Mungu unikutanishe na watu sahihi kwa wakati sahihi.
@scholasticamarandu476210 ай бұрын
Mungu nipe hii neema ya kukutana na hawa watu Muhimu Amina
@MussaJoseph-k3uАй бұрын
Mungu akubariki kimaisha uzidi kutupa elimu juu ya nguvu ya mungu ubarikiwe
@fedharmmark63983 жыл бұрын
Roho mtakatifu niunulie watu wa kunitaja na kuniona na unifunulie macho ya roho niweze kumwona na yeye anione, Ubarikiwe sana Brother Mungu akubaliki sana
@everinakahigi-mj9yk Жыл бұрын
Hakika yangu Nina miaka chini ya ishirini nimekufatiliaaa ,,,, nahisi mungu kakufanya kwangu kuwa mentor ,,,,,, hakika jina LA mungu litukuzwe kupitiaa wewe
@Greatamir2 жыл бұрын
Jamaaa uko vizur nimekuwa nakufuatilia kwa kua unazungumzia vitu vya uhalisia..
@DaudipasinaiPasinai-o2s4 ай бұрын
Aisee Mtu wa Mungu unabariki Sana maisha yangu wewe tangu nimekuwa nakufuatilia nimekuwa mtu naongezeka nakubadilika kabsa natamani siku utengenese semina na utualike tutakuja Sana
@MussaJoseph-k3uАй бұрын
hakika maneno yako yamebalikiwa ee mungu wa mbinguni naomba unipe macho yakuona watu ambao wataweza kunitoa hapa nilipo na kwende mbere zaidi kimaisha maana ww ni mwenye kuweza maishani mwetu
@mericktamba79813 жыл бұрын
Niceeeeee...brzaaa...💯💯💯💯💥💥💥💥💥💫💫💫💫💫🔥🔥🔥
@EliasGwaya3 ай бұрын
Mungu anikutanishe na watu wa hatma yangu kupitia somo hili, amen
@PauloTago2 ай бұрын
Mungu naomba uwafiumbue macho wannishike mkono,,.Naamini ipo sehemu yangu inayohitajika, Amina
@judithnyawanda1934 Жыл бұрын
Through you I have moved from point A to B in my life, keep it up Joel I am listening from Mombasa Kenya.
@MariamSanga-bj8mb6 ай бұрын
Najifunza vingi kupitia wewe Mungu wa mbinguni azidi kukutunza kwa ajiri yetu umekuwa baraka sana
@mrlusindetzb83993 жыл бұрын
Kaka mungu akulinde sana maana unatufanya tuwe na muonekano mwingine katika maisha yetu may God bless you my brother 100%
@alutonyoni25203 жыл бұрын
Mungu azidi kuku bariki kaka na kukupa baraka na maisha marefu kaka uzidi kutuelimisha zaidi 🙏🙏🙏 barikiwa sana
@meeknessmaziku21562 жыл бұрын
Ndio maana nlikuwa nakushangaa we ni mtu wa namna gani!! Kumbe we ni mchungaji!! Ubarikiwe kwa kazi yako njema!!...
@neemaemanuel77156 ай бұрын
Awali ya yote Mungu atukuzwe kwa uwepo wako, nabarikiwa Sana kwa mafundisho yako. One's again thanks sir
@EliasGwaya3 ай бұрын
Kwakweli Mungu azidi kukutumia Dr,
@mazwichannel2120 Жыл бұрын
Eeh Mungu nipe macho ya rohoni niweze kuwatambua watu ambao wataniongoza kusonga mbele kimaisha... Kaka joel nashukur kukufatilia umu na asante kwa mafundisho hayo
@mwamvitamyombo44662 жыл бұрын
Mungu akubariki Pastor Joel Nanauka mafundisho yako ni ya kiroho yananipa ujasiri huwa najifunza vitu vingi
@maelezomaelezo90573 жыл бұрын
Kumbe ni pastor Joel nanauka umetumwa na mungu wetu kutuelimisha
@shukurumbwana2295 Жыл бұрын
Kwenye karama umenigusa mtumishi, imenitokea the same way. Mungu akubariki sana.
@jamesimakasi97123 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana mtumishi umebadilisha sana maisha ya wengi hakika wewe ni zaidi hata ya mwalimu
@everose27611 ай бұрын
Yaani huyo mtu ananitoa kwenye comfort zone ni wewe kaka, yaani tangu nimeanza kukusikiliza umenivusha sana, na nimejua siri kuwa ili niendelee kuwa bora ni lazima nikushikirie wewe. Asante sana😊
@YudaKessy2 ай бұрын
Kwakweli mahubiri yako ni mazuri
@YudaKessy2 ай бұрын
Mungu nikitanoshe mabao watu
@anjelafrancis6353 Жыл бұрын
Mungu akubariki Kwa kutufungua mtumishi🙏🙏
@tumainisemakuba35202 жыл бұрын
Mungu akuzidishie roho wake mtakatifu ili u endelea vema kwa kutulisha Neno lake litakatifu
@Sevetorwaryoba Жыл бұрын
Nakuewa saana Joel
@FaridaChengura5 ай бұрын
Mungu nakuomba unionyeshe watu uliowaandaa kwa ajili yangu
@robertfransis1680 Жыл бұрын
Mungu alibariki mchungaji kwa maneno mazuri.
@GeorgeBajuta-ro4ez Жыл бұрын
ahsante mungu kwa mafundisho mazur ya neno la mungu kaka mungu akupe maisha marefu
@bisimwabezo78623 жыл бұрын
Mungu akulinde uishi myiaka mingu sana mimi nakuwa rdc Congo vitabu tutapata je Lubumbashi
@jolumatv72112 жыл бұрын
Asante na Mungu akubariki sana nimekuelewa. Mungu nisaidie nayazingatie haya
@Udindigwa2 жыл бұрын
Amina Baba angu Yani sijajutia muda na MB Zangu kuku sikiliza
@witnessemily13913 жыл бұрын
Huwa na barikiwa sana na kupata nguvu ya kuendelea mwenyezi Mungu akulinde na kukupa afya njema
@maryeliya13003 жыл бұрын
We Mungu wangu nipe watakaonifikisha kwenye malengo yangu
@jacklinemashenene5976 Жыл бұрын
Huwa nakuelewa sana kaka Joel Mungu akubaliki sana
@eneamwaruanda20642 жыл бұрын
Ni kweli kabisa ni mpango wa Mungu kabisa inanikumbusha hii nilipokua advance level school Mungu hutumia watu kukufikisha mahali flani
@HosianaBuuta Жыл бұрын
Mungu anikutanishe na hao watu mungu awafungue macho nimetumikishwa sana
@Aviero_073 жыл бұрын
NGULIIIIIIIIIIIIIII... FROM ZANZIBAR...🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@NelsonYohane-kh8qy7 ай бұрын
Ubarikiwe sana Joel unanifundisha vitu vingi sana
@happygervas74893 ай бұрын
Kaka barikiwa sana last year nilipitia kipindi kigumu cha kukata tamaa lkn baada ya kupitia videos zko nilipona na sasa nimesimama tena Mungu akubariki sana ❤
@joshuapeter3123 жыл бұрын
Hakika mungu akupe maisha marefu tuendelee kujifunza zaidi.
@ebrojohn9406 Жыл бұрын
Mmoja wa watu mhimu maishani mwangu ni wewe Joel Nina Imani Mungu alikuleta for me 🙏🙏🙏
@christopherjoshua2782 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Binafsi nakuelewa sana
@Oderabrenda8 ай бұрын
May God bless you for the teaching.Akuzidishiye miaka nyingi
Asant mungu kwa kuniunganisha na shujaa kama wewe AMEE
@priscapascal9177 Жыл бұрын
Ndo mara ya Kwanza kujua haya mafundisho yako yamenibadilisha sana Sana kiroho na kiakili, Mungu akubariki sana
@danielsumaye3622 жыл бұрын
Mungu akubariki sana JOEL kwa mafundisho mazuri, Munguakubariki sana.
@jameskarogo30943 жыл бұрын
Asante sana mungu akubariki ..unanibarikingi kwa maneno yako ..na pia mafunzo mazuri .. thanks
@stephenmabinza90433 ай бұрын
Uendelee kubarikiwa King
@mwakalukwafredy37203 жыл бұрын
Kaka joel Nanauka Mungu akubariki na kukuinua zaidi na zaidi maana Tangu nianze kukufuatilia hakika sijawahi kupungukiwa , Umebadili maisha yangu sana
@emmilianavakolavene3533 Жыл бұрын
Asante kwa un’unione huu
@datiusgabriel82773 жыл бұрын
Tunasonga mbele kwa ajiri yako big up
@wisdomcharles77492 жыл бұрын
MUNGU akupe maisha marefu umenitoa sehemu🙏 meno zuri asanteee
@beatricekasambula16572 жыл бұрын
Hakika Mungu akubariki.Naomba neno hili likaniinue Kwa kutajwa mahali sahihi
@winfridaadam79512 жыл бұрын
Ameeeen ..🙏🙏 Ubarikiwee sanaa Mtumishii wa Mungu 🙏🙏🙏🙏
@aliyukagambo Жыл бұрын
Kwema boss kaka Joel nanauka
@happydaniel77882 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa kaz nzur
@felsonsanga8502 Жыл бұрын
Pastor! Nimebarikiwa sana mafundisho Yako yanaingia moyoni KABISA Amina
@josephlukumaya4223 Жыл бұрын
Amena Kuna ki2 nimejifunza hapa
@irenesilas2614 Жыл бұрын
May GOD bless you abundantly continue making us prosper!🙏
@neemalaurent98367 ай бұрын
Mungu nijalie kupata rafiki mzuri atakaesimama na mimi
@elionoraherman67902 жыл бұрын
Kaka Joel Mungu akubariki sanaaa .Asantee sana🙏💪
@ummkolthumkoalthum3271 Жыл бұрын
Uliyoongea yote hapa ni kweli tupu na Mimi. Nina inpact kwangu mm mwenyewe unayoongelea👌🏾NA KUFATILIA. SANA NA NINA KUKUBALI SANAA Naomba kwa mungu siku nikuone Ana kwa Ana Nitafurahi sanaa
@shefujosee617 Жыл бұрын
Big up sana kaka kwa masomo mazuri mungu akubariki sana
@ThabitMasoud11 ай бұрын
thank you very much pastor Joel manauka, am the student of Tumaini university makumira but am so grateful with ua speaches please l need to be revealed
@ThabitMasoud11 ай бұрын
thank you very much pastor joel, continue to be blessed with your inspiration
@frankkiondo83862 жыл бұрын
Haleluya barikiwa mtumishi
@nikoletaugi32479 ай бұрын
Asante sana kaka barikiwa sana
@hendryprosper99503 жыл бұрын
Mungu atufungue akili na macho tupate kuelewa na kuonaa amina
@revombenmwakwenda60062 жыл бұрын
Kweli kabisa ndugu Barikiwa kwa ujumbe mzuri
@frankmoses14794 ай бұрын
Asante Kaka kwa Mafundisho yako mazuri!! Barikiwa sana!!
@AbdulKing-b5l4 ай бұрын
Asante kwa maneno yaka mazul
@Mwinamila-3 Жыл бұрын
Asante sana bro Joel kwa MAFUNDISHO yako
@luciaNghindi Жыл бұрын
Asanteh sana kaka , ubarikiwe
@youngrappertz17353 жыл бұрын
likes za joel jaman
@calsonrobson41723 жыл бұрын
Mungu akubari akuzidishie upako Usiku mchana na asubuh your good
@evamusuruve3196 Жыл бұрын
Mimi Huwa Namshukuru Mungu ,nikipatana ,na Rafiki MUNGU hunifungulia sana njia zake ,Huwa nauliza MUNGU , natamani nikamjue zaidi,,na MUNGU ni mwaminifu hunifungulia ,so Kuna watu ukukutana nao ,wengine wamefungwa so utafungwa nao ,,na wengine ni Baraka kwako ,unakuta umefunguliwa njia zako 🥰🙏
@ModestaMduda-n9s8 ай бұрын
Amina kaka unasema kweli kabisa
@maxmilajoseph18972 жыл бұрын
Mungu naomba niandalie watu watakao nivusha kuelekea mafanikio yangu
@aliyukagambo Жыл бұрын
Mwenyezi mungu azidi kukubariki
@rogathmassawe74803 жыл бұрын
Kumbe ww ni pastor pia,kwel tuta kufaidi sana
@kamagaissa4561 Жыл бұрын
Brother Ahsante umenisaidia sanaa
@sarahbaby67642 жыл бұрын
Roro mtakatifu niinulie watu wa kunitaja nakuniona,kweli nimechelewa Sana kupata mafundisho haya lakini najua huu ndo wakati ambao mungu alitaka nipokee.mungu akubariki mtumishi wa mungu aliye hai
@deomushi73413 жыл бұрын
Pasta unafafanua vizuri sana,sana endeleza kazi hii haswa kwa vijana wetu,