#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 36,052

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 78
@jaharaoman6478
@jaharaoman6478 2 жыл бұрын
Waandishi tunawapenda sana lkn tunaomba mumpunzishe huyu bint angalau kdg asahau mnapomhoji kila siku na kumuuliza maswali khs mamake hatasahau haraka tunawaomba sio kwa ubaya
@mizesuleiman1834
@mizesuleiman1834 2 жыл бұрын
Yy pia anataka mbona dida hawamuulizi
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Kweli rafiki wa kweli ni mama pekee
@lucykonyo9198
@lucykonyo9198 2 жыл бұрын
Hakuna mtu anaweza kumjua mtoto kama mama....yamenikuta na Mimi hayo......namsic sana mama yangu😭😭
@magretsamba5002
@magretsamba5002 2 жыл бұрын
Umeongea vizuri sana...Umenifurahisha na maneno Yako ya hekima
@mwabakabwe9733
@mwabakabwe9733 2 жыл бұрын
I love ye so much ❤️strong woman lulu diva ❤️frm Zambia
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mtu wa kawaida awezi kuelewa hiki kitu ila kwa sisi tulioondokewa kabla ya kufikisha miaka 18,ndio tunaelewa, Pole sana lulu, ubinadam ni kazi sana, Allah akupe faraja any time 🙏
@zawdatkidesu1555
@zawdatkidesu1555 2 жыл бұрын
Pole san lulu huwa naumia sana nikikuona huwa napata uchungu sana nimejifinza kitu kupitia wew lulu ### uchungu wan mwana aujuwae mzizi na uchungu wa mama upo kwa mwanae
@rahmaabdulrahman4130
@rahmaabdulrahman4130 2 жыл бұрын
Kabisa dear😭😭naelewa sanaaa
@serianjamal8254
@serianjamal8254 2 жыл бұрын
Shangazi nimekupenda buree. Hongera sana Lulu diva wewe ni mwanamke wa shoka 😘🇬🇧
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 2 жыл бұрын
Shangazi_uko_vizuri_Mungu_kakupa_mtoto_Shukuru
@noorissa6036
@noorissa6036 2 жыл бұрын
Hakuna km mama jamanii duaa muhimu kwa wazazi wetu waliotangulia mbele za haki
@vionahsikanga2209
@vionahsikanga2209 2 жыл бұрын
Be energerzed God will be will be with you always
@heriethkusigwa3996
@heriethkusigwa3996 2 жыл бұрын
Nilipita huko mpk Leo sijawahi kupona...Mungu akuwekee pazia Diva 🙏🙏🙏🙏
@euphrasiantawatawa1510
@euphrasiantawatawa1510 2 жыл бұрын
Umenigusa sana Lulu,nimepitia hayo pia,Pole sana,Mungu azidi kuwa mfariji wako
@kkali2000
@kkali2000 2 жыл бұрын
Its sad to loose mother Lulu pole sana but jitahidi kujikaza na muombe mungu ampumzishe kwa amani
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 2 жыл бұрын
love you lulu take heart sorry for you lost
@umazinada9666
@umazinada9666 2 жыл бұрын
Pole Sana dada mungu akutienguvu dadangu
@omanigaming6430
@omanigaming6430 2 жыл бұрын
Pole dear mama anauma sana
@nashasoud5303
@nashasoud5303 2 жыл бұрын
Jaman muachen lulu apumzk ayo machungu 😥
@salmaabdulabdul1057
@salmaabdulabdul1057 2 жыл бұрын
Asikwambie mtu kuondokewa na mama ni mtihani sana
@MariaKitundu-l1m
@MariaKitundu-l1m 6 ай бұрын
lulu mdogo angu pole sana ila nakuombea Ivo vinguo usivae ukiva nguo za heshima unapendeza tuu
@doreensam1269
@doreensam1269 2 жыл бұрын
Pole sana jitahidi uzae mtoto nikilakitu hatoziba pengo la mama lakini ni faraja tosha amini.
@jestinamagembe2125
@jestinamagembe2125 2 жыл бұрын
Polee sana,Mungu azid kukutia nguvu
@ruthpeace3197
@ruthpeace3197 2 жыл бұрын
To much love Lulu . Take heart
@happyndomba6965
@happyndomba6965 2 жыл бұрын
nimempenda shangazi pia🥰
@antiagaspary9208
@antiagaspary9208 2 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu hakika mzazi anauma jaman
@sharifasalum532
@sharifasalum532 2 жыл бұрын
pole sana diva
@shuwenaghandi9253
@shuwenaghandi9253 2 жыл бұрын
Pole sana Lulu diva
@abdulab6202
@abdulab6202 2 жыл бұрын
Muombee duwa sana mama mtolee sadaka aliko atakuwa na faraja hata wewe Allwa atakupa faraja ya duniani na akhera unaposali pia muombe duwa sana hiyo ndo inavyotakiwa kwa muislam ukimsahau na wewe utasshaliwa hilo ulijuwe
@radhiamussa6451
@radhiamussa6451 2 жыл бұрын
Pore sana ruru
@fatmawaswa1480
@fatmawaswa1480 2 жыл бұрын
Allah amjalaalie fridhaus yawe makazi yake inshaallah subra mpenzi i can fell your pain umenimwaga machozi wallah
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 2 жыл бұрын
Lulu DIVA nakuja kukuoa nakupenda sana
@aminabonifas4515
@aminabonifas4515 2 жыл бұрын
Pole lulu nakuhaidi utakuwa juu na sio wa chini na utainuka zaid yapo umebeba balaka zote za mzazi
@umakramzahor4836
@umakramzahor4836 2 жыл бұрын
Ikawe ya kher Abdoul
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 2 жыл бұрын
Kamuoe_umtoe_mawazo_ili_avae_stara
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 2 жыл бұрын
@@aminabonifas4515 kbsa wallah Radhi za Mama kiukweli anazo kama zote 100%
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 2 жыл бұрын
@@umakramzahor4836 ntakutumia invitation card
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 2 жыл бұрын
Diva divana be strong dia
@aminaraisa8893
@aminaraisa8893 2 жыл бұрын
Pole Saana lulu jikaze muombeye dua ndo chamuhimu sote tumeyapiyiya ao mm Sina baba Wala mama Ila naishi
@kwizerazainabu7979
@kwizerazainabu7979 2 жыл бұрын
Pole sana lakini inauma sisi wengine tulikosa mama zitu tungali namyak 7 sasa ivi tushazowey lakini ukikosa mama ukiwa mkubwa inauma zaidi
@fatmaabasi8312
@fatmaabasi8312 2 жыл бұрын
Ulikua unaenda vizuri SS ushaanza kuvaa vinjunga dada
@fatumakassim64
@fatumakassim64 2 жыл бұрын
Pole sana Diva 😭😭😭😭
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Pole dear
@citybwego2593
@citybwego2593 2 жыл бұрын
Pole sana lulu mungu azidi kukupanguvu insshaallha
@happyndomba6965
@happyndomba6965 2 жыл бұрын
pole Lulu,
@aishaomari944
@aishaomari944 2 жыл бұрын
Pole sana habbtt
@asiamohd5516
@asiamohd5516 2 жыл бұрын
Pole sn kipenz
@marywanjiku51
@marywanjiku51 7 күн бұрын
True
@estherdogale1317
@estherdogale1317 2 жыл бұрын
Pole sana LuluDiva
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 2 жыл бұрын
Pole diva
@anasahamisi8962
@anasahamisi8962 2 жыл бұрын
Wewe dua tu
@rehemamhassan4593
@rehemamhassan4593 2 жыл бұрын
Na nyinyi wandisha w bari achenu kumuliza haya maswali kila mkimuliza mwamkumbusha mengi muacheni mpeni ata mwaka kwanzo azoee iyo hali
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 жыл бұрын
Mbona km ana mimba huyu Diva Ila jaman acheni tena kumuhoji kuhusu mama yake mnamuumiza kila siku mnazidi kumtia machungu hd atakufuru kwa Mungu maswali yale yale ya Milard Ayo unayarudia hamna jipya
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 2 жыл бұрын
Kweli_ana_mimba_huyu_,lulu_Mungu_ni,mwema_Atampa_Mwanae_ambae_ndio_Mwenziwe
@asiamohd5516
@asiamohd5516 2 жыл бұрын
Leo kidg umechangamka
@missveetv2590
@missveetv2590 2 жыл бұрын
Mnakosea sana watangazaji sometimes... Si mngeacha diva atuliye aise
@zenahpaul423
@zenahpaul423 5 ай бұрын
Vip kuhusu dada hawa
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 2 жыл бұрын
Pole diva tunajua maumivu yako tulipitia haya tunajua uchungu na maumivu yake
@twinssauditwinssaudi7248
@twinssauditwinssaudi7248 2 жыл бұрын
Pole
@nyabitangajanette2598
@nyabitangajanette2598 2 жыл бұрын
Pole dada
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
pole dada😥😥😥
@fatumakassim64
@fatumakassim64 2 жыл бұрын
Watangazaji unakera kweli yani mtu ukimuona analia mnamcha lkn nyenye ndio kwaza upo
@ZawadiEliza
@ZawadiEliza 4 ай бұрын
Duuuh 😭😭🙌
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 2 жыл бұрын
umeongeya kweli lulu
@hannanommy9678
@hannanommy9678 2 жыл бұрын
Kikubwa unatakiwa umuombee wazaz wako na wa wengine, then tukiwa tunalia tukumbuke kuna Waloachwa hawajawaona wazazi wote wameishia kwenye mikono ya watu wengine?wewe mkubwa je wale waloachwa wadogo watasemaje?please acha kumkufuru mungu kuona kama vile mungu kakuonea !hapana tuangalie wale watoto waliachwa wakiwa 'wallah mayatima watoto wanateseka sanaaa 😭😭😭 kuna watu wanawatrite vibaya utaumia sasa wewe mkubwa unayajua maisha vipi wale wali Blind kabisa hawana hata wa kumwambia
@anasahamisi8962
@anasahamisi8962 2 жыл бұрын
Mzazi hasahauriki kifo cha mzazi kila siku lazima ulie sio wewe tudada hata sie kila siku tunalia kwakweli mzazi ni mzazi tu. Ambaye Haja ondokewa na na mzazi hawawezi kuelewa
@elizabethndugwa2020
@elizabethndugwa2020 2 жыл бұрын
Hivi nyie watangazi huwa mkifiwa mnahojiwa na nani, Hizo ni USHAMBA, Mnakaa kuuliza misiba ya wenzenu. Kuwakumbusha uchungu tu, haya mkishamhoji anafaidika nini 🤔🤔🤔🤔🤔🙅🙅🙅🙅🙅Mnazingua sana
@kabulakmusa3131
@kabulakmusa3131 2 жыл бұрын
Ila diva ka mja mwepesi vile
@happynelson1136
@happynelson1136 2 жыл бұрын
Huyu atalia mpaka lini nimempoteza baba yangu miaka mingi imepita ingawa namkumbuka lakini siwezi kulia kila siku sababu baba aliteseka sana na kansa huko aliko amepumzika bila kuteseka
@victormwakipesile5604
@victormwakipesile5604 2 жыл бұрын
Kumbuka Ni miez mitatu tu tangu ampoteze mama ake
@sadashaa5747
@sadashaa5747 2 жыл бұрын
Lulu acha kuvaa mawigi kwan we n mtoto mwm
@mwanahamisbwanga1184
@mwanahamisbwanga1184 2 жыл бұрын
Duuuu. Kumbe. Ndo. Shankupe. Ivyo. Tooobaaa
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 45 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52
FRANCIS DANDE (Habari Mseto)
Рет қаралды 28 М.
Rich Mavoko & Lulu Diva waweka wazi kuhusu uhusiano wao
23:25
Dina Marios tv
Рет қаралды 280 М.
KUNGWI DUME: MAANDALIZI YA MWANAUME
26:13
Ibrah Thedon
Рет қаралды 13 М.
LULU DIVA AMJIBU BABU TALE BAADA YA SAKATA LA KUTOLEA MFANO BUNGENI
24:13
BABA YANGU KIPOFU Full episode /52/ #love
33:54
BabaJoan
Рет қаралды 275 М.
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 45 МЛН