KAULI YA MSIGWA BAADA YA KUHAMIA CCM, CHADEMA HAINA UHALALI KUIHOJI CCM, CDM NI CHAMA CHA MTU MMOJA

  Рет қаралды 21,803

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 160
@mohdyussah825
@mohdyussah825 3 ай бұрын
🇦🇪Welcome sana Muheshimiwa Msingwa huku ndio nyumbani sasa CCM OYEE 🎉🎉🇹🇿💚💚💚
@safiaothman5175
@safiaothman5175 3 ай бұрын
Hoyeeee
@IntayoberanaSaidi
@IntayoberanaSaidi 3 ай бұрын
​@@safiaothman5175PPP🏐🏐❤
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 2 ай бұрын
kwendraaa rambaramba. MBOWE kamanda wangu pamoja mpaka kifo
@medicalamon908
@medicalamon908 3 ай бұрын
Duuh kwakweli wananchi muelewe kuwa viongozi hawa hawapo kwaajili ya wananchi muhimu kwao ni madaraka.Msigwa hapo nyuma ameikosoa sana CCM leo CCM imekuwa nzuri Duuh SAFARI ya Mbinguni ni ngumu sana.Msigwa Umefanya niichukie sana SIASA kwa Sura mbili zako ulizozionyesha.
@fatimahants1526
@fatimahants1526 3 ай бұрын
Huyu mwamba yuko Imara ila hakuwa sehem stahki...karibu nyumbani ❤❤❤❤
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 3 ай бұрын
Ili aibe vizuri maana sera zenu ni wizi wa mali za umma
@fatimahants1526
@fatimahants1526 3 ай бұрын
@@isayakihongile4921 usihukum pasina uhakika
@helencyprian8745
@helencyprian8745 3 ай бұрын
Msigwa umejishushia sana heshima
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 3 ай бұрын
Uchaguzi umekaribia wenye akili ndogo akina Msigwa wameshanunuliwa CCM OYEEtutashinda kwa kishindo mpaka karne sita
@mohamedisaidi
@mohamedisaidi 3 ай бұрын
Njaa tu
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 2 ай бұрын
kama kuna rambaramba walio bakia katika Chama cha democracy wamfate rambaramba mwenzao mapema
@helencyprian8745
@helencyprian8745 3 ай бұрын
Ni kawaida yenu kumsema mbowe, chadema itaendelea mbele pasipo ww
@SizaAdolph
@SizaAdolph 3 ай бұрын
Hapo ni wale wanaotak mbowe atoke chama kife
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 3 ай бұрын
Tupo na mbowe hadi kifo kimkute wanataka wapewe wao uenyekiti wakiuze chama
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 3 ай бұрын
Safi sanaa
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 3 ай бұрын
Kuna wanasiasa kama malaya ndio huyu sasa
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 3 ай бұрын
Karibu sana nyumbani Msigwa. Umefanya uamuzi sahihi na busara. CCM daima. Mama Samia Safi kabisa. Mitano kwa Mama Samia.
@jazzjeff8431
@jazzjeff8431 3 ай бұрын
Hatimae jongwe aka sugu kamkimbiza msigwa chadema baada ya kumgalagaza kwenye uchaguzi wa kanda.....dah siasa unafiki Sana na njaa haina nishani
@ymohammed963
@ymohammed963 2 ай бұрын
Nyerere alishasema ....kama Malaya Malaya hivi
@ymohammed963
@ymohammed963 2 ай бұрын
😮Msaliti .....kama hajafaaaa chadema. ccm atafaa....akitoka ccm ataisema tena kwa chama kingine msiwamini sana
@akimAkimuWA-m3t
@akimAkimuWA-m3t 3 ай бұрын
Yaan mungu amemwambia achungekondoo lakiniyeye ameacha ameenda kwenyevisiasa
@saimonimzopola4355
@saimonimzopola4355 3 ай бұрын
Mimi sina chama ila ni mpenzi wa chama fulani.lakini nimesikitika mchungaji wewe ni mnafiki juzi ulienda singida ukatudanganya.wewe hufai kukosa cheo .mbeya .ndo yamekushinda?
@iddyissa8110
@iddyissa8110 3 ай бұрын
Hakika uyu bwana atausikute biblia aijui
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 2 ай бұрын
Je kanisani kwako waumini utawafundisha somo la kushinda majalibu au utawaambia yakizidi sana yakimbie
@rashidomar2771
@rashidomar2771 3 ай бұрын
Kwa maoni yangu hii inaonyesha wazi kushindwa kwa mifumo hii ya kisiasa,,ipo haja ya wananchi kutafakari mfumo mwengine wa kutafuta maendeleo yao,,hawa wanasiasa wanatafuta tu maslahi yao binafsi,,si kwa ajili ya wananchi,,ki msingi ni watu waongo wanaotafuta riziki kwa kuuza maneno kwa kupitia migongo ya watu,,,
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 3 ай бұрын
Unataja Mungu pumbavu taja Miungu yako Mungu fundi siku utasema mnafiki
@AthumanDauda
@AthumanDauda 3 ай бұрын
Nilijua tu msigwa kwamba ipo siku ataingia ccm
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 3 ай бұрын
DAAH!!!! HIZI SIASA JAMANI NDOMAANA MIMI SINAGA CHAMA ATAKAE SHINDA ME NDO HUYOHUYO ATAKUWA RAIS WANGU 🙄🤔 FULSTOP!!!
@RamadhaniMsagati
@RamadhaniMsagati 3 ай бұрын
Pole yako
@HelmanSolomon
@HelmanSolomon 3 ай бұрын
kaka yangu msigwa, ilitakiwa uwashukulu sana chadema, ndio waliokupa ubunge, vyama vingapi ulikuwepo, mbona hawajakupa ubunge, chadema wamekupa Leo Tena wamekuwa wabaya, usitukane utokako, kaka ujuwe kesho pia utawatukana CCM, Aya yetu macho
@PlantUrgentProcess
@PlantUrgentProcess 3 ай бұрын
😂 unafiki mbaya sana jmn ! Njaa hii daaa😅
@judicalosika7642
@judicalosika7642 3 ай бұрын
,😳😳😳😳😳
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp 3 ай бұрын
Hufai KABISA KUKOSA WANA MBEYA WAMEKUGALAGAZA ASUBUHI.
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 3 ай бұрын
Siyo kiongozi mwandamizi wala mwenyekiti wa kanda chadema alishaikosa hiyo nafasi ipo na sugu
@Kassim-c3i
@Kassim-c3i 3 ай бұрын
Mbona mnamsema sana mbowe au kwa sababu wananchi wanamuamini? Mbowe ni kiongozi lmara lazima takataka kama huyu warudi kwenye uchafu wao ndipo upinzani utastawi zaidi
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 3 ай бұрын
SAF SANA MSIGWA UMEWAFUNGULIA MLANGO WENGINE KARIB CCM 😂😂😂 HII NDO CCM NNAYO IJUA😅😅😅 HAD UCHAGUZ KITAKUWA KIMEELEWWKA
@mathewungani9724
@mathewungani9724 3 ай бұрын
Kiungo Mshambuliaji, Peter Msigwa....
@LyemeMohamed
@LyemeMohamed 3 ай бұрын
Ungeacha vyote ukamrejea Mungu nigeona kweli;lakini umehama Chadema na kwenda CCM kufuata kula tu.wewe ni msaliti na. Hunai uzale do.
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 3 ай бұрын
Msigwa amemkimbia dada msambatawanu, dada Yuko vizuri
@AyyanJambau
@AyyanJambau 3 ай бұрын
Duuh 😢
@GodfreySiegfried
@GodfreySiegfried 3 ай бұрын
Yeye aende kupiga ela uyo hafai mtajuta nyie ccm uyo mtajuta na si mchungaji uyo
@sifaelmophat1021
@sifaelmophat1021 3 ай бұрын
Mchungaji kakurupuka sana
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 3 ай бұрын
Kiungo mpya umemtambulisha leo kama vile wananchi tunavyotarajia kumtambulisha kiungo mpya Chama ndani ya Jangwani
@ladislausshirima863
@ladislausshirima863 3 ай бұрын
Mm namshangaa huyu ni mchungaji? Hata siipendi siasa
@TajewuoMoseka
@TajewuoMoseka 3 ай бұрын
Njaa tu
@BellaMtalika
@BellaMtalika 3 ай бұрын
Mmmmh hii sio sawa ilibid ake bench miez sita ndio ajiunge
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 3 ай бұрын
Ccm wajanjaaaa, wanaweza kumpa kiasi chochote anachotaka ili aseme ayo, sio kosa lake njaaa, wanainchi bakini na mawazo yenu, msimfuate msigwa
@generosennko8343
@generosennko8343 3 ай бұрын
Ni roho nyingine ilimwingia huyu mtu. Ni vitu flani alitamani kuvipata. Kaona dawa ni kuingia ccm. Huyu hata kanisani hafai kumbe. You cant be trusted. Sori 4 u.
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 3 ай бұрын
Msigwa kaishiwa ufai ata ujumbe wa nyumba 10, ongea yako sio ya chama ata ulivyokuwa chadema uliisema ccm. Kama leo u avyoisema chadema tapeli mkubwa we. Njaa mbaya
@paschalboniface-hb4lh
@paschalboniface-hb4lh 3 ай бұрын
Uyu mwamba tamaa sishamshusha eshima kabisa sikutegemea kwasasa wabunge .wapo kimasilahi wanatafuta pesa si kutumikia wananchi pumbavu
@bakarimkwizu4335
@bakarimkwizu4335 3 ай бұрын
Msigwa utafika mbali una kitu
@BarakaMwakalinga-sn5sp
@BarakaMwakalinga-sn5sp 3 ай бұрын
Umekuwa mweusi balaa
@BarakaShabani-o1q
@BarakaShabani-o1q 3 ай бұрын
Maneno ya mwl nyerere nilikuwa siyaelewi Sasa nayaelewa kumbe wanasiasa wenye tabia za kimalaya wapo
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 3 ай бұрын
Hawa ndio wanazitia doa ata dini anaitwa mchungaji mchungaji gani anabadilika badilika
@johnmwawa2838
@johnmwawa2838 3 ай бұрын
Hivi huu ni mchungaji wa kanisa gani
@SamwelMdamanyi
@SamwelMdamanyi 3 ай бұрын
Ulipokua chadema hukuyaona hayo ulipokosa uwenyekiti ndio ukayagundua unaelekaje Kwa wanaokusikia?
@SamwelMdamanyi
@SamwelMdamanyi 3 ай бұрын
Ungejiuzuru Kisha ukayasema hayo usemayo tungekuelewa uwe mkweli una kundi kubwa la kondoo nyumba yako ukiwapoteza utaulizwa na Mungu
@nurumussa9107
@nurumussa9107 3 ай бұрын
Hii inaonyesha waziwazi kiasi gani hatuna viongozi waliopo Kwa maslahi ya watanzania na hakuna wapinzani hapo ila Kuna wenye njaa, Yani msigwa alivoahindwa na sugu kahama na chama inaonyesha kwamba hata huko ccm akiteuliwa kusimama kukiwakilisha chama akashindwa yupo tayari kuwepo vita ilimradi yeye atangazwe. Viongozi wa hivi hamna asiekubali kushindwa si mshindani
@maase2023
@maase2023 3 ай бұрын
Kuchukua wanasiasa wa kizamani ni sawa na kusoma gazeti jioni tu
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 3 ай бұрын
Du mch. Unahangaika pole yako
@idatonymassawe
@idatonymassawe 3 ай бұрын
Njaaa ni mbaya sanaaa.😢
@TallTallmysha
@TallTallmysha 3 ай бұрын
DAH UMEJIHARIBIA SANA AISE DAH
@wartv730
@wartv730 3 ай бұрын
Yeye ni mamluki
@SizaAdolph
@SizaAdolph 3 ай бұрын
Ndio maan walisem watu fulani wamenunuliwa,
@salahhddindasuvic6447
@salahhddindasuvic6447 3 ай бұрын
@funnuelmwalukasa4506
@funnuelmwalukasa4506 3 ай бұрын
Alichelewa sana ilitakiwa ajiunge kipindi Cha magufuli pindi alivyomtoa Gerrezani mwaka ule mnakumbuka wahenga
@JaneWalter-m7l
@JaneWalter-m7l 3 ай бұрын
Rais samira usijeukamteuwa popote huyu balaa, kafuata cheo huko angesema angungua kanisa tungemuelewa vijana wapo wasomi wazuri mnahangaika kununua maze
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 ай бұрын
YAANI BAADA YA KUSHINDWA , KAAMUWA KUHAMA. ASIYEKUBALI KUSHINDWA SIYO MSHINDANI.
@mathewungani9724
@mathewungani9724 3 ай бұрын
Njaa tu,
@mashakakwembe7482
@mashakakwembe7482 3 ай бұрын
Wewe ni msaka tonge tu kumbe kilichokuwa kinakuweka chadema ni madaraka tu leo ccm uliokuwa unawapinga na kuwatukana wamekuwa wazuli du huyu kweli no mchungaji kweli ?
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 ай бұрын
Nanyanuka sasa
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 3 ай бұрын
Huyu jamaa hovyo sana, kama sio mnyaru
@ChristopherSibale-f3u
@ChristopherSibale-f3u 3 ай бұрын
mnatuchanganya leo hivi kesho vile mchungaji kauli 2 haifai
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 3 ай бұрын
🙄🙄🙄🙄🤔🤔🤔🤔????
@musomamet
@musomamet 3 ай бұрын
Aibuuuu....!
@AltenKiswaga-zw9rf
@AltenKiswaga-zw9rf 3 ай бұрын
Njaaaa njaaaa hiz nibalaaa
@ModestJohn-z9m
@ModestJohn-z9m 3 ай бұрын
Por msinqwa
@SizaAdolph
@SizaAdolph 3 ай бұрын
Na kum😂be walishamsitukia kitambo ndio maan anadingizia alihujumiwa 😮😮😮😮
@Kwarasi
@Kwarasi 3 ай бұрын
Sasa utasemaje na umejiunga tayari msingawa acha kelele wewe nenda ukawe chawa chadema ipo na itakuwepo
@charlesshaban1915
@charlesshaban1915 3 ай бұрын
People's power, hufai ht kdogo na huko lbd upewe cheo, ukkoswa cheo tuuu watakuskia
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg 3 ай бұрын
ujinga tu huyu ni mnafiki
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 3 ай бұрын
Ila tumempokea lkn TUWE na TAHADHARI Sana adui Hana rangi anaweza kutuchunguza mambo ya ndani
@HenryKasaje-on4xq
@HenryKasaje-on4xq 3 ай бұрын
Huyo msingwa mwache aende kugalagwa na Sugu ananikimbia anatamaa ya mamlaka
@jumamsechu
@jumamsechu 3 ай бұрын
Mlafi wa madaka
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 3 ай бұрын
DUH! NGOJA NIKANAWE MACHO MAANA SIONI SAWASAWA KAMA NIMWENYEWE AU?
@mohammedbakar4142
@mohammedbakar4142 3 ай бұрын
Wafadhilaka wapundaka tumekusikia mchimba chumvi ongea yako Msigwa uliloliendea
@kassimjumanne5399
@kassimjumanne5399 3 ай бұрын
Njaa tu
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 3 ай бұрын
pole mumnyime cheo huko atakimbia hvyohvyo na msipompa nafasi ya kugombea ubunge happy Iringa atakimbia. unacheza na msoto wa miaka mitano wewe
@peterantony5890
@peterantony5890 3 ай бұрын
Hivi ni Msigwa huyu ambaye wiki chache zilizopita alikuwa akiikosoa serikali ya CCM vikali?
@KarolMboya
@KarolMboya 3 ай бұрын
Eleweka kama mtu timamu kaka wewe ni msalit kama wengine hata uliko hamia hawawezi kua na iman kamili na wewe kwani bado unayumbayumba
@PlantUrgentProcess
@PlantUrgentProcess 3 ай бұрын
Msimpe cheo chochote kile ili anyooke hana lolote njaa tu 😢
@simbamtoto7530
@simbamtoto7530 3 ай бұрын
Asipo pewa cheo uyo atokaa ccm
@petromachango3781
@petromachango3781 3 ай бұрын
Hakuna mwanasiasa anaesema ukwel
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 3 ай бұрын
Juhudi zako na kuhangaika kote ni sawa na kujilisha upepo. Huku ccm utacheka, ni wajanja kuliko unavyo fikiri, mikelele yako hatuhitaji. Kaa kwa kutulia.
@SajaliAmri
@SajaliAmri 3 ай бұрын
Anatapatapa ana lolote kaishiwa sera 😄😄😄mmelamba garasha
@marijanimussa
@marijanimussa 3 ай бұрын
Duh!wewe msigwa ni ww kwel hapana natakiwa nihame Africa nkafanye kazi ya kulisha ng’ombe ulaya
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 3 ай бұрын
siasa nikazi kama kazi zingine tu
@IsayaYohana-qo8ej
@IsayaYohana-qo8ej 3 ай бұрын
Ok,umehama huko utakwenda kufanya nini?
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa 3 ай бұрын
Shushu Uyo Kuweni Makini😂
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 3 ай бұрын
Mmemnunua yuda huyo mchungaji MJINGA
@davidtuya9586
@davidtuya9586 3 ай бұрын
Yuda ni naani? Ni yuda askariot inasikitisha tayari njaa unataka uteuzi
@ZelemanMayola
@ZelemanMayola 3 ай бұрын
Wewe ni mujinga sana mchuji wa mashetani mashetani masisim majizi
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 3 ай бұрын
Anasaka cheo
@ambakisyembughi1862
@ambakisyembughi1862 3 ай бұрын
Wanatuchanganya hai
@EmanuelMasisila
@EmanuelMasisila 3 ай бұрын
Kama uliiasi kazi ya mungu wewe hunatofauti nashetani
@TemboKaijage-kg2mm
@TemboKaijage-kg2mm 3 ай бұрын
Alikuwa zitto sembuse yeye tanzania tuna taka mabadiliko
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 3 ай бұрын
Wala hatutushiki alitoka zito,mkumbo na kina mdee sembuse nyumbu
@ndiditheodore8272
@ndiditheodore8272 3 ай бұрын
Huyu ni mchungaji wa kanisa gani? LA mashetani. Hapo kwakweli umefeli. Baki na uchungaji tuu siasa za nini? Soma Yohana 6:15..
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 ай бұрын
ONGEA UANGALIE MBELE
@josephmbogela415
@josephmbogela415 3 ай бұрын
Hawezi kukaa bila kuwa na madaraka ni shida sana. Umeshindwa uchaguzi unakimbia ulitaka ubaki kuwa Mwenyekiti miaka yote. Hukujua kama ni saccoss miaka yote hiyo.
@rafiiabdul6217
@rafiiabdul6217 3 ай бұрын
Mbona mbowe ni mwenyekit wakudumu na wangne wakitaka uenyekit anawaondoa
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 18 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 4,6 МЛН
🔴#LIVE: DADAZ LEO OCT 04.2024
EastAfricaTV
Рет қаралды 2