The old man, although he has a demon, but he really makes us happy
@flm153011 ай бұрын
Wasichan wenzenu wanapambana kuomba waongezewe cherehani na raisi nyie endeleen kujiuza kweny show ya mr right
@pci_tanzania11 ай бұрын
Naomba jina la yule aliyeomba cherehani kwa Rais tafadhali
@GiftAbduly11 ай бұрын
Maisha yawatu yatakuchanganya had apale utapogundua hayakuusu
@PaulinaSemindu-ob3de11 ай бұрын
Eliza kuchagua Sana umekutana na chz sasa mkos huo😂😂😂😂😂
@Mtana-d2x11 ай бұрын
@@PaulinaSemindu-ob3de😂😂😂 matusii hayo sasa
@OlyUpowerfuljesus11 ай бұрын
@@GiftAbduly😂😂😂😂😂😂
@iddydanna664111 ай бұрын
Hahaha 9:24 nyie Eliza anajua kutesa Hadi vikongwe! Yaan anakuua huku anakutamanisha😅😂😂
@elphinejoshua191411 ай бұрын
Ananikumbusha mzee majuto kbs😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Lill12llLil88811 ай бұрын
Kweli nae
@theopistersaimon966411 ай бұрын
Kweli anafanana nae
@pendo808211 ай бұрын
😂😂😂
@renildevenerand94732 ай бұрын
Kabisa anafanana nae
@rehemawaweru53732 ай бұрын
Aki huyo Mzee 😮 " unachotaka mi nataka",😂😂😂😂 I swear alikuja show kuvunja watu mbavu.Bt Eliza maringo ni mengi na kiburi.much love from 🇰🇪
@israeluronu995811 ай бұрын
Mmekomeshwa Leo, mnawazinguaga wale vijana sasa leo mzee nae anataka mwenye elimu😂😂
@philemonmagesa554811 ай бұрын
Yani wamekutwa aisee Yani wote wametulia
@kadijaa77718 ай бұрын
😂😂😂 bwanae
@habibaabdallah20099 ай бұрын
Super kibonge wetu zenji tunamuelewa wale wa michenzani makontena wanamjua😂😂😂
@Papapapah11 ай бұрын
Mzee baki tu nawazee wenzako... 😂 😂 Hawa watoto watakuua na Pressure n Sukari Buree... Rudi nyumbani tu😂😂😂😂😂
@IRENEKOMANYA11 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@ednashine946411 ай бұрын
Huyu dada wa nyuma mwenye mwanyaa her face reactions😂😂🤣🤣
@justinambrose357711 ай бұрын
Huyu mzee si angeenda comedy show😅😅😅
@AnethJoseph-m5i10 ай бұрын
Ni comedia humujui msaani huyo
@AishaIbrahim-zv9qb11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 bongo ya mr right 😊
@TheDonn0076 ай бұрын
Oyaaaa eeeh machizi wangu mpooo Huyu kweli pacha wa mzee majuto 7:10
@IRENEKOMANYA11 ай бұрын
Pale mhuni anapozeeka😂😂😂😂😂😂
@SurprisedAtom-vp5qe11 ай бұрын
Uwiiiiii lizee chiz
@shangweyussuf64011 ай бұрын
Wala si mzee!! Mshikaji famous michenzani huyu😊😊😊😊😊😂😂😂😂😂🎉🎉😂🎉😂😂😂😂😂 lol
@rosemery301711 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@ElishaPeter-ln1ud11 ай бұрын
😢😢
@anithamuttassa898111 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@aswaneliphas227111 ай бұрын
Much love from Kenya❤guys like back😂
@kavuthamuthengi604311 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@Justinaombay11 ай бұрын
Hapa hakuna mume
@Justinaombay11 ай бұрын
Hakuna mume hapo. Huyo n muhuni anavyozeeka
@AllyjumaSwadiАй бұрын
hahahaha! hatuwaoni mishangazi ikowapi😅😅
@SantaJumaa11 ай бұрын
Yan muhuni akishazeeka anakuwa mweu ivi
@margaretwainaina14611 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@jamilahussein1071Ай бұрын
Umekaa zako nyumbn umeboeka unasema uwashe tv unakutanaa na babayako huku😅😄😅😄😄😄
@shaddybmc834210 ай бұрын
Mzee nimemkubali sana aiseeee😂😂😂😂😂
@LinahRwambali11 күн бұрын
😂😂😂yan ktk Mr right zote, hii ilijua kunivunja mbavu
@kefrenbaraka11 ай бұрын
MTU kama Huyo ata awe like yangu sikubali kuwa nae.macho kodokodo kama fundi wa Saa kapoteza nati,ujana wake alikula na Nani amalizie uzee Kwa watoto wachanga.dunia imeisha
Huyo ndio mzee wa mjini. Sio mchezo asee, anachekesha sana. 😂😂😂
@JaydanSteven4 ай бұрын
Huyu mzee mhuni xn😂😂
@AlliMohamed-q2yАй бұрын
Weeh noma sana mzee wetu😂😂
@ElizabethMarco-fx4pr11 ай бұрын
We eliza niwakawaida sana2,halafu we baba huunimuda wa kumtafuta Yesu sio fedheha kama hizo
@Absakindande11 ай бұрын
Wwe acha ujinga hapo ni dangulo
@nikrahayubu-sz3pwАй бұрын
Kwa kweli😢@@Absakindande
@venerandaantony4369 ай бұрын
Eliza 😂😂❤❤❤ . Upo straight to the point 📌
@Kihiu_Kimani4 ай бұрын
Huyu mzae ni mfunny 😂 , amefanya show ibambe . Swahili yenu pia ni noma weeh 😂
@GiselaNdanzi-vl3ml3 ай бұрын
Mzeee waovyo😂😂😂😂😂😂😂😂 ila watu
@africanboy69212 ай бұрын
muhuni wa zamani bhna😂😂😂
@stellatwaah32428 ай бұрын
Mr right kafikiwa leooo😂😂😂😂😂
@dorcaskidoti24911 ай бұрын
😂😂😂😂 jmn natamani ningekuwepo apo hadi raha huyu mzee jmn 😂😂😂😂😂😂😂😊
@Rogathe-Rogathe11 ай бұрын
😅😅
@dorcaskidoti24911 ай бұрын
@@Rogathe-Rogathe hawa wazee ndo tunawataka wengine 🤭
@habibamura525511 ай бұрын
Hakuna mume hapo😂😂😂😂
@davidmisiwa462211 ай бұрын
Hili zee la hovyo sn , Lina tuaibisha wanaume
@sylviabaha226611 ай бұрын
Tena huyo ata achwa tuu,
@davidmisiwa462211 ай бұрын
@@sylviabaha2266 ahahahahhahahaaa
@charlzmallo46802 ай бұрын
Pale muhuni anapozeeka😊😂😂😂😂😂😂
@Erik-kj5no3 ай бұрын
Mzee wa hovyoo jinga sana wenge
@AmisamauridNgagada2 ай бұрын
Mzee upo sahihi kabisa Dunia haitupi nafasi mara mbili na nimejifunza kuwa maamuzi hata uzeeni unaweza kufanya kipindi hiki kiendelee kupata zaidi na nchi zingine ziige mfano
@SantaJumaa11 ай бұрын
Ivi watoto.wako wakikuuna ivo unavyojidhalilisha
@Halima-w3f11 ай бұрын
Mungu wangu nicheke au nilie 😂😂😂
@BoraHamisi-zl6xyАй бұрын
Tucheke na kulia
@rizikiabdalla250111 ай бұрын
Gara B mdogo wangu mbavu huna huyu mzeee
@MarionMatonye11 ай бұрын
Yaani huyu mzee 😢😂😂😂 from kenya much love pitieni kwangu mbifikishie 100sub
@najmahhassan785311 ай бұрын
Eliza kula chuma iyooooooo🤣🤣🤣🤣🤣
@tunuyaomar5017Ай бұрын
Eliza anajikutaga sana na anatamani kungekua na uwezo wa kujichongea wako unaemtaka😂😂
@NyandaEndeleaАй бұрын
Ukiskia wazee wa hovyo ndio hawa sasa 😂😂😂
@klystry123410 ай бұрын
Mzee yuko safi❤
@jacklinemassanja525611 ай бұрын
Grab ww jmn angalia mr right wasiwe wazee hiv jmn walio single angalau
@sarahhassan132310 ай бұрын
Huyo mzee angeenda cheka tu akachekeshe watu kule huku amekosea njia 😂😂😂
@rahmaomaryomary-md5ck11 ай бұрын
Wazeeee wa hovy kabisa😂😂😂😂😂mtoto ya afumbili inasema bora sugar dady , dady mwenyew ndo hyooo
@NancyMwaibula763411 ай бұрын
😂😂😂😂😂eliz umepatikana leo
@carolynemkutano80867 ай бұрын
Huyu mzee anafanana na Mr mirambo😂😂😂😂😂
@ElizabethNyabu-q1x12 күн бұрын
Sema hii sehem inackitisha sometimes maana wakizima wooote mtu unaweza kua 😢😢
@joycesamwely789611 ай бұрын
Huyu Mzee kanifuhisha hatarii sanaa
@SalesiaMwalongo-vw3ui8 ай бұрын
Hiiiii mchi ukifa na stress umetaka mwenyewe😂🤣😂😂
@fridakitemangu344610 ай бұрын
Hahahhahah😂😂 jaman huyo mzeee mbn anachekesha sasa ukweli hawaendani ni mateso tuu atapata ,sasa ni mzee na anasema handsome wa zaman duh akapambana na wake zake bn
@SellinaMorris-p1jАй бұрын
Eliza jifunze kuwa mnyenyekevu na kauli nzuri acha kulopoka na kukosoa wanaume eti raba chafu,wakati wewe mwenyewe ushajizeekea,utakomalia hapo,jifunze hekima Ili update mwenye hekima upooo😂
@Maryam-vj1rb11 ай бұрын
Mashallah Mashallah Alya nakupenda saaana leo umependeza saaana tre Jolie my sister 🥰🥰🥰
@LeodigaryPatrick-zo5kl11 ай бұрын
Duniani Kuna watu na watu wenyewe ndio kama hawa.😂😂😂😂
@LeahMwaihabi1-ft1fc10 ай бұрын
😂😂😂😂daaaaah huyu mzeee wa ovyoo
@AsiaKidunu-nm2ik10 ай бұрын
Mbavu zangu mm 😂😂😂 haaaaaa hatari kweli kweli 😂😂😂
@elinapetro713611 ай бұрын
Tipwa tipwa tetema oooo mama teteema shukachini tetema ooo mama tetema🪘🪘😂😂😂
@SmilingBirdwingButterfly-yq3he11 ай бұрын
Huyu mzee mjanja mjania sana
@GiftAbduly11 ай бұрын
Ila watu wew umeshindwa kujipeleka uko kwa hio passport yako unaanza sumbua wanaume chaaa😅😅
@FrncMukwinka11 ай бұрын
Yani kwaepe Huo hawezi Kua kadama.😂 Basi hadi kajichanganya
@sethjohnson72669 ай бұрын
Huyo Mzee kama hana watoto kabisa. Kudharirishana tu
@RandB_Channel11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 nimecheka jamani Eliza unaona sasa ulichaguwa saaaaaaana ona sasa leo yenye yamekukuta halo ivi anaanza kumbuka wale vijana aliwakataaga 🤪🤪
@DanielYusto11 ай бұрын
😂😂😂 daaah! Hii ya leo kali. Huyo ndio mume wanaomtaka.
@denismasele4130Ай бұрын
Si ndo hawa wababa wenu mnaotaka😂😂😂😂
@HellahMugambiАй бұрын
SASA hapa kiuhuni jamani ila pesa jamani😅😅
@ZillahLeo9 ай бұрын
Hahaaaaaa yaan uzee kumbe ni mzigo aix wenzio wanatafta waume na wake wewe unataka mdananda
@MaryWilson-j9j10 ай бұрын
Namjua kipindi tunafanya mazoezi ya kuigiza tulikua tunaishi mtaa wa kisonge...mbona hana shida anaigiza 2 hapo😂😂
@annamassawe-z9t11 ай бұрын
Huyoo dada Sijui ndo Eliza my dear punguza dharau
@hawababy12011 ай бұрын
Huu mze nimuhuni aisee😂😂😂😂😂😂😂
@bridgidmumbi168510 ай бұрын
Kanivunja bavu huyu mzee😅😅😅😅😅
@AsiaKidunu-nm2ik10 ай бұрын
😅😅😅 nimecheka sana aiseeeee kanishinda tabia
@severakimario67676 ай бұрын
Hahahaha hahahaha hahahaha 😂😂😂😂😂😂 mm nimecheka jmn
@adolphthomas1187Ай бұрын
Na huoo uzee wakoo nice na mapenzi ya dharii unachekesha😂
@FbGb-z1x11 ай бұрын
Eliza..mwamba huyo😂
@ElizaMwanduАй бұрын
Mmmh hakika huyu ni mzee wa ovyo sana anazeeka vibaya sana.
@Halima-w3f11 ай бұрын
Mungu wangu nicheke au nilie mimi😂😂😂😂
@odalomary544611 ай бұрын
Gara b. Unataka kufanana na uyo.HB WA ZAMANI. 😂😂😂😂😂
@KendrickKhalfan8 ай бұрын
Huyu so mzee n janja mwenzetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@EsterFrank-j9g2 ай бұрын
Masikini eliza...anakataliwa na vijana anafatwa na wzee
@lilianurio978111 ай бұрын
This is very funny 😂😂😂
@mwaamwetahussain99478 ай бұрын
Hapana chezea mjinga mwenye confidence 😂 uyu Eliza hii ndio dawa yke😂😂
@chebetjemmimah147611 ай бұрын
Mimi ata na dawa huyu siwezi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@eppiemodest11 ай бұрын
Huyo mzee ni tajiri sana namjua. Anabiashara nyingi sana. Ana karakana mbili na mashamba mengi sana. Eliza kubali huyo mzee ana tabia ñzuri namfahamu ķivile.
@hanifamazinge-iy1mr11 ай бұрын
Huyu Sie Mzee Wa kwenye tamthilia ya hatia😂😂
@JulianaThomas-j7g11 ай бұрын
Ndio yeye na saizi yupo kwenye kazamoyo series
@achantyyahya429011 ай бұрын
Napia Yupo Kwenye Panguso ya Jimmy mafufu a.k.a Kipunje
@teedullah570811 ай бұрын
Huyu Leo umemtowa wapi😂😂😂😂
@happynkya977011 ай бұрын
😂😂😂huyu mzee ukikaaa naye ndan hakuna kununa
@oscarkinyunyu386111 ай бұрын
nmeimjoi san handsome yuk vizur san istoshe eliza kesha mpenda sema hajapewa mda waktosha ila eliza kesha mpenda Mwamba ,
@lucypatrick783010 ай бұрын
Hahaha kaenda kuchekesha anataka kumtoa Eliza kinamna
@AvitusMwija9 ай бұрын
😂😂😂 mkipata mtoto akuite babu 😂
@asiliyetuonlinetv506311 ай бұрын
😂😂😂😂😂wahuni wanazeeka
@siaammo11044 ай бұрын
Kweli eliza kapata suze yake kaptikanaaa haswaaa😅😅😅😅
@VicentMwanga-dz6ot11 ай бұрын
Jamani jamani pale muhuni anapo zeeka ety
@AdijaMiraji10 ай бұрын
Jaman we mzee unatamaaa😊😊😊😊
@omanmobile574611 ай бұрын
😂😂😂😂ata sijuo nacheka nini
@omanoman2044Ай бұрын
Huyo mzee mjinga san wallah zee kam hili limezeeka linaleta ujinga hapo