Assalam Aleykhum Dr. Sule! Mwenyezi Mungu azidi kukulinda, wewe pamoja na Familia yako na wasaidizi wako. Alhamdulillah!
@nakundwamkubwe78236 күн бұрын
Dr Sulle na Mashekhe wote na wahudumu wote mliopo ktk kituo hicho mna Dua zangu !! Wallah Allah amejalia mama angu amepona kwa uwezo wa Allah. Shukrani za kipekee kwa Allah shukrani za pili kwa nyie viumbe wa Allah.
@islaahislamictv90856 күн бұрын
Adhahma ameen
@mkhandihealthcare51065 күн бұрын
ANDIKA VIZURI @@islaahislamictv9085
@WahidaAlharthi4 күн бұрын
MTANGAZAJI. ULIZA. Maswali ya MAANA Dada MashaAllah. Allah akuzidishiye. Elm. Amiin
@DelightfulMacawBird-tl5hf6 күн бұрын
AL habibi Dr sule mashaah ukhti wetu amejistiri Ila mwambie mkeo asitoe mikono kwa wanaume Haram au kama akitoa mikono aiweke kwenye nguo aidha kanga au shungi
@Sarah-e1o9k5 күн бұрын
Wameume pia ingekuwa ndio wa kwanza kunyoshea watu mikono kama salamu wawache kabsa😢
@DossaAbuzufaila4 күн бұрын
hiyo kwa nguo nayo watoa wapi iko dalili akhy ?
@DossaAbuzufaila4 күн бұрын
halafu pia umesima amejistir je! ile nundu nayo ni sehemu ya stara?
@Sh_Taqee4 күн бұрын
Hilo Somo unaonaje akapewa Mwanaume Kwanza kabla ya Mwanamke?! Uislamu unaruhusu kumpa mkono Mwanamke ambaye sio Mkewe?!
@Sh_Taqee4 күн бұрын
@@DossaAbuzufailastara ni kustili Mwili ndugu .... Stara imeelekezwa ktk Uislamu haifuati Mawazo ya mtu... Hakuna Sehemu Uislamu umesema stara sio nundu au ni nundu.... Stara ustiri Mwili kwa stara.... Nundu inazuia stara?! Au shida hamjui maana ya neno stara Kisheria?!
@ruqaiamohammed3454 күн бұрын
Mke hapaki mkorogo mume apaka mkorogo 😂labda wake wengine ndio wanamshaur kupaka ila huyo c wa mikorogo yuko kweny skin care tu ng'oz yake nzur mashaallah ❤
@evvyyurek18624 күн бұрын
Acha kashfa mkorogo na mada za dini wapi na wapi
@ruqaiamohammed3454 күн бұрын
@evvyyurek1862 hiyo ni kashfa ?
@yusufuheri65245 күн бұрын
Asanteni sana islah Islamic tv
@MussaMnkea4 күн бұрын
Huyu Dada japo kua ni mke wa mtu lakini Mimi namtaka na lazima nimfatilie mpaka nimtie mkononi.kudadadeki.❤
@islaahislamictv90853 күн бұрын
AU SIYO HAHAHA
@Josephkapolo-k3d2 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@MahmoodAhmed-yt9me6 күн бұрын
Warahmatulahi lahi unashindwa kutamka jina la Allah kwa usahihi hivi kweli habari zako zitakuws za kweli?
@JumaAthuman-bk6hx5 күн бұрын
WAPIGAJI TU,HAKUNA CHA DUA HAPO,. USHAURI WANGU NENDENI HOSPITALI KWA WATAALAM WALIOSOMEA FANI,UONGO NA JUBA LAKO BILA AIBU.ILA MUDA UTAFIKA ALLAH ATAWAUMBUA.
@evvyyurek18624 күн бұрын
Acha chuki
@TatoTato-t7s4 күн бұрын
Janaume zima unachuki mchawi wewe
@fatmatraashidu85224 күн бұрын
Huyu nae Mchawi Sjuwi Katoka Wapiii,🤣Mwache Siku akirogwa ndio atajua Hajuii🤣🤣🤣✋
@SalmaMsikiti4 күн бұрын
Kwenye msafara was mamba na kenge hakosekan yani unashindwa kusema maashallah acha hasadi
@AlameiAlamri3 күн бұрын
😂😂😂
@lailaabeid7172 күн бұрын
Mamaa angu❤
@MohammedHamdanSalim5 күн бұрын
Asalam Alaikum naomba no yake doctor sule plz nisaidieni kutoka oman
@Samsungjprime-ww9ve4 күн бұрын
Mashaallah
@SefuSheketo4 күн бұрын
Asalaam alaykum hii dini nikukumbuxhana mamaetu haitakiwi urefushe shungi,kichwani
@MwantumJaff4 күн бұрын
Asalaam alaykum,,,mtupe nmba za simu inshaAllah
@islaahislamictv90853 күн бұрын
+255710400200 Karibu sana
@Fathasssane-vs2th5 күн бұрын
Mtagazaji salam jifuze upya sio tahala
@LuluMalima-j1w8 сағат бұрын
Matangazo tuu lakini ni pesa tuu matibabu hakuna. Tulikuja wakachukuwa million tatu lakini tulibabaishwa no treatment. Ni shidda. Mungu atawaonyesha ukweli wao.
@LovelyBrain-wz7si4 күн бұрын
Mbona hutoi salaam au siyo Ofisi ya kiislaam
@MWAMBAZanzibar2 күн бұрын
Mwanamke anapata wapi ujasiri huo jamani
@MaryanAbdi-ru8sd4 күн бұрын
Halima nipo kenya ninashida ya mngogo naweza kutibiwa nikiwa huku kenya garissa
@islaahislamictv90853 күн бұрын
+255710400200 Karibu sana
@abishafiqabishafiq60655 күн бұрын
Kiongoz ngamba 👍
@Ajijji123 күн бұрын
Eti sukari za kutengeneza na ukimwi wa kutengenezwa😂😂😂😂😂hebu tupumzisheni
@Mwanjanjiku4 күн бұрын
Hzo sawazizeniivizuri ktk kupeanamikono
@seifmussa41014 күн бұрын
Naomba namba yenu ili nikwambie shida zangu
@islaahislamictv90853 күн бұрын
+255710400200 Karibu sana
@badria57715 күн бұрын
Nna tatizo la bawasri la mda na nishamaliza sawa za kisuna na za hosptal lakini haisiki dawa ni ya kutoka nje na kurudisha kwa kidole inatoa damu na hata nitumie matunda bado cho kigumu maumivu je kuna dawa ya kutumia na ikaondoka hata kama inamiaka mingi bila hata upasuwaji
@islaahislamictv90855 күн бұрын
POLE INATIBIWA KUKUBWA TUPIGIE 0710400200 NA 0764111616
Aliisha mfundisha zamani na Allah atawalaani maana wanakula pesa ya udanganyifu eti wana onyesha mapicha picha wakidai ni majini waongo waongo kabisa Sule na mwingine anajita Mchungaji Kesi Mungu atawahukumu.
@adamhashim33522 күн бұрын
@@salminasalim5630 walikuibia sh ngp niwaambie wakurudishie
@chamaibra59665 күн бұрын
Tunataka elimu ya quruan aliyonayo
@5amediaonline3352 күн бұрын
WIZI TU
@badria57715 күн бұрын
Pia nna shida ya kichwa hasira na kusahu sahau na maumivu ya tendo la ndoa kuna siku hakuna
@samwa94964 күн бұрын
Hilo ni pepo la kupunguza ufahamu
@Ajijji123 күн бұрын
Eti daktari nendeni hospital hawa ni wapigaji hana analolijuwa
@maymunamakungu62655 күн бұрын
Ongeeni kuhusu dini bwana ni marufuku kugusana ngozi kwa ngozi mtu ambaye mwanamme anayefaa kukuoa
@badria57715 күн бұрын
Pia nna mtoto hana fahamu ya kusoma si skuli wala chuwoni mzito kulea hata kuandika hata kuonge mzito ana miaka 8
@islaahislamictv90855 күн бұрын
POLE INATIBIWA KUKUBWA TUPIGIE 0710400200 NA 0764111616
@WahidaAlharthi4 күн бұрын
Ndio. Ivo. Kuamkiyana na mwanaume sio muhrom wako Haram na. Iyo mikono unaiyonesha Kwa uyo na ma camera man
@fatmafatu11285 күн бұрын
Siku hiz kila mtu doctor
@alhadajjmohammedsmith90425 күн бұрын
Wanawacha/tunawacha Kujikita Kuwekeza Kupambana Kutibu Nafsi Kuwacha Maovu/Maasi (tuwache Kumuasi Allah) wao (Baadhi ya Wahubiri Wengi Wa Kiislamu Sasa nao huwaiga Wakristo (Makafiri) ktk Kutibu Mwili Zaidi kuliko Kutibu Nafsi 🙌🤫🙆 UFISADl umekithiri/tumekithirisha Bara/Nchi Kavu na Pwani/Baharini tunadhani na Kuamini eti Allah atuwacha Pasi na Kutupatia Mitihani (Magonjwa/Maradhi) ya Kila Aina (yakiwemo yasotibika) ?! Kweli Kila Maradhi/Ugonjwa ipo Tiba/Dawa yake isipokuwa Uzee na Kifo Ndo hakuna Dawa/Tiba yake. Laakini Kwa Maovu/Maasi haya tunayozidi Kukithirisha Waja tunadhani na Kuamini Allah atatuonyesha Dawa/Tiba na tutakubaliwa Maombi yetu /Dua na Swala zetu Kwa Allah?! Leo hii Baadhi ya Masheikh, Wahubiri waaKiislamu nk hujikita ktk Ushirikina (Kutemea Msaada Wa Viumbe-Majini, Pete, Nyota nk 🙌) Wengine hujifanya (hujiita/huitwa) eti Mashariff na Bado wajipachike Utume na Unabii Kwa Kuwaiga Wakristo 🙌 Tupo.ktk Zama za Mwisho, Wafuasi wa Masih Dadjjal wapo Kazini Kukamilisha/Kutimiza yalobashiriwa; Mijengo/Mijumba, Mavazi (Mijoho, Miremba, Makanzi nk ya Kifahari ktk Kivuli Cha Uislamu) laakini Nafsini na Matendo ni Mtihan. INNALILLAHI WAINNA ILLAHIL RAJ OUN 😭😭😭😭 Allah atunusuru tuupate Mwisho Mwema.. AAAAMIN 🤲
@FatimaAbdulla-s4i5 күн бұрын
Niko na shida ya mgongo,bawasiri nisaidie tafadhali
@ayushiabubakar19305 күн бұрын
Mm nataka dawa nipo oman
@islaahislamictv90853 күн бұрын
+255710400200 Karibu sana
@badria57715 күн бұрын
Je kuna dawa nzuri kwa maumivu ya mgongo kiuno gazi na maumivu ya mingu magoti kwa kwa watu wazima na wa sichana au mtu ana miaka 20 au 27 anashida iyo kuna dawa
@islaahislamictv90855 күн бұрын
NDIYO P KUKUBWA TUPIGIE 0710400200 NA 0764111616
@Ajijji123 күн бұрын
Kisomo cha lukia😂😂😂
@AllySalum-ce3ix6 күн бұрын
Kuna Dawa ya Ganzi na Miguu kuwaka moto?
@islaahislamictv90856 күн бұрын
Ipo tupigie 0710400200
@EddoMaster-z1p6 күн бұрын
Jmn mm nasumbuliwa na uzazi nina miaka mitano sasa na mke wangu nilikuwa nauliza huduma yq dua hiyo ipo?
@EddoMaster-z1p6 күн бұрын
Au kuna dawa itakayotusaidia ipo
@islaahislamictv90856 күн бұрын
@EddoMaster-z1p pole wasiliana nasi kwa namba 0710400200
@MuniraShughuli-kc7vj6 күн бұрын
Mke ni Haramu kupeana mkono kwa mwaname asiye kua mumeo
@Fathasssane-vs2th5 күн бұрын
Musilaumu labda ni ndugu yake au kaka yake au mwanawe
@islaahislamictv90855 күн бұрын
afadhari
@maymunamakungu62655 күн бұрын
Islamic centre gani nyinyi, mwanamke na mwanamme wanapeana mikono??? Khaaa!Acheni mambo yenu nyie hebu someni
@aairraahseif56485 күн бұрын
Nashangaa mtangazaji anajua hilo na amesema hapo kuhusu kuamkiana mwanamke kwa kupeana mikono haifai, lkn mtangazaji ametoa mkono huku akijua haifai Subuhanah Allah
@islaahislamictv90855 күн бұрын
sawa
@fatnasaidi30275 күн бұрын
@@aairraahseif5648waislam waleo bana kwaiyo uyo ana ndugu.je kama ndugu yake aise waslam wa Leo ivyo kabisa
@TuhabarishaneTv3 күн бұрын
Labda ni maharimu yake huwezi jua japo kuondoa Shubha ilikuwa aula zaidi. alitakiwa aache hata km ni maharimu wake. Na sisi tusiwe watu wa kuhukumu Moja Kwa Moja ilibidi tuulize kwanza.
@Rajabmatano-x9u5 күн бұрын
Natafuta dawa ya ganzi na miguu kuwaka moto
@islaahislamictv90855 күн бұрын
POLE INATIBIWA KUKUBWA TUPIGIE 0710400200 NA 0764111616
@Ajijji123 күн бұрын
Nenda hospital
@badria57715 күн бұрын
Pia nna mtoto hana fahamu ya kusoma si skuli wala chuwoni mzito kulea hata kuandika hata kuonge mzito ana miaka 8