Asante sana kaka nimejifunza.mambo 2 na nitaufanyia kazi ubarikiwe sana
@saidchaka88014 жыл бұрын
Asante sana somo zuri. Nurdin unafanya vyema ila kunavitu naomba nikushauri, 1. Punguza speed wakat wa kuzungumza. Hapa haufanyi tangazo, unafundisha hivyo ni bora ukapunguza speed. 2, naomba kua wa tofaut ktk matumiz ya saut yako. Sauti yako haina utofaut na Ezden. Be you, punguza bacground music iwe chini isiingiliane na saut yako. Ila zaid ya yote unafanya vzr sana. Ongera sana
@deusjohn11074 жыл бұрын
Woh vema umesema kweli
@Dm-yq9wn4 жыл бұрын
Said Chaka ushauri mzuri sana
@laylasuliman58054 жыл бұрын
Kabisa
@kazurungapdavid30784 жыл бұрын
Umeshauri vizur Kaka.
@yagwishaheke25244 жыл бұрын
Kweli point nzur anaongea ila speed yake naona ni mara saba ya chiriku
@abdallasalim37784 жыл бұрын
Asante kw kutuelimsha nimejifunza kitu , shukran , Allah akulipe juu ya Hilo
@abelmwilapwa11114 жыл бұрын
Asante uko sawa
@yasinikateula66054 жыл бұрын
Uko juu sana bro
@dawhacker22164 жыл бұрын
Nimeelewa sana shukrani
@helenamusa4324 жыл бұрын
Asante Kaka somo zuli napata kuelewa juu ya pesa
@mundiajamesfurahia4774 жыл бұрын
Hi sawa wawa kabisa
@makumbele4 жыл бұрын
Asante sana kwa hii video, asante kwa kutuamsha👍🏾
@suleim5059 ай бұрын
Asante sana mwalimu.
@successpathnetwork9 ай бұрын
Karibu
@cryptoisourlife4 жыл бұрын
Ahsante saana kwa somo zuuuri....... lakini next TIME naomba utufundishe matumizi sahihi ya muda Yaani jinsi ya kupanga muda vizuri ....... kwa sababu ninacho amini mimi nikuwa mafanikio yetu yanatokana na jinsi tunavyo tumia muda wetu ipasavyo............... ahsante kaka
@nurdinmohamed10504 жыл бұрын
success path network for life
@ramadabdallah53524 жыл бұрын
Mnatusaidia sana ktk kutujenga juu ya mafanikio.
@successpathnetwork4 жыл бұрын
Asante sana Rama D Abdallah kwa kufuatilia. Pamoja!
@rodahkeonga36764 жыл бұрын
Asante ndungu
@mugishanasra19193 жыл бұрын
Napenda video zenu mu endeleye kutu leteya zingine tujuwe zayidi
@restutamjuni47394 жыл бұрын
Somo zuri
@muddygaston16714 жыл бұрын
boy from zanzibar thanks
@kazurungapdavid30784 жыл бұрын
Safi nimependa somo lote japo yapo machache sana kwa upande wangu naona kipind kijacho utacover vyote Kama si kupata muda zaidi kufikiri tena zaidi na zaidi. Kikubwa Napenda confidence yako, ila speed uliangalie hili Kaka tafadhar. #Nurdin Mohammed
@assiajuma49884 жыл бұрын
Asante sana kaka Kwa mafunzo manzuri
@vascoisry354 жыл бұрын
Nakubali sana chanell yetu each one,teach one!!Onelove
@successpathnetwork4 жыл бұрын
Pamoja sana Vasco
@vascoisry354 жыл бұрын
Nakubali boss but afya ni jambo la msingi mkitufundisha tutawafunza zaidi
@successpathnetwork4 жыл бұрын
@@vascoisry35 Usijali maswala ya afya yanakuja...daktari wetu anaweka sawa vitu vyake soon hapa
@vascoisry354 жыл бұрын
@@successpathnetwork Amina boss mungu mwema atujalie afya iliyonjema !!tuzid kufuhia kwa kilicho bora zaidi katika channel yetu *Success Path Network*
@liberatussylvanus99524 жыл бұрын
True each one teach one
@marydaniel91454 жыл бұрын
Asante sana kaka nimejifunza kitu
@dozzbiyo95234 жыл бұрын
Ongera zaidi mpendwa wangu Ndio umefanya vema.....! Ila unapaswa kujua kuelimisha na kutangaza....! Pia jitaidi kuwa mwenye mifano pevu kwa point zako ili usiwe mwepesi wakufikia point kwa araka.! Mifano itakufanya wewe kueleweka kwa kina zaid kwenye point zako...! Ndio nakupa ponge zaidi.!
@kunamour20924 жыл бұрын
1:spending more than you make 2:investing in the thing you dont know
Unaweza kuwa mzur kuelimisha biashara ila usiwe mfanya biashara
@selemanimtohima85974 жыл бұрын
kaka nime kubali unacho kisema
@mussamussa91744 жыл бұрын
OK sasa Nurdeen tupe maelekezo zaidi ktk swala la uwekezaji basi ili tujue ni namna gani tuanze na nn kifanyike
@nurdinmohamed10504 жыл бұрын
Coming soon
@lengashelaizer24814 жыл бұрын
tunataka elimu juu ya mr kuku naomba mkiweza mtuelimishe
@successpathnetwork4 жыл бұрын
Fuatilia hii : MR KUKU FARMERS . Ukiwekeza unapata faida mara mbili ya ulichowekeza baada ya miezi 6. . MZUNGUKO WA MIEZI MINNE (4) Huu uwekezaji wake lazima uwe kuanzia shilingi Laki 7 na kuendelea na faida yake utapata (70%) . Hapa kwenye miezi minne una nafasi ya kuchagua kati ya miezi sita au minne. . MZUNGUKO WA MIEZI SITA (6) Huu uwekezaji wake ni chini ya shilingi Laki 7, kima cha chini ni Laki moja na nusu na faida yake utapata (100%) . OFFICE LOCATION: Kigamboni mjimwema kituo kinaitwa BIG STONE ukitokea Ferry office yetu iko upande wa kulia karibu na NAKOZ SUPERMARKET. . KAMA UPO MBALI/ NJE YA DAR Utalipia bank na kutuma bank slip yako. Utatumiwa softcopy ya mkataba uta-print na kusaini halafu uta-scan na kutuma ofisini. . Au utalipia bank then utamtumia bank slip ndugu yako yoyote aliye Dar atakuja kusaini mkataba kwa niaba yako na kupatiwa document ya mkataba wako. . MAWASILIANO: Tupigie simu muda wa kazi (saa 3:30 Asubuhi hadi saa 11:00 Jioni PM) Namba: 0778-999-009 . TAARIFA ZA BANK CRDB BANK PLC . Akaunti ya shilingi: 0150481394800 . Akaunti ya dollar (USD): 0250481394800 . Jina la akaunti ni: MR KUKU FARMERS LIMITED
@lengashelaizer24814 жыл бұрын
@@successpathnetwork ahsante sana kama nipo nje ya mkoa Nikilipa kiasi Fulani naweza pia kupokea baada mkataba kuisha naweza pokea pia
@frorenceetoile30164 жыл бұрын
@@successpathnetwork namba ya WhatsAp ? Nimependa ila sijaelewa vizur
@josephmwakisu51764 жыл бұрын
Umefundisha kuwa MTU awekeakiba ataweka akiba nyumbani au benki??hilo lapili kwamwisho halijakaa sawa unajipingakatka fundisholako jipange upya kijana wangu
@helenamusa4324 жыл бұрын
nimependa maneno yako
@successpathnetwork4 жыл бұрын
asante. yafanyie kazi kama kweli wayapenda....
@maigetotv21734 жыл бұрын
Kamanakuelewa upande kama. nanichanganya
@tttooo1564 жыл бұрын
asante sana ila nimechanganyikiwa kidogo katika point ya tatu na sita kwamba ya tatu umetuambia kuwa tusiwepes katika kuwekeza.. na ya sita "tusitunze pesa badala yake tuwekeze"... daah hapa mm nachanganyikiwa sana .. maana mm ni hodar kuwekeza katika fursa mbali mbali .. kama mr. kuku nipo ... Alliance nipo.. thamani ya mwanake nipo.. sas hapo daah..!!😷
@nurdinmohamed10504 жыл бұрын
Nilikua namaanisha usiwekeze ktk kitu usichokijua lkn kuwekeza ni muhimu sana hususan ktk kipindi hiki
@yasinikateula66054 жыл бұрын
Hyo point 4 duuuh inayonifanya pesa zangu zipoteepotee tu
@salumyasin64494 жыл бұрын
Uko vzuli ktk kufundisha ila ongea talatibu
@fredyliberaty63984 жыл бұрын
Unafanya poa sn Kaka ila punguza speed ongea polepole