DUBAI: JIJI LILILOTENGENEZA MVUA ya BANDIA na KULIGEUZA JANGWA Kuwa KIJANI...

  Рет қаралды 180,068

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

DUBAI: JIJI LILILOTENGENEZA MVUA ya BANDIA na KULIGEUZA JANGWA Kuwa KIJANI...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 172
@hajihaji6351
@hajihaji6351 3 жыл бұрын
Hujakosea nipo Dubai 8 years now ila mvua inakuja mara moja kwa mwaka aidha kwenye mwez wa December au January,
@salimnjowoka4357
@salimnjowoka4357 3 жыл бұрын
Nipo abu dhabi tuwasiliane ndugu 0529553488
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
Kwa hiyo hamuna mvua huko basi hatari hamna mti unaoota
@sadockalfred1710
@sadockalfred1710 3 жыл бұрын
@@utaani1 wanaweza kutengeneza maji mitambo ikamwagilia nchi kutoka baharini lakn sio kuleta mvua au kuizuia never huo ni uweza wa mwenyez Mungu
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
@@sadockalfred1710 mwandishi kasema wanarusha ndege juu ya mawingu kisha wanamwaga chumvi. Hapo tena mawingu yanakuwa mazito inaleta mvua
@ahmedmagram1370
@ahmedmagram1370 3 жыл бұрын
nataka kzi dubai vpi utanisaidiya
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 3 жыл бұрын
Kwa mazingira haya..inaonekana hata gharama ya maisha itakuwa juu sana
@sheilamjune1233
@sheilamjune1233 3 жыл бұрын
Masha Allah so beautiful Dubai ❤❤❤😘😘🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇦🇪🇦🇪
@ashrafumussa3978
@ashrafumussa3978 3 жыл бұрын
Hongera sana unaelezea vizur kusema kweli waarabu nimewakubali wanateknolojia ya hatar sana
@charlskpc1103
@charlskpc1103 3 жыл бұрын
Umenikumbusha Mtiga Abdallah
@kyayangirehamdan5354
@kyayangirehamdan5354 3 жыл бұрын
Kwenye clip hii wapo watu wameshindwa kujizuia na kudhihirisha chuki zao dhidi ya warabu,na wengine wakalinganisha Dubai na uislamu kwa kuonyesha udini.hawjafurahi kusikia hayo maendeleo,lakini zote hizi in dalili za unafiki ,husuda na fitina,na mwenyezimungu hamzidishii lolote mwenye tabia hizi ila hasara tu.
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 3 ай бұрын
🎉🎉🎉 Maua yako tafadhali
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 3 жыл бұрын
Napenda sana unavyotangaza mzee baba
@zayanaduduna1405
@zayanaduduna1405 3 жыл бұрын
Maa shaa ALLAH
@hassanhamudy6639
@hassanhamudy6639 3 жыл бұрын
Amini likonde taarifa ipo vizuri Sana Ila jaribu kutumia uhalisia wako kama mwishoni mwa story ndio umejikaza adi imekua kerooo samahan kama ntakua nimekukera nimekuchana for de love
@yohanamasebo3478
@yohanamasebo3478 3 жыл бұрын
Nimeipenda
@briansancedo9336
@briansancedo9336 3 жыл бұрын
Safi sana hii ndio technological kubwa sana
@gilbertmtoshu4334
@gilbertmtoshu4334 3 жыл бұрын
Noma Sana aise
@seifhabib5987
@seifhabib5987 3 жыл бұрын
Kwetu ss ni Siasa tu CCM,CHADEMA NA CUF kwenda Mbele
@aishasalum7936
@aishasalum7936 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Ndomn hatuendelei
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 3 жыл бұрын
Warabu matajiri hili dogo kwao wanaweza fanya Allah amewajalia utajiri wa dunia mafuta
@zenasaadun1093
@zenasaadun1093 3 жыл бұрын
mashaallah
@ramlamohammed5773
@ramlamohammed5773 3 жыл бұрын
Roho safi ndio maana sisi viongozi walafi wajifikiria wao tu ndio tuko nyuma maisha Dubai miaka ya 60 na 70 walikua hawana chochote sisi hata tukaletewa hiyo petrol wananchi ndio tutazidi kuumizwa
@judygathigia2781
@judygathigia2781 3 жыл бұрын
OMG!yaani mawingu inamwagiliwa chumvi inakua ngumu,kisha inakua mvua🤔🤔
@mafrikatv6037
@mafrikatv6037 2 жыл бұрын
Cool
@hassanhamudy6639
@hassanhamudy6639 3 жыл бұрын
Mzee unajikaza Sana be real bhn
@ahmedbalouch922
@ahmedbalouch922 3 жыл бұрын
Hata oman pia inatumia maji kutoka baharini na wana mitambo ya kusafisha maji ya bahari kua maji matamu zaidi ya miaka 25 sasa
@damasemirwan8072
@damasemirwan8072 3 жыл бұрын
Tanzania tunafeli wapi Mh
@michaeleustach9769
@michaeleustach9769 3 жыл бұрын
Cci inanyesha yenyewe original
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Huku nchi zote za middle east ni jangwa na hawana shida na maji wala chakula ni nchi zimejaaliwa na Allah. Huku wanatumia bahari na kuyafanya kua maji fresh
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Na bado tuna shida ya maji maana huku kwetu maji hakuna
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 nikubarikiwa huko au laana?? hizo mashine zisinge kuwepo??? kuliko barikiwa ni huku ambako maji hayahitaji hayo mambo ya filter
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
@@harrisonsamwel3112 ndugu yangu hujaenda shule ama vp? Ivi unajua nchi tajiri ulimwenguni zinapatkana wapi? Ivi unafikiria ungekosa petrol na diesel ungekua unasafiri kutumia gari? Mafuta yote yametoka kwao. Mtoto wa kiarabu alizaliwa ako na acount yake Bank na ako na ATM card. Ivi Africa ni nchi gani iko na huu utaratibu? Kwanza hakuna nchi ilio laaniwa kwa sababu Mungu ndie kaumba
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
@@harrisonsamwel3112 ndugu yangu hujaenda shule ama vp? Ivi unajua nchi tajiri ulimwenguni zinapatkana wapi? Ivi unafikiria ungekosa petrol na diesel ungekua unasafiri kutumia gari? Mafuta yote yametoka kwao. Mtoto wa kiarabu alizaliwa ako na acount yake Bank na ako na ATM card. Ivi Africa ni nchi gani iko na huu utaratibu? Kwanza hakuna nchi ilio laaniwa kwa sababu Mungu ndie kaumba
@litclass7178
@litclass7178 3 жыл бұрын
Hivi hakuna beat zaidi ya hii ya Akina ananiasi Edgar?
@playerofgirls9147
@playerofgirls9147 3 жыл бұрын
Wanatengeneza mvua😂😂😂 next tym kutanyesha damu wakijaribu
@boniphaceandrew3685
@boniphaceandrew3685 3 жыл бұрын
Duuh global ni waongo sana kwa hili 😂😂😂😂 hapa nyumbu ndio watakubal
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Wewe ndiye hushughulishi akili zako! Soma soma upate elimu utaelewatu.
@globaltv_online
@globaltv_online 3 жыл бұрын
na huyu nae utasema ni muongo?: kzbin.info/www/bejne/p5bYd4R_jJWtpNU
@boniphaceandrew3685
@boniphaceandrew3685 3 жыл бұрын
@@J4UProndugu inategemeana na upadate kwani wewe unajua kwanini nimekataa hilo
@boniphaceandrew3685
@boniphaceandrew3685 3 жыл бұрын
@@globaltv_online Jaribuni kuweka vizur tafiti zenu bhana kuna watu wakiona update hiyo wancheka sana afu eti nchini dubai na umepoteza miaka kibao kusoma😂😂😂😂
@bahatynassor5431
@bahatynassor5431 3 жыл бұрын
Kweli kabisa hio
@kelvinchacher9420
@kelvinchacher9420 3 жыл бұрын
Hatari
@eliarichard9218
@eliarichard9218 3 жыл бұрын
Roho Mtakatifu pia nimzuli...
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Roho mtakatifu ndie nani?
@eliarichard9218
@eliarichard9218 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 Anaweza tengeneza pia mvua lakini kwanza Unamjua huyo Roho Mtakatifu.
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
@@eliarichard9218 sasa ndio uniambie, roho mtakatifu ndie nani?
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Wewe ni chizi sana mna ona Mungu ata wasaidia kwa lolote bila wenyewe kujiongezea mtakufa njaa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
@MOON ndo mamshangaa haina uhisiano na hii video
@adilsalum8485
@adilsalum8485 3 жыл бұрын
Wow kweli dunia imeendelea sanna
@edithmakwakwa9489
@edithmakwakwa9489 3 жыл бұрын
Ila Kama ni kweli inavutia Sana duuuu
@kasimmarko5513
@kasimmarko5513 3 жыл бұрын
Huyu tajiri wa dubai si mchezo huyu jamaa ana balaa sio mchezo
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Nnchi za kiafrica viongozi vilaza, Viongozi wa kiaarabu wanatumia lasilimali zao vizuri, viongozi wa Africa wakiletewa ela na wachina, wanauza Nnchi, alafu warafi wa madaraka wabinafsi wana roho mbaya
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 жыл бұрын
Ulaya na Dubai hata America siyo mbinguni. Kila unachokijua kuwa ni kizuri duniani asili yake ni udongo. Mbinguni jengo moja tu thamani yake ni GDP ya Marekani.
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 3 жыл бұрын
Hawajagundua wao wamezikuta technologia wameziapload
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 3 жыл бұрын
Ok
@saidhg483
@saidhg483 3 жыл бұрын
Hawatuzidi kwa teknologia kwasababu sisi tumefikia hatua ya kuruka na ungo kama ndege, unadhani technologia ndogo hio
@lm6373
@lm6373 3 жыл бұрын
Hahaha akili ya uwadui tuu mmmh
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 жыл бұрын
😅😅😅😅
@valcomangapie4520
@valcomangapie4520 3 жыл бұрын
Huo ni uchawi cio tecnologia ww mshamba tuu
@kautharjadid4287
@kautharjadid4287 3 жыл бұрын
Hivi Dubai wanarasilimali kuliko tz?
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 жыл бұрын
Technologia hii kipindi Cha waziri lowasa alitaka kuileta kutoka tailand...lakini alipiwa Vita akaam iwa analeta dili...kumbe ingewekana
@zahirurumidis4301
@zahirurumidis4301 3 жыл бұрын
Ata cc tunaweza kutengeneza RADI ARTIFICIAL na ikauwa watu,nacc pia mtusifie😂😂😂
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Yaani ww
@seremkipchirchir4786
@seremkipchirchir4786 3 жыл бұрын
Makubwa
@amanimwidowe4632
@amanimwidowe4632 3 жыл бұрын
Hiyo radi tutaitumia wakati wa vita
@seifsawafy1671
@seifsawafy1671 3 жыл бұрын
we zombie
@rosedidas7250
@rosedidas7250 3 жыл бұрын
😂😂😂
@Chris.B.Justin
@Chris.B.Justin 3 жыл бұрын
Ni hatari kweli...lakini kunanivutiya sana nitapanga safari ya kwenda huko Dubai nikashuhudiye kwa macho yangu mawili 👀👀👀
@salumsleiman613
@salumsleiman613 3 жыл бұрын
Wako fiti sanaaa
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Hhhhhhhhhh Atari sanah
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 жыл бұрын
Uko sahihi nikiwa pande za Muscat apa
@fx-farm6888
@fx-farm6888 3 жыл бұрын
Wazungu wamewashindwa waarabu kwa sababu hii Sasa wanaogopa zaidi Kama waafika pia wakiwa huru nakujitegemea maana hapo ndiyo itakuwa mwisho wa wazungu
@jayjay4313
@jayjay4313 3 жыл бұрын
Na hata sisi waafrica tunamitambo ya gongo jamani. Ukijaza maji ya bahari kitu kitatema maji safi na chumvi kubaki mtungini. Hatutakagi kwa kuwa maji tunayo ya kila aina mjue. Japo tukifanya yetu tunachezea mbakora na jela juu. Bora tuache tu. Ohooo😂
@sultannassor9756
@sultannassor9756 3 жыл бұрын
Hongera sana
@digonzakeimbe8435
@digonzakeimbe8435 2 жыл бұрын
"Wa2wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa" hayo ndiyo maarifa...
@rashidiissa9258
@rashidiissa9258 3 жыл бұрын
Wamebalikiwa hao sisi wa Africa tutakua labda tulisha laaniwa kwanzia mababu
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 3 жыл бұрын
wwe ndio umeelaaniwa walio barikiwa ni wale wanaopata maji bila kuhangaika kuchuja chumvi
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 3 жыл бұрын
@@harrisonsamwel3112,chuki zitakumaliza
@millionairejeffreysunofbez3766
@millionairejeffreysunofbez3766 3 жыл бұрын
@@fatumamwalimu5765 kaongea point, sisi tumebarkiwa zaidi, coz any thing is natural, sisi hatujui kuzitumia mali,
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 3 жыл бұрын
@@millionairejeffreysunofbez3766 ,kwa hiyo mlibarikiwa mali mkakosa akili? Mtihani kwakweli! Na hao ambao hawakubarikiwa kwa mujibu wenu wako na pesa kuwaliko pamoja nakumiliki badini tofauti tofauti, baraka ni baraka tu maana alichokipanga MUNGU ndicho alicho kifanya
@millionairejeffreysunofbez3766
@millionairejeffreysunofbez3766 3 жыл бұрын
@@fatumamwalimu5765 jitathmini ata ww km akili zako zina akili..? km unafka umri 25, je umeifanyia nn jamii......? ata ww mali unazo lkn hujui jnc ya kuzitumia
@khamismuhammed9950
@khamismuhammed9950 3 жыл бұрын
Uliyo ongea mengine uongo nipo mwaka 8 sas dubai lkn maji ya njiani yanayopita na kwenye mitaro ni yanapelekwa baharini kweny hilo bwawa linatumia maji kutoka milimani kwani yapo ktk ya milima
@esaumahundi5076
@esaumahundi5076 3 жыл бұрын
Pandeni miti kwa mvua hizohizo zà bandia
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 3 жыл бұрын
Ndo mana huku hakunaga mvua 😂😂😂ko wanazidanload 😅😅
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Hujaelewa mimi nko Qatar, nchi zote za middle east ni jangwa na hawana shida ya maji wala chakula. Wanatumia bahari kutengeneza maji fresh
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 3 жыл бұрын
😁😁😁
@clixonipadclix2169
@clixonipadclix2169 3 жыл бұрын
True am in Dubai since single and wat ur saying is true mvua ya kufanya sisi tunaoishi tunalijua hilo hii ni nchi ya jangwa na joto kali sana
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 3 жыл бұрын
@@clixonipadclix2169 hatare sana ila now baridi ishaanza
@ayubsikoyo993
@ayubsikoyo993 3 жыл бұрын
Africa ni siasa kila siku na kuiba pesa za maendeleo
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Hao wezetu wp mbali
@ahmedmagram1370
@ahmedmagram1370 3 жыл бұрын
habari za upubavu hatutaki kma hmna vipindi bra munamaze kimya
@gaudiusmenyo8604
@gaudiusmenyo8604 3 жыл бұрын
Rangi ya mungu
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 3 жыл бұрын
we ni matako sana kwahyo waarabu ndio rangi ya mungu?? ama kweli umelaaniwa sana wwe kwahyo mungu ana rangi skuiz??
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 3 жыл бұрын
@@harrisonsamwel3112 ,unawachukia waarabu na hakuna vyenye utawaondoa kwenye hii dunia, huyo MUNGU unaejifanya kumpenda hadi kutoa matusi wala hapendezwi na chuki zako maana unaonekana uko na chuki za ajabu,uenda ikawa huyo unaemtusi hapo akawa MUNGU anampenda kuliko unavyo dhani
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Yani hawa Waarabu l, wa Asia na wazungu ndio rafiki yake na Mungu sisi Africa akili zetu ovyo sana Tanzania kuna mito mingi na maziwa makuu yote ila watu hatuna maji safi 😅😅
@lm6373
@lm6373 3 жыл бұрын
Pesa pesa warabu lakini hawaonechi kama kina diamond watu wajuwe tu pesa zao warabu ni matajiri saaana na wana endeleza nchi zao kwa kila kitu .
@fatumanasoro5057
@fatumanasoro5057 Жыл бұрын
ata uku kwetu pemba tunaweza ivo
@monicahovda4524
@monicahovda4524 3 жыл бұрын
Kihistoria ndio wenye sayansi zao wamezileta hapo, hela ndio inayongea hapo, Sio usicoch, Scotish, United kingdom of Scotiland, waligundua vitu vingiwenzetu, ukitaka Sasa maendeleo ni hela yako tu
@yusufmwash6299
@yusufmwash6299 3 жыл бұрын
Ukiishi Dubai ndio utajuwa Dubai sio jangwa, Africa mashariki ndio jangwa
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 жыл бұрын
Sisi Africa tuko nyuma sana, sisi Africa ni nn tulichobuni kikubwa chenye faida na kinachofaa kujivunia? Au sisi kazi yetu ni umalaya tu na kuangalia matako ya wanawake kama ni makubwa tukipishana nao?
@sultannassor9756
@sultannassor9756 3 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@laumussa9631
@laumussa9631 3 жыл бұрын
Eow xbs. Skwiwbr
@ignassindabaha1813
@ignassindabaha1813 3 жыл бұрын
Mmmmh nimebaki mdomo wazi
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Ni kweli my
@totodavis1949
@totodavis1949 3 жыл бұрын
Naipenda African😍
@esaumahundi5076
@esaumahundi5076 3 жыл бұрын
kwA Nini hawapandi miti ?
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 3 жыл бұрын
Hakuna mvua huku pia hakuna nafasi za kupanda miti
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 3 жыл бұрын
Jamani mbona mnatafuta kiki umefikia dubai au unasikia tu au maneno tu bro😂😂😂😂😂😂😂
@bahatynassor5431
@bahatynassor5431 3 жыл бұрын
Hio nikweli kabisa
@johakizinga3003
@johakizinga3003 3 жыл бұрын
Kweli Mimi nipo mwaka wa sita najua
@khatabmohd9582
@khatabmohd9582 3 жыл бұрын
Bora tu uwaambie maana wanajifanya washa kwend
@abdul-bz1cy
@abdul-bz1cy 3 жыл бұрын
hizo mashine za kuchuja maji ya bahari na kua hayana chumvi hata huku kwetu Zanzibar kwenye mahotelini zinaekwa sema sio kubwa tu
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 3 жыл бұрын
😂😂
@rashidalihamad7228
@rashidalihamad7228 3 жыл бұрын
ni bora uwe na style yako broo unajaribu kukopy miondoko ya watu
@rogerkajigula2409
@rogerkajigula2409 3 жыл бұрын
Hii siyo technology ya wa harabu. Ongeza utafiti
@abusaeed9037
@abusaeed9037 3 жыл бұрын
Mjinga ww tembea uone wqrabu walivyo pinga hatuwa
@jarsjam8894
@jarsjam8894 3 жыл бұрын
Sio Dubai peke yake
@xmaramoja362
@xmaramoja362 3 жыл бұрын
Sisi ni wapumbavu kama ni ivo.
@jarsjam8894
@jarsjam8894 3 жыл бұрын
Miti inapandwa sana
@hamoodalrawahy2026
@hamoodalrawahy2026 3 жыл бұрын
WAMETENGENEZA MVUA YA POMBE SIO MVUA YA KAWAIDA
@hamisirajabu9954
@hamisirajabu9954 3 жыл бұрын
0
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 3 жыл бұрын
Uwekezaji mkubwa
@georgenyakerenge1576
@georgenyakerenge1576 3 жыл бұрын
Kwa unavyo tumia nguvu kuelezea angalia usije jinyea. Shida ni kutaka kuforce kuwa Kama Denis
@munirahmed7753
@munirahmed7753 3 жыл бұрын
Ni mvua bandia au mvua ya ukweli? Kujieleza ni sjida
@nassorahmadahmednassor9204
@nassorahmadahmednassor9204 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 3 жыл бұрын
mvua bandia nchi zilizo laaniwa hizo na mungu
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 3 жыл бұрын
@@harrisonsamwel3112 ,unalo andiko kua Dubai imelaniwa na MUNGU?
@remyntiranyibagira1432
@remyntiranyibagira1432 2 жыл бұрын
Kweli audanganye niko dubai yani vitu naona namaco yangu nazidiwa yani na kuishiwa technology ya warabu kbs nipo dubai moro satwa
@aj3050
@aj3050 3 жыл бұрын
Daaaaaah Tanzania lini tutafikia teknolojia??????
@davidwangwe2072
@davidwangwe2072 3 жыл бұрын
Utangazaji gani sasa huo kama unatafsiri muvi za kihindi.. afu uongo mwiingi. Lack of professionalism..
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Ulaya kama mbinguni
@jumalee2112
@jumalee2112 3 жыл бұрын
Acha ulofa mjinga mkubwa wewe taniya na wengine usitaniyi na ilo jina mpumbafu mkubwa wewe
@hajihaji6351
@hajihaji6351 3 жыл бұрын
Hujakosea nipo Dubai 8 years now ila mvua inakuja mara moja kwa mwaka aidha kwenye mwez wa December au January,
@hajihaji6351
@hajihaji6351 3 жыл бұрын
Hujakosea nipo Dubai 8 years now ila mvua inakuja mara moja kwa mwaka aidha kwenye mwez wa December au January,
@bintysele6999
@bintysele6999 3 жыл бұрын
Petrol na tende azitaki maji nandomaan zao latende na petrol zinatoka kwny falume zakiarabu Tu
@salamamohamed5805
@salamamohamed5805 3 жыл бұрын
@@bintysele6999 arafu visima vya petrol vipo Abu Dhabi
@edwardguguyu7546
@edwardguguyu7546 3 жыл бұрын
@@bintysele6999 ,hapo umenena Dada shasha my baby "!!,0687583843
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Global TV Online
Рет қаралды 818 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 16 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 41 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
EXCLUSIVE: SAIDI AKIELEZA MAISHA NA CHANGAMOTO ZA KAZI NA MIKATABA  DUBAI.....
11:44
The Problem With These Headlights
17:55
The Engineers Post
Рет қаралды 911 М.
HII NDIYO HELIKOPTA ILIYOUNDWA ZANZIBAR
10:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 819 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 16 МЛН