EPUKA FIKRA HIZI LEO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 14,335

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@nurdininanjota4056
@nurdininanjota4056 Жыл бұрын
Natamani 2025 ✍️✍️🗳️nikupe kula YANGU Mungu akubariki akupe nguvu ndoto zitimie bro unakitu ndani yako🇹🇿🙏.
@danielisaiya340
@danielisaiya340 Жыл бұрын
Uandike Mungu,siyo mungu.
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@nurdininanjota4056
@nurdininanjota4056 Жыл бұрын
@@danielisaiya340 Ahsante brother🙏
@nurdininanjota4056
@nurdininanjota4056 Жыл бұрын
@@dullahtechtz3422 🙏
@remmy5smartTrader
@remmy5smartTrader Жыл бұрын
Waiting 🎉
@rollahngimbwa6978
@rollahngimbwa6978 Жыл бұрын
Shkran San brother Joel🙏🙏 Kila siku naongeza kityu kipya kwenye ubongo wangu, yamkini wanifunza mengi Sana naongeza maarifa pia Kenny maisha yangu, hkk masomo yako ymebadilisha mmb mblmbl Kenny Misha yngu💯💯🙏. Be blessed kaka🙏🙏
@danchibomnyama5461
@danchibomnyama5461 Жыл бұрын
Mungu n mwema kutukutanisha n ww nimejifunza kitu hapa mungu akubariki sana
@Madam_Tinna
@Madam_Tinna Жыл бұрын
Hili ni Neno la wakati kabisa! May GOD Bless You more...
@nasha_59
@nasha_59 Жыл бұрын
Thanks so much Joel god bless you Hakuna suluhisho u mean everything🙏
@michaelryton6868
@michaelryton6868 Жыл бұрын
Toka nilipojifunza kutokua na Fikra mbaya Katika Maisha yangu hiyo Fikra#1 nimeweza kuishinda na Sasa shida yoyote inapotekea huwa nakua na Fikra Chanya… Asante Kaka Joel
@farajakibona6047
@farajakibona6047 Жыл бұрын
Asante kaka ninakuelewa sana nijifuza vizuri
@azizamajuto928
@azizamajuto928 Жыл бұрын
Fikra Ya Kukata Tamaan Kwamba Mm Sio Mtu Wa Kuwa Na Furaha Ni Mtu Wa Maumivu Tu
@neemashirima6121
@neemashirima6121 Жыл бұрын
Amina barikiwa ujumbe mzuri sana.
@broka_genius3615
@broka_genius3615 Жыл бұрын
GOD IS GOOD
@simbamaepo3192
@simbamaepo3192 Жыл бұрын
Tupo pamoja
@annwanjiru5477
@annwanjiru5477 Жыл бұрын
Wonderful🔥🔥🔥🔥 Every problem has a solution Noted Sir
@kkobyko6344
@kkobyko6344 Жыл бұрын
Thanks sn Joel my teacher of life
@isakafreddy7514
@isakafreddy7514 Жыл бұрын
#joelnanauka 🕊️🕊️🕊️
@eliamartine4720
@eliamartine4720 Жыл бұрын
Kati ya vitu ambavyo naogopa nikuwaza mawazo mabaya maana natambua ni mwanzo wa kuuwa Imani yangu so Nazidi sana kulinda Imani yangu kwa mawazo bora
@gerraldgready8051
@gerraldgready8051 Жыл бұрын
Asante sana kaka Joel nanauka, mimi changamoto inayonitesaga ni kufikiri changamoto ninayopitia ni special
@yusuphpilion2465
@yusuphpilion2465 Жыл бұрын
Changamoto kubwa niliyonayo ni madeni sijui nachomoka vipi kwenye jambo hili naomba msaada tafadhali
@ponsianaprotas8990
@ponsianaprotas8990 Жыл бұрын
Kidogo unachpata gawa robo kulipa deni, pia usikope kwanza hadi madeni yapungue au yaishe. Usihamishe deni pia, yaani kukopa kwa ajili ya kulipa deni. Tafuta matumizi ambayo unaweza kuyapunguza ili kama inawezekana kuyapunguza, hiyo hele peleka kwenye kulipa deni. Kidogo kidogo hujaza kibaba. Ndondondo si chururu. Bandu bandu bandu ya maliza gogo.
@ponsianaprotas8990
@ponsianaprotas8990 Жыл бұрын
Hakuna lisilowezekana dhamiria litaisha tu.
@ismailjames1941
@ismailjames1941 Жыл бұрын
Believe on me Mr Joel you really chang my life a lot #God bless on you
@asiaa6573
@asiaa6573 Жыл бұрын
Asante kaka Joel, Mungu akubariki
@domitilaneovitus5724
@domitilaneovitus5724 Жыл бұрын
Barikiwa sana kaka Joel Kwa ujumbe mzuri🙏
@lydiaseventy5509
@lydiaseventy5509 Жыл бұрын
Asante kwa ushauri wako mzuri sana sana Ubarikiwe
@liliankanje9952
@liliankanje9952 Жыл бұрын
Be blessed broh 🙏🙏📌📌
@hassanihassani7154
@hassanihassani7154 Жыл бұрын
Mm huwa na umia sana nakupungukiwa una kujiamin pale ninapokutana na changamoto hasa ninapokutana na changamoto kwenye biashalazangu
@erickathanas
@erickathanas Жыл бұрын
Thanks bro kwa ushauri wako umenijenga sanaaa
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 Жыл бұрын
Nimekupata vizur brother!
@onewhoiscompleteauniversal7419
@onewhoiscompleteauniversal7419 Жыл бұрын
Nimejifunza hakuna jambo lisililo na suluhisho na hakuna jipya chini ya jua
@pezuzacreator7837
@pezuzacreator7837 Жыл бұрын
Allah akupe maisha marefu kaka
@anesansibert2968
@anesansibert2968 Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana
@yusuphpilion2465
@yusuphpilion2465 Жыл бұрын
Nimeona baadhi ya watu wameshare kuonyesha walivyofanikiwa kutoka kwenye madeni nami natamani kuwa mmojawapo.Nina amini una ushauri wa kunisaidia
@cutting_timeless_barbersho1701
@cutting_timeless_barbersho1701 Жыл бұрын
Fikra inayonisumbua zaidi ni ile Hali ya umazoea juu ya jambo fulani nilozoea kulifanya lkn nashukuru unazidi kufungua upeo wa akili yangu siku baada ya siku 🙏
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Amina Baba
@JohsoEma
@JohsoEma Жыл бұрын
Me nasumbuliwa na tatizo la uwoga sanaa na aibu kaka
@VictorNdeoya
@VictorNdeoya 8 ай бұрын
Iyo niroho sio elimu mtafute mungu anakuondolea atamimi niliteseka na roho iyo.lakin saiv namuona yesu kaniponya
@bajutaboy7588
@bajutaboy7588 6 ай бұрын
Fikra inayonijia akilini mara kwa mara "kila mtu duniani ana haki ya kuwa anavyotaka na kufurahia maisha ya iwe ya chini au juu isipokua mimi"
@deodatusmziwanda9009
@deodatusmziwanda9009 Жыл бұрын
Asantee,Umenifungua SANA Fikra Zangu
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Asante nikweli lazima ujiamini ilikulishindha jaribu
@tumainnanyaro4879
@tumainnanyaro4879 Жыл бұрын
Naitaji namba yako
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
@@tumainnanyaro4879 umeipata
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Жыл бұрын
Kaka kachukue from ya urais 2025 tukupigie kura
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Жыл бұрын
Asante.
@ramadhanikifondi5010
@ramadhanikifondi5010 Жыл бұрын
Good
@tumainnanyaro4879
@tumainnanyaro4879 Жыл бұрын
Naitaji namba yako kwa ushauri zaid
@FahmiHemed-hq5jv
@FahmiHemed-hq5jv Жыл бұрын
Chochote nitakachofanya hakifanikiwi
@francissamcky4496
@francissamcky4496 Жыл бұрын
Yan mimi nikiingia kwenye tatizo nilikuwa naaminigi ni mimi peke yangu nimeanzwa kupatwa na hiloi tatizo
@herbertbavuma7228
@herbertbavuma7228 Жыл бұрын
Huyu jamaa hata akiichoach arsenal&chelsea zinaweza kuchukua ubingwa msimu ujao.
@josephmichael9555
@josephmichael9555 Жыл бұрын
Hakika mkuu Kila ninaposikia video yako napata tumaini jipya hasa pale uliposema changamoto unayoipitia usiibebe Kama ww ndo wa kwanza wapo wengi wanaoipitia zaidibya weww
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
👌🏽🙌🏿
@baboudeira9249
@baboudeira9249 Жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🏻
@liliankanje9952
@liliankanje9952 Жыл бұрын
Fikra ya kuona kwamba mbona kama Sipumziki Napitia changamoto zinazoniumiza Kila wakati Kuna inafika nashindwa kujizuia naona kama why me 😢😢 sometimes I feel like ni mm pekee Yangu 😢😢
@teddytaddy6697
@teddytaddy6697 Жыл бұрын
MUNGU akubariki Kaka Joel,unanibariki Sana🙏
@hassanihassani7154
@hassanihassani7154 Жыл бұрын
Mm ninachojivunia nipale ninapokutana na changamoto fikra ninayoibeba akilin mwangu najua ipo njia yakutokea hata kama soleo ipocku
@hamidumpeni8333
@hamidumpeni8333 Жыл бұрын
mi huwa nahofia sana kuanza yang wazo la kufanya kitu fulani linakuja ila nahofia nitafeli
KUJENGA JINA KWENYE KILE UNACHOKIFANYA - JOEL NANAUKA
7:11
Joel Nanauka
Рет қаралды 37 М.
LIFE WISDOM : VITU VINAVYOUA MAONO YAKO - JOEL NANAUKA
13:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 8 М.
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
BAADA YA KUFELI - JOEL NANAUKA
7:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
LIFE WISDOM : FANYA HAYA ILI USIJUTE UZEENI - JOEL NANAUKA
12:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.
Maswali 7 yanayo wa kera Wanawake wengi - Joel Nanauka
7:00
Joel Nanauka
Рет қаралды 14 М.
UTAJIRI WA MUDA - JOEL NANAUKA
5:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
LIFE WISDOM: NGUVU ILIYOJIFICHA NDANI YAKO - JOEL NANAUKA
6:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 8 М.
AINA 5 ZA KUFIKIRI ZINAZOFELISHA WATU - JOEL NANAUKA
9:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 67 М.
LAZIMA USHINDE HOFU HIZI - JOEL NANAUKA
10:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 78 М.
LIFE WISDOM : JOEL NANAUKA - UFANYE NINI UNAPOPOTEZA
14:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 4,8 М.
JOEL NANAUKA - UFANYE NINI KUJENGA USHAWISHI?
7:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 30 М.