Njia ya PNP watu wengi huitumia kwenda Canada kupata kazi na kuishi

  Рет қаралды 40,220

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Жыл бұрын

Unajua PNP ni njia gani? Na unawezaje kuitumia njia hii kuweza kwenda Canada? Points za PNP zinakuwa calculated kwa kutumia vigezo gani?
Usisahau kupitia youtube channels za Joyce na ku-subscribe ‪@joyceknursecanada‬ ‪@joycekcanadacontentcreator‬ na ‪@CrucialSnapshots‬
#fursacanada #canada #canadavisa

Пікірлер: 111
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Жыл бұрын
Asante sana Joyce. Kwa fursa za Canada, subscribe kwa channels za Joyce kzbin.info/door/_Px-SuCUz3oc4S4wYv88Fw nyingine kzbin.info/door/Py5p9_boEuOqmghFkwIAxg na kzbin.info/door/-aXFT8of9rPzXj5yGOeByA
@eduardelias8940
@eduardelias8940 Жыл бұрын
Habari EBM, asante kwa video. Please, unaweza kushare hiyo link ya website ya kufanya *self assessment* kwaajili ya kujua points
@sofi_1940
@sofi_1940 Жыл бұрын
Habari yako,,, please nisaidie kazi ila sielewii nianzie wapi
@MohammedHassan-dz3sm
@MohammedHassan-dz3sm Жыл бұрын
Hio link?? Hujaweka bado
@wurasoho8514
@wurasoho8514 Жыл бұрын
No wonder you didn't.give the complete information when you replied my email to you. You are more interested in favouring your people, you want our.numbers to swell your you tube rating and earnings. You should just continue with this native language, after all there are some Indian and Pakistani channels like that, but we don't go there. Either the information is for ALL or you just concentrate on your local audience. My view.
@davinno23
@davinno23 Жыл бұрын
Lakini hujaweka link ya kufahamu namna ya kupiga hesabu za point
@joycekcanadacontentcreator
@joycekcanadacontentcreator Жыл бұрын
Ahsante sana EBM niko tayari kuwaelezea zaidi
@ibrackibrahim6909
@ibrackibrahim6909 Жыл бұрын
Sema sikuhelewi unachotaka maanisha Una tuchanganya
@ibrackibrahim6909
@ibrackibrahim6909 Жыл бұрын
Naitaji kuhongea n'a Wewe je ahuna Namba za sim ?
@ibrackibrahim6909
@ibrackibrahim6909 Жыл бұрын
Naitaji kuhongea n'a Wewe private
@sharifumichumba8825
@sharifumichumba8825 9 ай бұрын
Naomba unitmie namb yko ya Whatsapp
@user-zj6xn8dr4u
@user-zj6xn8dr4u 5 ай бұрын
Hello how are you
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 Жыл бұрын
Melalanin Queen, she looks so good dada,😍😍 Tunawapenda sana na always tunawish muish maisha marefuu mzid kusaidia watuu weng zaid
@nzigiyimpainnocent8738
@nzigiyimpainnocent8738 Жыл бұрын
EBM Samahani sana,, Kwa Hii njia Ya PNP Ningependa muizungumuzie Kwa kiundani Zaidi From Point One mpaka mwisho, Yaan Unaanzaje Na ubamaliza je?? Please naomba mfanye hivo.
@robertmwangi1835
@robertmwangi1835 Жыл бұрын
I love you guys , very generours you are ,God bless you , migrating soon in Jesus name by Fire by Force
@neemaismail5032
@neemaismail5032 Жыл бұрын
😄
@jobwachira8471
@jobwachira8471 Жыл бұрын
Iko sawa kabisa. Asante
@judwmbiyu
@judwmbiyu Жыл бұрын
This is great God bless you two 🙏🏼
@Gachibravo3974
@Gachibravo3974 Жыл бұрын
Shukrani sanaa
@dieumercimuzaliwa2916
@dieumercimuzaliwa2916 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@samsonmsetti1949
@samsonmsetti1949 Жыл бұрын
Got Love for yu bro from Geita Tanzania
@janewanjikumuchira6448
@janewanjikumuchira6448 Жыл бұрын
Hi I love your videos. Thanks for your information
@reginaevance7175
@reginaevance7175 Жыл бұрын
EBM na madam joyce mnatoa elimu nzuri mungu awabariki sana🙏🙏
@user-nb2tb9zk5i
@user-nb2tb9zk5i Жыл бұрын
Asante sana mom❤
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 Жыл бұрын
Heko Kazi nzuri sana EBM
@josephatfedrick693
@josephatfedrick693 Жыл бұрын
Good advice
@blacklivesmatter7154
@blacklivesmatter7154 Жыл бұрын
Shukran mkiwa na joyce
@aimanhashim1527
@aimanhashim1527 Жыл бұрын
je kama mtu amefikia form 4 anaweza kupata kazi canada
@mubabray9845
@mubabray9845 Жыл бұрын
Nashukuru kwa funzo hili
@wawerueben7039
@wawerueben7039 Жыл бұрын
Joyce has a big heart, ametoa watu tope sana
@reginalewiston72
@reginalewiston72 Жыл бұрын
Nice
@johnsonmaniula1250
@johnsonmaniula1250 Жыл бұрын
Fursa nzuri Sana. Let me work on it. Thank you
@priscamwaipopo5606
@priscamwaipopo5606 Жыл бұрын
Habari Joy. Nimefurahi kusikia kuwa unaishi Sudbury. Mimi nilikuwa naishi Sudbury paleLaurencian University 10 years ago
@joyceknursecanada
@joyceknursecanada Жыл бұрын
Ahsante thanks 🙏
@valentinemutinda8446
@valentinemutinda8446 Жыл бұрын
Kweli mwa wasaidia wenye huwa waelewi kizunguzu sana......good job👍👍
@eunicenjoki8401
@eunicenjoki8401 Жыл бұрын
Goood
@evalynndunge3820
@evalynndunge3820 Жыл бұрын
Waaauh! So educative I have a brother who is a qualified plumber and with 8yrs experience how can he apply
@godaboveallchanell7033
@godaboveallchanell7033 Жыл бұрын
Am interested aki and that was my dreams since before but ni vile sikupata connection
@gibore34
@gibore34 Жыл бұрын
Am currently working in Qatar, how can you help me to get to Canada? Good content, we appreciate your work.
@bashirmrisho8491
@bashirmrisho8491 Жыл бұрын
EBM !!!Mungu akuweke comrade!! Elimu unayoitoa inazidi ya university zetu hapa
@Emily-ck5eu
@Emily-ck5eu Жыл бұрын
I love your smile Joyce. Thank you for the info.
@joyceknursecanada
@joyceknursecanada Жыл бұрын
Ahsante dear
@barakamwantolwa4336
@barakamwantolwa4336 2 ай бұрын
Hivi Africa, Kufanikiwa ni Kuenda Uraya, Marekani na Sehemu zingine. Kwenu mnakimbia
@emmanuelkessy1618
@emmanuelkessy1618 Жыл бұрын
Please provide me with a correct link to access the PNP. Thanks for this useful info
@clivemokono8015
@clivemokono8015 Жыл бұрын
Please share the link we give atry
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 Жыл бұрын
Nilikuwa naswali ndugu yangu kajaza lakini kila akenda mbele maswala mengi sana inakuwaje.
@puritynkirote5097
@puritynkirote5097 Жыл бұрын
Thank you so much and may God bless you,Kama auja soma unaweza aje kuja canada?
@KADALAtv255
@KADALAtv255 Жыл бұрын
Dada Joy wewe utakuwa host wangu.
@joyceknursecanada
@joyceknursecanada Жыл бұрын
Karibu
@KADALAtv255
@KADALAtv255 Жыл бұрын
@@joyceknursecanada Asante sana Mungu akutunze kwa ajili yangu. Thank you for your kindly heart. Mimi ni youtuber too from🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️
@MohamedYuss
@MohamedYuss Жыл бұрын
Please provide link
@1tripple9
@1tripple9 Жыл бұрын
"Ukiwa mzee uko at Risk" 😂😂😂
@rayjohn5924
@rayjohn5924 Жыл бұрын
What the name of that website
@auma67
@auma67 Жыл бұрын
Hello Joyce na EBM, asanteni kwa elimu, nina swali, je ni link au web portal ya kupata PNP ni gani please?
@edwardmukama9607
@edwardmukama9607 7 ай бұрын
Vip kwa mtumishi say Teacher with masters degree 50 years anayetaka kuja Canada ananafasi ya kupata kazi ?
@samsonmsetti1949
@samsonmsetti1949 Жыл бұрын
Hiyo website anayo itaja dada ya ku apply kuja canada inaitwaje bro ?
@joemugo4043
@joemugo4043 Жыл бұрын
Niruhusu kukuita dada. Napenda mnavyokizungumza Kiswahili.
@muslimmuslim512
@muslimmuslim512 Жыл бұрын
Maisha mazuli Yako African but uko ni stress I'm proud to be African
@enocksaid613
@enocksaid613 Жыл бұрын
Sijasikia kuhusu kipato cha Mtu unachotakiwa kuwa nacho kabla hujaondoka.
@faridaltamimi7454
@faridaltamimi7454 2 ай бұрын
HAKUNA NJIA YA KWENDA CANADA HAPA🥲🤨
@Mariam-gu8uw
@Mariam-gu8uw Жыл бұрын
Helloy . Mm nilisoma hadi class 7 na nikajifunza saloon niko na chet naweza pata kaz???
@andrewkilimali7504
@andrewkilimali7504 Жыл бұрын
So, how if ni employed driver? Hii utakwenda Kwa category gani? Na kama vile hauko na degree?
@rebeccaabuga3415
@rebeccaabuga3415 Жыл бұрын
Hi madam am Rebecca kutoka kenya mimi nataka ya cleaner nafanya kazi Saudi Arabia
@KADALAtv255
@KADALAtv255 Жыл бұрын
Spelling ya hizo provinces
@reubenkariuki6637
@reubenkariuki6637 Жыл бұрын
I want to Canada now in Kuwait chef..how can I get job there
@takito_africa
@takito_africa Жыл бұрын
@EBM mshauri huyo dada awe na swahili chanel
@amourhemed4343
@amourhemed4343 Жыл бұрын
ebm tunaomba iyo link
@KitengeCosta
@KitengeCosta 5 ай бұрын
N'a chukuru kabisa Nisaidie
@GAYOTV2023
@GAYOTV2023 Жыл бұрын
Naomba mawasiliano yako ndugu
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 Жыл бұрын
Naomba unisaidie kwanini maswali mengi sana
@salhatissa6745
@salhatissa6745 Жыл бұрын
Naitaji kaz uko nisaidie mama
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 Жыл бұрын
Hi dada Joyce nani sana mwanangu aje, kasomea hear hostess vipi utamsaidiaje, hata kama ni kufanya tuu kwa factory Bora tusapotiane kimaisha IAM a single mother of 3 thanks
@KhamisHassan-ql5ut
@KhamisHassan-ql5ut Ай бұрын
TATIZO LA AFRIKA FURSA ZA KAZI HAMNA
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
EBM ni mtu mwema alisema atahost mtu kama atamuhitaji if I'm not wrong
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 Жыл бұрын
Niko na Degree but Kalibia vigezo vyote Sina qualify...very complicated 🤣🤣
@ellymia5555
@ellymia5555 Жыл бұрын
kwa walio ishia kidato cha nne vipi
@PenielLema
@PenielLema Жыл бұрын
Hongereni kwa elimu hii. Tunaomba hiyo link wakuu
@hadidejbilhan3923
@hadidejbilhan3923 Жыл бұрын
Hebu ntajaribu asante sana
@georgeoromo799
@georgeoromo799 Жыл бұрын
Joyce don't even respond to mails.
@ibrahimundabita1816
@ibrahimundabita1816 Жыл бұрын
Mimi sikusoma naninaitaji kuja Kannada kutafuta kazi zanguvuzangu kamashamba navibarua vya ujenzi mnanisaidiaje
@justinklins335
@justinklins335 Жыл бұрын
mimi Niko nandugu Africa nikonapenda wakuye Canada nifanye nini iliwakuye
@florahgachunku7812
@florahgachunku7812 Жыл бұрын
Naitwa florah kutokakenya nahomba job yacrener nahesakupata aje
@justinklins335
@justinklins335 Жыл бұрын
munitumiyo namba yenu
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Watu wooote wanajuwa , njia ni ndege tuuu.
@joycesichone1175
@joycesichone1175 Жыл бұрын
Mm pia😁😁😁
@rubeaally9815
@rubeaally9815 Жыл бұрын
Joyce Kwan umeolewa??mbona me nimependa izo lips zako na Tabasamu lako😮😢😢😢
@Kakwasi
@Kakwasi Жыл бұрын
Ameolewa miaka mingi
@betting761
@betting761 Жыл бұрын
Na mtu kama ameacha degree katikati
@Speshotng
@Speshotng Жыл бұрын
Please rudia au andika iyo sasca what?
@teddytawete
@teddytawete Жыл бұрын
Saskatchewan
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 10 ай бұрын
Diploma je ? Haiangaliwi
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 Жыл бұрын
kiswahili cha kenya kigumu mno
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 Жыл бұрын
Mbona sisi cha Tanzania tunaelewa jamani sioni tofauti
@davidmwaruda1749
@davidmwaruda1749 Жыл бұрын
dada huna account instagram maana mm natamani kuja bt sijaelewa kitu hapo
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 Жыл бұрын
Mutumie kwa Email yke
@wurasoho8514
@wurasoho8514 Жыл бұрын
Is there any Kenyan planning on immigrating to Canada, USA or Europe who cannot speak English? I salute your watching out for your nationals, but it's not fair to your subscribers.
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Жыл бұрын
Zamani babu zenu walichukuliwa kwa nguvu kiutumwa na walikuwa hawataki lakini kwa sasa munajioeleleka wenyewe kwa njia yoyote ile.kwenda kuwaongezea uchumi nchi zao kutumika kikazi miaka mingi munatumika na umri unakwenda hata ukishastuka umri umeshapita unarudi nyumbani Afrika.unaishi siku kidogo tunakuzika maisha yako yote ya furaha umeyapoteza ulaya mana huko hakuna furaha na uhuru na kucheka kutoka moyoni hupati muda wote unakenya tu.ila kwa mwenye akili hukaa ulaya miaka kumi na tano akipata mtaji anarudi Afrika na kufurahia maisha yake.
@Unknown-gt4ic
@Unknown-gt4ic Жыл бұрын
Acha ujuaji,, unaonekana ni mjinga mmoja tu!!
@bhokejaqulineelias4197
@bhokejaqulineelias4197 Жыл бұрын
Ufaham wako ufunguliwe 😱😱😱
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Una akili sana Haji Abdalla.
@yasinimbeju6110
@yasinimbeju6110 Жыл бұрын
😂
@mohaisha
@mohaisha Жыл бұрын
@@Unknown-gt4ic sio ujuaji kasema maneno ya kweli kabisa
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 Жыл бұрын
Broo EBM naomba hii kitu irudie ukiwa peke yako kaka.
@samuelbahati7976
@samuelbahati7976 Жыл бұрын
Hi! Mr EBM nikipata number yako itakua maada mkubwa
@medicalvoice2437
@medicalvoice2437 11 ай бұрын
no. yako ya wasp
EBM na JOYCE K NURSE wakutana kuongelea maisha ya Canada na USA
19:24
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 514 М.
Tom & Jerry !! 😂😂
00:59
Tibo InShape
Рет қаралды 66 МЛН
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 113 МЛН
Mtanzania Daktari Bingwa USA 🇺🇸 aliyesoma Harvard University
12:55
Taratibu Rahisi Za Kuja Ulaya
10:07
Maisha Ya Ulaya
Рет қаралды 2,5 М.
UGHAIBUNI LEO:USHAURI KWA WANAOTAKA KWENDA MAREKANI.
9:53
Mtangazaji
Рет қаралды 7 М.
NAMNA YA KUFIKA CANADA | KAZI ZA CARE ZINAKUTOA KIMAISHA | CHUNGA MAISHA YAKO YA MTANDAONI
1:22:20
Sababu kwanini watu wananyimwa viza Ubalozini
13:24
EBM SWAHILI
Рет қаралды 19 М.
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 514 М.