Eti Gombana na Ruto awe Kama Roma Mkatoliki🏃🏃🏃🏃😂😂😂
@lijonjo21 күн бұрын
Habari. Nimesoma certificate ya Information Technology, nahitaji kusoma Diploma ya Information Technology. Naomba msaada wako. Niwe na Documents gani? Ada bei rahisi ni kiasi gani? Hostel za bei rahisi sana ni bei gani?
@kevinmushi82096 күн бұрын
Baba nitafute tufe pamoja na mimi hivyo ivyo nataka nijue
@LeahVlogstoday29 күн бұрын
Ni visa gani na paswa kuitumia kumuombea mama na mdogo wangu
@eliwajajacob856928 күн бұрын
Hongera sn nisaidie nami nifike huko
@vom8429 күн бұрын
Napandaje live na mm?
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb29 күн бұрын
Hello abari za asubui ndugu zangu. nawashukulu sana kwa ushilikiano na upendo na ushauli wenu,kwa uyo ndugu yetu ambaye yuko New Jersey je nitawezaje kutoa ushauli kwake mimi nipo Delaware Wilmington na mimi nimepitia hayo anayo pitia lakini sasaivi tuko sawa na mwanangu.
@kevinmushi820912 сағат бұрын
Sister naomba ushauri wako
@RuhumurizaEric-ot5jh27 күн бұрын
Hi kk nitapataaje nambali yako??? Please
@vom8429 күн бұрын
Hii ni live? Mm nipo DAR nafuatilia sana
@houseoflifechurchtv906929 күн бұрын
Hello EBM. Mimi nataka kuja kupitia green card in marriage na Nilikuwa deported jee ubalosi utaniruhusu
@salumsalum886629 күн бұрын
ulirudishwa kutoka wap?usa au wap
@vom8429 күн бұрын
Nikiwa na miaka 39 naweza nikaja USA na nikapiga kazi za kubeba mizigo kazi zisizo hitaji elimu ?
@user-ki9wu6no3d29 күн бұрын
Yes Zipo kazi za Kila aina..wanaziita kupiga box Lakin Uzuri Kwa nchi kama Marekani Kunakuwa na vitendea Kazi rahisishi...
@ednaJF102828 күн бұрын
Utaweza? Kama kazi za kumhamisha mtu akitaka kuhama
@kaupigwe29 күн бұрын
Ebm why Trump 2024. It is always 10 for Democrats before a change.
@user-nb2cw5cn5c29 күн бұрын
Mwakani mwezi wa 1au wa 2 nitakuwa marekani inshallah 🙏🇺🇸