EXCLUSIVE: MENINA - AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA/ NASHANGAA WANAONIHUKUMU/ HAIKUWA MATAKWA YANGU

  Рет қаралды 164,592

ZamaradiTV

ZamaradiTV

3 жыл бұрын

ameongelea na mengi yanayomuhusu ikiwemo jinsi alivyoweza kuovercome na maisha yanavyoendelea, kazi zake, mtoto wake, na mengi yanayomuhusu

Пікірлер: 578
@liliannamwatikha1140
@liliannamwatikha1140 3 жыл бұрын
This interview was conducted respectful and professionally, alot of lessons learnt. Thank you
@zaynabhassan3619
@zaynabhassan3619 3 жыл бұрын
Nakupenda menina ur so beautiful no matter what
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Am glad unasema ni kikombe chako ulitakiwa kukinywa mama...usijali,maisha yanaendelea,naendelea kukusifu kuvuka daraja hilo...
@K25795
@K25795 3 жыл бұрын
UYU MTOTO MENINA KAMA MZURI NAMPENDA KBX KAMA NAWE UNAMPENDA GONGA LIKE HAPAA
@happynelson1136
@happynelson1136 3 жыл бұрын
Huyo alietoa hiyo video alitaka tu kumharibia huyu dada kwa makusudi na huyo jamaa amefeli sababu huyo demu ni mzuri sana na maisha yake bado yanaendelea vizuri sana na maisha yake yatazidi kuendelea kwa kasi kubwa
@husnakezakimana3944
@husnakezakimana3944 3 жыл бұрын
4 2
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 3 жыл бұрын
@@happynelson1136 limwijaku hilo cjui nae menina alimpendea nn lile dume khaa😂
@happynelson1136
@happynelson1136 3 жыл бұрын
@@linahsemindu9575 mimi pia nashangaa kwa nini Meninah alilala na mwijaku yaani nashangaa sana sababu Meninah ni mtoto mrembo sana
@happynelson1136
@happynelson1136 3 жыл бұрын
@@linahsemindu9575 tatizo Meninah alijekodi mwenyewe
@queentz8314
@queentz8314 3 жыл бұрын
Zama tuletee Chidibez I think we need to know him more nilimkuta mahali juzi kanenepa anawapa wapa watu somo la maisha na anayoendelea kupita hakiyamungu sikumjua zaidi ya sauti ila anaonekana anamachungu mengi na majuto mengi ya umaarufu please mtafute. Nahongera now sauti everything is good. And Menina pole we Love you no matter......yr young and strong bby
@jackjudy9182
@jackjudy9182 3 жыл бұрын
fact
@mostyhodari2145
@mostyhodari2145 3 жыл бұрын
Zamaradi jitahi kuongeza sauti unanong'ona sana wakati mwingine.
@salmanyangasa1171
@salmanyangasa1171 3 жыл бұрын
Dah! Aiseh umenifanya nimelia Menina. Tumekuelewa mumy...pole Sana mpenzi wangu
@genovivakaijage8336
@genovivakaijage8336 3 жыл бұрын
Mrembo,makosa kila mtu hufanya tusipende kuhukumu
@tiagolichuchu8349
@tiagolichuchu8349 3 жыл бұрын
Both of you girls are looking gorgeous.
@prudencemushi6948
@prudencemushi6948 3 жыл бұрын
I have totally changed my attitude toward you this interview has changed everything.... Keep going Menina
@luluadam3086
@luluadam3086 3 жыл бұрын
Menina nakupenda sana dah hadi nmetoa mchozii😭😭
@WORDOFMYCREATOR
@WORDOFMYCREATOR 3 жыл бұрын
Interview poa sana.Sama you so smart and your Interviews are very interesting. You can't skip you need all the details in your Interviews. Bravo
@jovinacbkan7785
@jovinacbkan7785 3 жыл бұрын
Pole sana,mdogo wangu,wala atukuhukumu dia,nakuelewa sana Menina,pole dia.
@OmanOman-cl7kv
@OmanOman-cl7kv 3 жыл бұрын
😭haki umeniliza Roho inauma Sana mambo mfanye faragha mwezako ayatoe nje yanaumiza sana sema ishatokea songambele
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Kila mwanamke anatakiwa kujipenda yeye kwanza,kujithamini na kuimarika katika ujasiri ...usikate tamaa juu ya vitu vidogo
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Ukishajitambua tu wewe ni Nani .itakutoa sehemu moja kwenda nuingine. .shida wamama wengi hawajitambui...woga na hofu na stereotype za kijinga
@gracemollel7503
@gracemollel7503 3 жыл бұрын
Half of her cute is her brain luv u menina
@spreadlove2119
@spreadlove2119 3 жыл бұрын
Ibilisi wa mtu ni mtu mdogo wangu, life goes on 😋.
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 3 жыл бұрын
Zama kumbe kichen part cha wananzengo kukueleza kuwa na tissues kimekuingia hongera sn 👏👏
@lailmeeea4908
@lailmeeea4908 3 жыл бұрын
Dah! pole sana umenifanya nilie na mi dah menina pole wng nakupenda sana hayo yote ni mapito tu pole sana Mungu atakulipia tu kwa wakati wake inshaallah
@nasrytaiddy6551
@nasrytaiddy6551 3 жыл бұрын
Mimi pia nimelia inaumiza Sana
@zennakailo8106
@zennakailo8106 3 жыл бұрын
Maisha haya nyie tunatoka mbali Dah aiseeeee pole Minnah #Zamaradi tunakupenda mama kwa interview zako mzuri
@mytelecom2019
@mytelecom2019 3 жыл бұрын
fikisha pole yangu kwa menina
@zennakailo8106
@zennakailo8106 3 жыл бұрын
@@mytelecom2019 inshaAllah 😄
@sophiaagustino3158
@sophiaagustino3158 3 жыл бұрын
Too much maongezi ya Adas . Do a way ya kupungua . Proud of you and love you😘
@chibesalalata1468
@chibesalalata1468 3 жыл бұрын
For real you make me cry may God bless you
@fatmann6341
@fatmann6341 3 жыл бұрын
Yaani huyu dada kichwa chake bado hakijakaa sawa masikini anajikaza tuu yaani akihojiwa unamuona kabisa anawaza Ile Hali iliyomtokea kabla hajuulizwa pole Sana dadà mungu atazidi kukupa amanii akuna atakae maumivu yako
@aoman5214
@aoman5214 3 жыл бұрын
Kabla cjaendelea naomba nikupongeze da Zama umependeza sana
@nambuacassandramlaki3516
@nambuacassandramlaki3516 3 жыл бұрын
We love you MENINA...I LOVE YOU......YOU ARE A GOOD GIRL..
@islandgirl4578
@islandgirl4578 3 жыл бұрын
Mwijaku sio mtu mzuri hamissa nakupa pole kwa yajayo
@chany9950
@chany9950 3 жыл бұрын
Nimeria saana jamani 😭😭😭pore sana menina love youuu 😘😘
@mcrithawaukweli4885
@mcrithawaukweli4885 3 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mwanamke mwenzangu
@nyimbonizipendazo
@nyimbonizipendazo 3 жыл бұрын
Zamaradi umependeza, make up on point ❤️
@cessianthony2644
@cessianthony2644 3 жыл бұрын
Menina my fav since bss..Nampendaga Sana...
@aoman5214
@aoman5214 3 жыл бұрын
Pole Sana menina kuna wanaume wengine hawana akili kabisaaa nilipoonaga niliumia Sana aiseee pole Dada
@lyidiaerick9145
@lyidiaerick9145 3 жыл бұрын
Maskini pole sana sana ..
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 3 жыл бұрын
Umenifanya nilieeee😭😭..pole babygirl🥰
@nasrajuma136
@nasrajuma136 3 жыл бұрын
💣😓😓😓nimelia mpk nimejisikia viby
@nasrajuma136
@nasrajuma136 3 жыл бұрын
@@Shayy97 kuna muda maisha yakuzalilishwa tunapitia wengi hata wew yakikufika ndipo utajua uchungu wake
@ZaharadaffaZaharadaff
@ZaharadaffaZaharadaff 3 жыл бұрын
Don cry menina we love you 😭😭
@kerryhoza6173
@kerryhoza6173 3 жыл бұрын
Zamaradi umependeza sana...u look so gorgeous...!👌😍😘
@saidahj2543
@saidahj2543 3 жыл бұрын
Kapole maskini...I love you❤❤❤
@diana_james9269
@diana_james9269 3 жыл бұрын
So true the person who did this to her it is very evil, let us respect women , the person who removed that video out know that you really tortured this lady, you really killed her, the shame she went through oh my God just help her please, the person who did it you don't deserve to be with any woman in your life. 😭😭😭😭😭😭😭😭
@davidone1313
@davidone1313 3 жыл бұрын
Unasema sio kweli.....ebu tuambie ww
@davidone1313
@davidone1313 3 жыл бұрын
Ebu tuambie ww ukweli
@diana_james9269
@diana_james9269 3 жыл бұрын
@@davidone1313 unamanisha nini tafadhali, what do you mean with your comment i don't get you
@itshaluastyle
@itshaluastyle 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jpyqfa1tn9dkrNk AFRICAN FASHION||
@witnessmbilinyi3281
@witnessmbilinyi3281 3 жыл бұрын
Diana Obondo hajaelewa ulichoongea na alichoelewa ni vitu viwili tofauti
@meena-ol6fo
@meena-ol6fo 3 жыл бұрын
Wow don't cry umefanya nimelia huyo mbwa alofanya hivyo sheria ichukue mkondo wake mamaake angerekodiwa angefurahia na bichwa lake kaa pumbu la babaake....your beautiful and you will always be am so proud of u
@omegatesha1227
@omegatesha1227 3 жыл бұрын
Malipo ni hapa hapa duniani. Pole Dada, ila aliyekufanyia hivo na alaaniwe na mbingu na ardhi imeniuma sana aki!
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 жыл бұрын
Tatizo nima pombe kisha mtu unaefanya nae ana mapenzi na ww
@dannymoses1882
@dannymoses1882 3 жыл бұрын
pole sana menina me nakupenda nanimesahau nilioyaona we endelea nakaz zako na mungu akusaidie
@nailaomar4810
@nailaomar4810 3 жыл бұрын
Zama u looking beautifull I like ur makeup with dress mashaallah
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 3 жыл бұрын
Dah kwa kweli leo imeniuma sitakaa kumuhukumu binadamu mwengine Sis menina pole sana
@ericklaura7511
@ericklaura7511 3 жыл бұрын
👍
@hafidhmohd8696
@hafidhmohd8696 3 жыл бұрын
Naomba kushauri kitu. Jaman tunaona weng wasaniii na baadhi ya watu maarufu kuona tendo la ndoa ni jambo la kawaida kabla ya ndoa na ukiabika unazan ni kosa la mtoaji tu jaman sometimes muwe na akili na fikra sio kila unachopewa ni kupimwa iman tu bali ni adhabu kutokana na kumkosea Allah bali wanawake punguzeni kufanya zinaa na zinaa sio halali kam hujaolewa tusiseme tu ni makosa ya kawaida bali ni makosa makubwa na ya kipumbavu sana unatijistiri ndio na Allah anakuepushia kuaibika na PIA ni adhabu ya Allah NB: wasanii wa binaadamu wenzang zinaa ni haramu na ni zambi kubwa mno na tusijisifie dhambi ni ujinga kmnuna uwezo ooa sio kufanya zinaa tusisme unapenda kufanya mapnz wakat ni haramu na unajua Ila wao vioo vya jamii ndio wanaoeneza uchafu
@mariangoi2569
@mariangoi2569 3 жыл бұрын
Asante kaka nmejifunza
@mercydeo4040
@mercydeo4040 3 жыл бұрын
Umesema kweli kaka jamii imehalalisha zinaa inaonekana ni kitu Cha kawaida kabisa, Mungu aturehemu jamani
@hafidhmohd8696
@hafidhmohd8696 3 жыл бұрын
@@mercydeo4040 true Allah atusamehe makosa yetu
@chocolatebby68
@chocolatebby68 3 жыл бұрын
shukran kwa ujumbe wako
@hafidhmohd8696
@hafidhmohd8696 3 жыл бұрын
@@chocolatebby68 afwan
@fatmayussuf9980
@fatmayussuf9980 3 жыл бұрын
Mungu atakuhukumia inshallah menina be strong 😘😘
@aliamirbakar5580
@aliamirbakar5580 3 жыл бұрын
MENINA mungu atakupa subra na alie fanya hili mungu atamlipa MENINA you're beautiful
@rahmarashid5635
@rahmarashid5635 3 жыл бұрын
Pole menina wangu na jinsi ulivyofanana na Mie pole habibty kila mtu anafanya hata wenyenndoa madhali hujajiuza hujafanya biashara pole twin wangu na da Zama ulivyopendeza Mashallah Mashallah nguo yako ya stara nanulivyotulia kuuliza Zama uko juuu
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Menina is so cute. I just love her ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@elizabethlameck4829
@elizabethlameck4829 3 жыл бұрын
Katika yote,,pole Dada ila MUNGU ni mwema wakati wote nakupenda Tamthilia ya Tand umecheza vizuri sana napenda kuifatilia wewe ukiwa mshawishi mkubwa❤️umependeza
@sophiaabdalla6599
@sophiaabdalla6599 3 жыл бұрын
Umefunguka usawa katika safari ya mafanikio mitihani lazima yatokee.pole kwa mtihani uliokufika.i wish you all the best in your life 🇰🇪love u my dear actress.allah ndie atakuhukumia...
@leaherasto929
@leaherasto929 3 жыл бұрын
I love you Menina, Zama interview zako lazma mtu alie unajua Sana kuhoji mtu
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 жыл бұрын
Lkn tunalizwa nass wangaliaji😥😥😥
@aichaabdul5844
@aichaabdul5844 3 жыл бұрын
Kulia kiafya ni jambo zuri, jitahidi uwe unalia mara kwa mara.
@itshaluastyle
@itshaluastyle 3 жыл бұрын
AFRICAN Fashion kzbin.info/www/bejne/jpyqfa1tn9dkrNk
@dorislema1814
@dorislema1814 3 жыл бұрын
@@aichaabdul5844 hahahahahahahahahhaha
@shakirasalum4344
@shakirasalum4344 3 жыл бұрын
Umenifanya nilie mpenz pole sana my love mungu atamuhukumu aliefanya hivi mpenz love u
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Pole mama hajna haja ya kulia,maisga yanasonga...kuteleza sio kuanguka,nakusifu ulipata ujasiri wa kunyanyuka na kuendelea na maisha ...wanaume ni mbwa usilie juu yao. Mwijaku ni fala mstari wa mbele,haistahili chozi lako..usimpe nafasi iyo
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Nashangaa clouds wameamuajiri..pumbafu sana yule
@judiehance1736
@judiehance1736 3 жыл бұрын
Da zama umewaka ❤️❤️❤️
@lucynzai9276
@lucynzai9276 3 жыл бұрын
Pole sana love nkupenda menina💞💞💯💯💯💯💯💯💯💯💯
@dn.n4983
@dn.n4983 3 жыл бұрын
Mungu hakubariki unekana mkarimu sana sauti yako fanya kazi usikate tamaa
@prhairsalon314
@prhairsalon314 3 жыл бұрын
Pole sana, Leo kwa mara ya kwanza nimeelewa kiasi gani, uliumizwa na yaliyo kupata, Mungu akutie nguvu, akupe amani na akusimamie kwa kila jambo unalolifanya, Epuka marafiki wabaya, na jifunze kutokana na makosa. Amani na Upendo vikuzunguke kila uendapo. Amina
@albs1448
@albs1448 3 жыл бұрын
Kwa kifupi limetokea ila hujasema wewe kulala na mume wa mtu, unasema umelelewa kwenye dini, then why you slept with a married man? Na tuache kumsingizia Mungu jamani, Mungu hakuambii uende kulala na mume wa mtu na zaidi urekodi then unataka haki pale unaumbuka. Labda Mungu alitaka uumbuke ili ubadilishe tabia ya kutaka kuvunja ndoa za watu. Inaoneka sio mara yako ya kwanza.Hilo ndio jibu la kweli so umekosea, wewe omba msamaha then move on. Hapo ndio jambo la maana
@queenmollel9593
@queenmollel9593 3 жыл бұрын
Dada Zamaradi umedamshi sana kama kawaida, wanawake oyeeeeee💪
@maureenandrew8636
@maureenandrew8636 3 жыл бұрын
This girl is soooooo pretty
@aynesshezron4711
@aynesshezron4711 3 жыл бұрын
Zama unahoji Kwa hisia sana hongera...menina kuteleza siyo kuanguka Mungu akusimamie ktk yote..maisha yanaendelea..
@getmad9908
@getmad9908 3 жыл бұрын
Loma usimtiye mungu kwenye zina, ww !!!sema Shaitan Ndo kakupitiya hapo na mungu ndo Kwa kkumbuwa, pili hilo liwe fundisho Kwa mwwnmke yy atakaye kubali kurekodiwa hata kama ni mume wako, juwa huweza akawa adui wako siku mmoja 🙏🙏🙏
@rosemofuga6313
@rosemofuga6313 3 жыл бұрын
Interview iko vizuri na imetulia sana
@MohammedAli-vq2dk
@MohammedAli-vq2dk 3 жыл бұрын
Pole Sana many ila mashaa Allah nywele
@beatriceantapa5940
@beatriceantapa5940 3 жыл бұрын
Don't cry darling .....keep moving darling
@Emmy22655
@Emmy22655 3 жыл бұрын
U look so woooow 😘😘😘and beautiful 💕💞💕💞💕💞🍾🥂🥂🍾my zama. Love u more from south Africa😘😘😘😘😘
@mariajohn8965
@mariajohn8965 3 жыл бұрын
Ila dada Zamaradi i really like interview zako yaan ni za kipekee sana 😘
@shadiayunus9859
@shadiayunus9859 3 жыл бұрын
Wallah nimelia ila aliyefany hivo atakuj kulipwa, sio vzur na ni udharirishaj
@anniejojo9126
@anniejojo9126 3 жыл бұрын
Nani mwingine ameona sura ya bahati bukuku kwa menina?gonga like
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 3 жыл бұрын
Mzuri menina MaashaAllah
@dottnatt7110
@dottnatt7110 3 жыл бұрын
Nasi tuliterekenzwa na baba zetu tunabaki😭😭 nami ningelelewa na baba hakika ningejivunia wallah😭😭
@maureensunguya8779
@maureensunguya8779 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ndiye baba yako
@joycempalanzi6199
@joycempalanzi6199 3 жыл бұрын
Hakika inauma sana Ila mungu ndo baba etu wa kudumu
@willykaovela5485
@willykaovela5485 3 жыл бұрын
Pole zee wound heal but the lesson will be remembered🦅🦅🦅
@mukrimkhamis678
@mukrimkhamis678 3 жыл бұрын
Inshaalah M/Mungu atujalie mwisho mwema kwa sote##🙏🙏🙏🙏
@jokhaali9187
@jokhaali9187 3 жыл бұрын
Dazama umependeza sana sana mashaallah 😘
@officiallymercymargaret3259
@officiallymercymargaret3259 3 жыл бұрын
Pole sana ni mitihani ya Dunia let's move on forward
@hawajuma8379
@hawajuma8379 3 жыл бұрын
Pole sana menina mungu atakutia nguvu majalibu yapo mengi usikate tamaa
@tinalucas6284
@tinalucas6284 3 жыл бұрын
Pole mpendwaa wangu menina😢😢
@maliga_tm2527
@maliga_tm2527 3 жыл бұрын
Yaani mimi baada ya ile ndo nimezid kukupenda😘
@kwizerazenab814
@kwizerazenab814 3 жыл бұрын
Pole Sana kwakweli inaumiza Allah atamlipa alie yafanya
@leaherasto929
@leaherasto929 3 жыл бұрын
Menina mzur jamani Mashaalah
@omytifa6403
@omytifa6403 Жыл бұрын
MashaALLAH
@victoriaabrahamu1850
@victoriaabrahamu1850 3 жыл бұрын
Pole sana menina.sikuiona na wala sikutaka kuiona ...niliumia on behalf na nikamwona yule kaka ni mbaya.hata afanyaje nini l no longer have interests na hata kumuona kwenye social media inaboa..nakupenda menina
@mariamkilama2266
@mariamkilama2266 3 жыл бұрын
Yani watu jamani kwa kukuza ya wenzao utafikiri wao hawafanyagi chochote
@dmajumbu2000
@dmajumbu2000 3 жыл бұрын
sasa Mungu alikuchagua wewe vipi hapo jaman mbona Mungu mnamshishikiri kwenye kitu ambacho si sahihi???? Mungu muache kwanza we tafuta njia ya kupooza uchungu ila Mungu muache. Kwan ulibakwa???? Maana kwenye video naona unaangalia kabisa camera na utam kuusikilizia jaman. Afu unasema sababu we mwanamke...Wanawake bwana tunapenda kutumia jinsia yetu kutia huruma pindi tunapofanya mambo tofauti...si sawa.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
We naye acha kujifanya mjuaji...usipende kuhukumu...! Unakera
@davidmasasi5497
@davidmasasi5497 3 жыл бұрын
Hahaha na utamu aliusikilizia... ila kiukweli hakuna aliyemuonea ila yeye mwenyewe alifanya upuuzi kwa kukubali kurekodi wakati akifanywa...
@aishachambo3293
@aishachambo3293 3 жыл бұрын
Doreen majumbu Wanatetea ujinga ndo kazi zao kipiga picha za uchi zikivuja hooo namwachia Mungu
@klystry1234
@klystry1234 3 жыл бұрын
Mdomo wako nauonea huruma
@kisskiss2766
@kisskiss2766 3 жыл бұрын
🥴🥴🥴
@cpasalma1532
@cpasalma1532 3 жыл бұрын
Afadhali mara hii Zama umekuwa na tissue Pole menina pole sana mamy
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 3 жыл бұрын
Alisahau
@bellahariminshi5149
@bellahariminshi5149 3 жыл бұрын
Mungu azidi kuku bariki na akuwekeye wepesi katika mambo yako.
@hapi6113
@hapi6113 3 жыл бұрын
So sad and very sorry, you make me cry😓😓 wanawake tunadharaulika Sana tunateseka sana
@candymusa5090
@candymusa5090 3 жыл бұрын
Dunia mbaya hiii pambania maisha yako dada angu na yy kitamkuta kitu u still cute menina nakupenda😍😍😍😍😍
@azizamufty6327
@azizamufty6327 3 жыл бұрын
Poleee sana kpnz nmekuonea huruma mpk nmelia jmn...
@aoman5214
@aoman5214 3 жыл бұрын
Menina upo kama Mimi ninavyompenda Baba uwiiiii hata cjui nisemej mwenyez Mungu aendelee kumtunza Baba angu
@zuhuramohamed3424
@zuhuramohamed3424 3 жыл бұрын
Same pia kwangu mm baba n rafk yangu mkubwa.
@rahimalewe2835
@rahimalewe2835 3 жыл бұрын
Kama mm nimempenda babangu Sana lkn ameniacha last month 😭😭😭😭😭😭😭
@zuhuramohamed3424
@zuhuramohamed3424 3 жыл бұрын
@@rahimalewe2835 jaman pole mwaya dear
@halimachubi2845
@halimachubi2845 3 жыл бұрын
Ad mm tena saana yn baba ang duh mungu amueke
@estherelias5609
@estherelias5609 3 жыл бұрын
Jaman Pole kwa yote,ki ukwel tumekuwa na tabia ya kuhukumu kana kwamba sie ni wakamilifu
@dr.madevualcantara4775
@dr.madevualcantara4775 3 жыл бұрын
Yaani nyinyi munachekesha san mufanye xxx video mutume than mujidai mumekosea kumbe mumekusudia..aendelee tu tumemis mzigo mpya
@dorislema1814
@dorislema1814 3 жыл бұрын
@@dr.madevualcantara4775 ila kwel kwanin wajirekodi wanafanya ivo ili nini
@aishaiddi8326
@aishaiddi8326 3 жыл бұрын
Pole daa unaniliza bure move on menina
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 3 жыл бұрын
Umezini alafu una muachia Mungu, tubu toka kwa shetani acha zinaa kisha muachie Mungu, but be strong and keep going my sister Minina.
@kerryhoza6173
@kerryhoza6173 3 жыл бұрын
Nywele yako nimeilewa sana..! Alokutengeneza kakunogesha sana
@sitisule6812
@sitisule6812 2 жыл бұрын
Jamani watanzania acheni ujinga!mfanye uchafu wenu Kisha mtie mungu ndani, astaghafirullah
@biashaallyally3701
@biashaallyally3701 3 жыл бұрын
Dada zama interview zako supre sana nakupenda sana mungu akusimamii sana
@helenbrayan655
@helenbrayan655 3 жыл бұрын
Mdogo wangu mshukuru allah kwa yote.mungu atakulipa ww ni funzo kwa ss wengine love you mdogo wangu
@aishajumanne2698
@aishajumanne2698 3 жыл бұрын
Kila nikiangalia hii interview huwa nalia du Allah tulindie wanetu.ikisha don't trust anybody.usikubali kuchukuliwa video in any case.pole menina ww ni mrembo na mzuri sana
@muniramohammed2328
@muniramohammed2328 3 жыл бұрын
Zamaradi you look 🔥 Allah akusamehe menina
@art.ib6
@art.ib6 3 жыл бұрын
Vizuri Sana zama Leo una tishu
@mimiapa8436
@mimiapa8436 3 жыл бұрын
Pole sweet Allah azidi kukuongoza yote mitihani humfika kila mtu
@tausimagesa1434
@tausimagesa1434 3 жыл бұрын
It's ok mamy move on mungu yupo pamoja nawe
@rosemofuga6313
@rosemofuga6313 3 жыл бұрын
Umenifanya nilie mennina, pole my dya
@aishasaidi2160
@aishasaidi2160 3 жыл бұрын
Pole sana Dada angu usilie wala uskate tamaa watanzania tumekuelewa
@ivethadeus9270
@ivethadeus9270 3 жыл бұрын
So sorry my sistr ila nmefurah ur verry strong hongera
@maserojoseph9073
@maserojoseph9073 3 жыл бұрын
Pole sana mdogo wng menina hii ndo dunia
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 153 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 27 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 159 МЛН
BEHIND The GRAM (MOM & DAUGHTER) Ep 1| kajala amlilia paula kuhusu Harmonize|
3:51
Feysal Daudi Films. 457k views.5hrs
Рет қаралды 9 М.
SISHIKIKI "NAPENDA WANAUME WAZEE KUANZIA MIAKA 50, VIJANA SIWATAKI"
13:14
Nicole wa Harmonize aonyesha kufuru
3:12
EastAfricaTV
Рет қаралды 249 М.
Mafia Boy Gets Revenge 🖤
0:38
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 24 МЛН
ВОТ как ЖЕНИХ выбирает СЕБЕ невесту 😱 #shorts
1:00
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 1,3 МЛН
покупки за продуктами сейчас вс раньше
0:23