Kwa mara ya kwanza Mama Steve kaongea fumanizi la mzazi mwenzake Barnaba

  Рет қаралды 136,849

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Huyu ndiye angemuoa barnaba,mpole na mrembo mashallah❤
@BerthaModest
@BerthaModest 2 ай бұрын
🌚ya watu aisha acha😂
@Maria-dg6ik
@Maria-dg6ik 2 ай бұрын
Mashallah daa ❤❤❤🎉🎉🎉❤
@zanebrown9872
@zanebrown9872 Жыл бұрын
Dah! namkubali sana Huyu sister, halafu hanaga mambo makuu, maana wangekuwa wanawake wengine utasikia ooh amenitupa
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
Mashallah, ila Kiukweli Barnaba anampenda Mama Steve, ila cjui nini kiliharibu.
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 жыл бұрын
Mungu ndio mpanga wa yote
@damjuaji450
@damjuaji450 2 жыл бұрын
Kweli ila barnaba ampendi raya anamdanganya moyo wake upo hapa
@fatmahmwinyi4061
@fatmahmwinyi4061 5 жыл бұрын
Kadada kapolee afu kachuna...mashaAllah
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 5 жыл бұрын
Dada we mzuri sana kabisa
@خسنموس
@خسنموس 5 жыл бұрын
Alipoteza bahati barnaba mbna mstarabu mzuri anang'aa Toto jicho
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 5 ай бұрын
𝐤𝐢𝐝𝐠𝐨 𝐧𝐬𝐞𝐦𝐞 𝐧𝐢 𝐰𝐨𝐥𝐩𝐞𝐫😘😘😘😘
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 4 ай бұрын
Ila mzuri 🎉
@geosimon363
@geosimon363 5 жыл бұрын
Eti mwaka huu' Inamaana kila mwaka mpya na wanaume wapya 😂😂😂😃
@tatuomar4164
@tatuomar4164 5 жыл бұрын
huyu dada mzuri kweli Manshaallah
@husnangapu502
@husnangapu502 5 жыл бұрын
Swali la mwisho la mtangazaji nimelipenda anajaribu kumpa idea itumie jina lake kujibrand kibiashara hasa mitandaoni lkn mm Zuu hajamsoma
@neemaphilip8103
@neemaphilip8103 5 жыл бұрын
Mstaaarabu huyu dada yani nimemlove
@tahrinkessy7119
@tahrinkessy7119 5 жыл бұрын
Good mama steve
@annayona3194
@annayona3194 5 жыл бұрын
Dada mstaarabu huyu jamani ongea yaonyesha tu ,barnaba utapata mke kama huyu kweli tena jamani
@janengowi3011
@janengowi3011 5 жыл бұрын
Dada mstaarabu jamani kwa nn mliachana Barnabas nae mstaarabu
@emmypaul7455
@emmypaul7455 5 жыл бұрын
Anna Yona atakua anajuta barnaba duuuuuu
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 жыл бұрын
Barnaba atahangaika sana aliacha huyu mwanamke anayejielewa na ndio maana hadumu kwenye mahusiano inaonyesha mama Steve alimvumilia sana
@berthampandagoya7143
@berthampandagoya7143 5 жыл бұрын
Uyu mdada alkua msalit
@lovenational8150
@lovenational8150 5 жыл бұрын
Anna Yona ongea yake ya kistarabu mama stive lkn mcho hatari
@shanisaidy5033
@shanisaidy5033 5 жыл бұрын
Mashaaallah kazur kadada
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 5 жыл бұрын
Sema barnaba anmpnda sana huyu bidada
@goodluckcharles3748
@goodluckcharles3748 5 жыл бұрын
adolph mwangoje lazima umpendee aisee...Just imagine umekaa naye zaid ya mwaka na ustaarabu wake huo... mm ngekua chizi aisee
@shekhamohd8567
@shekhamohd8567 5 жыл бұрын
Jamani zubeida miss u mamaaa😘😘😘😘
@JoycebarakaEster
@JoycebarakaEster 4 ай бұрын
Kazuliii
@rachelnkya3803
@rachelnkya3803 5 жыл бұрын
jamaan ma stev mstarab
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Vidox I love your interviews 😍😍😍
@hadijamkilila2048
@hadijamkilila2048 5 жыл бұрын
Dada mpole jaman
@beatricejoseph4628
@beatricejoseph4628 5 жыл бұрын
Wanaume Walpole ni nyoka
@benjaminsamson1145
@benjaminsamson1145 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂walishawah kukung'ata kwan
@heriethmsangi7676
@heriethmsangi7676 5 жыл бұрын
kwakweli maswali mengine yakizushi jamani we unaweza kumpigia x wako au udaku
@agnesshaji5755
@agnesshaji5755 5 жыл бұрын
kazur ako kadada jaman
@kilimohub580
@kilimohub580 5 жыл бұрын
Ask reasonable questions bro
@marryndewele785
@marryndewele785 5 жыл бұрын
we mtangazaji unsuliza maswali mengine ya kipuuz
@tinasimon9361
@tinasimon9361 5 жыл бұрын
Yani we mtangazaji maswali yako kama kitoto cha chekechea
@yudadaniel4867
@yudadaniel4867 5 жыл бұрын
kumsamini
@subiramkwawa674
@subiramkwawa674 Жыл бұрын
Kila interview ni huwa bday ya wolper
@balozichalamila4034
@balozichalamila4034 5 жыл бұрын
Mtangazaji zero
@marianundwe2720
@marianundwe2720 5 жыл бұрын
hizi nyama za pua jamani.... zimekuwa shida kweliii
@lawagustino1887
@lawagustino1887 5 жыл бұрын
Maria Nundwe yawezekana ni aina ya madawa wazungu wanalazimisha mama zetu watumie... ktk nchi zetu maskini. hasa wakiwa wanamimba.
@elizabethndali4162
@elizabethndali4162 5 жыл бұрын
Sijui tatzo n nn jmn
@hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326
@hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326 5 жыл бұрын
Mrembo
@stevoovlogs8645
@stevoovlogs8645 5 жыл бұрын
Mama yng 😁😁😁😁😁
@fatmakhamis4006
@fatmakhamis4006 5 жыл бұрын
kazuri masha Allah
@siwemamusa4868
@siwemamusa4868 Жыл бұрын
Mbona huyu. Dada mzuri kuliko wa sasa
@seciliamatongo9382
@seciliamatongo9382 5 жыл бұрын
Sukuma ndani mtangazaji
@eliswedy3236
@eliswedy3236 5 жыл бұрын
kwamba ikiingia tu nitazaa dah siye twasubiri iingie tuu
@carlzgoldhandsalon7323
@carlzgoldhandsalon7323 5 жыл бұрын
itabidi watangazaji muanze kusoma script kwanza kabla ya kumuinterview mtu, mjue maswali professinal ya kumuhliza mtu
@hasanmsonga729
@hasanmsonga729 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@sikuzanmohamed2898
@sikuzanmohamed2898 5 жыл бұрын
Wee nae maswali gani avimuhusu
@sikudhanimohammad4760
@sikudhanimohammad4760 5 жыл бұрын
Sikuzan Mohamed wajina
@neemawilliam1960
@neemawilliam1960 5 жыл бұрын
hv Millard hayupo kwani????
@claverynyanda7409
@claverynyanda7409 5 жыл бұрын
huyu mtangazaji utakuwa alisahaulika kwenye list ya konk master, coz maswali yake ni yakishoga 100% atakuwa anafirwa huyu aiseee..
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 5 жыл бұрын
Copy ya barnaba
@jimmyjaphet3407
@jimmyjaphet3407 5 жыл бұрын
Zena daud Zena
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 58 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
JINSI ya kupika Chapati Laini za chap chap
8:13
Fau Delicious
Рет қаралды 3
FAHAMU NJIA NZURI YA KULILINDA JICHO LAKO NA LA MTOTO WAKO
11:18
Jua Kali Leo Ijumaa Usiku 18-10-2024
21:21
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 47 М.