REV. DR. ELIONA KIMARO: ZUIO LA MAWAZO MAPYA NA SAHIHI

  Рет қаралды 2,703

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

8 ай бұрын

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH - IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS - 10/11/2023.
KICHWA CHA SOMO: KUSUDI LA KUWEPO"
"A SENSE OF PURPOSE"
NENO KUU
UNAFANYA NINI HAPA?
WHAT ARE YOU DOING HERE?
NYI - KYIKYI UWUTA IHA?
1 Wafalme 19 : 9
UNAFANYA NINI HAPA?
UJUMBE WA LEO: SHAMBULIO LA KUSUDI LA KUWEPO KATIKA MAISHA YAKO
(A SENSE OF PURPOSE ATTACK)
ZUIO LA MAWAZO MAPYA NA SAHIHI
Matendo 13 : 6 - 12
1 Wafalme 19 : 13 - 18

Matendo 13 : 6 - 12
6 Walipokwisha kupita katikati ya kisiwa chote mpaka Pafo, wakaona mtu mmoja, mchawi, nabii wa uongo, Myahudi jina lake Bar-Yesu;
7 mtu huyu alikuwa pamoja na liwali Sergio Paulo, mtu mwenye akili. Yeye liwali akawaita Barnaba na Sauli waje kwake, akataka kulisikia neno la Mungu.
8 Lakini Elima, yule mchawi (maana ndiyo tafsiri ya jina lake), akashindana nao, akitaka kumtia yule liwali moyo wa kuiacha ile imani.
9 Lakini Sauli, ambaye ndiye Paulo, akijaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho,
10 akasema, Ewe mwenye kujaa hila na uovu wote, mwana wa Ibilisi, adui wa haki yote, huachi kuzipotoa njia za Bwana zilizonyoka?
11 Basi, angalia, mkono wa Bwana u juu yako, nawe utakuwa kipofu, usilione jua kwa muda. Mara kiwi kikamwangukia na giza, akazunguka-zunguka na kumtafuta mtu wa kumshika mkono na kumwongoza.
12 Ndipo yule liwali, alipoyaona yaliyotendeka, akaamini, akiyastaajabia mafundisho ya Bwana.
1 Wafalme 19 : 13 - 18
13 Ikawa, Eliya alipoisikia, alijifunika uso wake katika mavazi yake, akatoka, akasimama mlangoni mwa pango. Na tazama, sauti ikamjia, kusema, Unafanya nini hapa, Eliya?
14 Akasema, Nimeona wivu mwingi kwa ajili ya Bwana, Mungu wa majeshi; kwa kuwa wana wa Israeli wameyaacha maagano yako, na kuzivunja madhabahu zako, na kuwaua manabii wako kwa upanga; nami nimesalia, mimi peke yangu; nao wanitafuta roho yangu waiondoe.
15 Bwana akamwambia, Enenda, urudi njia ya jangwa la Dameski; ukifika, mtie mafuta Hazaeli awe mfalme wa Shamu.
16 Na Yehu mwana wa Nimshi mtie mafuta awe mfalme wa Israeli; na Elisha mwana wa Shafati wa Abel-Mehola mtie mafuta awe nabii mahali pako.
17 Na itakuwa atakayeokoka na upanga wa Hazaeli, Yehu atamwua; na atakayeokoka na upanga wa Yehu, Elisha atamwua.
18 Pamoja na hayo nitajisazia katika Israeli watu elfu saba, kila goti lisilomwinamia Baali, na kila kinywa kisichombusu.
HOJA ZA MAOMBI:
1. TOBA
2. KUVUNJA MAAPIZO YA KICHAWI
KATIKA MAISHA YAKO.
3. KUOMBEA KUSUDI LA KUWEPO
(A SENSE OF PURPOSE)
Mhubiri : Mch. Dr. Eliona Kimaro
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Пікірлер: 11
@duncantole6430
@duncantole6430 8 ай бұрын
Amen mtumishi! Ninafatilia kutoka Kenya! Napenda mahubiri yako sana
@user-ik5kz6gh7n
@user-ik5kz6gh7n 6 ай бұрын
Amina nauona ukuu wamungu ndani yangu
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 7 ай бұрын
Amina
@sanetag2173
@sanetag2173 8 ай бұрын
Amina👏👏👏👏👏
@doreentemba7833
@doreentemba7833 Ай бұрын
😇✝️💟🙏🏿
@sanetag2173
@sanetag2173 8 ай бұрын
Nafunguliwa Kwa Jina la yesu
@geraldlazaro4523
@geraldlazaro4523 5 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@emmanuelmwakyoma5746
@emmanuelmwakyoma5746 8 ай бұрын
Ameeeeen kwa jina la Yesu
@judithngowi2151
@judithngowi2151 8 ай бұрын
AMINA
@victor1tarimo476
@victor1tarimo476 8 ай бұрын
🙏
@sanetag2173
@sanetag2173 8 ай бұрын
Amina
REV. DR. ELIONA KIMARO: SHAMBULIO LA KUSUDI LA KUWEPO KATIKA MAISHA YAKO
34:44
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 6 М.
REV ELIONA KIMARO - NADHIRI YA YEFTHA (OFFICIAL VIDEO)
1:15:19
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 10 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 47 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
Bahari Ilipomuona Mungu Ikakimbia | Rev. Dr. Elio na Kimaro
12:02
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 517
REV. DR. ELIONA KIMARO: MANENO MABAYA
37:35
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 1,5 М.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 19 М.
REV ELIONA KIMARO - CHAGUA WATU WA KWENDA NAO (OFFICIAL VIDEO)
1:54:05
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 84 М.
KUTANA NA FALSAFA ZA PROFESSOR LUKS WAKAILUTI
36:22
Njia Media
Рет қаралды 308
REV. DR. ELIONA KIMARO: KIJANA KUJUA KUSUDI LA MAISHA YAKO
1:32:02
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 10 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: IWENI NA UNYENYEKEVU
1:25:45
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 72 М.
REV ELIONA KIMARO - MATUNDA YA MDOMO (OFFICIAL VIDEO)
59:01
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 68 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН