No video

EXCLUSIVE: Majibu ya Alikiba kuhusu kolabo yake na Davido

  Рет қаралды 154,949

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

On AIR with Millard Ayo ni kipisi kingine kwenye channel ya millardayo YouTUBE ambayo itakua inakusogezea Exclusive Interviews za Millard Ayo na mastaa mbalimbali studio.

Пікірлер: 222
@khadijamzee8883
@khadijamzee8883 6 жыл бұрын
I love your perception towards music. You are right lazma kufanya music ambayo mashabiki watapenda
@user-oo2qo2vv4i
@user-oo2qo2vv4i 8 жыл бұрын
King kiba fanya yako tuu twakupenda...
@tonymushi7070
@tonymushi7070 8 жыл бұрын
Alikiba uko juuu ,meeen ,big up it's ur fan tony mushi,,,,,!!!#hallaaa
@benardmanyama8629
@benardmanyama8629 6 жыл бұрын
kweli kabisaaaaaa King of Music
@najmaadam9331
@najmaadam9331 8 жыл бұрын
i got mob love for ali kiba he is such gentleman. and talented too. keep doing good work bra love from canada. milard thanks sweetheart
@brightonchannel4997
@brightonchannel4997 8 жыл бұрын
Jamaa namuelewa anataka kuufikisha mziki wake mbali pasipo kujipendekeza na wasanii wa njee...Safi sana kingkiba yo back
@barnabawana1058
@barnabawana1058 7 жыл бұрын
sedrick protas umeona ee m mwnyewe namkuabali hapend shobo
@Ng_muscat
@Ng_muscat 8 жыл бұрын
Yani alikiba umejubu maswali vile yanvyu takiwa eti pozi asio mjua ali hawezi kusema huyu jama daeh love you bro umeeleweka
@williamsezura2033
@williamsezura2033 6 жыл бұрын
King keep working hard with no pressure as you do_hope you will maintain your carrier to the next level. #MvumoWaRadi
@masoudsalum799
@masoudsalum799 8 жыл бұрын
Craaaaaappp nashindwa hata kuangalia hii show kwa mapozi ya huyu jamaa
@riakmadit5119
@riakmadit5119 7 жыл бұрын
OK thank you my bro good music my bro
@privannikolaus7773
@privannikolaus7773 4 жыл бұрын
Nice king kibaa
@lady23ish
@lady23ish 8 жыл бұрын
tuzo za Europe Music Awards alizopata daimond pia alizinunua kuna STREET SMART na BOOK SMART huyu ali kiba kakosa yote atleast diamond ni STREET SMART na BOOK SMART anajifindisha kila anavyo endelea
@angelslim422
@angelslim422 8 жыл бұрын
Cool
@stellamwambiwa5404
@stellamwambiwa5404 3 жыл бұрын
Ahsante kaka zangu nawapenda sana
@henrymwakilasa2336
@henrymwakilasa2336 8 жыл бұрын
King
@boscomasanduku9330
@boscomasanduku9330 6 жыл бұрын
Napenda kuona jinsi tunavyokuza bifu kati ya Mond na Ali Kiba ila ukweli ni kwamba hawa ni miamba ya Afrika wanaoonekana Duniani na wanapelekea sisi kujivunia kuwa Watanzania
@alicenice1711
@alicenice1711 3 жыл бұрын
Me nakupenda kiba
@georgemawale9548
@georgemawale9548 8 жыл бұрын
Ali kiba ww hapa hapa huwezi kukompent kimataifa coz hujulikan kimataifa
@brianswai5004
@brianswai5004 8 жыл бұрын
Millard tumemchoka huyu jamaa interview zake
@Rugemalilatv1994
@Rugemalilatv1994 7 жыл бұрын
respect kwa king hataki kuelezea kila kitu wazi mana wabongo wachawi
@hassanbakari5607
@hassanbakari5607 7 жыл бұрын
nashukuru Millard kwa kumkosoa alikiba kuwa collabo ya mond na davido haikufanyika backstage ila imefanyika kwa tudi ....alikiba kutokana na maelezo yako inaonesha unajikubali mno na kudisvalue wengine ....huo cyo mwenendo mzur ktk fani ya muziki you have to be honest guy
@shadrackngogo2659
@shadrackngogo2659 4 жыл бұрын
Kwel mzee
@paulmarioth2871
@paulmarioth2871 8 жыл бұрын
mambo anayoongelea Alikiba kuhusu tunzo yatakuwepo sema jinsi ya kuwakilisha au kujieleza ndio inakuwa tatizo..! nakumbuka wakati Diamond anaenda kwenye tunzo za Afrimma kupitia IG yake alipost picha yake na kuandika, anaelekea kwenye tunzo, hajui km mambo yatakuwa poa au itakuwa "FIGISU" kama unaelewa maana ya neno figisu basi utajua nini alikuwa anamaanisha sema kwakuwa yeye hakuojiwa kuhusu hiyo issue basi ikawa imezimika kwa mtindo huo..! so hivo vitu vipo ktk music na haima maana wasanii wa Tanzania ndio wanafanyiana figisu, mziki sasa umekuwa naamini diamond anakutana na vikwazo vingi kutoka kwa wasanii wa nchi zingine kwenye hizo tunzo ila still mungu amemchagua aiwakilishe vema bendera ya Tanzania so ataendela kutuwakilisha no matter what..! Let's support our own guys
@jayproducts5871
@jayproducts5871 8 жыл бұрын
Kiba ni nooma ase yupo claver sana✅
@zuhuramuyinga5953
@zuhuramuyinga5953 8 жыл бұрын
maneno mengine bwana,alitoka mwenyewe asirudi kuponda wenzie,Watu wapo mbali sana aisee kubali tu.
@adamcoy2734
@adamcoy2734 6 жыл бұрын
Nice
@riakmadit5119
@riakmadit5119 7 жыл бұрын
good music my bro
@beatricebarcos2626
@beatricebarcos2626 8 жыл бұрын
kiba namkubali Sana ,
@brianswai5004
@brianswai5004 8 жыл бұрын
tatizo huyu jamaa ana mashauzi hadi mashabiki manamkimbia
@justinkibonge8426
@justinkibonge8426 5 жыл бұрын
Kiba ushaimba sana peke ako so unahitaji collaboration za nje kwajili ya connection zaid
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 8 жыл бұрын
dk10:47 kulikuwa na sababu gani ya huyo mtu kutambaa kama Panya Studio au haukumuona Millard
@bilalwakora1524
@bilalwakora1524 8 жыл бұрын
Nakubali Millard
@sideboysalumu5700
@sideboysalumu5700 8 жыл бұрын
wew ni mkali japo wanatuss
@sjayfenty4112
@sjayfenty4112 8 жыл бұрын
is true Davido nafikiri alisema vile na ile sauti yake "the new collaboration is coming with Ali Kiba"cause alikuwa anajua nini kinaendelea alikuwa anataka kumpiga kibao Mondi bin laden mzee wa mituzo..ovyoooo Haya sasa mpaka leo collabo hamna.Nonsense!!!
@bbreezy5014
@bbreezy5014 8 жыл бұрын
atatisha sana
@fatmasalum2737
@fatmasalum2737 8 жыл бұрын
majibu yake ni noma ila namkubali sn na hongera millard ayo mungu azd kukungoza
@salimlipwata8962
@salimlipwata8962 8 жыл бұрын
Huyu jamaa anajikweeeza sana bt maisha hayapo hivyo.....
@kasaloojunior5939
@kasaloojunior5939 8 жыл бұрын
HAMNA KITU Aseeh huyu jamaa...
@Pembaboytz
@Pembaboytz 8 жыл бұрын
huyu jamaa mapoz sn mpaka anaboa
@gideonkabuko
@gideonkabuko 8 жыл бұрын
Hahaaa.....Jamaa Hamna ki2..Yaan yaan mm n fan wake but kwa majibu hayo not rait kabisa...
@mirajisimbq6785
@mirajisimbq6785 8 жыл бұрын
dah kwa hii ya leo nimemshusha #alikiba duh yani hata baraka da prince hawezi kuongea ujinga huo kwani
@directorevo4378
@directorevo4378 6 жыл бұрын
pamoja king
@dizodi_vituko
@dizodi_vituko 6 жыл бұрын
unajikubali sanaaa kaka
@jobaisyrainer711
@jobaisyrainer711 4 жыл бұрын
Very clever kiba
@erastoemmanuel7212
@erastoemmanuel7212 8 жыл бұрын
hili jamaa ni fala kwel eti africa nzima wanajua alikiba is back.kariakoo ndo africa nzima
@josephtula5525
@josephtula5525 7 жыл бұрын
ERASTO EMMANUEL ha ha ha ha ha ha
@elickmaendeleo1141
@elickmaendeleo1141 6 жыл бұрын
ERASTO EMMANUEL 😂 😂 😂 😂 umeonae
@swabreenahkhaleed9082
@swabreenahkhaleed9082 6 жыл бұрын
ERASTO EMMANUEL kama mulikosa maneno kwenye kurasa za page zako nibola ukubali Ali nikipenzi chawatu hata mufanyeje
@entertainmentzone8815
@entertainmentzone8815 8 жыл бұрын
Upeo wa msanii utaujua kupitia mahojiano na media. u cant lie the public na ningumu kuukimbia ukweli ndio mana unapata tabu kuelezea vitu. u have to accept defeats.
@ItsKaven
@ItsKaven 8 жыл бұрын
+Barnabas Mwashambwa hahha upo sahihi brother...anachojibu hakieleweki
@abdalahahmed4018
@abdalahahmed4018 8 жыл бұрын
true broo kumbe nawe umemuona
@piliathuman1541
@piliathuman1541 8 жыл бұрын
utoto unamsumbuaa
@ashagrills1319
@ashagrills1319 8 жыл бұрын
mtu wangu wanguvu mlete wema ejeajibu kwann amemkashifu mtoto wa simba na kwann anamfatafata baba tiffa au bado anampenda mwambie azae wake siame sema anamimba tuna msubili mtt wake asha kutoka dubai
@zuraiqbintameir7322
@zuraiqbintameir7322 7 жыл бұрын
+Asha Grills na wewe zaa wako tumuone nyoko😋😋😋
@emmanuelsanga7811
@emmanuelsanga7811 8 жыл бұрын
Tunakupenda sana ila mapozi yamezidi aise
@deniswitman2959
@deniswitman2959 8 жыл бұрын
maringo mingi anayo uyuu jamaa aisee davido kaomba collabo mmmh..
@suzanaball6025
@suzanaball6025 8 жыл бұрын
Yani ana ringa mpaka anaboa. Milla unalijua hilo ndo maana unaishia kucheka. Mwambie abadilike awezi fika popote nasifa zake zakijinga na uongo.
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 жыл бұрын
Ngoma nyingi ukifanya collabo zinabuma..... nakushauri uimbe solo
@Silverstic
@Silverstic 6 жыл бұрын
Jamaa wa ajabu sana huyu ,,. Dah!
@salehmadawa7077
@salehmadawa7077 8 жыл бұрын
Dume zima linaongea kwa mapoz, chefuuuu
@annachristopherokeno9387
@annachristopherokeno9387 7 жыл бұрын
unajua king
@kevynshayo4144
@kevynshayo4144 6 жыл бұрын
Amelala atoe ngoma alafu na nyie clouds mnambeba mtu abebeki aaaah mnawabania watu wanaoubeba mziki WA Tz mnayumba kinoma
@michaeljeremiah1353
@michaeljeremiah1353 8 жыл бұрын
kuma la mamaake uyu kibakuma fala kweli..yaan anajiona bonge la staaa ataendelea kamwe
@leonardoambrocio6116
@leonardoambrocio6116 4 жыл бұрын
Kuma la mama ako wewe,kuma la mkeo ,pombavo sana
@mirajisimbq6785
@mirajisimbq6785 8 жыл бұрын
Eti tuzo wananunua duh jamani ukiishiwa unakosa cha kusema
@alikibaakiliomaryalikiba7746
@alikibaakiliomaryalikiba7746 3 жыл бұрын
Tatizo uwaga au fatilii chochote na ndo maan una sema ivo
@azizamitali4535
@azizamitali4535 8 жыл бұрын
yaani mnafiki huyu mbona unahangaika kuomba watu wakupost wakuombee tuzo 😏😏
@abousadick4554
@abousadick4554 8 жыл бұрын
Yani huyu msanii wetu sijui ana matatizo hivi anajionaje kwanza , anaringa ingejua Davido.alikua anajua kinachoendelea hivyo alivyokutaja alikua natka apate attention tu haya tuone ss kama hyo kollabo itafanyika kujikuta supastar hata tuzo huna ya Mtv puuuuuuhh
@platnumzoskido5289
@platnumzoskido5289 8 жыл бұрын
hahaha umeonae
@FatmaAli-ws7gk
@FatmaAli-ws7gk 7 жыл бұрын
Abou Sadick amepataa sasa , kila kitu kina muda wake
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 жыл бұрын
Abou Sadick Atajua tu....shilawadu ata Nigeria wako....collabo atangoja sana
@gazellethomson7522
@gazellethomson7522 6 жыл бұрын
unapanic km Asha ngedere
@hamasilver5705
@hamasilver5705 8 жыл бұрын
eti back stage au umeishiwa vya kuongea
@farajiyusuph8146
@farajiyusuph8146 8 жыл бұрын
Kweli Akili sio Matako Kila Anakua Nayo, Ndo Anajibu Nn sasa Hapo
@kabikamarcel4578
@kabikamarcel4578 6 жыл бұрын
yuupppp
@noamiregan9199
@noamiregan9199 8 жыл бұрын
unaboa sn hujui kujielezea ww na team yk wote vilaza
@hashimabdalah3161
@hashimabdalah3161 6 жыл бұрын
Eti sio mshikaji wangu duuuh we kweli boya yani ww star kuliko davido ha ha ha ha ndio maana unafel
@winnfridaaalan8112
@winnfridaaalan8112 8 жыл бұрын
Yan huyu jamaa hajielew hata kidogo kwanza ni muongo alafu ni limbuken pole kwake
@robertilomo7882
@robertilomo7882 8 жыл бұрын
kiba inabidi uwe wise!! jaribu vitu vyenye mantiki!! hapa ndipo napoona tofauti ya diamond na kibakuli!! diamond anajua afanye nn na aongee nn kwa jamii! i'm disappointed in you
@adelardkanje7516
@adelardkanje7516 7 жыл бұрын
chefuuu jitu zima lkn halijielewi kwaio kwa akili yake ya matope anadhani Davido anamshobokea!!! hahahaaaaaa
@mfaumeponera2165
@mfaumeponera2165 8 жыл бұрын
tatizo kubwa ni kuahndwa kuongea kweny media
@antonymichael1279
@antonymichael1279 8 жыл бұрын
Dah huyu kiba sio kiba yulee wa Cinderella yan huyu wa sasa ni overrated, maringo na revange wakat bro mziki hautak hivyooo yan unaonekana tuh daaaaa Mungu akusaidie broh
@sillasmichael1491
@sillasmichael1491 6 жыл бұрын
kiba is back
@elongolusambya7383
@elongolusambya7383 7 жыл бұрын
Yaani kiba...unajiona...wewe...ndo...wasamani...siku..zote...chibu...yupo...juu yano
@graceleonard6150
@graceleonard6150 6 жыл бұрын
Unapenda kujishaua wewe unajikweza sana wewe unamaana
@maggiepesh7437
@maggiepesh7437 8 жыл бұрын
kiba Mkali wao
@kulwangomale3630
@kulwangomale3630 6 жыл бұрын
Eti sio mshikaji wako ....unataka kumaanisha kajipendekeza kwako???
@gadau2630
@gadau2630 8 жыл бұрын
Majibu Dry but kwa picha tunaona =0
@alikibaakiliomaryalikiba7746
@alikibaakiliomaryalikiba7746 3 жыл бұрын
Yea
@leemoha7847
@leemoha7847 8 жыл бұрын
So this guy thinks diamond cannot be voted by people only him dude u only got the tz awards not africa first build up your fan base in Africa and then u start to talk about awards.
@powertz8913
@powertz8913 6 жыл бұрын
Nimeskililza hii interview nimegundua kiba msenge mpevu
@brianswai5004
@brianswai5004 8 жыл бұрын
sema tuzo ngapi?
@maggiepesh7437
@maggiepesh7437 8 жыл бұрын
kiba namkubali anajua,sema watu wana wivu tu,mtake mistake ndio ukweli
@thisissoccer8890
@thisissoccer8890 6 жыл бұрын
kwa wapenda mpira na wasiopenda usisahau kubonyeza hapo ujionee burudani..,...asanteni
@alanuswilliam431
@alanuswilliam431 6 жыл бұрын
This is soccer Acha kujipa masifa ucyo kuwa nayo ww
@majaliwamabula2974
@majaliwamabula2974 6 жыл бұрын
Wenye uwezo hawako hivyo majigambo meng sana ovyooo2 mfyuuuu
@steveshad6797
@steveshad6797 6 жыл бұрын
This is soccer
@dreamerboy4956
@dreamerboy4956 8 жыл бұрын
#KingKiba
@farajiyusuph8146
@farajiyusuph8146 8 жыл бұрын
Angalia king kiba wako anavyojibu Usenge hahahah
@Teksani
@Teksani 8 жыл бұрын
Ben Paul hakukosea, inamgharimu mshikaji 😂
@halunamaneno9986
@halunamaneno9986 4 жыл бұрын
Kivip nyoko we
@allytwalib8284
@allytwalib8284 8 жыл бұрын
Mlitaka ajibu mnavotaka waswahili bhana
@shabansalum9283
@shabansalum9283 7 жыл бұрын
huyu boya kweli
@erastoemmanuel7212
@erastoemmanuel7212 8 жыл бұрын
daaa bora hata ulishuka kimuziki ungeendelea na ile tittle yako ya miaka ya 2007- 2008 tusingekunywa maji
@abdijuma2435
@abdijuma2435 6 жыл бұрын
Kk kiba hii nimeikubali sana mm shabiki wakoasilimia zote .. .BGP millard ayo kwa maswali yenye akili . .. ali..kiba heshimaaaa n nimepata farajaaa sana kuona hii
@allystily7315
@allystily7315 8 жыл бұрын
huwezi Kuwa na maringo kiasi hicho. pia unatakiwa uwaheshim
@linagakii7151
@linagakii7151 8 жыл бұрын
ali mwisho na majibu
@samsoniraphael4901
@samsoniraphael4901 6 жыл бұрын
Ukopoa sana kiba ila wachawi wengi bongo
@kenethpauljr.1358
@kenethpauljr.1358 8 жыл бұрын
Kiba bwana sijui angekuwa kama Usher tusinge kunywa maji maringo mengi nyodo kujiona yeye ndo yeye
@barnabawana1058
@barnabawana1058 7 жыл бұрын
Eng Keneth Paul JrMuFc haha ktk watu wanaolinga utamuweka Alikiba? unahangaika tu
@abousadick4554
@abousadick4554 8 жыл бұрын
Mpaka millard ayo kachoka kumuuliza , millard ana akili sana hapo kisha msoma huyo Ali.kiba anatabia gani misifa tu.na wivu unamsumbua
@ttintinchidaniel7321
@ttintinchidaniel7321 8 жыл бұрын
learn how to answer questions Mr.
@abykeny9395
@abykeny9395 6 жыл бұрын
Sa ndo nn???
@mdekebakari3594
@mdekebakari3594 5 жыл бұрын
Yuu haty kiba laiki
@bmajesky63
@bmajesky63 6 жыл бұрын
kiba majibu ya kujisikia acha kwahyo ionekane davido kakushobokea acha kuzingua wewe
@humphreytinson8184
@humphreytinson8184 7 жыл бұрын
aaaaaaaha huyu jamaa yeye tuzo hana habar nazo sema nashabiki zqke wana mzingua had usiku akaona ngoja aka itafute hahahahha kiba the super star mavi
@eunicehemed9097
@eunicehemed9097 8 жыл бұрын
kwa stail hii huwez fanikiwa milele..chaaa unajikuta staaar
@lubagulangosha9682
@lubagulangosha9682 6 жыл бұрын
we umefanikiwa we sikiliza pita
@bisekodaudi5692
@bisekodaudi5692 7 жыл бұрын
wadau mnaosema kiba anajikweza mbogo zenu hazifanyi kazi hajaanika chochote ili kupata micfa unafaa kuigwa na jamii haupend micfa broo kama mouc
@seifkigasa6520
@seifkigasa6520 8 жыл бұрын
Huyu jamaa anamajigambo sana ndo maana anakosa tuzo
@lucasfidelis5058
@lucasfidelis5058 8 жыл бұрын
dahh sasa kilamsaniiakiwaanapigiwa cmna washabiki kuhusu kua wamepiga kula kwa nini umekosa tuzo hakuta kalika bongoflevani
@alineashley2408
@alineashley2408 8 жыл бұрын
mi mbona sioni hizo zarau alizo zitumia kiba jamani !!!???wala ajaongea vibaya ,kila kitu kiko sahihi .kwanini watu mnakuowa wagumu wakuelewa!!!???
@barnabawana1058
@barnabawana1058 7 жыл бұрын
Aline Ashley jaman umeona ee ye hapend kujikweza m con malingo yake
@festojimmy7781
@festojimmy7781 6 жыл бұрын
wenae unasema huna ushikaji na davido unadhan yeye ana kushobokea
@tonymushi7070
@tonymushi7070 8 жыл бұрын
Nashangaa ,watanzania wanapondana wenyewe kwa wenyewe ,sasa sijui ,nyie mnaakili nzur kwa maana ,Alikiba ni mtanzania mwenzetu sasa kwa nn tum descarage ? Jamaan ,sio vizur tusapotiane jamaan,
@barnabawana1058
@barnabawana1058 7 жыл бұрын
Tony Mushi kwa kwel umeona e
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 29 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 46 МЛН
Interview: Alikiba ' Mimi na Ben Pol sio marafiki na hatutaniani'
17:30
EXCLUSIVE: Ni maswali gani Diamond hataki kuulizwa mwaka 2016?
8:16
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 46 МЛН