Daaa shetani ni mjinga kweli Kumbe baada ya kukutumikisha anakukimbia heee kwa mtu mwenye ufahamu ni muda wa kutubu na kurudi kwa Mungu , Uliyenieelewa naomba like jamani.
@kajembeathman4 ай бұрын
Safi sana dudu muelimishaji jamii conk master oil chafu.
@edwinalexander11704 ай бұрын
Huyu jamaa siku zote huwa anazungumza ukweli. Mungu kweli huipiga kofi faida isiyohalali na imeandikwa kwenye Ezekiel 22:13 "Basi, tazama, nimeipigia kofi hiyo faida uliyopata kwa njia isiyo haki, na hiyo damu yako iliyokuwa kati yako."
@MussaMabula-w2n4 ай бұрын
Mzee uko saw. Nimekuelew
@mwinyiswaleh83884 ай бұрын
Jina lenyewe la studio yake linasema kilakitu.hukusikia yule alienda kwa DIDDY na Diamond alisema situdio yake kuna kitanda chamasaji.
@geeva994 ай бұрын
Dudu leo katuibia 😂😂😂 uncle wa taifa
@jobuish4 ай бұрын
Crang mark alikuaaa handsomeee ?? Falaaa wewe
@AliceNiyongere4 ай бұрын
Mi nimwanamke wa kirundi nampendaga sana Duda baya
@JenaniKilipamwambo4 ай бұрын
Good Mamba
@jeremyjeyme31844 ай бұрын
Dudu kaongea point sana hakuna cha bure lazma uiname upigwe kuni😅
@MaikoRashku4 ай бұрын
Asante kaka, ila hapo kwa diamond umekosea, diamond hakukimbia
@AmisamauridNgagada4 ай бұрын
Kaka mkubwa nakukubari xana endelea kutusanua😂
@MikidadiSalim-xk9dc4 ай бұрын
Nikweli kabisa konk ukijifanya unataka uwe msanii namba moja kila siku hutaki kuwa legendary lazima upididiwe tyuuu!!!!!! Konk upo right kabisa tamaa nikitu kibaya sn....
@RaphaelMecky4 ай бұрын
Nafikiri dudubaya karibu kuingia kwenye kua Mtumishi wa Mungu maana naona Maongezi yako yamejaa kumsifu Mungu safi kwa hilo
@kevinbrown19004 ай бұрын
Fact
@Maria-cx4kn4 ай бұрын
Si lazima uwe mtumishi ndiyo uishi kimungu hapana…..kila mtu anatakiwa kubadilika na kuishi Kama mungu anavyotaka au anavyoagiza tuishi.
@kambiyusufu27764 ай бұрын
Dah kweli shetani hubalika hadi kua maraika we dudu ndo ukua ivo😅
@BONGOHOODTV3 ай бұрын
Dudu baya na pdidi wp na wp😂😂
@sittandaki21354 ай бұрын
Wewe mwandishi acha maswali ya hivoo 😂😂😂😂😂😂
@nicholauspeter94544 ай бұрын
nampenda sana huyu kaka
@AzaAzamhmod4 ай бұрын
Dudubaya❤❤
@CragPierre4 ай бұрын
Dudu baya ! Piga injili. Muache PD apige hela kwa akili yake kubwa.
@johnnanachi22754 ай бұрын
Konki Master
@hamiduhamdun18584 ай бұрын
Mase tunamjua
@AzaAzamhmod4 ай бұрын
Pdidy ni mtu mmbaya sana😢😢😢kajua kuwaharbu watu
@LupatuMathew4 ай бұрын
Dudu wewe mtu wa point unajielewa mwamba
@amrash91794 ай бұрын
Kweli neno la mungu ni mwanga wa ulimwengu,dudu baya amekua mchungaji naona hpa kwa anavyoongea
@AsanteMsafiri-v7h4 ай бұрын
Grisi ndo kila kitu
@EliasKasomi-db4io4 ай бұрын
Nchi hii tumetekwa na kiki xana mpk tuje tujitoa xio leo
@AishafuzAbdou4 ай бұрын
You are so rit oncle. i S !!!
@AzaAzamhmod4 ай бұрын
Wamuulie mbali huko
@Ruu9744 ай бұрын
Ukimuona mwanamume ana vaa vikuku na vipuli mchunguze kwa jicho la tatu
@merrynancesimon15624 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@Ngoona4 ай бұрын
P Diddy
@kijitamfyomi55984 ай бұрын
Mtangazaji bwana dudu baya kasema he is a bad guy We unasema kasema ba girl
@JohnsonDeeX4 ай бұрын
Mtangazaji boya hasikii
@GufgChgy4 ай бұрын
😂😂😂
@Fetty-r4o3 ай бұрын
Au anasikia, ila hafahamuu? 😂
@MtiloMsilanga4 ай бұрын
Wasitudaganye
@jayman78654 ай бұрын
Mhuu huyu jamaa sasa naona sifa kila seckta yupo
@luisojr34804 ай бұрын
Huyo Mase aliamuaga kuondoka kabisa alipotoka bad boys record chini ya Didy
@TBSMusic14 ай бұрын
Big
@mckobatz58614 ай бұрын
"Huu ndio ukweli wa kesi ya p Diddy dudu baya ni FBI, mwanasheria wa kesi husika au ndio hakimu aliyethibitisha pasipo shaka? Au naye ni miongoni mwa waathirika na matendo ya Diddy? Andikeni heading zinazomake sense
@mohamedmatola59494 ай бұрын
Yani watu wanaumia dudu baya kuongea ukweli wabongo tuna shobo na marekani mwisho mnaliwa mboga 😂
@FrankGasper-eq2ui4 ай бұрын
Huo Ni uongo bhana
@saliminyusuph61224 ай бұрын
Uongo nini. Au na wewe una p didywa nini
@haematites_Fx4 ай бұрын
sio kifo cha tupac tu hadi cha Michael Jackson
@FredMbai4 ай бұрын
Mzee wa party diddy
@DorisZephania-ci8ym4 ай бұрын
Ni Mungu amekutumia kunena haya na siyo wewe
@CragPierre4 ай бұрын
Tusiongelee mtu kuinamishwa ! Huyo MTU ana uzuri Gani jamaa. PD ana jeuri ya kumuinamisha msichana yoyote yule mzuri hapa duniani. Kitu rahini. Jiulize kwani ni hao wanaotajwa kwenye mitandao. Guys ! PD is extra genius and is making money
@tunumwakingwe67814 ай бұрын
Wandishi habali acha kumtumia vibaya dudubaya huyo nikioyoyo ya jamii
@mdl64634 ай бұрын
😂😂😂
@hamisially-c4x4 ай бұрын
Dudubaya alimuona lini p dd
@jackmabirangacharles93984 ай бұрын
Ndugu yangu. Dudu Zuri wewe ulifeli Maisha Acha Wivu sasa hivi unateseka hata Nyumba huna kwahiyo usiseme wenzako
@HamidaMkwizu4 ай бұрын
Bora afeli maisha kuliko kuwin maisha ya p did 😅
@DeodatusRenatus4 ай бұрын
Anachokisema konki ni kweli asilimia 100 , kama bado uko mbali na Dunia huwez elewa. Mm pind nnafanya Sanaa, apa apa Tanzania nilipelekwa Kwa boss mmoja akaniahaidi kunisain na kunipa nyumba y kuish , nilivyorud kesho yake kariakoo kwake , sharit alilonipa niliacha Sanaa siku hiyo hiyo . WALA sitokuja kusahau mpaka nnaingia kaburin ulikuwa mwez wa3 mwaka 2018
@silasmwamburi92844 ай бұрын
Nani kakwambia alifeli mshamba wewe Dudu baya anamiliki nyumba yake mwenyewe
@khadijawakio62614 ай бұрын
hauna hasara, umeokoa maisha yako
@saliminyusuph61224 ай бұрын
Bora ya teja kuliko kuwa mrembo wa P didy
@ElishaKawia4 ай бұрын
Dudu baya alimuonea wapi did acheni uongo
@ifgodsayyes.nobodycansayno17964 ай бұрын
Wacha kujaji kwani pdidi ni mungu? Komaa akili badala ya kukomaa mwili
@josiahnaftaeli78624 ай бұрын
Utakuwa hukusoma wewe,kwani Hitler ulimuona wewe?
@LilianBitwale4 ай бұрын
We nae kama Fara, Kwan huyo pididy NI Mungu mpaka watu wasimuone? Au anakipi cha kutosha mpaka watu wasimuone kheeeee we nae
@saliminyusuph61224 ай бұрын
Akina p didy wapo we ngi tu kama utaki kazi utawapata tu