No video

REKODI ZA KOCHA WA SIMBA: HUJAWAHI ZISIKIA POPOTE...

  Рет қаралды 54,649

SoccerData

SoccerData

Күн бұрын

#KochaMpyaSimba #FadloDavids #Rekodi
Fadlu Raghman Davids alizaliwa Tarehe 21/05 mwaka 1981 katika mji wa Cape Town; nchini Afrika ya kusini, na kimahesabu ana miaka 43. Hii inamfanya kuwa miongoni mwa makocha wenye Umri Mdogo kuaminiwa katika klabu kubwa kama SImba. Fadlu ni kocha mwenye leseni Ya Juu Kutoka CHAMA CHA SOKA BARANI ULAYA, yaani UEFA PRO LICENCE, Leseni ambayo ameipata mwezi wa 5 Mwaka huu huko Northen Ireland.
Unaweza Ona ni kawaida lakini Kuipata Leseni ya juu zaidi kama hii, Fadlu ilimchukua zaidi ya miaka 9; JASHO, MAPAMBANO NA Uvumilivu Vilihitajika zaidi.
Ni rasmi sasa Fadlu ni kocha wa SImba kwa Mkataba wa Miaka Miwili akichukua mikoba ya Kocha wa Muda Juma Ramadhani Mgunda.
Maswali mengi ninayokutana nayo ni je FadlU ni kocha Wa aina gani? Wengi wanauliza kwanini simba wameamua kuwa na Kocha Mdogo kiumri na Uzoefu? Leo nataka nikupe rekodi za Kocha Fadlu Davids; rekodi hizi huenda hujawahi zisikia popote pale. Kupitia rekodi hizi Nitajibu swali je Fadlu ni kocha Mdogo kama Anavyosemwa au ni kocha Mkubwa? Bila kupoteza muda acha Tuanze..
TUMEDHAMINIWA NA PELEGRINO SANITARIUM CLINIC
Hawa ni mabingwa wa kutibu Magonjwa Sugu kama; Kisukari, Kansa, Ukimwi, Presha, Tezi Dume na magonjwa yote Yanayokusumbua..
Kwa mawasiliano zaidi piga simu Namba...
0747 805 550.
JE UNAZIFAHAMU VIDEO ZANGU BORA ZAIDI? TAZAMA HIZI HAPA..
1. Yanga Baada ya Usajili: Kikosi chake cha Kwanza Hatari zaidi. • BAADA YA USAJILI: "KIK...
2. Baada ya Usajili: Huu ndio Usajili Bora zaidi kwa Simba. • KIUFUNDI: USAJILI BORA...
3. Kabla ya Pre - Season: Simba wanatakiwa Kufanya Jambo hili Muhimu. • KABLA YA PRE-SEASON: S...
4. UKWELI: KUHUSU KIWANGO HALISI CHA STEVEN MUKWALA | MSHAMBULIAJI MPYA SIMBA. • UKWELI: KUHUSU KIWANGO...
5. USAJILI WA CHAMA YANGA: UNA 'MAANA KUU 7' | TAZAMA KWA UMAKINI VIDEO HII. • USAJILI WA CHAMA YANGA...
6. KIUFUNDI: MAENEO 8 YA USAJILI SIMBA | MO AMEAMUA...
• KIUFUNDI: MAENEO 8 YA ...
JE UNGEPENDA KUTANGAZA BIASHARA YAKO SOCCERDATA KWA BEI NAFUU? KUWA SEHEMU YA WADHAMINI WETU TUKUTANGAZIE BIASHARA YAKO NA IWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
(MAWASILIANO)
0710 679 388
0627 532 401
Email: soccerdata01‪@gmail.com‬
KAMA MDAU, TUNAKUOMBA UCHANGIE UNUNUZI WA VIFAA VYA UZALISHAJI.
Saidia Ununuzi wa Vifaa vya Uzalishaji vitakavyorahisisha Kazi na kuongeza Ubora wa Uchambuzi.
SoccerData inahitaji Vifaa VITATU vya kuanzia Vinavyogharimu Shilingi 4.7 M ambavyo Ni;
1. Video Camera
2. Computer
3. Condenser Microphone.
Changia Kiasi chochote Ulichonacho kupitia;
TIGOPESA: 0710 679 388
HALOPESA: 0627 532 401
(Jina : Sekwao Mwendi)
BANK ACCOUNT.
CRDB BANK.
SEKWAO MOHAMEDI MWENDI
0152235925700
Lakini pia kwa Mawasiliano zaidi, Wapigie SoccerData kwa Namba hizo.
____________________________
KARIBU KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII;
FACEBOOK: / soccerdata
INSTAGRAM: / soccerdata_tz
JE UNGEPENDA KUWA SEHEMU HALISI YA SOCCERDATA? JISAJILI KAMA MEMBERSHIP LEO UPATE ZIADA YA UCHAMBUZI...
/ @soccerdata.
SOCCERDATA KARIBUNI SANA...

Пікірлер: 63
@samsonshayo622
@samsonshayo622 Ай бұрын
Duuuuh brother 🙌🙌🙌🙌🙌 hii ndo maana harisi ya kuitwa mchambuzi umefanya tafit na umepoteza mda wakutosha kama n analysis wewe n king 👑 🎉🎉🎉
@robertsongola6034
@robertsongola6034 Ай бұрын
Daaar, huyu baba ni hatari anajua mpaka anakera daaar safi sana.
@user-xk3ve2wo3l
@user-xk3ve2wo3l Ай бұрын
Wa kwanza nipeni like zangu
@samponews1689
@samponews1689 Ай бұрын
Nondo kama hizi tunazpata Kwa soccer data pekee🎉🎉leta nondo mkuu tushajaza mabando👏👏
@BlackCEO-sx6sv
@BlackCEO-sx6sv Ай бұрын
Anapambana madin kichiz
@MaganaNgara
@MaganaNgara Ай бұрын
Upo vizur , Kwa nn usitumie utaalam huo kweny vilabu kama mwajiriwa
@user-lv6xv6nf5j
@user-lv6xv6nf5j Ай бұрын
Safi uko vizuri 🎉🎉
@johnjoseph9596
@johnjoseph9596 6 күн бұрын
Umepotea sana kaka, namisi sana chambuz zako. Rudi ulingoni tupe materials
@qualitymediaproduction
@qualitymediaproduction Ай бұрын
WEWE NI NOMA 💪 SIO WALE WACHAMBUZI WA TV
@ErickRichard-kh7tj
@ErickRichard-kh7tj Ай бұрын
Nakubali
@JacksonMgeta
@JacksonMgeta Ай бұрын
Asante kwa like nipe siku yoyote uchambuzi wa Jean chess haua
@Vijimbi1Yo
@Vijimbi1Yo 5 күн бұрын
❤❤duuwa kocha
@hoseanguvumojamiboki4827
@hoseanguvumojamiboki4827 Ай бұрын
Nakukubali sana upo on fire
@hassanjr5318
@hassanjr5318 Ай бұрын
Uchambuzi unaofwata 🔥
@maufoung
@maufoung Ай бұрын
Safi sana 🤙
@user-ww8tl6zn7k
@user-ww8tl6zn7k Ай бұрын
Thank you broo 🙏 🙌
@SoccerData.
@SoccerData. Ай бұрын
Welcome 👍
@ezrahtossitz2853
@ezrahtossitz2853 Ай бұрын
Upo vizuri Sana
@novanickywasanzu5589
@novanickywasanzu5589 Ай бұрын
Good newz
@GodwinKingu
@GodwinKingu Ай бұрын
Naipenda timu yangu ya simba ubaya ubwela
@barakamfilinge6943
@barakamfilinge6943 Ай бұрын
Mwamba anajua sana kuchambua
@OthmanOthman-m5s
@OthmanOthman-m5s Ай бұрын
simba ❤❤❤ ilove you
@johnsilima1629
@johnsilima1629 Ай бұрын
Sfi sana
@SaidYusuph-r4t
@SaidYusuph-r4t Ай бұрын
Anafaa sana mwambaaa❤❤❤
@lameckemanuel6774
@lameckemanuel6774 Ай бұрын
Kumbe kama mgunda tu😂😂😊
@SukuboyAlkene
@SukuboyAlkene Ай бұрын
Aise umenitia moyo na Simba yangu
@JacksonMgeta
@JacksonMgeta Ай бұрын
Samahan kaka nipe uchambuzi ya Jean
@SukuboyAlkene
@SukuboyAlkene Ай бұрын
Nakubali san
@BleanceKigwila-u2l
@BleanceKigwila-u2l Ай бұрын
Mafanikio kwa Simba hayo
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 Ай бұрын
Safi sana mchambuzi ila simba ubovu aupo Kwa wachezaji Wala aupo kwa makocha ubovu upo Kwa viongozi na mashabiki timu ikifungwa tu wanatimua makocha mmmh sijui kama huyo mwamba atadumu Kwa miezi miwili
@user-yo8dt8ni9x
@user-yo8dt8ni9x Ай бұрын
Yani bando zinaisha rakini ragha tupu
@DickisonJosephat-ch8cb
@DickisonJosephat-ch8cb Ай бұрын
Wachambuz weng wajifunze kwako Hao wengne wanatumalizia bando bila kufaham chochote
@DamasSanga-tg4xh
@DamasSanga-tg4xh Ай бұрын
Uko vzur mkuu
@SadickMalulijr
@SadickMalulijr Ай бұрын
😮
@GipsonStivin-wv6um
@GipsonStivin-wv6um Ай бұрын
Apaa inabidii nikamwambie baba leve akuweke 7MEDIA PALE ILI UTUPE MADIINI KWENYE KIPINDI CHA MICHEZO 🎉 UKO VIZURI KAKA😊
@user-qg6nv2rw6p
@user-qg6nv2rw6p Ай бұрын
@user-qg6nv2rw6p
@user-qg6nv2rw6p Ай бұрын
😢😮😅kweli
@iddyomary6152
@iddyomary6152 Ай бұрын
Uchambuzi mzuri kuwahi kuusikia!
@amosimanyangu1234
@amosimanyangu1234 Ай бұрын
Unajua bana
@LemaJr-wv8ch
@LemaJr-wv8ch Ай бұрын
Soccer data ni bora kuliko Wasafi fm
@mashaurimasolwa2601
@mashaurimasolwa2601 Ай бұрын
Unajua
@DickisonJosephat-ch8cb
@DickisonJosephat-ch8cb Ай бұрын
Mh Wanasmba tutatoboa kwel mbona hajawah kuwa bingwa
@BUTILANJIA
@BUTILANJIA Ай бұрын
Tunausubili huo uchambuzi ulio shiba😂😂
@Zakayommkmusictz-mq3m
@Zakayommkmusictz-mq3m Ай бұрын
Sasa kaka mbona izi Namba ya Tiba Asili akuna mwenye Whatsapp sisi atuko Tanzania na atuwezi piga simu
@SoccerData.
@SoccerData. Ай бұрын
+255 747 805 550 hii hapa mkuu IPO WhatsApp,,, Karibu Pelegrino kwa huduma Bora.
@BabaMunir-gj2rf
@BabaMunir-gj2rf Ай бұрын
Wangekuja wote wawili Simba sasa maana kufanya kazi kila mmoja peke yake hakuonekani kuna mafanikio
@DionizyDidas
@DionizyDidas Ай бұрын
Huu ndio uchambuzi sasa sio borojo za wengi
@madupandu8553
@madupandu8553 Ай бұрын
bado hujanishawishii nahitaji comment juu ya ujenzi wa timu anaweza kuivusha na kuipa makali kama kocha mkuu au tumletee kocha wake
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Ай бұрын
DAH!HAMNA KOCHA HAPO MECHI 20 ANASHINDA 1 KUFUNGWA MECHI 7 SARE 8 ? Na kuishuha daraja
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@justinefelis2071
@justinefelis2071 Ай бұрын
BADO HATUJASEMA TUTAKOMESHWA SANA WANA SIMBA
@WakiliHaule
@WakiliHaule Ай бұрын
Simba hakuna maajabu apo...uyu sio levo ya kuifundisha simba
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Ай бұрын
Mgunda usijali we anza kupasha misuli, utaingia muda si mrefu, watakukubali tu.
@AmonMeshack
@AmonMeshack Ай бұрын
Huyu ndiye mchambuzi anae jitambua
@user-wf2iq6kb8c
@user-wf2iq6kb8c Ай бұрын
Ww ndo mchambuzi
@amosmahona433
@amosmahona433 Ай бұрын
Chukua maua yako
@AbdallahMohd-z7q
@AbdallahMohd-z7q Ай бұрын
Akuna kocha apo
@user-xl6tn8fn1x
@user-xl6tn8fn1x Ай бұрын
sio lazima umkubali ww
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Ай бұрын
Huyu ni matola aliechangamka 😂
@flova7022
@flova7022 Ай бұрын
Akili hizi hua mNAZITOA waapi
@frayy5595
@frayy5595 Ай бұрын
Hawalingan ata kdgo hujielewii
@benedictojanuary4930
@benedictojanuary4930 Ай бұрын
Sio kosa lako kosa n Akili yako
@user-xl6tn8fn1x
@user-xl6tn8fn1x Ай бұрын
Mti wenye matunda hauwishi kupigwa mawe
'SIMBA HATARI' INAKUJA; LAKINI BADO VITU 6 KIUFUNDI...
14:28
SoccerData
Рет қаралды 20 М.
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 54 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 12 МЛН
KWA MBINU HIZI 4: SIMBA YA FADLU ITAKUWA BALAA...
11:16
SoccerData
Рет қаралды 60 М.
HIKI HAPA: 'KIKOSI CHA KWANZA' HATARI CHA  FADLU SIMBA.
10:48
SoccerData
Рет қаралды 36 М.
MWENDA AWALIPUA MANARA NA MEJA, ADAI AKIFA AZIKWE NA BENDERA ZA SIMBA
5:26
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН