 жыл бұрын
Umedanganya mto Nile inanzia Burundi Rutovu🇧🇮
@Mrtop-we7co3 жыл бұрын
Hahaha ndo nimeshangaa eti mto Nile unaanzia UGANDA kkkk NILE source yake ni nchini BURUNDI (RUTOVU) mkoani BURURI kkkkk
@parestinachizi54963 жыл бұрын
Mto nail anapafananisha na pepon yy kaenda lin
@ibrahimsengo67653 жыл бұрын
Kwa mujibu wako huo
@Mrtop-we7co3 жыл бұрын
@@ibrahimsengo6765 kataa ukubali ndo hivo
@MubarakaKambale4 ай бұрын
Since when?
@winfridamwamban10783 жыл бұрын
Asante sana shehe
@linturenatus3549 Жыл бұрын
Shehee nimekupata Sana asante
@mashakabundala99553 жыл бұрын
Dr sule wewe ni rafiki yangu mimi na kataa unaanzia burundi tena chem chem ndogo mpaka unakaa mto kagera unapita katikati ya ziwa victoria
@sadantashavu2933 жыл бұрын
Kweli kabisa, tulisoma ivo katina geography. Na chemchem ya mto Nile inapatikana Rutovu na ni maji machache sana
@ibrahimjoel1953 жыл бұрын
Nikweli kabisa chanzo ni burundi kabisa
@alimwanyumba84393 жыл бұрын
Maajabu ya Allah.. mwenye hekma na taaluma
@raysamiya37603 жыл бұрын
Mashaa Allah Tabarka Allah Mungu n mkubwa
@ngokaomary51233 жыл бұрын
MashaaAllah tabarakallah
@allimsafari48963 жыл бұрын
Kuna ushahidi wa aya au hadithi shekh? Kama upo hebu tupe faida
@khamisomary34283 жыл бұрын
,
@thehunter59202 жыл бұрын
Akikupa ushahidi, uniambie
@abbaimran41223 жыл бұрын
Masha Allah
@safariscbsi73563 жыл бұрын
Urefu wa mji waJinja ni futi elfu3950 toka mraba wa bahari ilhali Cairo ni futi 75 tu toka mraba wa bahari. Hapo naomba nnatofautiana na Shehe, lakini kwa heshma na taadhima.🙏🏾🙏🏾
@minahadi21903 жыл бұрын
MashaAllah tabarakAllah
@jarvissalmon31153 жыл бұрын
Dah aisee
@stimastimma54683 жыл бұрын
Wacha uongo the highest city above sea level in Africa is Addis Ababa 2355,Mbaye in Tanzania is at 1700m above sea level while cairo in Egypt is only 23m above sea level. Hapo umetundanganya. Zire miji ziko juu zaindi Africa ni Addis Ababa na asmara in Eritrea!!!
@smadon56382 жыл бұрын
As a County Tanzania is the highest on sea level in Africa,as a city is Addis Ababa,but remember River Nile is going upstream from Lake Victoria as the miracle itself.
@khamismchahaji70283 жыл бұрын
Assalaamu Alaykum. Mto Nile Asili yake ni Peponi. Kwa kigezo gani........?
@emmanuelgastine98263 жыл бұрын
Sure huwa nakukubali sana kaka
@sekibibibatume74013 жыл бұрын
You're right
@twahamohamad2723 жыл бұрын
Subhanallah,,acha kupotosha ummah
@MunaMuna-tn3go2 жыл бұрын
Kapotoshaje ummah apo nieleweshe
@mrmosestheperfect81663 жыл бұрын
Mashaallah
@samuelkariukimwangi3553 жыл бұрын
Je, Uganda ni peponi??
@fredysimwanza36083 жыл бұрын
Nakukubali sulle
@MakilhassanNdikumana3 ай бұрын
Shekh Nil kii story unaanzia Burundi
@issasuleiman12483 жыл бұрын
Subhanallah
@salimocassim64313 жыл бұрын
Mashallaah
@kabuletepierre75062 жыл бұрын
Matatizo ya elimu. Please rudi shuleni.
@migahuzoalbanjr30376 ай бұрын
Apn sio kwel mto Nil una'anzia Burundi sehemu inaitwa Rutovu
@gaelnshimirimana98803 жыл бұрын
Source ya mto Nile ni Burundi - Bururi - Rutovu
@aristidisamba15733 жыл бұрын
Dah Aise we sheikh acha kutudanganya mchana kweupe yaani hapo xaxa hata moto wa chekechea atakucheka xaxa.
@abdunnasser95803 жыл бұрын
Assalam alaikum warahmatullahi wabarakatuh Duh Ndugu zangu tusi vamie mic kwakuwatangazia watu mambo tusio na elimu nayo mambo na mito kutokea pepuni ushahidi gani sasa nile kutikea peponi jamani mbilona tunaongea vingine asili ya mto nile nihapo burundi jamani mbona mnakwenda kinyume
@SAM_1633 жыл бұрын
Ndo maana wakristo hamtupati huko😁😁😁😁
@ismailally31703 жыл бұрын
Huyo jamaa inafaa akamatwe kabisa
@saidkhery90113 жыл бұрын
@@ismailally3170 kinacho changanya hapo ni tafsiri ya neno'peponi'. Kwan peponi ni mbinguni au ni hapa hapa duniani? Wengi hawajui wapi peponi.
@ZaidAKissinzaАй бұрын
Mto Nile hauanzii Uganda Sheikh acha kuongopa. Hapo Jinja mto unapita tu unaelekea Sudan napo Sudan mto unafanya pacha, pacha moja inaitwa blue na pàcha nyingine inaitwa white
@MubarakaKambale4 ай бұрын
U can Google the source of River Nile,Not Burundi!!!
@الفقيرإلىعفوربهالقدير3 жыл бұрын
Allahu Akbar
@abuubilal26463 жыл бұрын
tunaomba dalili kutoka kwenye quran na hadith kuthibitisha madai yako shekhe
@kakasteve71173 жыл бұрын
Hakuna ushaid wa hivyo. Hayo ni mawazo yake tu
@mjsteven32973 жыл бұрын
Huyo Kwanza muongo, maana MTO nile, unatoka nchini Burundi, unapita kàtikati ya ziwa Tanganyika...inapitiliza hadi misli. Hafu huyo mjamaa nae aseme yake, kama anaambia wenye hawakwenda shule. The source of Nile River, is Burundi.
@faroukrashid55073 жыл бұрын
@@mjsteven3297 Sasa mbona wewe muongo kumzidi, Mto Nile wapinawapi na ziwa Tanganyika?
@mjsteven32973 жыл бұрын
Uliza walosoma, watakusimulia.
@beccaally56253 жыл бұрын
Hapo uko sawa sheikh sipingi kitu mimi
@babumuba12873 жыл бұрын
SHUKRANI kwa darasa zuri,Ila SHEIKH ungetofautisha kati ya R na L, mfano Liver Nile au River Nile?
@mutumutu49813 жыл бұрын
Ewe ndugu yangu sule acha kupotoxha watu na kuwafunza watu kito usicho kijuwa, Mito yote inayo izunguka Edeni ipo Afrika,ata chanzo cha mto nile umeposha umma, kusikia umesikia lakini ausikii kwa sababu umejiweka katika kiburi kwa kujifanya kujuwa angali ujui chochote, baxi nakusihi ndugu yangu acha kupotosha umma .
@fundileani10073 жыл бұрын
Masha Allah Nice video
@salmamukeshimana67203 жыл бұрын
SubhannAllah
@fundibakari47297 ай бұрын
Msimtukane shekhe ,ebu ingiieni kwenye vitabu na source nyingine za elimu kwanza ndo mrudi kutukana.....
@JamallyHMlela3 жыл бұрын
Nyie mnaosema mto Nile chanzo chake ni Burundi hebu ingiieni utube na msearch mtaona anayosema shekh
@blueeyes59523 жыл бұрын
Burundi 🤣🤣🤣🤣🤣
@aishawangui66353 жыл бұрын
Ukitaka kujua kitu hu search KZbin una enda Google ..
@athumaniomari28333 жыл бұрын
Ewe mwenyezi MUNGU mkuu
@rukiaiddyyahaya95063 жыл бұрын
Mash Allah
@ramadhanimohdvi9180 Жыл бұрын
Hujmbo
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
@@ramadhanimohdvi9180 sijambo alhamdulilah... 🙏
@djpacifik3 жыл бұрын
Wewe ni muongo, jinja ni juu kushinda Cairo that is, the altitude at jinja is 1204m and Cairo only 23m
@jeanpierrepoutou91053 жыл бұрын
Sheikh source ya river nile inaanziya burundi please fanya utafiti tena
@SAM_1633 жыл бұрын
Ndomaana tunawaambiaga mashehe wenu wengi hawa hawasomi wala kufanya utafiki na kujiridhisha. Maneno mengi tu na ujuaji mwingi lkn research hakuna. Tukumbuke tu " NO RESEARCH DETAILS NO RIGHT TO SPEAK"
@dumelatembo68023 жыл бұрын
source ni UGANDA SEHEMU INAYOITWA JINJA WE MPUUZI.
@mohamedjuma72063 жыл бұрын
Nakutambua Sana DK sulle lkn unahitaji Sana kuijua vizuri geography Kabla ya kuongea vitu vinavyohusiana na geography. Kuna miji Mingi ambayo iko zaidi ya usawa WA bahati kuliko hiyo miji uliyoitaja ya mbaya na Cairo. Isitoshe Jinja unapoanzia mto ni juu zaidi kuliko Cairo. Mto Nile hushuka mlima haupandi mlima Kama ulivyosema
@muhamedabass48613 жыл бұрын
Doctor tunaamini pepo ipo mbinguni je connection ya Nile river na mbinguni ikowapi?
@husseinsaid80213 жыл бұрын
Kama kweli wewe Ni muislam kasome habari ya ISRA NA MIHRAJI hizi Ni habari za bwana Mtume Muhammad peace be upon him
@Yjhuuuuhjjj3 жыл бұрын
Wewe bado
@rashidkhalifa353 жыл бұрын
Hii ni imani ya pepe yko maana hta mbingu nazo zitakufa ardhi pia itaondoka siku ya kiyama hakutakua Na mbingu yawaje useme pepo ipo mbinguni?
@تقواللهحسنالاخلقة3 жыл бұрын
@@husseinsaid8021 kaka sio kweli
@leilacat49763 жыл бұрын
Subhana Allah
@ramadhanimohdvi9180 Жыл бұрын
Hujmbo
@nicholausmasese63373 жыл бұрын
DUH IMEANDIKWA KUWA MTAACHA KWELI NA KUFUATA HADITHI
@ramadhanihudhaifani43763 жыл бұрын
Allahu Akbar!
@fruitfulmpanduji24943 жыл бұрын
Mmmh umedanga nya MTO Nile hata ukitoka mwanza kwenda ukerewe lazima tupite MTO Nile ..sasa hapo ni Jinja pia ??
@geraldlumanyika7233 жыл бұрын
mto nile unanzia Uganda
@alfredmapile57843 жыл бұрын
Shehe, mto Nile unaanzia Burundi shehe
@justerkitandala89143 жыл бұрын
Mto Nile chanzo chake Kiko Uganda. Mimi nilishikwa huko.
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Kweli kabisa.
@sifankubana16973 жыл бұрын
Madhaala
@festusmwongela85923 жыл бұрын
Kutoka Uganda kuelekea Egypt haimaanishi ni kupanda mlima, No,No.No.water can flow from any direction ta other direction with the help of gravitational force.
@allyabdulrahman17933 жыл бұрын
Wacha kukarir darasan ww
@davidwafula41073 жыл бұрын
Ubunifu was Hali ya juu
@nyangeathumani55083 жыл бұрын
Amesahau white na blue Nile
@rajabubojoo94673 жыл бұрын
Waislam takbir
@jamilahathumani42223 жыл бұрын
Takibiriiiiiiiiiii, Allah aqibaru
@eshasalim54963 жыл бұрын
Allahu Akbar
@allimsafari48963 жыл бұрын
Taqbira ya nini sasa hapo wakati hujapewa aya wala hadithi yoyote, ukosefu wa elimu mbaya
@BigZhumbe3 жыл бұрын
Kwaivo nikifuata Mto Pharati na mto Naili ntafika peponi???
@omarmwabege3 жыл бұрын
Hhhhh
@buyoyasubira94443 жыл бұрын
Mtto Nile chimbuko lake ni Burundi apo ukisema Uganda umekosea
@akidashekue1633 жыл бұрын
Ukifika pale maeneo ya Rusumo wilaya ya Ngara kuna mito miwili inakutana ya Kagera kutokea Rwanda na Ruvubu kutokea Burundi na kutengeneza mto mmoja unaoitwa mto Kagera kuelekea ziwa victoria upande wa uganda
@simonlulenga70623 жыл бұрын
Sule, kusoma kote huko unaishia kudanganya wenzako?
@kakasteve71173 жыл бұрын
Ipo tofauti kati ya mtu aliyeelimika na msomi. Sulley ni msomi. Lkn hana Elimu. Hajaeleimika
@usajiliusajili65113 жыл бұрын
Shehe umekosa ya kufundisha??
@princemilambo71103 жыл бұрын
Prince
@mahmoudsaidsakrani43733 жыл бұрын
Allahu Akbaaar
@africancolorstv14723 жыл бұрын
Shekh shule ndogo maji yanapanda mlima vizur kwa process inaitwa river rejuvenation
@haidarsalum92283 жыл бұрын
Si kweli.. Hunaushahidi wa unachokisema..
@تقواللهحسنالاخلقة3 жыл бұрын
Inna lillahi wa Inna ilaihi raajiuun Sheikh mche mola wako.
@mhinahalfan26943 жыл бұрын
Kwa kuwa wewe ni muislam usiseme Inalillah wainailaih rajiuun kwa kauli hii kuwa mto nile asili yake ni peponi. Nakushauri upitie maelezo ya Abu Huraira kutoka kwa Mtume Muhamad yaliyoko kwenye sahih Muslim 2839. Insha Allah utapata ufafanuzi.
@kadirdhulfiqaar78203 жыл бұрын
Kasome uko hlf nd ujisemeee tu
@sulimanmasoud93373 жыл бұрын
Dr Sule kakupeni mukhtar ulipoanzia nakuku onesha nema alizotujaali Subhana wataaALLah. Unatakujua zaidi soma usiwekama hao. walokuja waka discovered kitikilo kulokuwepo. Usikasirike.
@samwelmwinyi18933 жыл бұрын
Nimekulewa Dr. Sulle! Kujua uelewa wa wengne pitia COMMENTS utajua!
@bonphasehamiss13693 жыл бұрын
Vp
@huseniikaji3783 жыл бұрын
Nakupata.vilivyo.sheķhe.wangu
@mgasathedon15793 жыл бұрын
We muongo kabsa
@kennix64573 жыл бұрын
Muongo sana uyu
@asuasu6583 жыл бұрын
Mansha allah tabarak allah
@tryphonraphael16463 жыл бұрын
Mashallah nn na wew umeamin
@tryphonraphael16463 жыл бұрын
Mashallah nn na wew umeamin
@mbarakachipota50473 жыл бұрын
@@tryphonraphael1646 wewe mbona unaamini kuwa yesu ni mungu na ukilisto ni dini ikiwa sio kweli kuwa ukilisto dini tulia ndugu muache mtu aamini anachokiamin
@KhalidKhalid-zt1bc3 жыл бұрын
sheikh unazungumza uzushi , toa dalili kwa unayoyasema. Maana tunaambiwa pepo hakuna jicho la binaadamu ilowahi kuiona au sikio kusikia . Na hamna kitu chochote duniani kinachofanana na vitu vya peponi zaidi ya majina tu
@kimutaiboit85163 жыл бұрын
These are signs for people who have knowledge.
@eshyndibalema1529 Жыл бұрын
Mto nile unaanzia Burundi tena maji madogo sana ni kijito yanajikusanya mpaka karagwe Tz yanaingia kaka mpaka lake Victoria yanakatisha ziwa hayachanganyikani mpaka Uganda yanapandisha mpaka Misri na katikati yanajigawa kuna blue nile usipotoshe watu tafadhali na Geography iko hivyo, Mwenyezi Mungu yupo ila usemavyo sivyo unachanganya mambo
@tilitv84873 жыл бұрын
mmmh japo sijasoma sana geograph ila kwa hili bado hujanishawishi
@safarisafari73882 жыл бұрын
Mimi hapa sina nijualo yani elimu sina mkitaka mnidanganye namkitaka nipeni ukweli mimi ntakubali tu
@Burange6663 жыл бұрын
Dr Sulle ni kweli mungu yupo tunaamini lakini hii kuhusu mto nile bado hujatufahamisha kwa urefu tukafahamu vizuri na sisi ili tukiulizwa tupate jibu sahihi kuwa mto nile unaanzia uganda mpaka misri au peponi lakini umeeleza kuwa umeanzia uganda mpaka misri, tufahamishe vizuri kuhusu peponi ili tupate kufahamu shukraan sana naomba jibu.
@kibikirasaidi66813 жыл бұрын
Tungepata ku simu yake tungemwambiya vizuri ni Burundi chanzo cha moto nile
@amranindizeye9483 жыл бұрын
@@kibikirasaidi6681 Apa SHEIKH kachemusha, mto Nil umeazia Burundi sehemu kunapoitwa Rutovu
@SAM_1633 жыл бұрын
Kama hakuna maajabu yaliyofanyika huko kwenu wandugu MSIFORCE NDUGU ZETU NJOENI TUMIENI MAAJABU YA YESU KRISTO muendeleee kumuita ISSA na maajabu yake aliyofanya. Kuliko kudanganya umma kwa jina LA Mungu ni dhambi aisee. Welcome to Jesus where the real miracle are found🌹🌹🌹🌹🔥🔥🔥🔥
@crescentvscross11323 жыл бұрын
Yesu Ana maajabu gani neno lake limeshindwa hata kuunganisha watu Wanao muamini
@SAM_1633 жыл бұрын
@@crescentvscross1132 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Pole sanaaaaa ingekuwa Hana miujiza yake na Yesu mwenyewe Hana nguvu mngemtaja mara 25 kwenye Quran ???? Mama yake MARIAM ndio mwanamke pekeee aliyetajwa kwa jina lake "MARIAM" pekeeeeeee Na mmemtaja mara 34 kwenye Quran wakati mwanzo wa Qur'an mpka mwisho mtume wenu mumemtaja mara 4 tu. Unawezaje kubeza jina LA Yesu🤔🤔🤔🤔🤔 KARIBU KWA YESU UPATE KUWA HURU VIFUNGO VYAKO VIFUNGULIWE.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌹🌹🌹🌹
@crescentvscross11323 жыл бұрын
Sasa umekuja vizuri wakati unatuita kwa yesu unamaanisha tumuache muumba tuje tuambudu kiumbe. Pili hujui mambo ya dini maajabu ya mto Nile ni miujiza ya muumba sawa na muujiza wa muumba kumuumba yesu na kuzaliwa bila baba nisawa na Musa kupasua bahari hii yote ni miujiza ya muumba mbingu ni nchi. Sababu ya yesu kutajwa sana katika Quran ni kwakuwa walifuatana na Muhammed ktk kutumwa kwao na Mungu wao kama injili ya yesu inavyo mtaja Musa. Sababu ya pili yesu ni nabii pekee alie feli katika kueleweka kwa wengi miongoni mwa watu wake. Quran inasema siku hio ya hukumu yesu ataulizwa uliwaambia watu wewe ni Mungu lkn yeye atasema hakusema na shahidi ni Mungu kwani Mungu anajua yote kwahio kutajwa mara nyingi sio chakuzingatia bali katajwa kwa sababu gani ndo jambo lamsingi usishangile kutajwa kwa yesu Quran inaeleweka tofauti na bibilia usishangilie kwajwa mara nyingi ( shetani pia katajwa). Yesu ni muislam na waislam wanamsubi na akija hatatuangusha bali nyinyi atawaambia siwajui mtokako. Maana ni makristo wa uongo na manabii wa uongo nao 24.24 matayo watendao ishara kubwa na maajabu ili wapate kuwapoteza watu. Labda unasema tumuache yesu tuwe warumi kama nyie. Imani ya kirumi ndo imewateka lkn yesu mnamtajatu wala hamumjui na hamumfuati Hebu soma warumi 1. 7......kisha njoo kivingine kama mtu anae jitambua
@SAM_1633 жыл бұрын
@@crescentvscross1132 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 imepenyaaaaaaaaa rafiki Hivi kama biblia imesema kutatokea manabii wa Uongo je sikwamba nawakweli wapo? Kama kuna baba wa Uongo basi na Wakweli hawezi kukosa, xo hicho sio kigezo!!!!!! Kiufupi MTO Nile ulishaumbwa na Mungu na Sio miujizaaa Eti chanzo chake ni peponi😆😆😆😆😆😆😆😆 Pole Sana Dada najua jazba imekupandaaa kwa kuwa unaminyana na Ukweli😢😢😢😢 Muamini YESU NJOO KWAKE Hayo ya kuambiwa atakuja kuwakana waliomfuata ni story zakusadikika zilizoandikwaaa baada ya Kristo kupaaaa ambazo ziliandikwa miaka 600 baada ya Ukristo. YESU NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA DADA YANGU NJOOO KWAKE. NENO LAKE NI KWELI NA LITAKUWEKA HURU🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@SAM_1633 жыл бұрын
@@crescentvscross1132 SIKU UTAKAYO MPOKEA YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WAKO AMANI UTAKAYOKUWA NAYO HUTOWEZA KUILEZEAAAA. AMIN NAKWAMBIA🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@eleasemugo53713 жыл бұрын
Blue Nile and Somali I don't think so..... Blue Nile origin lake tana Ethiopian highlands
@jamilahathumani42223 жыл бұрын
Allah aqibaru
@omarhafidh88843 жыл бұрын
Diamond platinum new songs
@bravokingtz90733 жыл бұрын
Allah akbar
@bibiliyaumucyowisininzira86713 жыл бұрын
Mto umeanziya Rda na Burundi ukaenda Uganda
@justerkitandala89143 жыл бұрын
Chanzo chake Kiko Uganda Ninja
@sadih53333 жыл бұрын
Ni Livers au Rivers, hadi kwenye English bado Lashidi ,Lamazani , badilikeni.
@RioIpo3 жыл бұрын
Mtihani Wallah
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Daaaa
@shaykhmulabasalehlulat49097 ай бұрын
Kwa kweli mnatukanisha Uislamu kwa kunasibisha ujinga wenu na uislamu. Pepo iko wapi? Mto vipi asili yake Peponi??? Ushahidi uko wap??? Kisha unasema altitude ya Cairo iko juu??? Wakati ni takriban 23m kutoka usawa wa bahari. Flow ya mto Nile inafuata mkondo na fizikia ya kawaida kabisa . Maji yanatoka high altitude kuelekea low altitude.
@kwaleboy60643 жыл бұрын
Napenda sana science unavyoichambua
@SAM_1633 жыл бұрын
😪😪😪😪
@freduallughano23013 жыл бұрын
@@SAM_163 😂😂😂watu wanadanganywa waziwazi!
@SAM_1633 жыл бұрын
@@freduallughano2301 Huyuuuu Dr. Sule na uongooooo huuuuu ndo Ameshakuwaaa Mwl wakoooooo😀😀😀😀😀😀😀😀
@geoffreysoloshija19093 жыл бұрын
Acha uongo mzee
@esatumedia5623 жыл бұрын
Hata hio picture ninyi umeweka ni ya Amazon Nile inchini Brazil
@QasammaMachibya4 ай бұрын
unaanzia burundi kisha unapita rulenge ngara kisha rusumo ngara,na kitengure karagwe.kyaka nakisha unakwenda kukatiza ziwavictoria kuelekea sudan, ambapo huzaa mikondomiwili(mapacha)bluu nile na whiter nile ,unamanufaa sehemuzagezira sudan,unakwenda mpaka misiri dr sule.hili.dahihisha