KUJIUNGA NA GROUP LANGU LA WHATSAPP. TUMA MESEJI YA WHATSAPP HAPA 0759191076. Tafadhali usipige wala usitume text ya kawaida.
@koletajeanne88245 жыл бұрын
Success Path jambo Kaka nilikuwa uliza kama mtu anaweza kufungua bank Tanzania namtu uko American kama niwezikana nafanyaje haste
@successpathnetwork5 жыл бұрын
@@koletajeanne8824 whatsapp me tuongee zaidi +255759191076
@koletajeanne88245 жыл бұрын
Haste
@abelmwilapwa11115 жыл бұрын
Naomba mawazo namna ya kuuza bidhaa online ....hasa nguo
@amelinamwaduga97245 жыл бұрын
Success Path 0746664439
@jemairisparick75415 жыл бұрын
Nimekuwa kwenye wakati mungu sana lakini by that time I can't believe my eyes that problem make me to be more n more courageous n draw me closer to God Sasa tatizo linalo tupata lazima kuna ujasiri fulani utatokezea Asante sana brother for that tips
@successpathnetwork5 жыл бұрын
Asante sana kwa ku-share experience yako. Ni kweli kabisa kuna faida kubwa ya kuvuna katika nyakati ngumu
@fatumasaid28222 жыл бұрын
Mashaallah kaka ipo vizuri sana
@costabeatus94925 жыл бұрын
Nilikuwa napitia kwenye situation ngumu stress Ila nilivyo anza kutazama video zako success path Nimejifunza kuwa changamoto ni sehem ya maisha Haina budi kukabiliana nazo Asante sana kaka
@patrickminjaro2474 жыл бұрын
Salout kwako mkuu najifunza mengi sana kupitia wewe,na nahisi kabisa maisha yangu yanabadilika taratibu ninapokufuatilia mada zako.Ahsante sana mkuu Mungu akubariki.
@fettyfetty60915 жыл бұрын
Shukran brother
@thegirl14055 жыл бұрын
Masha Allah 👏 👏 Shukraan brother Allah atakulipa ❤️❤️❤️🌹🌹
@yahyaally48253 жыл бұрын
Dah kuna kitu kikubwa sana nime jifunza kwako shukran👌
@fatmahmohamed79654 жыл бұрын
Shukran sana
@danielgabriel9153 жыл бұрын
Asante sana kaka EZDEN nimejifunza mengi sana kutoka kwako mpaka naamua kukuita mwalimu Mimi naitwa Daniel Gabriel nilipata ajali iliyopelekea mwili mzima kupooza lakini na ndoto ya kua motivational speaker niweze kuwa inspire wenye ulemavu kama wangu au wanao pitia changamoto mbalimbali naomba nisaidie support yako mwalimu
@benardsanga11365 жыл бұрын
Shukran kwa elimu nzuri
@gertrudemghoi53014 жыл бұрын
Jambo kaka, hongera kwa kazi zuri.nimekua nikijaribu kujiendeleza kibiashara. Kusave pesa na pia kujaribu kupata labda ujuzi ili nifikie lengo langu nifanye nimefanya yote ila sikufaulu Sasa niko nafikiria kuacha kazi ninayo fanya yakuajiriwa ili nifanye kazi za part time then niaze kupika chakula na kuuza bt niko Oman nipe wazo tafadhali Asante
@successpathnetwork4 жыл бұрын
WHATSAPP GROUP & BUSINESS: Kujiunga na group letu la whatsapp bonyeza hapa : chat.whatsapp.com/JefLwp7YinU6PwSwsJYJs2 . Kama una ujumbe wowote. Kuhitaji ushauri. Au biashara. Kuhitaji tangazo. Kutangaza kwenye chaneli yetu. Tuma whatsapp text hapa : . (+255)759191076
@estergregorylugalama57315 жыл бұрын
barikiwa sana yani hili somo limenifikia kwenye kipindi cha maisha uliyoyafundisha ndio niliua napitia kwa sasa nimepata nguvu mpya asante sana
@ndimbwelukajuki89384 жыл бұрын
Asante Sana kwa kutuponya doctor
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Nimekupenda Brother
@melancolin12074 жыл бұрын
Nainjoy sanaa
@sabihasultan12284 жыл бұрын
Asante kazi nzuri
@nailasaed22494 жыл бұрын
Shukran
@christianronardo48545 жыл бұрын
thanks
@gumatohuka88275 жыл бұрын
Okey , . Ndungu leo nimejua ya kwamba matatizo ni kama mitihni, . So ukifahlu umeshinda, . Wow,. Ahsante sana.
@silasmihaka56963 жыл бұрын
Nakusikiliza nikiwa Tz Asante Sana kwa elimu Unayo kuza ufahamu na uelewa
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Pamoja sana ndugu yangu
@sabrinasaid8394 жыл бұрын
Yaani nimejikuta nafurahi peke yangu Leo..maana unifunza kitu kikubwa sana kwenye maisha yangu..ahsante sana ezde
@hamadsaid90215 жыл бұрын
Shukuran sana kaka Eziden nakupata vizuri sana, Allah akupe umri mrefu wenye manufaa, Nimejifunza kitu nahisi kilicho nisumbua takribani miaka yote
@rabiajuma60674 жыл бұрын
Mungu akubarik sana
@sadakhamis66844 жыл бұрын
Thanks 👏
@salhapetter25102 жыл бұрын
Kk ubarikiwe mno nimefarijika mno nilikuwa mtu wa tofauti ktk hii dunia Asante 🙏.
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Karibu sana
@calvinmpina41743 жыл бұрын
Ahsante kwa kujitole kutuelimisha
@ziggyuae24645 жыл бұрын
Shkran sanaaa bro this success path is like a class to me because ever time i meet you I come up with new things may Allah bless you 🙏 ❤️
@aminairika50755 жыл бұрын
MashaAllah! Mimi nmeanza kuangalia video zako si muda mrefu bt nmependa sana Allah akuongoze ktk Kaz yako insha'allah.
@ismailysaid53524 жыл бұрын
Thank you brother God bless you
@hassanovajunior69724 жыл бұрын
Indeed Bro gratitude is a very powerful weapon we should all have it and use on our success journey, May ALLAH Bless you And your entire Team of Success Path Network.🙏🙏🙏
@mosessarafina48444 жыл бұрын
Asantee sana kaka ezden jumanne Kwa darasa zuri nimejifunza kushukuru asantee nashukuru kaka ezden
@ndimbwelukajuki89384 жыл бұрын
Asante Sana ni Kama unajua unaongea na walioathilika umetuponya wengi kwa kwa hili somo
@josephboniface62095 жыл бұрын
Gratitude is healthiest,of all...human emotions.
@jenifaaloyce69105 жыл бұрын
Umenitoaa sehemu moja kwenda nyingine umeniongezeaa nguvu sana yakuvuka nilikosasa nimejiona mwepesi sana nashukuru
@salminjumah13845 жыл бұрын
Shukran sana kaka EZDEN mwenyez mungu akutie nguvu kwenye kazi zako
@successpathnetwork5 жыл бұрын
Shukrani sana
@pendatv16753 жыл бұрын
Useful articles never get old !!
@FerdoosFerdoos-se7ff9 ай бұрын
Good advice brooo
@aminathaabubakarmasoud5654 жыл бұрын
Shukran sana brother,,,each one teach one💪👏🤝👍😘🌺
@sadikathumani10035 жыл бұрын
Nakuelewa vizuri sana maalimu Eziden!
@mwajumarashidi29835 жыл бұрын
Asante sana broo
@petrongosha79144 жыл бұрын
Asante kwa mawazo mazur sana
@amourmtungo6235 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe bro. Watu wengi hufeli kimaisha kwasababu ya ‘’NEGATIVITY’’. Kukanusha au kujishuku ni adui wa maendeleo ya mtu na watu pia.
@dottnatt71105 жыл бұрын
Shukran,kaka Ezden nimepata faraja na mafunzu kwa magumu ninayopitia. Mungu akubariki🙏
@telaamtauta22274 жыл бұрын
Shukran sana hiyo sahihi kabisaa shukran kwamungu nimuhim sana japo unacho.kidogo
@frankphilipo29305 жыл бұрын
Helpful
@dorahmatitu255410 ай бұрын
Shukran sana Kaka! Allah akulipe mema yenye Baraka nyng maishan mwako.
@successpathnetwork9 ай бұрын
aamiin
@madammesatalks69134 жыл бұрын
Asante sana kaka hakika najifunza vitu vingi sana kupitia mafundisho yako.🙏
@Alex-lw1gd3 ай бұрын
Uko fity brother
@TheoneOfficial5 жыл бұрын
nice
@imeldamagaria7185 жыл бұрын
Asante
@babuusimbo72705 жыл бұрын
hahaha tororo
@richardvalson43135 жыл бұрын
Thankfully #Ezden@Jumanne 🤝🤝
@emotionalvoice9725 жыл бұрын
Shukran kaka
@firefirmament35855 жыл бұрын
Asante kaka kwa mfunzo yako
@didachidy13254 жыл бұрын
Shukran maalim ezden yani naelewa Sana somo lako pia nalipenda Allah akuhifadhi
@latfahaule1275 жыл бұрын
Asante sana kaka jumanne leo umenitoa gizani nakuniweka nuruni ubarikiwe sana💚
@JoséthaverónicaVeronicacesar5 ай бұрын
Blaza nakwelewa ❤😂 OK OK
@derickkatunzi16795 жыл бұрын
Somo zuri sana
@betramkomba21405 жыл бұрын
NICE
@mohamedzyenhazmi41545 жыл бұрын
MashaAllah nakufuatilia kutoka Hapa nchini Kenya. ...
@successpathnetwork5 жыл бұрын
Thanks ndugu yangu hapo 254. Karibu sana
@shabansaymon6264 жыл бұрын
Totoro
@augustinomwamasinga22005 жыл бұрын
Good
@timothysaramadi33213 жыл бұрын
Shukrani ezden
@Jay47tz3 жыл бұрын
Hongera sana broo nimebadilika sana kwa video zako
@shiaochang13355 жыл бұрын
Asante sana ezden Allah akujaalie kila kitu na kesho aghera akulipe pepo ya firdaus
@SalamasaadHaji3 ай бұрын
❤
@anifashabani43414 жыл бұрын
Shukran kaka allah akupe mwisho mwema
@successpathnetwork4 жыл бұрын
aamin
@successpathnetwork4 жыл бұрын
Asante sana Anifa Shabani kwa kufuatilia. Endelea kuwa karibu na usisite kutujulisha kama kuna chochote tunahitaji kuboresha. Na nitafurahi sana kama uta-share link za masomo yetu kwa wengine ambao unajua wanahitaji elimu hii. Stay blessed!
@mombasatv19944 жыл бұрын
Shukran nimejifunza kitu
@amemeabdulrazak13973 жыл бұрын
Ni kweli kabisaa kaka asante kwa faida nzuri
@benjaminnjoroge77183 жыл бұрын
Edzen Mungu akubariki Kwa ushauliwako
@zulfasaeed74454 жыл бұрын
Shukran kaka mungu akujalie mwisho mwema🙏
@deborahlaizer96835 жыл бұрын
This is powerful message to me,have real learnt somethings that are happening to me but didn't know why?
@zawadimghero67215 жыл бұрын
Ahsante sana
@hamisihuseni4185 жыл бұрын
Shukran xana blooo
@espoirmutikimk36384 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa shauri kaka EZDEN,
@mamashemsasaid94834 жыл бұрын
Kaka juma nimekuelewa sana asante mungu akujaalie somozuri
@successpathnetwork4 жыл бұрын
Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!
@ncamisilesokhela66595 жыл бұрын
Brother Ezden asante kwa msaada wako, sote hali kama hiyo imetuandama kabisaaa ila baad ya mafunzo kutoka kwako nimeelewa something important ni Sadiki kutoka SA (south Africa) ongera sana kk
@luttykenny28655 жыл бұрын
Naangalia toka Israel.....Ahsante brother kwa mafundisho mazuri
Brother your good, you always open up my mind thank you, may god bless you.
@gracerichard13265 жыл бұрын
Kiukwel mafunzo yako yamenibadilisha sn najiona mbali sana ubarikiwe mungu azid kkupa hekima za kufikili ili upambanue changamoto zetu zinazotusonga kila ck
@alafasyhasham47005 жыл бұрын
Daaah kiukweli nakushukuru kwa ujumbe mzury sana sina cha kuklipa ira nakuombea maisha mema na yenye mafanikio
@nasibuissa47574 жыл бұрын
Brother mungu akufanyie wepesi wakilajamb uzidi kutujenga mawazo chanya
@samiasamia67465 жыл бұрын
Asante sana kaka.ila ulikua umepotea .asante
@noahkelvin87735 жыл бұрын
Brother nawe pia mungu akubaliki maana madini unayotupa ni zaid ya hela
@felisteravija19014 жыл бұрын
Kaka ubarikiwe sana
@iradukunda13522 жыл бұрын
Nawakubali walimu bazuli sana
@asifiwekayole23355 жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@rajabujuma87254 жыл бұрын
Asante kaka
@vailethjohn40674 жыл бұрын
Big up,
@glorywillium53114 жыл бұрын
Be blessed bro love you
@veronicawilsonmbwambo10545 ай бұрын
Asante san
@judithmwambe47674 жыл бұрын
I like you brother Ezden
@ombeniseifu25805 жыл бұрын
Brod me niseme 2 nashukuru sana kwa elimu unayo 2patia sina cha kukulipa ira 2 nashukuru sana tena sana mungu akubaliki na akupe maisha malefu na yenye manikio
@tumainisemakuba35202 жыл бұрын
Kweli sana kabisa
@herimailo8183 Жыл бұрын
Apo ni Totoro Ila bro Asante sana mungu akulinde.🙏