Kaka Joel mi lak5 nataka nifanye biashara na mimi sina uzoefu wa biashara🙏🏿🙏🏿 naomba mawazo yako
@joelnanauka10 ай бұрын
Angalia Hii series ziko part 1-5, utapata majibu kzbin.info/www/bejne/q37Yc4GYhJmWmqcsi=3_sQ6I4Bl8IObgtC
@Salehabdallah88110 ай бұрын
Asante kaka ila nilikuwa na shauri ungetutengenezea hata group la whatsaap tuwe tunakufikia kwa ukaribu zaidi
@Justinmax-p7n10 ай бұрын
Sas wew kama huna wazo nani akuoe wazo kuwa na wazo kwanza ndo uongezewa maifa katika wazo lako ili lifanikiwe one love❤
@BrightonFilberty9 ай бұрын
Asant kwa maarifa
@JapharySikunjema10 ай бұрын
Ahsante sana kaka joel kwa somo zuri Mungu akubariki sana
@beatriceotera599910 ай бұрын
Kenya well represented kaka keep on ninakutegemea pakubwa sana
@avitus-thobias10 ай бұрын
Ahsante sana Kaka Joel, hakika kila siku nazidi kupata kitu kipya, na ninazidi kusogea mbele Mungu akubariki sana. See You...........✋🏻😀
@MartinWycliffe-wc1fu10 ай бұрын
Hello Mr. Joel, am your fan from Kenya, niko na youtube channel na ninaomba uelekezi kuhusu kuikuza. Wepo wako unaguza maisha ya watu wengi.
@IbrahimDaudi-bo7ke10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Nimeflaiiii Sana Na Hili Somo Kaka Sasa, Nitazidi Kufunga Kibwebwe Na Kuzidisha Bidiiii Zaidi Kunakitu Sikuwa Nakijuwa lakini Leo Nimejua Thanks Sana
@KINGCOBRATV76510 ай бұрын
Umenibadikisha kaka maisha thanks
@JAMESALBANO-uv5kt10 ай бұрын
Nice
@masudibaja10 ай бұрын
I wish ningekufahamu mapema kaka,, everyday i get power to fight for my life kupitia maandiko,,vitabu vyako,,ubarikiwe sana
@Eziron9Vyats10 ай бұрын
Ahsante Sana kaka Joel Kwa elim unay tufundisha see you at the top
@goldiegranted550110 ай бұрын
Somo 🙏🔥🔥🔥🔥
@MgeniRamadhani10 ай бұрын
Hata hawapokei simu
@lilianjoseph114410 ай бұрын
See me at the TOP. Thank you
@KalabaKlb10 ай бұрын
👂
@hadidjaissa915410 ай бұрын
🙏🙏
@stephanosospeter170910 ай бұрын
Ameen
@clarasabutoke690710 ай бұрын
Asante sana
@MarikaPaul-lp2nd10 ай бұрын
🎉🎉🎉
@claudjohn5 ай бұрын
Kaka kitabu Cha timiza malengo kinauzwa shingapi
@marymkamwa377910 ай бұрын
See mee at the top!It is never late so long nina MAONO
@SimonLujiga-s3k4 ай бұрын
Kaka joel samahani natamanii nikuulize kitu"je kufikia miaka 38 kwa kawaida unaweza kuwa na bilion 5000