ALICHOKIFANYA MC ELIUD KWENYE WAISA (DOUBLE IMPACT PART 1)

  Рет қаралды 513,076

Eliud Samwel

Eliud Samwel

Күн бұрын

Пікірлер: 410
@MaryMkoma
@MaryMkoma 11 ай бұрын
Dah eliudi nakupenda sana anaempenda pia gonga like
@jullyhandmadecards
@jullyhandmadecards 11 ай бұрын
Mungu anakushika mkono Eliud...mweeh mweeh mweeh usije ukamuacha huyo Mungu wako......anakupambania
@LeahKweyamba
@LeahKweyamba 6 ай бұрын
Eliud unajua sana... Nimekupenda bure Bwana Yesu azidi kuwastawisha.❤🙌
@KidotiTwiga
@KidotiTwiga 11 ай бұрын
Lamata village mna umoja sana Mungu awabariki❤️
@fatumahashimmcheni9610
@fatumahashimmcheni9610 11 ай бұрын
Kazi ya Lamataaa
@MuharamiKaposo-qt9cy
@MuharamiKaposo-qt9cy 11 ай бұрын
Eliud ni mchekeshashaji natural, hatumii nguvu kabisa. Kila neno lake ni kiburudisho😂
@Kibibistore
@Kibibistore 11 ай бұрын
Eliud anaongea kama masikhara lakini hivyo ndivyo ilivyokua na wazee wetu kila ifikapo skukuu jamani I miss those days sana
@FridayMisango
@FridayMisango 11 ай бұрын
Ni kakako eeeh
@CarolineMbone-j7o
@CarolineMbone-j7o 11 ай бұрын
Jua kali mtanivuja mbuvu zangu😂😂😂😂😂
@esterstaphord5184
@esterstaphord5184 11 ай бұрын
Juakal team nimewaonaaa ...stay blessed
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 11 ай бұрын
Naiona tim jua kali ramata frank na wengine😂😂 mbarikiwe
@HonorinaSimba-tw6ke
@HonorinaSimba-tw6ke 11 ай бұрын
Hongera sana broo sio Kwa bahat mbaya ndo Nia na madhumuni ya watanzania hatupendag kuwadharau watanzania wenzetu tupo nyuma Yako tembea kifua mbele❤❤
@BundaProsecutor
@BundaProsecutor 7 ай бұрын
Namukubali sana Mungu atuweke sote tuzidi frahi
@StellaIbrahm
@StellaIbrahm 11 ай бұрын
Nawapenda Sana timu jua Kali ❤❤❤
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 7 ай бұрын
UNACHEKA MWANZO MPAKA MWISHO NA HUCHOKI UNATAMANI IENDELEE,,TALENTED
@adamfumbo5116
@adamfumbo5116 10 ай бұрын
Hongera boss wangu umefanya pakubwa boss
@somoesalum-q5n
@somoesalum-q5n 11 ай бұрын
😂😂😂😂 nampenda eliud anavoongea
@frankabdallah5054
@frankabdallah5054 11 ай бұрын
😂😂😂Mungu akubariki sana bro, uko na talent kubwa sana
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau 6 ай бұрын
Kuna mda tunakaaga tunalia2😂😂😂 mwanangu umetisha sana nimeipenda hiyo
@rahelihaule
@rahelihaule 11 ай бұрын
Jamani Eliudi Mimi Raheli Rechol WA njombe nimekukosea nini jamani 😂😂😂😂
@godfreycomedias9181
@godfreycomedias9181 11 ай бұрын
Mzee Eliud we nihatari baba, bora uzima tu ✌️ mr Godfrey comédy from uganda 🇺🇬🙏
@franktiba1506
@franktiba1506 11 ай бұрын
Wow nmependa nmemuona Kibibi asanteni kwa upendo
@rev.musabalalarogersmusabalala
@rev.musabalalarogersmusabalala 11 ай бұрын
Ninakupenda sana Eliud Mungu akutunze
@maryojungu8647
@maryojungu8647 10 ай бұрын
Nampenda Sana uyu mkaka❤❤...Utacheka tu
@SophiaKadege
@SophiaKadege 29 күн бұрын
Eliud😅😅😅😅😅😅 kitenge mita3 kiishe chote
@PaschalThomas-dm8by
@PaschalThomas-dm8by 11 ай бұрын
Mimi kama mimi cha nyumbani ni Bora kuliko chochote @eliud unajua mwanangu mpk kero😂😂😂😂
@emmanuelkato2375
@emmanuelkato2375 11 ай бұрын
Kaka unajuwa sanaaa Mungu azidi kukuonyesha njia ya kwenda juu zaidi
@مكتومالدرعي
@مكتومالدرعي 11 ай бұрын
Nimecheka sana sate mjomba ake diba😂😂😂😂
@VeronicaEveristus
@VeronicaEveristus 11 ай бұрын
Nimefurahi sana kumuona Jasiri wa PETE
@SalmaAhamada-e9p
@SalmaAhamada-e9p 11 ай бұрын
Kibibi axnte Kwa kumsapoart anganile wetu
@edinamyovela4422
@edinamyovela4422 11 ай бұрын
Nawapenda sana team Juakali mnanipa rahaa
@mosesnassary6720
@mosesnassary6720 11 ай бұрын
Mwaisaaaa mtu mbaadiiiiii😂😂😂🔥
@asiamsemo6172
@asiamsemo6172 10 ай бұрын
Eliud wew sio mzima wallah😂😂😂
@MamaFarhan-k4d
@MamaFarhan-k4d 5 ай бұрын
Ninacho kukubari Eliud hautumii nguvu yaana yanakutoka tuu ni 🔥🔥🔥😂😂😂😂
@FrankNyanza
@FrankNyanza 2 ай бұрын
Namwona frank hapo wa jua kali na wengine mungu awabariki kwa umoja wenu
@Juke995
@Juke995 11 ай бұрын
Hivi eliud hizi nguo anazitoaga wapi 😂nimemuona wakazi kwa mbali analazimisha furaha 😂😂😂nikirudi bongo lazima niende kusikiliza live
@janethgeorge5791
@janethgeorge5791 9 ай бұрын
Shangazi hataki kukaaa😁
@janethjustin5256
@janethjustin5256 10 ай бұрын
One of My Best Comedian 😅😅😅😅😅😅😅
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 11 ай бұрын
Nampenda sana eliudi,😂😂😂😂😂😂😂
@EsitaDombo
@EsitaDombo 6 ай бұрын
Nina Imani nitashinda na kushinda Tena kwa nguvu ya roho mtakatifu mi ni tajiliiiiiii
@janekapoya4733
@janekapoya4733 9 ай бұрын
Nakuelewa sana Bwana mdogo mc Eliud
@joiriawanjala8497
@joiriawanjala8497 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nakupenda sana eliud yani sura yenyewe n kichekesho kabisa😂😂😂naona kaka frank anavyoisha kwa kicheko....big up to all jua kali family mnaushirikiano sana 🇰🇪🇰🇪
@SmartVicenzo
@SmartVicenzo 8 ай бұрын
Nimekumbuka Mbali kweli
@FatinaKiondo-ke9tq
@FatinaKiondo-ke9tq 10 ай бұрын
Hahahahahah umenimalizia bando🤣🤣🤣🤣
@janethmshahara4048
@janethmshahara4048 11 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 ety mikikimikiki kama ya Farida
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 11 ай бұрын
😂😂😂atimae wakazi kacheka
@samwelimwaim7136
@samwelimwaim7136 11 ай бұрын
Nakukubali sana ndugu MUNGU AENDELEE KUKULINDA na kukupgania Katka Kaz zako,
@scholasticajackson6760
@scholasticajackson6760 11 ай бұрын
Jaman naona watu wengi had my o level classmate bigup sana
@sarahmsambule5235
@sarahmsambule5235 11 ай бұрын
Nusa si kwetu tayari 😂😂
@elskimalatukengela
@elskimalatukengela 11 ай бұрын
Wanyakyusa 🙌🙌
@VedastoKeya-vt8pf
@VedastoKeya-vt8pf 9 ай бұрын
Mshikaji anachekesha halafu yy yupo comftable
@adolphriwa3534
@adolphriwa3534 10 ай бұрын
Safi sn Eliudi unajua sn .
@sherry7339
@sherry7339 11 ай бұрын
Eliud weee ni nyau kabisaa😂😂😂
@thebios2553
@thebios2553 11 ай бұрын
Kuna kitu ameongea eliud ni comedy ila ni moja ya vita safi sana kwenye familia zetu za zamani Kuna watu tuliishi nao vzr na Wala sio ndugu ila tulikaa nao nyumbani vzr kama ndugu
@barakacmwanza
@barakacmwanza 11 ай бұрын
𝙉𝙖𝙠𝙪𝙢𝙗𝙪𝙠𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖
@annembijima391
@annembijima391 9 ай бұрын
Ilikuwa nzuriiii😂😂😂
@rahelyngogo771
@rahelyngogo771 11 ай бұрын
😂😂😂jamani umenikumbusha mama gulooo mweeeee
@samwelimadaraka4358
@samwelimadaraka4358 11 ай бұрын
Team jua kali nawaona hapo ❤
@richardmhagama5028
@richardmhagama5028 11 ай бұрын
Team Jua Kali .... Mwali mindu...
@marymwatsum98
@marymwatsum98 11 ай бұрын
Jasiri wa Pete nmekuona 😊😊
@EzebiaFransi
@EzebiaFransi 11 ай бұрын
Nakupenda sana unajua
@fredyezekiel252
@fredyezekiel252 11 ай бұрын
Haujamalizia kipande bhanaa😂😂
@salomenashon5864
@salomenashon5864 11 ай бұрын
Anganile😂 umenichekesha sana😅
@odiliaherman5658
@odiliaherman5658 10 ай бұрын
Ivi uku kiingilio shingapi😊😊
@FiveStar-uc5ec
@FiveStar-uc5ec 8 ай бұрын
Mwenyewe s elewi natamani kweli cku Moja ningeenda
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 10 ай бұрын
😂😂😂 HUYU MPUUUZI ANAKUJA MOTO SANA DAAAAH!NI KAMA STEVE MWEUSI.
@luganomwakyusa7697
@luganomwakyusa7697 10 ай бұрын
Hata Steve mweusi hamfikii
@dicksongodson4402
@dicksongodson4402 9 ай бұрын
Steve tofauti akitoka mpoki Ni huyu
@marcusjulius6572
@marcusjulius6572 9 ай бұрын
kuna wasela hawacheki😅😅😅😅
@FiveStar-uc5ec
@FiveStar-uc5ec 8 ай бұрын
😮😮😮😮😮
@joycesweetbertibambasi9317
@joycesweetbertibambasi9317 11 ай бұрын
😂😂😂 eliud wa jua kali
@majutoeliasi
@majutoeliasi 11 ай бұрын
Namuona kajala
@rithaferdinand3738
@rithaferdinand3738 11 ай бұрын
Waooooh kaka Fule kafurahi mwenyewe
@hadijajuma9550
@hadijajuma9550 11 ай бұрын
😂😂😂😂unatisha boss
@RechoKimaro-jp5zq
@RechoKimaro-jp5zq 7 ай бұрын
Love you so much Eliud ❤
@Jerrymaswaga
@Jerrymaswaga 11 ай бұрын
Hahahaaaaaaa KAKA UNAJUA SAAAANAAAAAAA.......nitakutafutaaaa
@matronmkenda3510
@matronmkenda3510 11 ай бұрын
Najiuliza wanaoishi na huyu jamaa si watakua na mbavu zimechoka sana
@ahz6907
@ahz6907 11 ай бұрын
Yupo kazini hapo 😂
@matronmkenda3510
@matronmkenda3510 11 ай бұрын
@@ahz6907 😂😂
@absm8084
@absm8084 6 ай бұрын
Yaani huyu jamaa anafanya vitu vya kipekee
@davisnyandindi4917
@davisnyandindi4917 5 ай бұрын
Nimecheka mara mbili moja eliud mbl comment yako
@matronmkenda3510
@matronmkenda3510 5 ай бұрын
@@davisnyandindi4917 😂😂😂
@FREDCHILUMBA-hf5dm
@FREDCHILUMBA-hf5dm 11 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 unajua sana broo
@monicaalute3143
@monicaalute3143 11 ай бұрын
Kumchekesha mtu mzima kz sana
@yuzzoruta9757
@yuzzoruta9757 11 ай бұрын
pure talent😅😂
@wa-mbeyaTv4725
@wa-mbeyaTv4725 11 ай бұрын
Nsekile mpk katile fwituuu😂😂😂😂😂😂😂 mmenye gweliwe
@tusajigwengondya
@tusajigwengondya 11 ай бұрын
Fyutu fyo fiki
@elolam7
@elolam7 11 ай бұрын
Wale ambao mwaka huu tunaenda kuwa matajiri si kwa ajili yetu ila kwa ajili ya utukufu wa Mungu.. nikuone kwenye comment please!... Sema chochote tajiri mwenzangu❗hii ni kwa matajiri tu❗💰💵💴💷💳
@felistasiwale7582
@felistasiwale7582 11 ай бұрын
Ameeeeen
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 10 ай бұрын
Amiin tajir
@bernardaugust4021
@bernardaugust4021 10 ай бұрын
Tupo pamoja matajiri
@esterwayesu
@esterwayesu 10 ай бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi🎉❤
@bishowjonibishoo
@bishowjonibishoo 10 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😢😢😊😢😢😊😊😮😢😊😊😊😊😊😊😢😊😢😢
@joycekaganga6924
@joycekaganga6924 6 ай бұрын
Big up sana Mc Eliudi
@_beatusbaraka
@_beatusbaraka 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 unajua👏👏👏👏👏
@samielvutsipa52
@samielvutsipa52 11 ай бұрын
Uyu jamaaa hana hofu ya kajala
@ZachariaNeema
@ZachariaNeema 11 ай бұрын
Nimekuelewa sana😂😂😂
@sayozmediatv6021
@sayozmediatv6021 11 ай бұрын
Pongezi kwako kijana safi sana
@marthalangia
@marthalangia 11 ай бұрын
Eliud hujatufanyia poa mashabiki wa Farida mbona hujatuletea tumuone😂😂au yupo saloon anasokota dred😜
@FabienDeo
@FabienDeo 11 ай бұрын
Je eliud anajua😅
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 11 ай бұрын
Nipo busy na nguo ya Eliud
@veronicamassala562
@veronicamassala562 11 ай бұрын
Jua kali wapo wengi
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 11 ай бұрын
Wamekuj kumsupport mwenzao ujamuona ata boss ake lamata
@coleinvee3181
@coleinvee3181 11 ай бұрын
mbavu zinauma 😂😂
@lucyjohn9067
@lucyjohn9067 9 ай бұрын
Nimependa Sana kumwona Frank mzee kauzu
@WitnessMalobo
@WitnessMalobo 8 ай бұрын
Tena anachekaa kwel😂
@AsmaAsma-gd3mv
@AsmaAsma-gd3mv 10 ай бұрын
Nikilia hapa mtasema linadeka😅
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 11 ай бұрын
Iyo suti ndo angevaa kweny harusi ya anna😂
@irenekaro2848
@irenekaro2848 11 ай бұрын
Anna ameshitukaa😂😂😂
@GraniEmmanuely-hy5lr
@GraniEmmanuely-hy5lr 11 ай бұрын
Honger San Eliud upo vzr San 👏
@jacksonwilliam5991137
@jacksonwilliam5991137 11 ай бұрын
Brother eliud ni kweli hujawahi kuwa mweupe kabisaa😅 au Baba aliuza rangi yako wapate hela za kupaulia msauzi 😂
@RaiyanAssad
@RaiyanAssad 11 ай бұрын
Rebecca ndio mmi dda yako 😂😂
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 9 ай бұрын
Eliud wewe sio mzima kijana wangu🤣🤣🤣🤣🤣, nimecheka sana story ya kulamba katoto mkono 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@issasanga8509
@issasanga8509 7 ай бұрын
😂😂😂😂ako ni noma sana
@JanemaryNandy
@JanemaryNandy 11 ай бұрын
tunamwona kibibi tujuane
@kelvinpella7296
@kelvinpella7296 13 күн бұрын
Ameupiga mwingi sanaaa😁😁😁😁
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 11 ай бұрын
Aisee sahivi sitakua namiss comedy zake
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 11 ай бұрын
Hiyo brauzi Yako umeazima wapi, ni kama ya Farida 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
@godblexxgyunda6060
@godblexxgyunda6060 11 ай бұрын
Hujawah kumwacha Mungu😂😂😂
@SarahLwila
@SarahLwila 11 ай бұрын
Shetani anakuangalia anasema haujui😂
@neemamjema1067
@neemamjema1067 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 heshima yako 🙌🙌
@bettykarume5619
@bettykarume5619 11 ай бұрын
Eliud Samweli wa Jua kali bango kubwa😂😂😂
@JoyceAbuu
@JoyceAbuu 6 ай бұрын
Eliudi jamani una nipa lahaa san😂😂❤
ELIUD KWENYE JUKWAA LA WAISA (PART 2)
12:53
Eliud Samwel
Рет қаралды 432 М.
DAKIKA 25 ZA ELIUD SAMWEL KATIKA USIKU WA FREEDOM NIGHT
25:40
ISRAEL JACOB SHADRACK
Рет қаралды 37 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
ALICHOKIFANYA MC ELIUD MBEYA
29:55
Eliud Samwel
Рет қаралды 204 М.
MC Eliud Samwel akiwavunja watu mbavu kwenye mkesha wa THE ICON 2023 | CCC UPANGA
21:43
Mpoki, Mtanga, Eliudi | Mkutano wa wanakijiji
9:22
CHEKESHA TV
Рет қаралды 513 М.
DAKIKA 14 ZA ELIUD  KWENYE USIKU WA VIJANA MBEYA (PART1)
14:01
Eliud Samwel
Рет қаралды 96 М.
Angalia hii joti akiwa anabishana na bosi wake
6:43
Holly Nation FilmZ
Рет қаралды 726 М.
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Eliud Samwel
Рет қаралды 99 М.
MAISHA BAADA YA KUFELI SHULE - mc Eliud
17:18
Eliud Samwel
Рет қаралды 592 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.