ESHA BUHETI AKATA MZIZI WA FITINA/MIMI NA SHILOLE NDIO TUNAYASABABISHA HAYA MAMBO/WALINICHEKA

  Рет қаралды 24,340

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Usipende kuelezea furaha yako ya ndan binadam hatupendi hayo maisha. Ni wazo tu
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Dada yngu nakupendaga sana,uko poa ukijieleza umetulia,sauti yko ninzuri Ila wadamu siwote wanaopenda mafanikio yko nafurahaa yko yandani,mengine usiyaelezee sana dada.Waru wabaya,wandishi wa habari wanapenda kuchukiza sana vitu vya ndani,alafu hao hao watakukukisoa likitokea jambo landani.Mungu akubariki mdumu.
@firstlady9848
@firstlady9848 Жыл бұрын
Ameen 🙏🏿
@YASINTATHOMAS-bx5rv
@YASINTATHOMAS-bx5rv Жыл бұрын
Kuna chakujifinza kutoka kwahuyu dada... Mm binafsi nimejifunza kitu nanitakifanyia kazi.. hongera dada angu kipenzi
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Жыл бұрын
Eisha ni best wa kupika mashallah mashallah ❤❤❤❤❤
@mumbesophia-jd3lt
@mumbesophia-jd3lt Жыл бұрын
Pole sana na hongera sana wangu Buheti. Una watoto wangapi nimekutumia Audio naomba uisikize
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
Ndugu mtangazaji, ninapata mashaka makubwa kukuwekea dhamana. Hizo gesture zako ni kiwango cha Mars. Samahani sana! Punguza gesture! Waliosoma CUBA wamenielewa!
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Kupika ni mkono wa mtu jaman kwa mfano da eshe atapika katles na mm nitapika hiyo hiyo na tutaweka vitu vilele lakini test ikawa tofauti mkono jaman
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Kwl
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Жыл бұрын
Hakuna mkono wala nini ni utalala tu bwana mana kuna kujua unapika chakula chako kwa moto mkubwa ama moto mdogo na mambo mengine mengi yanachangia chakula kiwe kutambua ama ama ni kula ushibe tu.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
@@salmahalfani6307. Kweli hata mm nakataa hakuna kitu mkono wa mtu.
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Жыл бұрын
Sio mkono bwana ni umakini kwenye moto na viungo unavyotumia na namna unavyofanya, hakuna cha mkono shost
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
@@reenyaysher7639 heeeee bb utamu wa chakula na mkono wa mtu kunawatu Allah amewabariki humu eeee mikono yao Allah ameijaza utamu
@fatumastv
@fatumastv Жыл бұрын
Wew unaekima ekima kubwa pole sana ❤❤❤❤❤tunakupenda sana
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Mungu........humpa mtu amtakae.......na kwa wakati.❤❤❤.
@sarahsesa8851
@sarahsesa8851 Жыл бұрын
Mmmmh kumbe wanaume bado wapo unakabiziwa kadi ya mshahara hongera 🙏
@janethjonas1700
@janethjonas1700 Жыл бұрын
Huyu mtoto hana wazazi...basi msaidie kukumbuka na wazazi wake kama kadi unayo wewe...usiwe mbinafsi mwaya my love mtafika mbali sana
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo Жыл бұрын
Na moyo unao,na hekima unayo na subra unayo,hongera sana hii ni interview Yako ya pili naona unaongea point,nakupenda sana lkn huko nyuma ulikua unaniumiza unalipua tu maongezi tofauti na hadhi Yako lkn sasa alhamdullilah umejipata.unaongea vzr Kwa utulivu na akili sana
@rizoibrahimovich605
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Saleh kama classic
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 Жыл бұрын
Huyu Dada atulize mshono shilole ndio kamtangulia kufanya biashara ya chakula asishindane nae alafu hakunaga chakula kibayaa✍️🔥🙌kumbuka hata kiwe kizuri badae kinakuwa Maviii👊❤️🇹🇿
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 Жыл бұрын
Tulia wewe hujui chochote
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 Жыл бұрын
Kwani kakwambia anashindana na shilole mbona watu wengine muko wagombanishi
@mariajoseph2933
@mariajoseph2933 Жыл бұрын
Hiiii sasa mbona huli mavi kama vyote ni sawa
@mishikikoti2948
@mishikikoti2948 Жыл бұрын
@@mariajoseph2933 😂😂😂manina weee
@fatumastv
@fatumastv Жыл бұрын
Esha upo ❤
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Hongera
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 Жыл бұрын
Esha umeongea point usikubali kushindanishwa we piga msosi
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Жыл бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Жыл бұрын
Alafu mnafanana na shilo
@careenpaul7725
@careenpaul7725 Жыл бұрын
shilole mzur wewe
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 Жыл бұрын
Eshe usihadithue neema zako na mumeo mitandaoni utapata husda watu wote sio kana ni wazuri kwako.
@sumahyamohamedy6837
@sumahyamohamedy6837 Жыл бұрын
kabsa mana anajimalizaa mambo tele sio wote wanaopenda furaha zawengine
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Жыл бұрын
Ongera
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Жыл бұрын
Duuh lazima useme mambo ya ndani kwako na mumeo? Au ndo ile kwakua mume ni mdogo ndo unataka kila mtu ajue anakupa hera? Mmmmh dadaangu hapo umezingua
@happinesskitali164
@happinesskitali164 Жыл бұрын
Mungu akubariki upate furaha zaidi ya hapo
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Жыл бұрын
Ameen Inshallah
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Huyu Yuko Kama Mimi napendaga Sana kuelezea furaha yangu au Mambo yangu yaan Niko wazi Sana na Sina uongo na huwa nakuwa hurü mno nikiongea lakin kiukweli wanadamu hatuna uzuri wowote
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 Жыл бұрын
Haya ndo mambo tunaoyapenda wekeni KZbin byote
@zaynabmwanjovu1002
@zaynabmwanjovu1002 Жыл бұрын
Jaman huyu sini yule wa Bona Tv??
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 Жыл бұрын
Na reality show mngetuwekea hapa pia jmn😢
@fellybonny5618
@fellybonny5618 Жыл бұрын
Kbsa
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Wewe ni mtundu wa kujifunza kama mimi mabosi zangu na baba walikuwa wanaaema chakula changu kitamu
@Kazubassyathyvry89
@Kazubassyathyvry89 Жыл бұрын
Endelea kutangaza mitandaoni mahaba ya mme wako kwako utatujuwa walimwengu sisi nikina nani kwa husda na hasadi na mumewo alivyo kuwa kijana,watamzowa bila wewe kujuwa.
@musakaphu4581
@musakaphu4581 Жыл бұрын
Kumbe mambo madogo tu wacha nipeane card yangu kwa mkewangu hatakaapate shida😂
@spreadlove5300
@spreadlove5300 Жыл бұрын
Esha mdogo wangu napenda na nakuombea heri katika ndoa yako, pamoja pengine ndoa yako ya mwanzo haikuwa nzuri ila usitoa sana information za ndoa yako ya sasa, wazuri wako wa leo ndio wabaya wako wa kesho.
@rehmakondo
@rehmakondo Жыл бұрын
Kwanza kama unajielewa utasemaje mambo yko na mume wko nilichogundua watu maarufu mtihani
@spreadlove5300
@spreadlove5300 Жыл бұрын
@@rehmakondo Ni kweli, ila wanawake tuko emotionally sensitive, Esha ni majeruhi wa mapenzi, inaelekea mumewe wa mwanzo hakumjali kihisia ndio maana anashindwa kuificha furaha yake ya ndoa ya sasa.
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
ICU hawana mbambamba walisema Salehe amehamia kwazama
@muzneali4747
@muzneali4747 Жыл бұрын
HIVI KWANINI mnapanga?? KWANINI msinunue SEHEMU zenu WENYEWE??
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 Жыл бұрын
Da eshe we ni nomaaaaaaaaa wasio kula chakula chako awawezi kukuelewa
@swaumabdallah5870
@swaumabdallah5870 Жыл бұрын
Ndoa tamu😂😂😂
@annagesura8375
@annagesura8375 Жыл бұрын
Punguza kumsifia mumeo sio kila mtu anakupenda
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Жыл бұрын
😮😮😮😩😩😩
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Жыл бұрын
Je utamzalia mtoto? Sababu naona umri umepita!
@halimaoman8900
@halimaoman8900 Жыл бұрын
Sura imeshachoka na mekpu umezeeka may
@HidayaKarim-wy9yc
@HidayaKarim-wy9yc Жыл бұрын
Acha wivu jamani 😢
@tatuomari781
@tatuomari781 Жыл бұрын
@@HidayaKarim-wy9yc Nimecheka sana. Kuna watu wanajitafutia mateso yasiyo ya lazima
@VerenaMichael-zo8qk
@VerenaMichael-zo8qk Жыл бұрын
Watu wanaongelea kuhusu maendeleo we huko hapo unachunguza mambo hayakuhusu hivi wewe tangu uzaliwe umebaki ulivyo watu tumeubwa tuishi tuzeeke tufe acha kiparato kiherehere utakuja kufa siku sio zako mpuuzi eshaa oyeee
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Жыл бұрын
Hajazeeka ila amenenepa mno, unene ndo sio mzuri
@julianajulius4556
@julianajulius4556 Жыл бұрын
Hata wewe utazeeka tu
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН
Mpaka Home MAISHA HALISI YA MUIGIZAJI MTANGA UTAPENDA
16:30
Mbengo Tv
Рет қаралды 240 М.
Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1
33:07
YahStoneTown
Рет қаралды 313 М.
PART 2:MAMA MENDE AFICHUA MAZITO KUHUSU KINYESI CHA MENDE / KAMA CHAI
16:56
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН