Duh! ASKARI KIBURI Abishana na MAGUFULI Mbele ya RPC - "AMENIINUA"

  Рет қаралды 683,492

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

Duh! ASKARI KIBURI Abishana na MAGUFULI Mbele ya RPC - "AMENIINUA"
Rais Dkt John Magufuli, amefanya ziara ya kushtukiza katika gereza la Butimba lililopo mkoani Mwanza..
Alipofika gerezani hapo Rais Magufuli, amefanya mazungumzo na wafungwa wa gereza hilo na kusikiliza kero zao..
#JPM
kzbin.info?list... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 128
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@Bennymwangaza
@Bennymwangaza 2 жыл бұрын
The Police Man acted professionally
@ashab2537
@ashab2537 5 жыл бұрын
Huyo mfugwa aliyemchongea, ajiandae kupata mateso mara mia
@richardbuhatwa1940
@richardbuhatwa1940 3 жыл бұрын
Safi kamanda anajiamini hiyo sio kumnyenyekea sana mwanadamu mwenzako
@danmarley4648
@danmarley4648 3 жыл бұрын
Magufuli ana kiburi zaidi....kama sio mungu kuinua hata yeye hangekua hapo.....
@kabete1099
@kabete1099 3 жыл бұрын
Confidence is key in life. Usitishiwe na MTU ata rais atatoka tu.
@lepadrechief4642
@lepadrechief4642 3 жыл бұрын
Bible inasema tiini mamlaka ya waliokua juu yenu
@moanahlavidas3962
@moanahlavidas3962 3 жыл бұрын
we jau kichiz u think kujibu hvyo ilipendeza?, ye anaulizwa anajibu jeur et kaniinua kias flani hii wananchi wengin ban et confidence...
@kabete1099
@kabete1099 3 жыл бұрын
Haha😂😂 kumbe naeza kua mhenga. Nlitabiri mwisho wa magufuli na imekua kweli.
@alibabu4818
@alibabu4818 3 жыл бұрын
Ana mshukuru mungu kAinuliwa
@sntiaratiara7211
@sntiaratiara7211 5 жыл бұрын
i love this man he has coufedce i wish ugandans have a prsdua lyk him💪💪💪
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Ofkoz!!!
@parkermekhi4728
@parkermekhi4728 2 жыл бұрын
i guess I am kinda randomly asking but does anyone know a good website to watch new movies online?
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 5 жыл бұрын
Mimi mkenya ila Rais Magufuli ni kiongozi anayestahili shada👌👌👌
@samwelmbua4193
@samwelmbua4193 3 жыл бұрын
Anamshukuru Mungu kapata kuinuliwa ili atoe kero yake juu ya hao wafungwa, he was right i think that statement meant like that.
@allymbonyinshuti7200
@allymbonyinshuti7200 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 жыл бұрын
Anajiamini na kazi yake,maswali mengi amesababisha ajikwae ulimi
@amnotthefather1518
@amnotthefather1518 3 жыл бұрын
Apana tishwa
@micamathew6433
@micamathew6433 5 жыл бұрын
Huyu atakosa kazi
@januarimagobe59
@januarimagobe59 4 жыл бұрын
Nimecheka basi tu
@furahakefa4806
@furahakefa4806 5 жыл бұрын
Sukuma ndaniiiiiiiii apotelee huko
@abuukajembe2885
@abuukajembe2885 3 жыл бұрын
Kwel afande
@linalinhwefwe6584
@linalinhwefwe6584 3 жыл бұрын
Mbona kwenye media
@gaudencemlowe8399
@gaudencemlowe8399 Жыл бұрын
Safi sana
@patientkambaza5686
@patientkambaza5686 4 жыл бұрын
Dady love you
@luckygona3494
@luckygona3494 5 жыл бұрын
...Maguful your the best president in afrika...GOD Bless you...
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
For you
@elienezarumisha9996
@elienezarumisha9996 5 жыл бұрын
Et Kapewa Kiki😂😂😂😂
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 жыл бұрын
Haaahaaaa jaman 😂😂😂🤣🤣ameinuliwa
@kilawaomary7724
@kilawaomary7724 3 жыл бұрын
jeje lyrics
@stellapeter7208
@stellapeter7208 5 жыл бұрын
Askar anatakiwa awe hivyo.cheo cha kikatiba na kimafunzo tofauti acheni uoga
@asumaabibu5687
@asumaabibu5687 5 жыл бұрын
Askar yuko sawa jmn
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Kabisa!!! moja ya sifa ya askari ni kijiamini, bahati mbaya sana kujiamini mbele ya viongozi wa nchi hii ni UJEURI/KIBURI
@dignajohnball5571
@dignajohnball5571 5 жыл бұрын
Nimekaa kota ukigoma kwenda shamba eti useme unaumwa cha moto utakiona yaani mgonjwa asiyewez kutembea na kazidiwa hata kuongea lakini maumivi tuuuu kazi utafanya tuuuuu
@erickmoenga1206
@erickmoenga1206 3 жыл бұрын
Nimekuja hapa ili wewe uinuliwe? Wewe naona uko na kiburu🤣😂😂
@presidentofafrica.5038
@presidentofafrica.5038 Ай бұрын
😁😁😁
@ramadhanmatinya7053
@ramadhanmatinya7053 3 жыл бұрын
Usalama weshafanya kazi zao wamesha toa taarifa kitambo mno
@lovekissseries4099
@lovekissseries4099 5 жыл бұрын
Kweli yuko kama amelewa yan hiyo mikono amefanyaje
@mako331
@mako331 5 жыл бұрын
Askari magereza wengi wanauonevu sana mateso mengi huko mkuu
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Na wewe uache kuiba!!!
@thomasnyalianga242
@thomasnyalianga242 5 жыл бұрын
Mimi nampa siku utasikia katumbuliwa au kashushwa cheo chake
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
😂😂😂
@evodiuskivili7499
@evodiuskivili7499 3 жыл бұрын
Ahaha kamanda
@daudichirstopher6727
@daudichirstopher6727 3 жыл бұрын
R I P
@tomdee7504
@tomdee7504 3 жыл бұрын
Baba wa mwezetu Huyu ana nyanyasika kwenye utaftaji wake wa ugali watoto wake wakale huyo mfungwa atakoma
@mashaelieazer6120
@mashaelieazer6120 5 жыл бұрын
Askari jeuri hili,tena anabahati angetumbuliwa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Sifa ya askari ni kujiamini, bahati mbaya sana kujiamini mbele ya baadhi ya viongozi wa nchi hii ni ujeuri/kiburi!!
@ismailmashimba3470
@ismailmashimba3470 5 жыл бұрын
Huyo askari ni kumchota na kumsukuma ndani
@emmynyodi8436
@emmynyodi8436 5 жыл бұрын
Ismail Mashimba angemfyekelea tu
@husseininteligence6234
@husseininteligence6234 4 жыл бұрын
Huyo mfungwa atakiona cha moto rais akiondoka
@jimisonpius8100
@jimisonpius8100 3 ай бұрын
magu
@aishamussa9799
@aishamussa9799 5 жыл бұрын
Jamaa hana woga kabisa kuzungumza hivyo na Mh rais
@asumaabibu5687
@asumaabibu5687 5 жыл бұрын
Kwani rais kitu gani askar yuko sawa alitaka amlambe matako
@floracharles1313
@floracharles1313 3 жыл бұрын
We ulitaka aongeeje
@naharajr6745
@naharajr6745 5 жыл бұрын
Kabisaa maskar kama hawa ndio wanaoalibu nchi
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Askari yuko sahihi!!!
@moanahlavidas3962
@moanahlavidas3962 3 жыл бұрын
huyu kiburii..... alitaka aweke kwenye memes
@tinamzava834
@tinamzava834 3 жыл бұрын
Amechoka
@lucywilliam3559
@lucywilliam3559 5 жыл бұрын
askari sidhani kama alipita JESHI. huwezi kuwa na maneno mengi ktk swali la jibu MOJA
@vinnahmichael133
@vinnahmichael133 5 жыл бұрын
Kabisa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Huyu ndie aina ya askari tunaowataka!!
@jeanmubemba1204
@jeanmubemba1204 5 жыл бұрын
hahahahah Magu bana utatuvunja mbavu mkuu,huyo jamaa ameinuliwa haha
@reubenk.kalawa6570
@reubenk.kalawa6570 3 жыл бұрын
Huyo jamaa ameinuliwa kweli
@user-rb9kv7bm6m
@user-rb9kv7bm6m 7 ай бұрын
Nyundo imepigilia mapaa mengi itajumbukwa
@abdilale52
@abdilale52 3 жыл бұрын
R.I.P
@assaandrew2411
@assaandrew2411 3 жыл бұрын
Huyu afande anaconfidance
@fadhilmawazo9009
@fadhilmawazo9009 5 жыл бұрын
Muhma kitu chengine, cjui kama haja saura!!
@sammysammy2001
@sammysammy2001 3 жыл бұрын
Nae cheza mnyoe Sina huruma Mimi
@sifamushi1747
@sifamushi1747 3 жыл бұрын
Toa nyota zake uyooo...
@franklinekipkoech9453
@franklinekipkoech9453 5 жыл бұрын
Englishmen say power is like a pendulum. Today on your side tomorrow on the other side.
@amourfaki8737
@amourfaki8737 5 жыл бұрын
Mh dikteta bas wazee wetu
@abedichande2497
@abedichande2497 5 жыл бұрын
Ujue kuna watu wapo hapa tanzania lkn sina uakika na ulaia wao et dikteta hahahaha....kwel uchawi upo we jamaa utakuwa mchawi wewe
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 жыл бұрын
Yahni unajua ukiwa na akili afu mjinga ni losi kubwa sana
@awardhakimu4777
@awardhakimu4777 3 жыл бұрын
Huyu atakua mndali huyu
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Hhhhhhhhhjj uyu jamaa noma askari noma
@kavisille1815
@kavisille1815 3 жыл бұрын
Mr president himself
@nasbakari1849
@nasbakari1849 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jawawahab4689
@jawawahab4689 3 жыл бұрын
Ku
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
Maswali mengine yakudhalilishana tu.
@Danmetrofm
@Danmetrofm 3 жыл бұрын
Hehehe
@bonabonala42
@bonabonala42 3 жыл бұрын
Jpm hayo afande unamuonea2
@samwelmbua4193
@samwelmbua4193 3 жыл бұрын
Mikwara haifai., msionee watu wapeni UHURU wa kusema.
@penpoomsukuma1818
@penpoomsukuma1818 3 жыл бұрын
Una pita
@chaucassim4123
@chaucassim4123 10 ай бұрын
Baba etu. Magufuli
@abdallahomari8680
@abdallahomari8680 5 жыл бұрын
Huyo askari anahaki yakujieleza naniuhuru wake hanakosa alichokisema nisahihi kilamtu anakazi yake naafanye kazi kulingana nasheria Rais hayupo juu yasheria. Hapo hakuna cha kuomba msamaha Rais wetu magufuli si Mungufuli.
@dominicomakungwa729
@dominicomakungwa729 5 жыл бұрын
Mzeee tumbua huyo
@amourfaki8737
@amourfaki8737 5 жыл бұрын
Mh nawe kajifunze nidhamu
@yohanandalahwa983
@yohanandalahwa983 5 жыл бұрын
kama ungelikuwa mchezaji wa mpira tungesema umekimbilia kucheza Rafu bila kujua hata kuwa mwenzio mpira ukifika tu anatoa pass,halafu wewe unamkwatua watu wanabakia wana kushangaa.........umekimbilia ku comment hata hujajua huyo asikari kasema nn hadi jpm ka kasirika....
@asumaabibu5687
@asumaabibu5687 5 жыл бұрын
Ata mm nashangaa rais hajamtendea haki.
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
@@yohanandalahwa983 pumba
@eliasinyamoya7959
@eliasinyamoya7959 4 жыл бұрын
H
@latifahabib8413
@latifahabib8413 5 жыл бұрын
Wanyonge peponi😀😀😀😀😇😇😀😇😀😇😇😇😬😬😉😡😢😢😇😇
@neemamassawe3029
@neemamassawe3029 5 жыл бұрын
Kiburi chake kipo wapi?
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Yaani we acha tu,,,,lakini ndio kule kujimwambafy kulikosemwa!!!!!
@soudybrown1494
@soudybrown1494 3 жыл бұрын
Askari cku zte ni ndio afande hata kma unaonea malalamiko baadae,askari hutakiw kubishana na mkuu wako wa kazi hata kma hayuko sahihi na hyo ndo nidhamu ya kijeshi na ndo ipo hvyo
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣hyo afande hana chake hpo hamjui magu ati ameniinua hpo hana kazi tena kiburi chake hakina faida
@georgekinabo68
@georgekinabo68 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 sipati picha uko alipo huyo askar sasa
@saraphinamichael2203
@saraphinamichael2203 5 жыл бұрын
GEORGE KINABO 😂😂😂😂 Askari mavi si mavi mkojo si mkojo🤣🤣🤣
@georgekinabo68
@georgekinabo68 5 жыл бұрын
@@saraphinamichael2203 🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 3 жыл бұрын
Huyo si askari,mpumbavu sana na afutwe kazi mara moja.Haiwezekani askari kujibishana na Rais.
@geofreygodfrey6402
@geofreygodfrey6402 3 жыл бұрын
Foolish
@dianafyondi3265
@dianafyondi3265 5 жыл бұрын
Huyu askari hafai kabisa. Inaonekana ana dharau sana. Tena imeonyesha wazi kama kunawafungwa wako chini yake wanapata taabu sana.
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 жыл бұрын
Yeah ameonesha dharau mbele ya rais imekula kwake
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Huyu askari yuko vizuri Sana, ndio wanaotakiwa kama hao!!!
@b.3940
@b.3940 4 жыл бұрын
Aliinuliwa kivipi? Hela ama mahaba?
@ithewakui4839
@ithewakui4839 5 жыл бұрын
Huyu rais mkoloni kweli dictator!!!
@errydeo8865
@errydeo8865 5 жыл бұрын
fafanua...au ndo unaamka?
@ithewakui4839
@ithewakui4839 5 жыл бұрын
@@errydeo8865 anasomea aje mwanamme ka bibi yake?
@yussufdegea6662
@yussufdegea6662 3 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆
@ezekielmalibani1484
@ezekielmalibani1484 4 жыл бұрын
Dicteter kweli
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Sifa moja ya uaskari ni kujiamini, bahati mbaya sana, kujiamini mbele ya baadhi ya viongozi wa nchi hii ni ujeuri/kiburi!!!
@daudijohn6429
@daudijohn6429 3 жыл бұрын
Siyo kila sehemu pakujiani inategemeana unajiamini sehemu gani fukuza huyoo
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
@@daudijohn6429 huna unalolijua!!!!
@dignajohnball5571
@dignajohnball5571 5 жыл бұрын
Yaani huyomfungwa atakuwaanapigwa atajuta kasemea nin namwonea hurum
@stanslausmasinde5844
@stanslausmasinde5844 5 жыл бұрын
raisi ninakushukuru kwa kutimiza wajibu wako
@mahony1664
@mahony1664 4 жыл бұрын
Huyo askari amejieleza hamna cha kuomba msamaha..magufuli ni dictator na ndiye ako na kiburi
@shabaniiddi5081
@shabaniiddi5081 3 жыл бұрын
Xxx L
@yusuphmeshack2157
@yusuphmeshack2157 3 жыл бұрын
Duh tujiajili tu
@dadakijembe3706
@dadakijembe3706 5 жыл бұрын
Hyu askar jela ni mfisadi huyu mwizi kabisa
@edwardlucas8912
@edwardlucas8912 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....
11:32
MFUNGWA Amshtaki ASKARI Kwa MAGUFULI - "ATATUUA ONDOKA NAE"
4:18
Global TV Online
Рет қаралды 473 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 82 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 61 МЛН
The Day Ronaldinho Showed Zidane Who Is The Boss.
14:05
RDHDComps
Рет қаралды 42 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 6 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 82 МЛН