Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@kassimabdillah59988 ай бұрын
Usia wangu kwako Dr Sule mche Allah acha kujifagharisha na kujitapa Kwa Kumshirikisha Allah Ifanye Upya Imani yako Rudi Kwa Allah mpwekeshe yeye peke
@MikereMio7 ай бұрын
Ule mwezi juu ya misikiti una maanisha nini?
@IdrissaMoussa-tx7jy8 ай бұрын
Allah akibar,laa illah ilallaah Kwangu naona dr sule anaofanya ni ushilikina tu,ila anacanganya naungo wa kujua dini kidogo.
@nubianqueen67008 ай бұрын
Allah amemuweka wazi anajitangaza mwenyewe mchana peupe, mumjue ni "shekhe" aina gani. Amesema kuwa kuna mambo mengine lazma umshirikishe mwenyezi mungu. Hapo kashajisema.
@Lumumba-ep6ic8 ай бұрын
Huko shih kabisa. ,mashehe wa mchongo
@Mohaa43098 ай бұрын
Mshirikina huyu Sheikh
@hubapessa9138 ай бұрын
Kasema lazima ushirikishe jini siyo Allah
@nubianqueen67008 ай бұрын
@@hubapessa913 kufanya dua kwa Allah alafu ukaongezea kuitumia jini, ndo ushirikina haswa. Associating partners with Allah.
@Grataaaaa8 ай бұрын
Ndo ukishirikisha jini nd unamaana ALLAH hana uwezo wa kutatuwa jambo@@hubapessa913
Suleee! Waislamuuuuuu Semeni Mashallaah! Majini ni ndugu zenu katika Imani kwani Walisilimu wakawa Waislamu Qur'an 72:1-14
@sonnyr18998 ай бұрын
Koma uko.
@paulmushi24288 ай бұрын
@@sonnyr1899 kaiambie hilo neno Qur'an
@FeymaarOfficially-uu4nr8 ай бұрын
Ndio wapo majini ndugu zetu wa Islam alhamdullilah NA wapo makafiri kama binaadamu
@paulmushi24288 ай бұрын
@@FeymaarOfficially-uu4nr Basi kawatume utajirike!!
@FeymaarOfficially-uu4nr8 ай бұрын
Mi ananitosha Allah sina haja ya majini sisi na wao tumeumbwa na Allah tumuabudu tu
@Abdul-ghafurKhamis7 ай бұрын
Rudi kwa mungu Dr sule unapotea na unapotosh umma brother
@MirajiHanza7 ай бұрын
Dokta sule Allah akuongoze,,,,dah umepotea shekhe wangu
@musalumbi84907 ай бұрын
🤣🤣🤣 Majini wamemlevya hata haoni
@MikereMio7 ай бұрын
Yeye anatumia majini waislamu wenzenu , walio amini Quran na Allah 🤣🤣🤣
@yusufuasumanimpina7 ай бұрын
Hapo sheikh dr sule anasema ukweli , zamani zama za mtume s a w .alipokuwa safarini na maswahaba zake walifika sehemu Moja wakapumzika ikabidi kila swahaba mmoja amfunge ngamia na mtume saw akamfunga ngamia wake lakini mmoja wa maswahaba hakumfunga ngamia wake bwana mtume akamuuliza Kwa nini hakumfunga ngamia wako akajibu mungu yupo bwana mtume akamwambia mfunge ngamia wako halafu mwimini Allah yupo.
@kennodhiambo7 ай бұрын
Majina ya Mwenyezi Mungu (Allah) yanamleta jini ndiyo atumwe. Waislamu njooni kwa Yesu Kristo, huku hatuwaamini majini
@fatmaabdi71928 ай бұрын
ALLAH hapendi watu wenye kiburi sifa kwa mungu hakuna alie mzidi waziri m bunge cjui nani watu wote tuko sawa
@BjleonardBhianda2 ай бұрын
Maandiko anatoa ndani ya Qur'an,kuna Surat Jini ndani ya Qur'an,inasema majini wema na mabaya kwa mjibu wa hiyo Qur'an... Katika ukristo hakuna jini mwema..wote ni waovu na tayari wanahukumu ya Mungu siku ya mwisho wa dunia watatupwa Jehanamu ya moto..jini hafai ni shetani.
@kharisbendera14068 ай бұрын
ama kweli nimeamin watu elimu hawana hv mnamjua nabii wa allah suleiman alikua akiwatumia majini kwa kuwaongoza na majina ya allah yaliyokwenye pete kama huna elimu na jambo hlo nyamaza acheni kumuita dr sule mshirikina mnaujua ushirikina nyie dr niko pamoja na wewe upe elimu na allah akutunze inshaalllah!
Yaan Jini amepewa sifa kuliko malaika wa mwenyezi Mungu 😢Siku za mwisho zimekaribia😭😭😭😭😭
@zamilmohammed22972 ай бұрын
Mtume MUHAMMAD S.A.W alikua na tabia ya pekee na kaiyeka nyuma dunia na yeye alikua ni kiongozi wa dini Hata ALLAH alitaka kumpa milima miwili ya zahabu hajataka akapendelea mashaa ya kupata risk yake kama chakula kwa sababu duniani sio lolote na mapito ya njia huko ndio maisha ya milele Na alikua anapenda sana kukaa na watu wa chini na maskini MOHAMMAD S.A.W
@hamudseif7 ай бұрын
Uyu jamaa anaongea pumba sana( haongei kielimu) anatumia kichwa chake kujibu maswala..lakin kama mm ningemuuliza “Unaweza kumjua jini mzuri na mbaya, wakati ni viumbe hawaonikani, na atakama umemuona unawezaje kumjua km huyu ni mwema au mbaya..?” Usitudanganye Sule kutaja neno “DUA”, ni ushirikina ndo unatumia.
@petermgonja85477 ай бұрын
Tumkubali tu doctor sule. Maaana ndiye kiongozi mkuuu wa kiislamu
@habibbeiyye8 ай бұрын
انا لله و انا اليه راجعون....... (وما خلقة الجن و الانس إلا ليعبدون).
@usrahismail31968 ай бұрын
Nimesikia mwenyewe "Mi mganga wa hali ya juu"
@paulmushi24288 ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah Asante MWENYEZI MUNGU kwa kuniokoa katika MKRISTO YESU Na kuniepusha kuamini dini ya Uislamu yenye ushirika na Majini😊😊
@AminaAhmed9998 ай бұрын
wewe na yeye wote mko sawa mnaabudu viumbe mnaacha muumba. uislam uko mbali na nyie wote . uislam dini ya haki .Mungu wetu hana mshirika. yeye tu ndio tunamuabudu na yeye tu ndio tunamuomba msaada . hatuombi jini wala hatuombi yesu ambae ni binadami kama sisi
@mohamseyf62438 ай бұрын
Akili huna,majini ya sule,uislamu ukombali na imanihiyo,
@aishahazary40978 ай бұрын
Yesu haokoi mtu amka wewe.Kama alishindwa kujiokoa msalabani atawezaje kukuokoa wewe
@faridithomas48598 ай бұрын
Siku ya kufa kwako ndio utaujua ukweli
@aishahazary40978 ай бұрын
@@faridithomas4859 yesu si lolote bali ni mtume wa MUNGU tu hakuna jipya mbali na hapo
@azizaalbreki33308 ай бұрын
Mwenyezi mungu akuhidi
@mhogomchungu71688 ай бұрын
Huyu mshirikina na dhambi kumwita shehe. Mganga wa kienyeji katika koti la ushehe. Class ya ushehe ni taqwa na ucha Mungu sio nini anavaa au anayoendesha . Huyu hafai hata kuwa mfagia msikiti
@HusseinHassan-p7g8 ай бұрын
Sule ww nimshirikina muogope allah akuna kumtumia jinni ktkt jambo lolote aijathibiti kisomo icho sio chakisheria isipokuwa icho nikisomo chakishirikina watu wote mjuwe uyo sule mungu ameamua kutujulisha kwamba nimshirikina na ayo anayoyasema nikinyume na uislam
Hongera Dr sule umefichua ya sirini wamezidi sana hao kumbe wanaringia majini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 halafu unatoa maneno kwenye kitabu chao eti wanapinga si maajabu haya chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 safi sana
@dancanomwenga19875 күн бұрын
Mapepo walitii kwa jina la yesu yakawatoka watu, usidanganywe na mwenye majini, utapotea
@sajadyomary8218 ай бұрын
Mche allah
@jamalkarissa72167 ай бұрын
Dr .Sule kupotea mwenyewe ni sawa, lakini kupotosha umma huwezi samehewa
@soloboysolo88727 ай бұрын
SubhanaAllah huyu mtuu Ana Lana walahy SubhanaAllah hafai hata kidogo Leo hini wasema dua Haina nguvu duh ww huna Imani na dua wajua dua ni sila kwa muumini
@thedon84678 ай бұрын
DR. SULE SIO SHEIKH ILA NI MSHIRIKINA
@mlasalmas76157 ай бұрын
Astaghfirullah. Kwamba rabbana aatina haifanyi kazi ila majin wana nguvu ya kujibu dua😢??? Subhanallah, Allah amuongoze dk Sulle
@khamisoothman52947 ай бұрын
Astaghfirullah ana bwabwaja sana maskini subhanallah eti jamani
@jumawaziri85018 ай бұрын
masheikh wetu hawa wanamkosea sama MUNGU kesho ,masheikh hawa wana dhima kubwa sana kwa Mungu; masheukh weng wanafanya sana shirki kwa kuityaka dunia kwa kila namna
@NasraAbdallah-k8r8 ай бұрын
Duh subhanallah awa mashekhe wa maulidi hawafai kuwapelekea watoto kusoma watakua wachawi
@trophywilson72118 ай бұрын
na wapo wengi saana maana Quran inawaruhusu na Mtume alikuwa Mchawi tu haujajua
@MbarakAddi7 ай бұрын
audhubillah min al-shaytaan ir-rajeem
@AminaAhmed9998 ай бұрын
ogopa Mungu. Hii ni ushirikina. wacha kudanganya watu. usiharibie uislamu sifa yake. Hatuna haja kutumia majini kwa kila hali. wewe unasaidia washirikina. Allah Mwenyezi Mungu wetu anatutosha.
@othumanlorenzo2608 ай бұрын
shirikina hili
@kennodhiambo7 ай бұрын
Hii ndiyo imani kamili ya Uislamu, acheni kupinga
@Nassir-cl3bt7 ай бұрын
Elimu hauna dada
@Nassir-cl3bt7 ай бұрын
Mtu ajapatikana lkn siku akipatikana na jini haende hospital akadungwe sindano sawa hamna elimu walahi kwakwel
@r16txmvh7 ай бұрын
Audhubillah !! Dr Sule muogope mungu njaa iwache tumboni usipeleke kichwani..
@RamaZuberi8 ай бұрын
Allah akuongoze dk wangu nakukubali namajibu yameshiba tupe elimu shekhe wangu.
@firdaussheikh48178 ай бұрын
Achane na siasa sisi tunaamini Mungu tupu , yy ndio mwenye uwezo wa hali ya juu. Hatuhitaji majini kumsaidia waja wake. Allahu Akbar 🇬🇧
@Mohaa43098 ай бұрын
Hana lolote huyu Sheikh, nlisema mitandao itamponza huyu
@paulmushi24288 ай бұрын
@@firdaussheikh4817 Majini Walisilimu wakawa Waislamu Soma Qur'an Surat Jinn 72: 1-14 majini ni ndugu zako katika Imani Sule Yuko sahihi
@paulmushi24288 ай бұрын
@@Mohaa4309 Majini Walisilimu wakawa Waislamu Soma Qur'an Surat Jinn 72:1-14 majini ni ndugu zako katika Imani Sule Iko sahihi
@khaalidcheo53838 ай бұрын
Kwisha kazi yake lichawi ilo
@Mohaa43098 ай бұрын
Majivuno na kibri 😢😢 Innalilah wainna ilay rajiun
@hassanWanjiku8 ай бұрын
Alhamdulillah kumbeeee na vile alikufurisha harmo n yule n ujinga tu subhanallah sasa yeye ashaa tangaza wazi sasa watu wenyewe wataangalia kama watazidi kumfuata hata maneno yake hapa ya kufuru huyu
@robertgeofrey41187 ай бұрын
Tuamini Yesu mwokozi pekee
@rashidiiddi24337 ай бұрын
Aisee Dunia ikomwisho sasa maana mashekh wanaeneza shiliki bc sowezi kumfatilia Tena kumbe nimshilikina
@ThabitAsaaMbarouk-jz1fx8 ай бұрын
Allah akuongoze uiyona haki🙏
@firdaussheikh48178 ай бұрын
Kabisaa anauzuri wake lakini hapa kwenye hizi 😢😢😢😢 atakuja kupoteza wengi .watu wamemwamini 😢😢😢
@halimamfaume19258 ай бұрын
Acha ushirikina wewe Dr Sulle muogope Mungu
@AbdalahMussa-xo6fh8 ай бұрын
Uko vizuri doctor allah atujalie
@aminauwimana99768 ай бұрын
Subhana'allah allah akuhogoze looo
@gfydfdf88698 ай бұрын
Hapo Mungu hayupo,kaka fabi,majini hapo mwanzo huko mbinguni,walikuwa nimalaika,Sasa walimuasi Mungu huko mbingu narusifa,ndio wakatipwa kuzimu,wengine wamefungwa wapo kuzimu na wengine wapo hapa dunia,wanateza wanadamu,kwa matezo mbarimbari,ndio wale unaona hawamwabudi, Mungu,ndio hao Leo unaona,wanafanya madhambi,mbari,wanazubili hukumu ,hakuna jini zuri Wala baya,wote wanaozujudi,jini,nijehanamu,yamoto,fabi njoo kwa Yesu,hata usiende kwa sule,akusomee majini,sule weweacha majini,kwanini Mungu,fabi anashangaa tu,hayo majini,una sema sure.
@Khmediy32418 ай бұрын
Wew iyoo kwa Iman Yako Malaika Hana jinsia Majin yanajinsia ya dunian Jini na Malaika ni viumbe viwili tofauti
@maryamadam56228 ай бұрын
:
@IssakaMisholo-wy7mf7 ай бұрын
Ndo ukweli huo sheikh good job mkuu..
@totonata53848 ай бұрын
Astaqafirulah. Mungu utuongoze na hii dunia
@firdaussheikh48178 ай бұрын
Atapoteza wengi lahaula walaquwata ila bilaah. Huyu achane na mchezo . Mungu ni mkubwa 😢😢😢😢😢
@IssaSimbilla-hw9ev8 ай бұрын
Wallah huyu ni jahili murakab shirikina
@taturajabukhalfani79537 ай бұрын
Tena ni li freemason kabisa!!!halina sifa ya ushekhe linatumia udini kuficha makucha yake
@KabebeMazambi-o6b8 ай бұрын
Subehanallah musimkubali uyu jamaa, majini wawe wazuri ama wabaya usiwi na dili nawo. Kwasababu Allah nimuweza. Uyu anapoteza watu.
@RamadhaniOmary-hn4my8 ай бұрын
Subhanaallah
@mwantumuteketeke28988 ай бұрын
Mwaipopo aliwah kusema Sule mnafki kumbe ni kwel aisee...huyu ni mtihan kwa kwel Mwenyez Mungu amuongoze jaman...ana majivuno, anajidai anasikitisha sana...
@MuhammadWesonga8 ай бұрын
Mwenyezi Mungu amehalalisha talaka ikiwa kuna sababu zinazokubalika kisheria,sasa vipi ulazimishe ndoa kwa kutumia jini? Hivi ni kupinga qadari,Sule kumbe wewe ni mganga aliye na ilmu ya dini? Innalillahi wa innailaihi rajiun
@trophywilson72118 ай бұрын
hahahaha
@abubakarecgondesi7 ай бұрын
abubakare kutoka congo nataka nambaya dotasule
@taturajabukhalfani79537 ай бұрын
@@abubakarecgondesiunataka nawe umshirikishe Mwenyez Mungu au!??
Duuuuh mtu unaamini majini yaani ni kilio kweli kweli mashehe majini.Kweli kuna watu akili ndogo na upeo yaani Mungu ajitoshelezi unamuongezea majini kwa nini usiite malaika basi, Jehanamu ya moto inawasubili Ukiambiwa neno Mungu ni uweza ushindao kila kitu Mbinguni na Duniani kufikiria na kutenda.
@tahirnephessalum36787 ай бұрын
subhanallah viongozi wetu wa kudini hebu muiteni huyu jamaa aombe radhi hadharani...Maana anapotosha umma waziwazi hakuna elimu ya hivi ktk dini ys kiislam
@kennodhiambo7 ай бұрын
Ni wewe hujaelewa Uislamu, kubali imani yenu. Hakika Biblia imesema kilichofichwa kitaanikwa wazi hivi sasa imani ya kiislamu inawekwa wazi. Surah 72 imehalalisha majini, Muhammad aliwasilimisha wakawa waislamu
@firdaussheikh48178 ай бұрын
Nilimpenda huyu sheikh, lakini mahali yuwaelekea anavuruga jamii . Sheikh pliz achana na mawaidha km hii watu asili Mia 100 wamekuamini. Wacha mchezo 😢😢😢😢😢😢😢 GOD HELP US. MM NAOGOPA NA GHADABU ZAKO 🇬🇧
@Mohaa43098 ай бұрын
Nlisema mitandao itamponza huyu Sheikh, ona sasa
@EM-mg3en8 ай бұрын
Akiwa anatukana UKRISTO mnamwita sheikh mnaongeza na mashallah. Lakini akianza kuchambua madudu ya dini yenu ndio sio sheikh
@firdaussheikh48178 ай бұрын
@@EM-mg3en hapo kwa ukiristo hajatukana, anasema neno na dhalili zake kwa kitabu cha kikristo. Lakini hapo kwa majini amechanganyika siku penda
@EdwardMsuka4 ай бұрын
shehe Sule naomba msadawako kufikia ndoto niko tayari kupata jini naomba ninamengi sana tutaongea
@musalumbi84907 ай бұрын
Sule umeulizwa swali la Tawheed: kuna haja gani ya kumtuma jini hali ya kuwa wewe unamwamini Mwenyezi Mungu; ukafeli
@aljalilatiba98738 ай бұрын
KUWATUMIA MAJINI KUTAFUTA MALI AU ULINZI NI DHAMBI KUBWA HUU UTHIBITISHO KATIKA QUR-AAN SURATUL JINNI وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
@redtk29718 ай бұрын
BINADAMU ANANDIKA KWENYE KOMENT KUMJAJI BINADAMU MWENZAKE ETI ATAENDA MOTONI MUNGU WAMEKUWA WENGI SANA HAPA DUNIANI😂😂
@JumaMdiesa7 ай бұрын
umenena🎉🎉🎉🎉
@albertpike62088 ай бұрын
Kuna haja gani umtumie jinn wakati unaweza kumuomba Mwenyezi Mungu??? Hili swali zuri sana naona Sulle anajiingiza kwenye ushirikina pole pole
@SwiddiqAbubakar8 ай бұрын
Wee ndo hujamuelewa amesema mambo maigine mungu katuachia,akatoa mfano Kuna haja Gani ya kuwaita wazee wakati mumekosana na mke? Kwani mungu hayupo? Hamna hii ilimu sule Yuko sawa kabisa
@albertpike62087 ай бұрын
@@SwiddiqAbubakar Sulle anaupamba ushirikina kwa kutumia dini
@lilasuliman5528 ай бұрын
Ngoja tuwasikilize na mashekhe wengine wanasemaje juu ya hii kauli ya shekhe mwenzao
@davidkomas46252 ай бұрын
Tupe uhondo Dr sule
@Farhiaomar28 ай бұрын
Hapa ni shirk tuu... subxanallah
@shaniisack11538 ай бұрын
Hakuna jinni anayetumika na Binadamu ispokuwa ni Muovu, Dk hiyo ni shirk hakuna kitu Kama hicho kwenye uislam
@MuhammadWesonga8 ай бұрын
Iblis ana tactics za kupoteza watu,aweza chukua hata miaka ishirini,ndio kamuanza sulle sasa ,hawezi tambua kwa sasa isipokuwa tu,aketi chini afikiri,maana sisi na majini ni viumbe wa Allah,ila iblis akishajua kwamba uneshajitegemeza kwa majini,ndio nafasi kubwa anayo, waislamu tusifwate waislamu,tufwate uislamu. Mwenyezi Mungu katuwekea malaika,mbona hakuweka majini kutulinda maana Sule anaona wana uwezo mkubwa? Sikapenda hili,Sule fanya istighfar,omba msamaha.majini wako watumie wakupe mali na wakusaidie kwa namna unayotaka lakini usipoteze waislamu.
@soloboysolo88727 ай бұрын
Halina nuru hata kwa uso. Wake SubhanaAllah hafai kabixa huyu mtuu sura ya Tisha Haina nuru
@chongerayassini9788 ай бұрын
DOKTA SULE DOKTA SULE..... ELIMU HII UNAYOITOA NI NZURI SANA ILAA KUMBUKA KWAMBA UNATUMIA AKIRI KUBWA SANA NA ELIMU KUBWA SANA AMBAYO KWA JAMII YETU HII YAKITANZANIA SIO RAHISI KUELEWEKA YAANI SAAANA UTONEKANA MSHIRIKINA SO DARASA UNALOTOA HALIENDANI NA WANAFUNZI UNAOWAFUNDISHA YAANI WEWE NI MWALIMU WA CHUO KIKUU HALAFU WANAFUNZI WAKO NIWA SHULE YA MSINGI SO NAKUSHAURI MAMBO KAMA HAYO ACHANA NAYO AU ELIMU KAMA HIYO ACHANA NAYO MAANA FAIDA NI NDOGO KULIKO HASARA INAYOPATIKANA KATIKA JAMII YA KIZAZI CHA TIKTOK NA TAFUTA WENYE TAALUMA KAMA HIZO UWAFUNDISHE NA SIO HICHI KIZAZI CHA ZUCHU NA DIAMOND
@sigurdsonmathias45628 ай бұрын
Umeongea point saaana
@shenjamamzingi79508 ай бұрын
MKANYE AWACHE USHIRIKINA NA UCHAWI
@SmilingCityMap-xb9md8 ай бұрын
Hapo waislamu na majini pete na kidole hamna mamlaka nyingine lazima majini yatumike
@saidimkwinzu91068 ай бұрын
Uislam hauruhusu hayo anayoongelea sulle Bali yeye hadi Sasa ni mshirikina Kwa sheiria za uislam kashatoka kwenye uislam Mtume wetu Muhammadi Swalla llaahu alayhi wasallama anasema hakuna kushirikiana kati ya watu na majini hata kama wawe Majin WEMA Kila viumbe waishi ki mpango wao kwenye maisha ya Kila siku Sasa sulle anatuharibia uislam wetu na watu kama yeye sio waislam Bali wamebakia jina tu peke yake
@kaoretosha66688 ай бұрын
Hujui usichokijua.
@NeemaSamson-ti8pc2 ай бұрын
Ni kweli kabisa ndugu halafu wakiambiwa ukweli wanakataa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@traviskong-r7b8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 tatizo wabongo elimu. Ya viumbe ndio hatuna kwahiyo nabii suleiman au solomoni nae mshirikina msiwe mnajaji ihali kuwa uyo shkhe anasema ukweli
@RashidiMwanongo8 ай бұрын
kweli kabisa broo
@NM-rq9dr8 ай бұрын
Inna lillahi wa inna ilaihi raji’un
@Dafetty8 ай бұрын
Part 3 please 🙏😂😂😂
@jonathanmasu68038 ай бұрын
Mimi nashangaa waislam ambao wanasema huyu sio shehe, wakati yeye anawaambia ambacho uislam unafundisha na nini quran inasema. Msimpinge kwa sababu wengi hamjui kiundani quran inasema nini.
@AminaAhmed9998 ай бұрын
sio sheikh E huyu uislam unakataza kutumia majini .majini ni viumbe huwezi vitamia ukishatumia jini umemkufuru Mungu.mashekh ni wengi lkn kuna ambao wako sawa na wengine wanakosea inagemea amesoma dini kwa lengo gani .na ndio sisi waislsmu tunaambiwa hii dini ni amana angalia unaichukuwa kwa nani si kila anaefudisha watu yuko sawa . huyu hata mtangazaji Ana uwela kumshinda . Mungu atuongoze tufate mashekhe walio sawa. wenye kufundisha itiqadi sahihi.
@jonathanmasu68038 ай бұрын
@@AminaAhmed999 ni aya gani inakataza kuutumia majini?
@paulmushi24288 ай бұрын
@@AminaAhmed999wewe huna elimu Sule Leo ndiyo anathibitisha Uislamu ulivyo
@EM-mg3en8 ай бұрын
@@AminaAhmed999uislam unaita majini ni malaika. Yapo mazuri na mabaya. Na kaza yao ni kulinda mja wa mola wenu. waislam wengi hamjui Quran mnakaririshwa tu mnaimba Kama taarab badala muisome yote muielewe. Akiwa anatukana UKRISTO mnamwita sheikh mnaongeza na mashallah. Lakini akianza kuchambua madudu ya dini yenu ndio sio sheikh
@aljalilatiba98738 ай бұрын
AYAH HII INAKATAZA KUTUMIA MAJINI KUWATUMIA MAJINI KUTAFUTA MALI AU ULINZI NI DHAMBI KUBWA HUU UTHIBITISHO KATIKA QUR-AAN SURATUL JINNI وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
@EM-mg3en8 ай бұрын
Proudly Christian❤️
@berry47268 ай бұрын
There is no a such a thing Christian.
@EM-mg3en8 ай бұрын
@@berry4726 yes 100%. There is no such a thing Christian kwenye ulimwengu wa majini ambao ndio uislam. Majini ni maislam na shetani alisilimu na kuwa muislam. Please jitahidi kuswali mola wako akukubali maana amekuandalieni janah ya kugonga misambwanda bikra 72. sūrah Al rahman 55:72. ur religion is all about sex. ur leader rapped a 9yr kid in the name of marriage. na kwenu ni halaal mwanaume mmoja na wanawake 4 kwenye kitanda. Means ur doing 5some. In CHRISTIANITY there is no sex in paradise.. we will be all angels praising. Our mighty GOD day and night singing "HOLY HOLY TO THE MOST HIGH" I repeat ***proudly CHRISTIAN ❤️🔥🔥***
@mussakarata66508 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Haki ya nan wew unafurahisha kuwa utakuwa malaika haya bhan
@berry47268 ай бұрын
@@EM-mg3en nope christian is a religion started by Paul. Jesus peace be upon him is Muslim.
@berry47268 ай бұрын
@@EM-mg3en nope 👎 you don’t know nothing about Islam. Please go educate yourself. Jinn is a creature like Angels, Human being, Animal and other creatures. Satan 😈 is a character/behavior, human and jinn can have both those characters.
@mwakiosalim29147 ай бұрын
Dunia duara...mwalim naitaji number yako..unifundishe kiundani zaidi
@jamesgasper67648 ай бұрын
Huna elimu ndioma unaongea ayo ila ukiwa na elimu huwezi bwata hivyoo, coz Nabii Suleiman alitumia Majin je Mungu hakutosha? Elimu tu 🙏🏃
@kijitamfyomi55988 ай бұрын
Na mafaili ambayo yamehifadhiwa kwenye computer mchwa wa kijini wanaweza kwenda kuyala we sheikh muogope Mungu wacha kufanya biashara ya dini kwa namna hiyo Fahamu unaiharibu akhera yako kwa dunia yampito tu
@GSaleh-xr3vn8 ай бұрын
Kweli sheikh umekosea zinduka na tafakari juu ya majini
@Legends_Interviews8 ай бұрын
Huyu baba jamani 😅😅
@Adremanemachude7 ай бұрын
alafu ww unaitaja dini kama daraja la kuyaendea maisha ya dunia2.
@msemakweli2437 ай бұрын
Kila siku nasema uisilamu bila majini dini hakuna
@AminaAhmed9998 ай бұрын
Msimzikize. na watu wa habari msimpe huyu hewa au vipindi kudanganya watu. mtakua mnamsaidia
@florayoram95638 ай бұрын
Shekhe sule unanikosha😅
@mwakiosalim29147 ай бұрын
Kwani huyu mtangazaji anamaswali kwli...lakini kweli kuna watu wanaekelewa makosa yauongo
@BernardChesoli-rj3nw7 ай бұрын
KWA NINI NDACHA AKIWABANA KWA MIJADALA KUHUSU MAJINI HUWA MNAKANA ILI HALI HAPA UNAKUBALI KUHUSU MAJINI.
@soloboysolo88727 ай бұрын
Ana Lana huyu jinga kabixa SubhanaAllah walahy mm ukiona sura yake tu haina nuru mm nilikua simkubali huyu mtu tangu kitamboo nilikua najua huyu sio sheikh SubhanaAllah Hana mana
@omarbinjaa28018 ай бұрын
Dr Sule ushirikina haufai na kutumia majini haifai Dua haitoshi mpaka utumie jini hapo atarudi kwa idhini ya jini na sio idhini yake
@zaburi23868 ай бұрын
Waislam wengi wanalalimika kweny comment kwamba doctor sule anafanya shirk hali ya kuwa Quran inasema wapo majin wabaya na wazuri na dr amekiri yeye anatumia mazuri kusaidia shida ipo wap?
@coyancodavao40048 ай бұрын
Anayoyasema hayapo katika Sheria ya kiislamu?
@kijitamfyomi55988 ай бұрын
Jamani masheikh kina Sheikh Kishki,sheikh Walidi.mnamuona huyu anavyopotoka na masheikh wamekaa kimya tu. Kuna watu wenye elimu ndogo wanaamini haya anayoyasema huyu doctor Sule.
Mshezi tu hakuna skh hapo shirki yyte kumshirikisha Allah ni moja kwa moja motoni
@Mohaa43098 ай бұрын
Shirk shirk shirkiiiiiii😢😢😢😢😢
@shmohd118 ай бұрын
Nabii Suleimani aliomba dua hii ﴿ قَالَ رَبِّ اغْفِرْ لِي وَهَبْ لِي مُلْكًا لَّا يَنبَغِي لِأَحَدٍ مِّن بَعْدِي ۖ إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ﴾ [ ص: 35] "Allah nipe ufalme (uwezo) ambao hautostahiki kupewa yeyote baada yangu...". Hivi wewe umepewa uwezo huo baada ya Nabii Suleiman? Tupe ushahidi umeyapata wapi haya matango pori?
@elisantemushi2498 ай бұрын
Proud to be christian
@AminaAhmed9998 ай бұрын
wote mko sawa nyie mwaomba binadamu yesu na yeye anaomba jini. Aliyeumba mumemuacha. proud to be a Muslim. na abudu aliniemba pekee bila kumshirikisha
@talents79348 ай бұрын
@@AminaAhmed999yesu ni mtume wa Mwenyezi Mungu vipi umfananishe na jini,halafu pia wewe ni muislam feki maana muislam aliyekamilika hamkatai yesu na pia mnafahamu kuwa kiama kikija atakaeokoa watu ni Yesu
@FranceYohana-eg5zd7 ай бұрын
@@AminaAhmed999Hujielew kilaza
@NeemaSamson-ti8pc2 ай бұрын
Me too wakristo oyeeeee
@IbrahimAmbade6 ай бұрын
Wewe mshirikinaa jini ni kiumbe kisichooonekana utamjuaje jini mzuri na jini mbaya,,
@dancanomwenga19875 күн бұрын
Kama mwalimu Ndacha akukuzaidia uwe mkristo yatakikana Mazinge aifanye kazi uwe Muslim wa ukweli
@shmohd118 ай бұрын
Yaani ukimuomba Allah haiwezekani ila Ukiwaomba hao Misukule yako ndiyo Dua inakubaliwa? Hakika "Aloachiwa na Allah kupotea hakuna wa kumuongoa"
@AllyIssa-k5k7 ай бұрын
Nilichogundua watu ni wavivu wa kutafuta elmu"" MUNGU ametupa utukufu cc binadamu kwa viumbe ooooote wapo chini yetu, cyo jini tu ata jiwe unaweza ukalituma na cyo zambi. Watu ni wavivu kutafuta elmu. Babu yangu anaanika nguo bila kamba ye anarusha tu na nguo inanasa. Kuna vitabu ukivisoma mti unango'ka bila greda. Mi namuunga mkono sule ulimwengu upon chini yetu wanadamu. Tafuta elimu paka china.
@mwinyikitupa1677 ай бұрын
Na hayo ni maamrisho ya mungu kwamba tufanye hivyo