No video

EXCLUSIVE:BI MWENDA Akiri kuuweza Uchawi/ Athibitisha kupigwa/Ndugu zangu/Kanumba/kwingineNitaharibu

  Рет қаралды 74,968

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Hii ni exclusive interview iliyofanywa na Zamaradi Mketema ambae Mbali na kuwa mtangazaji pia wana mazoea binafsi na utani mwingi na BI MWENDA ambae alimualika kwenye kipindi, na hiyo ilipelekea kuwe na vitu vingi vya kuchekesha kwenye Interview hiyo kutokana na vituko vya Bi Mwenda na mahusiano Yao binafsi
Ameelezea mengi kuhusiana na Maisha yake binafsi lakini pia uelewa wake juu ya Industry ya film Tanzania pamoja na jinsi ambavyo ameshawahi kupigwa na wananchi mara nyingi kwa Dhana ya Uchawi ambayo wengi wanadhani ndivyo alivyo

Пікірлер: 255
@veronicamwanyika7226
@veronicamwanyika7226 4 жыл бұрын
Pole sana Bi Fatuma Makongoro. Kwa kuumwa .Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi
@florencembithe2244
@florencembithe2244 4 жыл бұрын
Leo mtu mzima kakalia kiti Zama kawa mpole chezeaa wewe majibu kaa yote,,,,nani akaona mama amependeza kafit mbaya😂😂🇰🇪🇰🇪
@beatricejoseph7704
@beatricejoseph7704 4 жыл бұрын
Nampenda Sana Bi Mwenda Mwenyenzi Mungu Amtangulie Katika Kazi Yake...
@siaammo1104
@siaammo1104 4 жыл бұрын
hahahahahahaahaha eti watoto wanaenda chooni
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Bi mwenda big up,mama mwenye talent yake haswa,anashika uhusika hadi watu wanamchukia kwa sababu ujumbe unafika bara bara.
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
Blandina Mnyinga Hakika unaingia wana beba mawe
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
@@veronicadaniel1122 yeap!!
@rehemamwangobola7825
@rehemamwangobola7825 4 жыл бұрын
Yuko vizuri
@ashurabakiri8427
@ashurabakiri8427 4 жыл бұрын
Yaani hii exclusive iko vizuri sana, Zamaradi uko vizuri mno kwenye maswali,Mungu 🙏 azidi kukubariki siku zote 👏 Bi mwenda nakuelewa sana hujawahi kufanya vibaya kiukweli na nimependa mno uko vizuri kujieleza🤝ila pole sana kwa hz changamoto ulizopitia kupitia kazi ya filamu ila unabusara sana bi mwenda,Mungu 🙏 akupe umri mrefu
@faustamakasi8103
@faustamakasi8103 4 жыл бұрын
Zamaradi tuletee na Grace mapunda
@bihizaclement9868
@bihizaclement9868 4 жыл бұрын
Umependeza bi mwenda❤❤❤
@tunuyaomar5017
@tunuyaomar5017 4 жыл бұрын
Hivi bi mwenda hao wajukuu zako si wanakoma kwa hayo majibu mi hoi, ila nakupenda mama angu
@lovenesslyimo4309
@lovenesslyimo4309 4 жыл бұрын
Balaa 😂😂😅😂
@edithakomba7282
@edithakomba7282 4 жыл бұрын
Nakupe sana bi mwenda ake oyooooo
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 4 жыл бұрын
Yani ikiwa huyu mamangu anajiamini na kutafuta rizki kwa umri wake huo,ili watoto wasilale njaa ,wasikose elimu ,na huduma zengine muhimu, Mimi ni nani ? nisichangamke ili watoto wangu waje wajivunie Mimi mama yao, Nakuombeya uzima mamangu bi mwenda /fatuma ALLAH akupe umri mrefu wam kumcha yeye, Una hekma sana,
@zeidytheislandgirl7616
@zeidytheislandgirl7616 4 жыл бұрын
Unaakili san
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
Ladymasha Allah I like u a advise Hamsini Na ikawe hivo Amina
@bensonvincent3493
@bensonvincent3493 4 жыл бұрын
Uyu bi mkubwa kasoma na babu yangu musoma alikuwa dada mkuu washule mtoto wa chief uyo kawatesa San wenzake shule
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
@@bensonvincent3493 🤣🤣🤣🤣na Babu yako pia aliteswa na bi mwenda au sio?
@callmesubra5472
@callmesubra5472 4 жыл бұрын
Umependeza sana da zama, bonge la interview km kawaida, bi mwenda muigizaji nguli siwez sahau wakati wa utoto tulivyokua tunamuogopa 😂
@rukiaosman8416
@rukiaosman8416 4 жыл бұрын
Mashallah Zardari ww ni Mwanamke bora mwenye Hishima wallahi Allah akuhifadhi Yaarabi
@aminamnyaruge8574
@aminamnyaruge8574 4 жыл бұрын
MI namkumbuka kipindi kile anamtesa doctor cheni nilikuwa na chukua hatari
@JBB875
@JBB875 4 жыл бұрын
subira mbaga 😂😂😂😂
@upendolyimo4919
@upendolyimo4919 4 жыл бұрын
subira mbaga yaani kama kweli khaaa mimi nilikuwa namchukia kaah 🙈😂😂
@dainesszuber1860
@dainesszuber1860 4 жыл бұрын
Masikini nimemuonea huruma alivopigwa Kofi Buguruni Sema mimi nakupenda mama huwa unavaa uhusikaaa kwenye igizo zako❤️❤️❤️🙏🙏mungu akubariki tafuta ridhiki mama na usiwe na hasira na Hao wanaokushambulia mungu azidi kukutunza mamaa❤️❤️❤️❤️
@queenmaa5377
@queenmaa5377 4 жыл бұрын
+254 pitieni na hapa tuoneshe nguvu ztu kwa zama penda sana
@mjsaidkeya822
@mjsaidkeya822 4 жыл бұрын
Hii ndio TV napenda Sana, congrats Zamaradi
@nakizuu6079
@nakizuu6079 4 жыл бұрын
Umejua kunichekesha sana khaaaa,uliza kuhusu sanaa
@marrytanzania9035
@marrytanzania9035 4 жыл бұрын
Bi mwenda yuko smart sana kwenye maswali na nampenda pia
@winnermariah
@winnermariah 4 жыл бұрын
Woooow Wooow Wooow Jamani nimependa Kweny kujenga tuu....MUNGU Akubariki Mummy
@dianamasao1210
@dianamasao1210 4 жыл бұрын
Mungu akubariki tupo tunaokupenda sana tu,hakika ww ni mfano wa shujaa
@mariammussa2540
@mariammussa2540 4 жыл бұрын
Penda sana bi mwenda❤❤😍😍
@mamamuu8217
@mamamuu8217 2 жыл бұрын
Nimeenda hodari sana
@mohgamhooga1270
@mohgamhooga1270 4 жыл бұрын
Hongera bi mwenda kwa kupigania family yako na Allah kakustiri nawaliokuwa wanakurudisha nyuma,,,,,ila pole Allah akupe afya insha Allah
@fatmakombo7584
@fatmakombo7584 4 жыл бұрын
Zamarad umependeza nakupenda sana my dear
@naomibenjamini2088
@naomibenjamini2088 4 жыл бұрын
Bi Mwenda nakupenda bure kwa kutodharau kazi. Sema naogopa kuangalia movie zako
@pamelauwera3830
@pamelauwera3830 4 жыл бұрын
Bi mwenda hapo kwenye team ya yanga umenivunja mbavu
@elizabethminja7861
@elizabethminja7861 4 жыл бұрын
Zama you look so georgious
@angelmfinanga2354
@angelmfinanga2354 4 жыл бұрын
Nakukubali San bi mwenda .mungu azd kukupgania uzd kuifkisha mbali sanaa yetu
@dottnatta310
@dottnatta310 4 жыл бұрын
Da Zama mwambie bi mwenda Kuna mama anasaidia kwa maradhi yake Yupo chanika kituo cha ngware akishuka hapo akiuliza madereva wa boda boda anafikishwa. Anaitwa BI MKASI Allah atamfanyia wepesi INSHAALLAH.
@wuwubdywiwiwisu6499
@wuwubdywiwiwisu6499 4 жыл бұрын
Pona sna
@isabellawella97
@isabellawella97 4 жыл бұрын
Hakuna interview niliyoipenda kama hii jamani🤗♥️🔥🔥
@vivianwillbard8648
@vivianwillbard8648 4 жыл бұрын
daaa pole sana kwa kupokea kichapo bibi.yangu but jaribu kuigiza kama mama mkwe mpole
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 4 жыл бұрын
Daa zama mdogo wangu, Allah akuongoze kwenye kazi yako,Masha ALLAH, unaijulia hii kz
@umisidi1816
@umisidi1816 4 жыл бұрын
Mm hupenda sana bi mwenda uchangamfu wake nimemfananisha na nyanyangu
@angelbwija9547
@angelbwija9547 4 жыл бұрын
Namupenda sana uyu mama jamani 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰,
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Nakupenda sana bi mwenda mungu Akupe umr
@mishiomaromarabdhallah7580
@mishiomaromarabdhallah7580 4 жыл бұрын
Hahahaaaa bi mwenda hatariii ety uliniona huko nikifanya vizuri 😄😄😄
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 4 жыл бұрын
Kumbe bi mwenda Ni mpole Hivyo Jamanii
@aminaissa9756
@aminaissa9756 4 жыл бұрын
Zamaradi tangu nikujue unanipendezea kila uchao Mashallah.
@azzashebe2581
@azzashebe2581 4 жыл бұрын
Jaman hamna m,baya duniani.
@leahnyamle4179
@leahnyamle4179 4 жыл бұрын
Uko vzr c* zamaa...big up bi mwendaaa
@nabdabdi9297
@nabdabdi9297 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Bi mwenda ana hasira jamn
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 жыл бұрын
Da zama leo umependeza mashaallah
@magangamaria5378
@magangamaria5378 4 жыл бұрын
Yuko vizuri nampenda
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 4 жыл бұрын
Kwa kweli nikiangalia huyu mama huwa ananikumbusha marehemu Kanumba Daaaaaaa kaziyamungu aina makosa
@mwanamutemi
@mwanamutemi 4 жыл бұрын
zama, mama mwenda ana arthritise na dawa yake ni rahisi sana. Mwambie natafute majani ya Mastafeli (Matomoko) aweza chemsha akanwa chai yake ama pia aweza yakausha hayo majani kisha akayasaga na atatumia kama chai kila asubuhi kabla kula chochote na usiku wakati anaenda kulala. Kwa uwezo wa Allah itamsaidia na utampunguza uzito wa mwili
@lovenesslyimo4309
@lovenesslyimo4309 4 жыл бұрын
Dah bi mwenda anakaza swali juu ya swali hatari Zama umekua mpole leo
@mariammwidany8445
@mariammwidany8445 4 жыл бұрын
Hongera zama much love from 254....
@bathshebamchuza2648
@bathshebamchuza2648 4 жыл бұрын
Mi nilikua namuogopaga enzi za utoto, Ila nampenda Sana
@getrudekimario8492
@getrudekimario8492 4 жыл бұрын
Bathsheba Mchuza Mimi had leo na utu uzima huu namwogopa hakii
@thurayyaomar655
@thurayyaomar655 4 жыл бұрын
nampenda sanaa huyu dada zamaradi 😘
@pennyjohn2816
@pennyjohn2816 4 жыл бұрын
Bi mwenda uko vizuri mama
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu bibi kwa huo ugojwa
@a.856
@a.856 4 жыл бұрын
Pendeza wote mashaallah🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@happymaimu3774
@happymaimu3774 4 жыл бұрын
Hongera bi Menda kwa kax nzur, ila nakushaur punguza uzito mama angu kwa umri wako uzito mkubwa unawea kukusababishia matatizo.
@JBB875
@JBB875 4 жыл бұрын
Yaan Bi Mwenda namkubali sana, 💯
@agathathobias8690
@agathathobias8690 4 жыл бұрын
Bi mwenda unamapoz balaa
@user-zw6ne3qy4s
@user-zw6ne3qy4s 4 жыл бұрын
Mama ana majibu huyo daa zama leo umepatikana😂😂😂
@zeidytheislandgirl7616
@zeidytheislandgirl7616 4 жыл бұрын
Umeona ee
@princessfathamy9787
@princessfathamy9787 4 жыл бұрын
Mi huaga naenjoy movie zako bi mwenda
@tunuyaomar5017
@tunuyaomar5017 4 жыл бұрын
Zama leo umepatikana
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 жыл бұрын
mashallah bi mwenda mtu mzima akili ana mijengo yake sio kina maslay queen wamebakia kupanga na pesa wanapata za uigizaji ukiwa na kajumba chako hudhalili tujifunze tukipata pesa sehem ya kuishi ndo muhim mtu mzima dawa shukran bi mwenda pia mumependeza nyote leo
@gaudensiamganga1695
@gaudensiamganga1695 4 жыл бұрын
Hahahaha uwii leo niko makin nakumbka nilivyokuwa nakuogpa bi mwenda. MUNGU AZUDI KUKUTUNZA MAMA WA NGUVU
@ruthleonard2958
@ruthleonard2958 4 жыл бұрын
Daah hadi raha, bi Mwenda Mungu akutunze💕💕
@jenifajafari7670
@jenifajafari7670 4 жыл бұрын
Amina
@fatmafatoom6553
@fatmafatoom6553 4 жыл бұрын
Daaahhh bimwenda umependaza jaman kaahhh tenge konkiii umelitendea hak magold km yote yaaan
@vionasindani1206
@vionasindani1206 4 жыл бұрын
Mungu akupe umri na afia mum,
@marysaravai5639
@marysaravai5639 4 жыл бұрын
uwiiiiii zamarad leo umepata kiboko yakoooo 😀😀😀😀 bibi anamajibu huyuuuu khaaaa
@alyahmuhsin6061
@alyahmuhsin6061 4 жыл бұрын
Nimecheka zama kazi unayo pole sana mwite Gigi money
@omaiim4014
@omaiim4014 4 жыл бұрын
Penda sana bi mwenda
@aminahamisi8672
@aminahamisi8672 4 жыл бұрын
Thank you zama
@chrissmande608
@chrissmande608 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣 zama kapatikana Leo,anauliza naye anaulizwa...kawa mdogo kama nukta
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 4 жыл бұрын
Umeonaeee kawa mpole utadhani bi mwenda atamloga kumbe anaigiza tuu jmn
@arafakiloli749
@arafakiloli749 4 жыл бұрын
Hahahaha 🤣🤣
@dottnatta310
@dottnatta310 4 жыл бұрын
Zama anahofu hapo ya kurogwa hamjui tuu 🏃‍♀️🏃‍♀️
@aisharamadhan5257
@aisharamadhan5257 4 жыл бұрын
Mama anamajibu special zama kapatikana kwakwelii
@dottnatta310
@dottnatta310 4 жыл бұрын
Mama yangu alikuwa na tatizo hilo alipatiwa matibabu Allah alifanyia wepesi alipona
@elizaalfredy9239
@elizaalfredy9239 4 жыл бұрын
Hongera da Zama umependeza
@rahmssalum3163
@rahmssalum3163 4 жыл бұрын
Jamani wanampiga siawekewe walinzi
@hamidyakoub6865
@hamidyakoub6865 4 жыл бұрын
Honger mama
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 4 жыл бұрын
Huyu mama nampenda aswaa
@hellenshayo3454
@hellenshayo3454 4 жыл бұрын
Bi mwenda nampenda sana
@neemaassey8766
@neemaassey8766 4 жыл бұрын
Sauti da zama wengine cm zetu vimeooooo
@sophiampangala9165
@sophiampangala9165 4 жыл бұрын
leo umepata mgeni haswaa,mpaka umekuwa mpole ,mana majibu yake tuu,mpaka ,unaomba muda uishe,.
@aminamnyaruge8574
@aminamnyaruge8574 4 жыл бұрын
Umeonaeee
@sophiampangala9165
@sophiampangala9165 4 жыл бұрын
@@aminamnyaruge8574 😄😄😄 yani bi mwenda,👌
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Honger xn mama
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 4 жыл бұрын
Nampendaga sana uyo bibi😍😍
@j...876
@j...876 4 жыл бұрын
Ata na mimi na kupenda
@joyceleonce8986
@joyceleonce8986 4 жыл бұрын
Mm namuogopa jamn
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 4 жыл бұрын
Zama my dear tuongezee sauti, siku ya faiza sauti ilikuwa vizuri Sana
@sharifamfaume9342
@sharifamfaume9342 4 жыл бұрын
Sim yako tu
@mgesibabere4743
@mgesibabere4743 4 жыл бұрын
Itakuwa cm yako yangu mpk napunguzaa sauti kubwa
@aminamnyaruge8574
@aminamnyaruge8574 4 жыл бұрын
Sauti iko poa ila matangazo Sasa hivi yamekuwa mengi Yana punguza munkari wa kusikiliza kipindi
@mariasixmund7964
@mariasixmund7964 4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁i love u bi mwendaaa
@twilumbainsurance3949
@twilumbainsurance3949 4 жыл бұрын
sauti huwa haisikiki vizuri kunakuwa na mwangwi sana, hata raha ya kusikiliza inakuwa haipo
@siwemamichael690
@siwemamichael690 4 жыл бұрын
Cm yako mbovu pole hakuna shida kama hiyo
@lucymjula3475
@lucymjula3475 4 жыл бұрын
Siyanga bhnaa
@rahmssalum3163
@rahmssalum3163 4 жыл бұрын
Pole mwaya ila anaelimisha kwa mwenyewe kuelewa
@wardakasala8956
@wardakasala8956 4 жыл бұрын
Da Zama sauti nindogooooooo
@mwanatumusalim9470
@mwanatumusalim9470 4 жыл бұрын
😍😍😍😍 ipoooo love bi mwenda maisha marefu Kenya unapendwaaaa mno
@pendondossy2158
@pendondossy2158 4 жыл бұрын
Bi Mwenda kapendeza
@elizaalfredy9239
@elizaalfredy9239 4 жыл бұрын
Uyo bibi mi nampenda sanaa
@zuhuragwanko6318
@zuhuragwanko6318 4 жыл бұрын
Nampenda zama jmn😍
@winnieseme4944
@winnieseme4944 4 жыл бұрын
Hiyo cheka yake sasa. Nimekula kichapo zama. Nimejikuta nami nacheka
@surahyagennovefa8844
@surahyagennovefa8844 4 жыл бұрын
Mama mstarabu sana jaman ila anavyojibu kinyonge kanifanya nmelia Jmn.
@Aysha-ms3ln
@Aysha-ms3ln 4 жыл бұрын
Ila ana mashuo😂😂😂😂😂
@neveragainneveragain1880
@neveragainneveragain1880 4 жыл бұрын
Sooo sad ,mama akapigwa sokoni?yani hawajui yeye nimuigizaji?? Pendeza mama💝💝
@happymeshackmas6923
@happymeshackmas6923 4 жыл бұрын
Nan kackia et alipigwa kibao Cha akili et pwaaaaaaaa😂😂😂😂
@aminahema9714
@aminahema9714 4 жыл бұрын
😪😪😪😪😪namhurumia2
@tiffahjuma1970
@tiffahjuma1970 4 жыл бұрын
Huhuuuuuu nimejikuta nacheka tu
@chancequeen4710
@chancequeen4710 4 жыл бұрын
Da! Mama pole sana mamangu ila ndo mitihani ila uschoke ku saka money🤧😥
@saudaabdalla278
@saudaabdalla278 4 жыл бұрын
Iv iyi chaner aipo kwenye TV
@lykamlaki7120
@lykamlaki7120 4 жыл бұрын
Haipo
@mwanaidhassan229
@mwanaidhassan229 4 жыл бұрын
Jomon b mwendaa😘😘😘
@rahmssalum3163
@rahmssalum3163 4 жыл бұрын
Atembee na mabaunsa
@farajachengula9227
@farajachengula9227 4 жыл бұрын
Nampend San bi mwenda
@daimavlog
@daimavlog 4 жыл бұрын
Enzi za kumroga dadangu Kemmy haha nakumbuka hiyo uliyobadilisha chakula cha da Kemmy😂😂
@evelinaluvata1471
@evelinaluvata1471 4 жыл бұрын
Inaitwaje hiyo muv jaman niangalie
@daimavlog
@daimavlog 4 жыл бұрын
Evelina Luvata haikuwa movie dear lilikuwa igozo lilipita kwenye TV kila jumamosi
@ikupakyalaalimwenr8156
@ikupakyalaalimwenr8156 4 жыл бұрын
Sema sister Leo umependeza sanaaa
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 4 жыл бұрын
Hiyo miguu bi mwenda sio uchawi bali punguza mwili huo mwili mkubwa unaelemea miguu yako punguza mwili.
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 4 жыл бұрын
Hyu mama n msaniii Mungu ampe nguvu zaidi anajua sanaa
Baba Olivia Episode 17 Finale❤️// Single Father Story
31:59
Henry Mwakajumba
Рет қаралды 16 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 46 МЛН
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 13 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 46 МЛН
GLADNESS KUFALUKA AMFICHA SURA MUMEWE AOGOPA KUIBIWA
4:54
Onlinegossip
Рет қаралды 169
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 28 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 46 МЛН