Kwa ufupi nikwamba kuuliza ayo maswali sio tatizo, ila tatizo ni hekima unayotumia kwenye kuuliza ayo maswali. Sasa mm pendekezo langu ni kwamba, heri kuto kuulizia swali ambalo linaweza kuhasiri akili ya mtu kama hauna hekima yakutumia katika uhulizaji wako🙏
@odhiaodhia98982 жыл бұрын
Jambo la nane hawapendi Shikamoo
@aymanmaganga93152 жыл бұрын
Hahaa😂😂😂kabisa yan
@Brighters-y2 жыл бұрын
😂😂 kweli
@namsifuwadeya497 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa hayo maswali hua yanakera sana tena sana,MUNGU akutunze Nanauka
@magrethjohn49292 жыл бұрын
Ni kwel uncle joel hayo maswali yanaumiza sana 😔😔😔 mara unaolewa lini mara lini na ww utakuwa na mtoto dah!! Kwel hawajui kiasi yanaumiza
@oscarj....59792 жыл бұрын
Utaolewa lini😂
@magrethjohn49292 жыл бұрын
@@oscarj....5979 acha tu 😁
@ericamoshi7752 жыл бұрын
Haya maswali ya umeshapata mtoto? Hujaolewa bado? Yanakwaza sana
@raheemhamisi53702 жыл бұрын
Yes,,,off course iyo ishanitokea mi nilimuulizaga demu wangu hakupenda baada ya kuwa wapenzi ndani ya miezi 6 ndo alkuja kunambia ivi ni kwanin mara ya kwanza nilimuuliza eti ana umri au nilimuona alkuwa amechoka kimaisha,,,,???? Swali jingine unapomuuliza kwanin ulizaa na uyo boya (boyfriend)ambaye walkuja kuachana mwanamke huwa anajiona hakufanya maamuzi sahih ivo huwa anajiona km alipotea njia sahihi. Thanks Brooo Joel,,,,nakufatilia sana tuu kila video ukitoa huwa napata notification by then it's to watch.
@hidayakisensi27472 жыл бұрын
Mimi nachukiaga sana maswal kama hayo, sipendi
@brackskinyozi32806 ай бұрын
Kazi.. nzuri sana coach Joel barkiw
@omarmahirizi2 жыл бұрын
Kwa upande wangu hata sijui hayo maswali utaanzajeanzaje kuyauliza kwakweli ni maswali ambayo hayauliziki Ila kwa hekima ya juu sana
@ramygichero1016 Жыл бұрын
Hi ni nzuri
@evalineedwardsuzanne98622 жыл бұрын
Mm nachukiaga sana hili mbona umekonda sana
@alidhjdv50472 жыл бұрын
Mim n mmojawapo amabe nachukia sana maswali hayo
@neemaryan99472 жыл бұрын
Kweli kaka haya maswali hua yanakera sana eti mtu anakuuliza wewe utaolewa lini.
@Roym972 жыл бұрын
Maybe amevulugea huyo
@aash41452 жыл бұрын
Nanaukaaa😂😂Et kwa nini uliachwa,, kwakwel watu wana maswal ya ajabuu
@charityfarm12262 жыл бұрын
Noma sana
@lukasjoel91052 жыл бұрын
Ni shawahi kuuliza swali la bikra kwa mpenz wangu lkn hakukasirika
@shaomymusic45102 жыл бұрын
Sipendi mtu aniulze kuhusu mwili wangu Wakt me mwenyewe unanipa stress nachukia ukitaka uadui na mm ukiniona jaji mwili wangu nakuchukia mazima sipendi tu
@abuuharuna22142 жыл бұрын
Nashukuru mungu sipendagi kujua taarifa ambazo hazinisaidii kitu siulizagi maswari kama hayo
@witnessshija77172 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na Mimi nitaacha kuuliza hayo maswali
@naturalherbsandlife6102 жыл бұрын
Yaani karibu yote nilishawahi kuulizwa mweeeeh yanakeraaa mno
@mahmoud18522 жыл бұрын
Duh... Kaka Joel mie sijawah kuwa hata na mahusiano na mwanamke
@pikanaauntzuu14662 жыл бұрын
Kabisa hilo swali huwa linanikera sana hasa nikiendaga nyumban kwa baba yangu jmn kuna mama huyo unaweza sema ndio mchawi wangu maana yy tukionana tu ananiuliza kwann huolewi na utakaa bila kuolewa mpaka lini hajuagi tu ni kiasi gani ananiudhi ila kwakua namuheshim sana ndio maana hiwa namstahi tu au ananiambia hibi 8takaa na mtoto mmoja mpaka lini
@salvinamakindi4732 жыл бұрын
Apo lala ume patia maswali yote Yana nikera sana
@jacksonbonifhace56942 жыл бұрын
Mm niliuliza girl kama ni bikra
@halimaanab83932 жыл бұрын
Hayo yamenipata 😄😄😄
@abdultandala65762 жыл бұрын
Nakubali ✅✅✅
@modestaspandila12802 жыл бұрын
Ubarikiwe kaka kazi yako ninjema
@azizakwileka16412 жыл бұрын
Mimi napenda nikiambiwa nimepungua kuliko kunenepa, na kumuuliza mtu kuhusu kupungua au kunenepa basi huyo mtu nimemzoea yaan mpaka basi
Alishawahi kutoa video. Mfano mwanamke kumuuliza mumewe upo wapi? baada ya kuchelewa kurudi nyumbani.
@ahz69072 жыл бұрын
Kesho itatoka video ya hayo maswali
@odhiaodhia98982 жыл бұрын
Je unahela ? hilo ndilo swali kero kwa wanaume
@joelnanauka2 жыл бұрын
Angalia video inayofuata
@batulii12482 жыл бұрын
Apo kwenye swali la mwisho kuna mtu Ali niuliza eti we nibikra nilikasilika tena ni mtu mzima kweli nilimfikisha had kwa wazazi wangu alijuta kwakweli linakera kuuliza swali nyeti kama hilo😏😏
@loiceomwola74512 жыл бұрын
Mtalamu mwalimu mkuu..asante sana kwa kutukumbusha za zingine tuzoee maswali kama haya tu
@michaelramadhan94662 жыл бұрын
I'm the one
@salimramadhani52372 жыл бұрын
Et ana ma hormone inbalance😎
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
🤣👌🏽🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Baby
@joshuamaro96042 жыл бұрын
1: unaumri gani ?
@aminakipande56452 жыл бұрын
Hata juzi kuna mpuuzi nilimtusi sana eti mbona umepungua yaani nilijisikia hasira kali mno nahisi akirudia ntamchemshia maji moto nimmwagie
@lydiamauya91512 жыл бұрын
Thank you Coach. Serious these are irritating Qs
@Brighters-y2 жыл бұрын
😂😂 how old are you
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Ila wanaume bhn 🤣🤣 izo bikra uwa wana peleke wapi 😪🤦♀️nA WAPO SERIOUSLY WANA ULIZA SWALI KMA ILO,! LOH?
@mandejumanne64292 жыл бұрын
Haaaahaaahaahaaahaahaahaah
@khadijajuma71422 жыл бұрын
Kuna mpuuzi nime stop mawasiliano na yeye kwa sababu ana ujinga wa hayo maswali yoooote kama vile umemsema yeye. Na huwa najiuliza hivyo hivyo kama unavyosema, akiuliza ujinga huo.
@Cyper2552 жыл бұрын
Unamiaka mingapi Dada?
@ahz69072 жыл бұрын
@@Cyper255 🤣
@khadijajuma71422 жыл бұрын
@@Cyper255 Ntakublock 😁😁😁 si bora hata hili la miaka, mm miaka yangu 28 afu jitu liniulize lini naolewa 😁😁mara lini utapata nawe mtoto!!! Yaani sipendi kupewa majukum ya Mungu wakati mm binadamu 😁😁😁Mara unanenepa kidogo mtu anakushangaa eti khaaa umekua hivi lini umekua kama mmama 😆😆😅Linakeraaaa afu halijishtukii