Mwandishi na Msomaji unadanganya sana kwa kutaja vitu ambavyo havipo kabisa. Eti Shule ya Sekondari Itigi Tabora, Ihugo Bukoba. JKT Rugombowa. Pumbavu kabisa
@Santzmedia5 ай бұрын
Jitahidi kufuatilia ivyo vitu arafu Rudi tena kwenye comment hapa utuambie imejua nn?
@ourearthmatters52065 ай бұрын
Mpango hajazaliwa katika kijiji cha Buhingwe bali ni kijiji cha KASUMO. Halafu hakuna kijiji kinachoitwa buhingwe ni Buhigwe Pumbavu kabisa wewe mtoto
@kelvinbachako49702 ай бұрын
Ata me nashangaa sana historia hii sijui kaitoa wapi, sisi ambao anazaliwa kijijini kwetu ndio tunajua ukweli wote kuhusu Dr mpango