EXCLUSIVE: Mke wa Barnaba kaonyesha Mpenzi wake mpya

  Рет қаралды 164,340

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 93
@neitherherenorthere8367
@neitherherenorthere8367 6 жыл бұрын
Huyu naye?? Duh! Is this a regular media interview or criminal investigation??
@opiyoomollo5333
@opiyoomollo5333 4 жыл бұрын
Ila wemwana mke mbwaaaaa
@angelinajoseph1248
@angelinajoseph1248 4 жыл бұрын
Love more barnaba
@anetikapami4228
@anetikapami4228 6 жыл бұрын
Sasa umeenda kuchukua mwanaume kama mwanamke, mkitangulizana si mtatongozwa wote.
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 5 жыл бұрын
Hahahahaa
@gigaevent5080
@gigaevent5080 6 жыл бұрын
Women lie Men lie tusiseme wanawake tuu. Kilicho kibaya ni mwanaume kuachwa au kutendwa dooh!! So much pain.
@purryselestine4000
@purryselestine4000 6 жыл бұрын
Inauma aki ya Mungu
@p.kasongot979
@p.kasongot979 6 жыл бұрын
Ngoja ahachwe ndo barnaba atakumbukwa
@joycedaniel4380
@joycedaniel4380 6 жыл бұрын
Mi naona hawaendani kabisa mama Steve liboonge...huyu mkaka alitakiwa awe na mtoto mbichi mbichi rika la akina Tunda hivi
@christinamagasi625
@christinamagasi625 4 жыл бұрын
Joyce Daniel au mm😀😀😀😀
@seifmohamedseif9384
@seifmohamedseif9384 6 жыл бұрын
duh hapa barnaba hapa alipenda rangi tu mbona hakuna lolote
@EdwardDismass
@EdwardDismass 8 ай бұрын
Tutaona mengi
@fakihizanjo8643
@fakihizanjo8643 6 жыл бұрын
Wanawake mungu anawaona kwa dhambi mnazozfanya
@DawoudMohamed386
@DawoudMohamed386 7 ай бұрын
Wanawake hamtouona Ufalme Wa mbinguni
@jamilajamaljj7976
@jamilajamaljj7976 6 жыл бұрын
Huyu ni limbukeni tu kazuzuka na ushombe ushombe tu na hiyo rangi utakuta hana lolote si muda mrefu mtasikisa masinema yao.
@rehemajuliusoman7372
@rehemajuliusoman7372 6 жыл бұрын
Jamila Jamal JJ umeona eeee
@juma2979
@juma2979 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@emmanuelnyansiro8636
@emmanuelnyansiro8636 6 жыл бұрын
Umalaya na ulimbukenj tuu hapo ndo huwaa nawachukia wanawake
@bintimohammedrashidrashid4929
@bintimohammedrashidrashid4929 6 жыл бұрын
Emmanuel Nyansiro watuchukia hivi hutaowa ama vip
@emmanuelnyansiro8636
@emmanuelnyansiro8636 6 жыл бұрын
Yalishanikuta kama ya Barnaba sihitaji tena mwanamke sasahivi nimeshazoea hili life
@shadiaali1394
@shadiaali1394 6 жыл бұрын
+Emmanuel Nyansiro Niko mm kwa ajili yako
@mirajimohamed5710
@mirajimohamed5710 6 жыл бұрын
Shadia Ali na mm nipo kwa ajili yako
@shadiaali1394
@shadiaali1394 6 жыл бұрын
+Miraji Mohamed hahaaa
@LusekeloMwakyalabwe-ux9xq
@LusekeloMwakyalabwe-ux9xq 5 ай бұрын
Huyu dada ki kichwa maji
@moto_film
@moto_film 6 жыл бұрын
KWA HABARI MOTOMOTO GUSA PICHA YANGU KUZIPATA
@goodluckymartin334
@goodluckymartin334 6 жыл бұрын
Wanawake bhnaaaaa aiseehhhhhhhh
@nganotv6080
@nganotv6080 6 жыл бұрын
huwa nakumbuka maneno haya ukiwana mahusiano na mwanamke usimwamin sana utakuja juta siku hikindio kilicho mkuta ndugu yetu alijua amefika kumbe bado mwanamke kama daladala haichagui abiliaaaa pole kaka komaaaa namaishayako achananayeeee
@victorkivuyo8514
@victorkivuyo8514 6 жыл бұрын
Kazoea kuacha HAPO Kijana HUNA MIAKA 2
@andrewhaule1285
@andrewhaule1285 6 жыл бұрын
Wanawake akili zao ni nyoooooo
@TopTenKaliTV
@TopTenKaliTV 6 жыл бұрын
Watanzania woote wazalendo bonyeza picha io kusubscribe channel kaliii
@inno5044
@inno5044 6 жыл бұрын
Tokea umeachana na Barnaba umeanza kuwa mbibi yani
@innosantosdakun7609
@innosantosdakun7609 6 жыл бұрын
Uyo boy wke N mjanja
@angelinajoseph1248
@angelinajoseph1248 4 жыл бұрын
Huyo mwanaume anakuzidi uzr atakuacha tyu
@erickkinisa592
@erickkinisa592 6 жыл бұрын
Unyama tuuuuu
@oyay2821
@oyay2821 6 жыл бұрын
Mziki wake ni mzuri na mkewe pia ni mzuri
@loveness6732
@loveness6732 6 жыл бұрын
Sio wakwanza wala wa mwisho... next
@bjzee1981
@bjzee1981 6 жыл бұрын
mbona wanaume waki wa introduce madem wapya inakua sawa
@maxlattinokiki8105
@maxlattinokiki8105 6 жыл бұрын
Huwa wanapima ukimwi?
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 6 жыл бұрын
maisha yaendelee tu
@Dilvalovalo
@Dilvalovalo 5 ай бұрын
Wana habari muko na maswali ya kizushi sana, maswali kinafki. Yaani hata katika mambo mazuri mnapendelea mabaya pia yatokee ili iweje...badilikeni sio poa mnadhalilisha.
@omarychediel1307
@omarychediel1307 6 жыл бұрын
Mmmmh wanawake kwa tamaa sisi hatuwezekani
@josephmrutu6987
@josephmrutu6987 6 жыл бұрын
Mpenzi ya kibongo bana ni utapeli mtupu
@samiraahmed127
@samiraahmed127 6 жыл бұрын
jamani hamjaendana kabisa hiko kikaka kipemba cha urojo
@juma2979
@juma2979 Жыл бұрын
Wapemba kw shoo achana nao kabisa wanaweza
@amirsab1158
@amirsab1158 6 жыл бұрын
Dou mapenzi
@oyay2821
@oyay2821 6 жыл бұрын
Wenye walioharibikiwa duniani ni wale waliojihusisha na wanawake....
@matindembaratani6221
@matindembaratani6221 5 жыл бұрын
huo dada bana akili zake anazijua yeye mwenyewe umalaya ndyo kazi yake
@shakiraally7073
@shakiraally7073 6 жыл бұрын
jmn dhambi sisi wanawake
@raymondjimmy2712
@raymondjimmy2712 6 жыл бұрын
Usenge tuu fyuuu!!
@williamboniphace9207
@williamboniphace9207 6 жыл бұрын
angekaa akatulia alee mwanae,manaume hayaelewekagi
@michaelmchodo4887
@michaelmchodo4887 6 жыл бұрын
mbona demu mwenyewe wakawaida
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
Kama mm cmuelew kabisa
@abdurazaqsururu3919
@abdurazaqsururu3919 6 жыл бұрын
Sikuzote km huna mapenz ya kwer huwez kuon wivu
@sadickallykingengena4034
@sadickallykingengena4034 6 жыл бұрын
Misimamo kitu muhimu sn
@festomishita3303
@festomishita3303 6 жыл бұрын
fyaaaaata ujinga tu hilo lidada linaonekana boya limeniudh kwel
@deograsiasbanda598
@deograsiasbanda598 6 жыл бұрын
Ni bora kuliamini jiwe ukienda ukirudi utalikuta kuliko wanawake.
@mohammedmkomi9087
@mohammedmkomi9087 6 жыл бұрын
Asante Sana
@fakihizanjo8643
@fakihizanjo8643 6 жыл бұрын
deograsias banda ni kweli kabisa
@stellahemilian9168
@stellahemilian9168 6 жыл бұрын
Hahaaaa
@valelijoseph4842
@valelijoseph4842 6 жыл бұрын
deograsias banda Hahaha umetisha
@queanmasulu3907
@queanmasulu3907 6 жыл бұрын
hahaaaa makubwa
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 6 жыл бұрын
Hivi Barnaba na huu jamaa ,msani yupi?mi naona jamaa katokeleza na Pamba ila Barnaba kama Babu Seya
@rosemarybenjamin4333
@rosemarybenjamin4333 6 жыл бұрын
Iv ilikuwaje wakaachan
@fanueliwiliam894
@fanueliwiliam894 6 жыл бұрын
Uzur wenyewe hana bwege kwel
@pendoissanjya5730
@pendoissanjya5730 6 жыл бұрын
Eti sijasikia analalamika
@maureenmuhonja722
@maureenmuhonja722 6 жыл бұрын
mambo na kiki hunifanya nakumbuka movie ya marehemu kanumba kwa kweli hakukosea kuicheza alimaanisha watu na tabia zao,, wadada tutakufa kinyama
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Mmmh! Majanga
@ashurayusuph2446
@ashurayusuph2446 6 жыл бұрын
jitu zima kushobokea mapenzi,,,,,,,,,huna uzur wowote tulia ushakuwa .......
@bjzee1981
@bjzee1981 6 жыл бұрын
hivi machalii wa tz wana nini na watu wazima kuwa zidi umri
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 11 ай бұрын
Sasa huyu dada ana ukubwa gani
@leahonesmo9649
@leahonesmo9649 6 жыл бұрын
nigune tyu nisje yaropoka
@lucaspeter6417
@lucaspeter6417 6 жыл бұрын
mxenge xana uyo dem
@ramayusuph3295
@ramayusuph3295 6 жыл бұрын
dogojanja
@monamackey569
@monamackey569 6 жыл бұрын
uyu mtangazaji vp...yan ningekuwa uyu jamaa ningemzabua mibao...sasa maswal gn gn jmn..watangazaji mkasome vizur jmn
@sarahchambo6322
@sarahchambo6322 6 жыл бұрын
ushauli Wangu kwako wewe kaka !usije ukaoa ilo gume gume
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
Haswa umeona eeeee mijicho sasa 🥺🥺🥺 kama fund koki
@jacksonmars7894
@jacksonmars7894 6 жыл бұрын
Demu malaya huyu
@happykazogolo9869
@happykazogolo9869 6 жыл бұрын
ndomaana kaolewa nashoga
@hamadshein935
@hamadshein935 6 жыл бұрын
MBONA HAMUONESHAG MAGARI.MAPYA MKINUNUA?MNATUONESHA KAMA NIBINGWA WA KUBADILI WANAUME.KULIKO MAENDELEO.HOVYOOO MATAKATAKA PAMPULA.
@kingsele2353
@kingsele2353 6 жыл бұрын
Drama tu
@goodluckymartin334
@goodluckymartin334 6 жыл бұрын
Hahhahahahah labdaa hamnaa kilaa kituuuuuu
@bintifatma9157
@bintifatma9157 6 жыл бұрын
Muna maswali yakisenge nyie watangazaji sasa video nzima nimetizama munamuliza mtu swali moja , hivi hamuoni kama jamaa alie nae anajiskia vibaya, maboya sana nyie bora ata millad anaga shobo hizo
@emmyjohn3192
@emmyjohn3192 6 жыл бұрын
Binti Fatma ,,,,,jaman kwel hii kero sasa huu umalaya kuburu
@abdulcanal6193
@abdulcanal6193 6 жыл бұрын
😷😷😷
@adamshija4702
@adamshija4702 6 жыл бұрын
hili dem mbona lizee Lanini Sasa wakati halijielewi
@patriciapanga5632
@patriciapanga5632 6 жыл бұрын
Kaká Ana dharau uyu kwa mwonekano tu Kama mpenz wng... 😂😂😂
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
NAPENDA KUWA NA MKE MWENZA / ATANIKOMA - MAMA KIMBO
6:33
Wasafi Media
Рет қаралды 12 М.
Barnaba feat Nandy - Tamu (Official Music Video)
3:31
BarnabaClassic
Рет қаралды 6 МЛН
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52
FRANCIS DANDE (Habari Mseto)
Рет қаралды 27 М.
Raya mke wa Barnaba ampiga mkwara mumewe? adai hataki mambo ya uke wenza
2:39
JENIPHER KANUMBA AFUMANIWA, AIBU KWA WAIGIZAJI
27:19
Soudy Brown
Рет қаралды 937 М.
Muonekano mpya wa Anjella wawatoa machozi ya furaha mashabiki wake
2:57
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 46 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН