Wimbo mzuri Sana jamani! Tena una fundisha. Asante Mzee Zahir na kimulimuli jazz band!
@hamisidale27045 жыл бұрын
I used to be the young man those days!muda umekwenda Sana sasa ni babu na vijukuu ewe mungu nipe mwisho mwema hapa duniani! Hamisi Dale Boston Marekani
@nasserhabsi40805 жыл бұрын
Asante zilipendwa Zahir Ali 👌👍🤔... Long time agoo... TZ ooooyyyyyeeeee
@aikambekyara470310 жыл бұрын
Dah! Umenifuraisha sana kwa wimbo huu. Naomba JKT kimbunga kama unazo.
@deusngowi9 жыл бұрын
Kumbe Rugemeleza Nshala nawe umo kwenye muziki wa kale? Nilidhani kwenye mabuku ya sheria tu. Deus Ngowi.
@nasserhabsi40805 жыл бұрын
Aaaaaa jamani mambo hayo nilikuwa naendesha magari ya box la biscuits matairi ya vifuniko vya soda.. Leo babuuu
@jacksonmulele40336 жыл бұрын
Banda la JKT lilikuwa mlangoni, ukiingia tu pale Sabasaba ground, basi utawaona na combat zao, wamewasha KIMULIMULI chao, whap, whap, whap, whap ! Yaaani Sheikh, umentukunyua !!! Bado Mlimani Park na Tracksuit zao na basi lao lime park pembeni wakipiga Selina, kule mbele kidogo Bima Lee, alafu unaingia banda bingwa la Magereza, alafu unawatafuta Kyauri Voice wakiimba "Sabasaba njooni tufurahi" dah! ilikuwa Raha kweli kweli.
@leonardkipondya42166 жыл бұрын
Sabasaba ya mwaka gani hiyo bro.?
@najmasaleh92316 жыл бұрын
Jackson Mulele Du kitambo tunakwenda kuwasikiliza wanamkote ngoma wakitumbuiza leo hakuna hayamambo
@patrickmasele4566 Жыл бұрын
Umewasahau Marquis du Zaire pale Banda la Scania..
@saadmazen452810 жыл бұрын
Hawa ni Kimulimuli Jazz chini ya uongozi wa zahir Ally Zorro....
@paulangoloko8642 Жыл бұрын
Maneno ayo yanatokea ayo kweli
@obillaezra76177 жыл бұрын
Nyimbo zote alizoimba Zahir Ally Zorro zote zimetisha'' ukianzia tumerudi kishujaa, chiku, Shoga, kabwe, photo albamu'' hakika alikuwa mtunzi mahiri na mwimbaji aliyeiletea sifa na heshima kubwa Tanzania'''' mm nyimbo hii, ya Shoga au Tausi'', photo albamu na tumerudi kishujaa huwa zinanisimua bila kuisahau Cleopatra''
@limbasalum73245 жыл бұрын
Ni kweli mkubwa wala si uongo
@gladwella78186 жыл бұрын
mtakumbuka vingi
@sangomamourice32515 жыл бұрын
jamani eeeh zamani raha
@jumaarashid73677 жыл бұрын
Ilikua miaka ya sabini mwishoni,nakumbuka baba alikua mkuu wa gereza la kigongoni"
@adamcarsoundandaccessories8175 жыл бұрын
Kigongoni bagamoyo
@veranokessy2923 Жыл бұрын
Tutambuanee. Ngoma uyuyii 79 mtoto wa kotaaa😅
@Rugemeleza9 жыл бұрын
Huu unaitwa Shoga na si Uzuri wa Tausi.
@eddienassor4809 жыл бұрын
Ahsante kaka
@twilamtumbi26478 жыл бұрын
zoro asante
@NowelaRaymond-zq4ys Жыл бұрын
😢😢😢
@limbasalum73245 жыл бұрын
kuna wembo wa M'baraka Mwinshehe unaitwa... UZURI si HOJA, nimeutafuta kwenye internet nimeukosa. Naomba Mnisaidie, je unaupataje?
@charlesnjau82527 жыл бұрын
Solo na saxaphone zinapishana vizuri
@ynanduvi5 жыл бұрын
Mimi siyo mzee sana ila nakumbuka mbali sana hasa RTD Julius nyeisanga ,Eda Sanga na wengine wengi.