Dah Dah mtihani sana Mungu atuokoe hali hii ni mbaya sana Huyu shekh nilikuwa namskiliza sana ila kabadilika kiasi hiki.ukiskiliza tu haya maneno utahisi km imani imepungua hapo
@zamilmohammed22972 ай бұрын
Huyu anapenda pesa sana ALLAH HU AKBAR
@ZubedaJuma-z3q6 ай бұрын
Subhanallah ulinz n wa mung pekee uo ni ushirkna
@IssaMasanja-t2n7 ай бұрын
Inalilah wainailah rajiun sheikh kaiacha akhera kaamua kupambana na dunia, hapa hatuna sheikh tena
@trophywilson72117 ай бұрын
Ahera Ni kuzimu ndugu hajaiacha yuko huko huko tu
@EmanuelFesto-g4z3 ай бұрын
Mungu anakuona ww sulle
@paulmulupi14327 ай бұрын
Can this qualify to be an interview kweli yashangaza sana
@planetanimals95477 ай бұрын
QUR'AN 6:128 inasema wale waliokua wananufaishana kati yawanaadamu namajini makazi yao nimoto. Nasio inaruhusu watu kunufaishana au kushirikiana namajini kwani hakuna jiji yeyote atakaekubali kumtuma burebure tu ispokua nayy anataka maslahi kwako namslahi hayo nikumchinjia mnyama nako kufanya hivo niushirikina
@suleimanadim65227 ай бұрын
Yaani Sule anatafsiri kinyume duh
@nasoros.mgungo55027 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Kaka kumchinjia Jini mnyama Ni Ushirkina? Je kumchinjia Binadamu mnyama Ni Ushirkina? 😂😂😂😂😂😂😂
@salymkitumbika86447 ай бұрын
Vp kuhusu hakiqa
@myself41287 ай бұрын
majini pia ni waislamu nyie wote wa motoni tu
@hamishatibu6997 ай бұрын
Ukimchinjia Mnyama jini ili akufanyie mambo yako apo umekufuru, lakini ukimtuma kwa amli yako wew bila kumkufuru Mungu haina shida iyo, Sureyman aliwatumia mbona.
@iddimohamed2547 ай бұрын
Innah lilaahi wainnaa ilaihi raajiun,Dunia tunapita kila kitu utakiacha...🤗🤗
@elinisafimndeme29716 ай бұрын
وَإِذْ صَرَفْنَا إِلَيْكَ نَفَرًا مِّنَ الْجِنِّ يَسْتَمِعُونَ الْقُرْآنَ فَلَمَّا حَضَرُوهُ قَالُوا أَنصِتُوا ۖ فَلَمَّا قُضِيَ وَلَّوْا إِلَىٰ قَوْمِهِم مُّنذِرِينَ (AL - AH'QAAF - 29) Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya.
@YusuphHabibu-hy9mj7 ай бұрын
DOCTOR SULE HATUNAYE TENA
@MWAJUMAKHERI-jt4qj7 ай бұрын
Duh! yarabbi tunusuru waislamu tusome dini yetu jaman
@jabirkasunzu68417 ай бұрын
Dada yangu, ungesikiliza mawaidha ya Sheikh Nassoro Abdallah Bachu, Mungu amrehemu, mada KUIPA MGONGO DUNIA sehemu ya 1 hadi ya 4, ndio utazidi kufahamu kuwa Dr. Sulle, mashetani yameshamlaghai. Inna lillah wainna ilayhi raj'un 😢
@EmanuelFesto-g4z3 ай бұрын
Njia ni yesu tuu
@Khamissalehe06546 ай бұрын
Quran 6-128,,,,NDIO IMESEMA SOTE MOTONI TUKISHIRIKIANA ILA INATEGEMEA VIPI TUMESIRIKIANA NA MAKUBALIANO NAMSAPOTI SULE 100.100.100.100👍
@jumamaulid94626 ай бұрын
Huo ni udhaifu wa mtu mmoja na sio uislamu. Ingekuwa kutumia majini ni vema basi maswahaba wa mtume wangewatumia wawaletee pesa. DINI haiendi kwa akili bali ni maandiko. Wanazuoni waliotahadharisha binadamu kutumia majini ni wengi sana. Ibaki sasa ni njaa ya mtu binafsi anayebadili hata maandiko ili kutetea urafiki wake na majini lakini si uislamu kwa vile hatujawahi kumuona mtume wetu akiwaomba majini wamsaidie jambo lolote.
@IbrahimShan-qu3um7 ай бұрын
Maisha yanabadilika sana aisee
@TheBastarrrd6 ай бұрын
😂😂😂
@GSaleh-xr3vn7 ай бұрын
Dah sheikh tahadhari na maneno yako
@AdephinaMgungile7 ай бұрын
Yupo sawa kabisa kilà mwisilamu anaruhusi kumiliki màjini kwào siyo dhambikabisa mwacheni aseme ukweli
@NeemaSamson-ti8pcАй бұрын
Waislam poleni
@Khadija-jm3bg6 ай бұрын
Subhanallah
@legendaction2027 ай бұрын
Doctor.........ilmu yako alhamdhulillah yaani wasokuwa na ilmu hapa watadhania ww ni mshirikina lakini ilmu ni bora allah akuzidishie kuipigania dini yetu al islam
@goldmansun5859Ай бұрын
Yohana 6:70 inasema (Sikuwachagua nyinyi kumi na wawil na mmoja wenu ni shetani)alikuwa akimzungumzia Yuda Iskarioti ambaye baadae angemsalit,alijua ni Yuda atakayemsaliti ,Sule acha kudanganya, au tuseme umejichanganya
@saadaAbdalla13717 ай бұрын
Haiwezekan Allah atuambie hao nimaadui nasi tuwafanye maadui ww uwakumbatie Mche Allah unapoenda cpo
@ZainabuOmary-kk9cw6 ай бұрын
Dkt mi ninashida ninataka kuolewa sijawai kuolewa naomb unisaidie plz
@mxy76997 ай бұрын
Mhh hapo kazi ipo. Naomba musishikiane na majini jini mcha mungu humuingii mwanadamu
@mussakarata66507 ай бұрын
Are you sure?
@nourannouuran35147 ай бұрын
ALLAH TUPE THIBAAT TUONDOE DUNIAN TUKIWA WAUMINI TUJAALIE PEPO
@AbdulazizJuma-qu2tk4 ай бұрын
ameen
@SolomonNdelenjendo3 ай бұрын
Misikitini tunapoteza mda tuu😂😂😂
@FeymaarOfficially-uu4nr7 ай бұрын
Hakuna shehe apooo
@moodyhassany89287 ай бұрын
jamaa anawafunga na kuwapotesha na kuwapoteza haise mungu muongoze sule
@sawebenjamin40156 ай бұрын
Mzee umejanganyikiwa kiimani kwamba umejanganya uweso wa mungu na jini kwa hiyo we ni mshirikina%100
@momadesuales6 ай бұрын
Huu ni msiba uliye wazi kabisa 😢😢😢
@saidjuma45477 ай бұрын
subhana llah sule wetu yuleee tushamkosa lakini sishangai Kwa mashekh kama hawa na wapo wengi Sana Wacha tuone baada ya mwaka mmoja kweli huyu atakuwa shekh au ataanza kupandisha yy sasa
@Abdallahmohamed727 ай бұрын
Huyu sio shekhe wala hawezi kuwa shekhe nijini mtu mpuzi
@mjombawallace49666 ай бұрын
Uisilamu nihivyo mtu watu 🤣🤣🤣 Wacha kujitoa wewe soma Quran
@Nassir-cl3bt6 ай бұрын
Tusomeni jameni Dr sule ywaelimisha lkn amja soma ndio mana elimu hamna
@batulialmass89147 ай бұрын
Inalillah wainalillah lajiuun,huyu baba daaa hata hamu nae sina anapotosha watu wasipo kuwa makini watapote,Allah ndie mlinzi hakuna anae weza kukulinda zaidi ya Allah,bali kuna maraika watakaa kalibu yako kuchukuwa matendo yako mema na mazuri
@legendaction2027 ай бұрын
Ilmu n muhimu kama hauna ilmu hutoelewa
@bahaticonsole78844 ай бұрын
😢asalam alykum mimi ni souleiman kutoka congo sheikh mimi ni mwislam natoka katika familia ya wa catholique tatizo miye ndiye sidjawayi kufanyikiwa kupata na kazi mimi dereva ila kazi siyaka pata sasa ndugu zangu wanasema si fanyikiwe kwa sababu mimi muislam sheikh samahani ni saidiye uni send number ya watshap
@braystuskibassa38427 ай бұрын
Je mnajua maana ya ushirikina?
@GatekaNene7 ай бұрын
Aca inyeshe tujuwe panapo vuja I proud of 😂😂😂😂😂 aca nibaki na YESU KRISTO wangu yeye yuko hai hadi milele na milele niacane na hizi vitu zingine za ajabu
@lexygeisar83037 ай бұрын
Yesu naye ni yule yule, aliwezaje kudanganya wafuasi wake kuwa yeye ni mtume wakati yeye ni Mwenyezi Mungu. Mpaka aka jiua mwenyewe.
@GatekaNene7 ай бұрын
@@lexygeisar8303 uongo ni zambi na mwenye zambi hatomuona MUNGU sasa wewe nipe aya kwenye Bible ao kwenye Quran inayo sema kuwa YESU alifanya zambi yeyote enzi za uhai wake yani zambi moja tu ukinionesha aya iyo basi nitakubaliyan na hayo unayo yasema hapo. Lakini kama unaongey tu kwa sababu ya makasiriko basi utakuwa unamushuhudiy YESU uongo na utubu usamehew lasivyo ujuwe kuw ipo siku utapatan naye na hautapat ca kumjibu siku hiyo.
@amantually11057 ай бұрын
Kuongoka au kupotoka Kwa MTU aijalishi dini wapo waislamu ambao wanatoka katika njia ya mungu lakini hata Kwa wakristo ndo hivyo hivyo tena wengine ni viongozi kabisa makanisani ndugu yangu kupotoka Kwa MTU haijalishi dini yake MTU yeyote Yule anaweza kupotoka midhali Sisi wote ni binaadamu na tuna madhaifu kuna MDA lazima tutatereza Tu ndo mana mungu akaweka milango ya toba kwa yeyote Yule atayekosea amrejee yeye🙏
@GatekaNene7 ай бұрын
@@amantually1105 kumbe mwalijuwa hilo mbona nyinyi mwapenda kuhukum wa KRISTO eti dini yao si sahihi eti ma pastor ni waongo wanacapa pesa tu eti Biblia sii kitabu ca MUNGU eti ni kitabu kinabadilishwa sana hakina ukweli ndani yake na kuita wa KRISTO makafiri. Yote hayo yanasemw na waislamu tena wengi sana haya sasa nyinyi mukisemw mwaja juu ndo munakumbuk kuwa nyinyi sii wa hukumu bali aliye juu ndiye anaye hukumu tena kwa haki. Waislamu muace hizo harakati zenu za kubaguw wengine sote niwa baba umoja Adam na sote ni wa MUNGU umoja dini na imani tu ndo kinatutofuatisha lakini pamoja na hayo hatungepasw kucukiyana na kubaguwa kama wa African sote.
@wardawarda65357 ай бұрын
وما خلقت الجن والإنس الا ليعبدون، ما اريد منهم من رزق، وما اريد أن يطعمون، ان الله هو الرزاق ،ذو القوة المتين....
@aishaahmed50287 ай бұрын
هاي اخر الدنيا من علامات الساعة 😢يارب رحمتك
@wardawarda65357 ай бұрын
@@aishaahmed5028 اي والله
@rogerabdallah4397 ай бұрын
Akuna mtu sahii ni mungu tu
@mussakarata66507 ай бұрын
Mungu yupo pekeee yeye Kam yeye sisi sotee ni viumbe wake ima majin,malaika,wanyama pia na binadamu ila kwa huku dunian binadam ndo kiongoz wa viumbe wote kapewa uongoz huo kapewa na mungu mwenyew so fikiria vizur utajua
@hamudseif7 ай бұрын
Uyu mpuuzi ukimskiliza mara moja anakutoa ktk taqwa ya Allah. Mshirikina sana
@amosethantheking88157 ай бұрын
Wote nyie washirikina, dini yenu siyo halali. Mkiambiwa Mohamad SW alipagawa na majini ndiyo akasema amepewa haya mnabisha.
@Bombwejr187 ай бұрын
@@amosethantheking8815Toa andiko sasa kuthibitisha hiyo
@HusnaB1486 ай бұрын
Hivi kwanini muislamu mmoja akikosea basi mnasema waislamu wote na dini yote lakini asiyekua muislamu akikosea wala hatusemagi dini zao tunamtaja yeye binafc aliyekosea @@amosethantheking8815
@MdNasr-jm8pj4 ай бұрын
Ukitaka utatoka 😢km hutaki hutoaki
@MdNasr-jm8pj4 ай бұрын
@@amosethantheking8815usilo lijua litakusumbua uislam ndo dini aloiridhia ALLAH
@JafariHamisi-gu4ef7 ай бұрын
Dr sule tunakupenda sana na ninaamini utarejea mukupe wepesi inshaallah
@jonathanmasu68037 ай бұрын
Huo mkasa wa kwenye biblia hao mapepo au majini waliwatii Wanafunzi wa Yesu kwa kufukuzwa ndani ya watu sawa na leo mimi ninaweza nikamkea au kuwaamuru majini kwa jina la Yesu yamtoke mtu na yanamtoka tofauti na hapo hakuna Tena mahusiano mengine na majini. Majini hayana ushirikiano wowote na wakristo.
@FatwimaZahrau7 ай бұрын
Nyinyi mna majini ndugu zenu pia wanaosema yesu nimwana wamungu tana mapepo wachafu
@jonathanmasu68037 ай бұрын
@@FatwimaZahrau Ni kweli Yesu ni Mwana wa Mungu na ndo maana hakuna kiumbe chochote anaweza kupingana naye na ndo maana kwa jina lake jina lake nguvu zote za Giza mpaka Shetani wanatutii sisi tukitumia jina lake.
@jumamaulid94626 ай бұрын
Binadamu ni watu wa kushangaza sana.🤣 Akivuruga maandiko ya upande wao, wanamuona mpotoshaji, LAKINI akivuruga maandiko ya upande wa wenzao, wanamuona yupo sahihi.
@legendaction2027 ай бұрын
Ni kweli sule unazungumzia viumbe marohani mashallah thats true bro sele zidi kutupa ilmu
@elinisafimndeme29716 ай бұрын
Waislamu shehe wenu huyo😂😂😂
@AthmanThan6 ай бұрын
Huu ni msiba
@AthmanThan6 ай бұрын
Huyu shek anaongea kupitia kitabu Gani
@AthmanThan6 ай бұрын
Msiba
@RamadhanMgeni-gt1tu6 ай бұрын
Kwaiyo du sule unaenda wapiii
@clustermqsir98405 ай бұрын
Huyu jamaa, Dah sijui ...na anamdomo balaa
@Kusag-i9z7 ай бұрын
Hiyo sio dua ni ushilikina
@AdamRajab-s3k7 ай бұрын
kaka shirki hiiii
@neemityhadijaanzaziАй бұрын
Mbona kwengine wasema kweli sas majini na dini na kuyatuma imetoka wapi walim wa dini mwatupeleka wapi so kila mtu akiwa na majin mungu yupo wapi
@@mjombawallace4966Roho mtakatifu ni shetani mkuu Kanisani😂
@BjleonardBhiandaАй бұрын
Unajua wengi ndani ya dini ya Dr Sule hawataki ukweli...Dr Sule anasema ukweli mtupu...kwani kitabu chao kimejaza mambo hayo...heti wanamkataa wakati wanajua kuwa anasema ukweli...inawezekana wamemwita mashekh wenzake na kumwambia unaousema ni ukweli lakini ukutakiwe kusema katika public...daa kazi ipo njoo kwa YESU KRISTO "Yohana Mt 14:1
Doctor Naomba msaada wako minaota ninazo Pesa nyingi nimezilalia na furushi .nimeamka sina hata mia Shekh
@planetanimals95477 ай бұрын
Kwani utajiri namali ndio mambo tulioelekezwa tutafute hapa duniani au kumuabudu mungu?
@MjaAllah7 ай бұрын
Acha ushamba لا تنسى نصيبك من الدنيا
@sadikibakarimussa7 ай бұрын
upo sa hh sheeh Sule ila mashehe wetu wengine hawawi wwzi
@zaidechafim26137 ай бұрын
kasomea wapi uyu au ndo watu wakukopi kujisomea wenyewe
@FannySubira7 ай бұрын
Jini niviumbe ndiyo ila hatuna mawasiliyano jini mwenye kumti Allah haingi kwenye mwili wa mwanadam , namwanadam akishirikishwa namajini tayari ni shirki
@trophywilson72117 ай бұрын
mna mawasiliano haujui Mashekhe wanajua hawaaambii ukweli ndo maana sitaki dini nisiyoelewa Lugha kuna mengi yanafichwa kwa waumini wadogo wadogo
@Nassir-cl3bt6 ай бұрын
Elimu hauna wewe tulia cjui unaongea nn walahi
@issakayogoma74634 күн бұрын
@@Nassir-cl3btwewe ni maamuma uislam ni dini ya majini 😊
@lizmwangi65836 ай бұрын
Makubwa hayo!! Jooni kwa Yesu muokolewe ndugu zangu.
@JosephMusembi-wx1tq7 ай бұрын
Naomba nomber ya DCT
@JaphetKilimba-zo2iz7 ай бұрын
Majini nishiriki watoto warusifa mungu kaagiza waturinde maraika nasiomajini chukuenii siri kunamajini wasaf wanatumiwa firimason kunamajini wachaf wanatumiwa na waganga na wachawi
@hamishatibu6997 ай бұрын
Kasome Yohana 9:5
@ahmedissa18272 ай бұрын
Huyu ni mzushi na mpotoshaji
@karamahfoudh87 ай бұрын
Bado kuna wengi wanatoa aya ila m kunakitu sijaona Ila mwisho wao wakafanya madhambi ila hamjatwambia wapi imekataza moja kwa moja kuwatumikisha na hali kuna jini muovu na mwema jee haya hayakutajwa ktk gur,an
@Nassir-cl3bt6 ай бұрын
Swadakta
@alonandez7 ай бұрын
Jamaa ana wachota bhana sikweli Yohana 6 : 70 Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?
@trophywilson72117 ай бұрын
Anawachota Ndugu zake sie tunaijua Kweli
@RobertMshana-l5u7 ай бұрын
Waislamu ndivyo walivyo
@MohamedbarakaBarakaIbrahim6 ай бұрын
Wewe Wacha wongo sulle, wapi katika dini ya kislamu imeamrisha watu watumie jini kwa manufaa yao
@aljalilatiba98737 ай бұрын
وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
@SayyidiBnally7 ай бұрын
Sas kwan dr sure ana jikinga au ana mtuma??
@annassuleiman45087 ай бұрын
@@SayyidiBnallyEmbu sikiliza tena
@89_Media7 ай бұрын
VINA MUDA BAX😂😂😂😂 Itajulikana mbichi na mbivu 😅 inshaallah 🙏🙏🙏
@danielpaulm7 ай бұрын
😀😀😀😀😀
@LawiMponzi4 ай бұрын
Dr sulle huo ni ushirikina
@ismailsoud36347 ай бұрын
Dr. Sule Rejea kwa Mola wako, huko siko . Hicho ni KIBRI umejenga. Mali zisiache ukosane na Mola wako, hayo ni mapito tu. Kumbuka kuna kesho.
@eliaspaul90287 ай бұрын
Yohana 6:70. Ni ulongooooo mtupu doctor katupiga na kitu kizito 😂😂😂😂😂😂
@joventjohansenmushwaimi19887 ай бұрын
Hahahahahhaa Dr Sule uko vzr sanaa majibu yako ni ya kitaalam
@StevenPeter-sg7zo7 ай бұрын
Me hapo sishangai kwasababu quran 72 inasema majini ni waislamu., kitabu chao ni quran., na mtume wao ni Muhamad.,Kwhy hapo anashirikiana na waislamu wenzake.
@FatwimaZahrau7 ай бұрын
We muongo hata biblia inasema Kuna majini wakristo wanaosema yesu nimwana wamungu
@mutabazihassan62917 ай бұрын
Acha uongo kama hujui Quran bora kaa kumya uta kufuru kama shule
@kaoretosha66687 ай бұрын
matusi unaweza....?!! tatizo ni elimu ya miungu wa tatu kuwa mmoja na mmoja kuwa watatu...🤣🤣🤣....nakadhalika...alikuja akauwawa na aliowaumba ili awaokoe hao hao wauwaji...🤣🤣🤣
@StevenPeter-sg7zo7 ай бұрын
@@FatwimaZahrau we ndyo muongo hakuna andiko linalosema kuna jini mkristo kama lipo litoe ila majini wote ni waislamu na mtume wao ni Muhammad kwa mujibu wa quran 72., na quran 49:10 inasema kwa hakika waislamu wote ni ndugu., Kwahyo hao majini ni ndugu zenu msiwakatae.
@StevenPeter-sg7zo7 ай бұрын
@@mutabazihassan6291 Niache uongo kivipi wakati kitabu chako chenyewe quran ndyo kinasema majini ni waislamu na mtume wao ni Muhammad!!!
Ww umechimbia kaburi mwenyewe kwakutaja hio sura 6 aya 128, umekua ukigeuza ya za Allah km wafanyavo wakiristo aya hio inasema hivi: 6:128 - Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua.
@StevenPeter-sg7zo7 ай бұрын
Na hyo aya inaonyesha wazi kwamba ni makundi yote mawili ya majini ambayo wanasema ni wabaya na wazuri wote watakwenda motoni na siyo kundi moja
@@FatwimaZahrauMe siamini kama kuna jini mzuri ila majini wote ni wabaya ila nyie mnasema kuna makundi mawili wazuri na wabaya., Sasa aya imetaja makundi ya majini yataenda motoni na siyo kundi moja la majini wabaya ila ni makundi yote., Zingatia neno makundi.
@samwelimwanja41057 ай бұрын
Mnategemea majini kupata mali ila sisi huomba Mungu atubariki na hapa mtabisha mtasema huyu sio mwislam mwenzenu mtasema ni kafiri ila mwisho wa siku Mtaifahamu kweli ila mtaifahamu mkiwa Jehanamu ya moto jambo ambalo halitawasaidia kwa wakati huo, Hapo ndio mtamfahamu Kristo kuwa ni nani.
@Muhidinimngazija7 ай бұрын
usibabaishe watu, peleka ukristo wako huko, wewe unaesema yesu ni mungu, subiri wewe ndio utajikuta ndani ya moto wala simuda mrefu, labda usilimu ushike dini sawasawa, huyo sule haudhuru chochote uislam, uislam utabaki msafi kama Allaahu alivyouleta
@johngeorge48346 ай бұрын
Waislamu mtaambia nini watu tena kama shekh mwenyewe ni mshirikina
@awadhally10525 ай бұрын
Huyo sio shehee ni mchawi
@KhamisAli-r1w3 ай бұрын
Na ww babii wako kiboko ya wachawi ni tapeli, tena anakiri kua walioenda kwake wote ni wajinga tu! Ukiwemo ww!
Sasa naona Shierkh unapotea sasa ila tumuombe Allah atupatie katima ila umezama sasa kwenye shiki nzito
@hamishatibu6997 ай бұрын
Jitaidi kusoma hizo elimu zipo mbona Mungu anasema Ameumba majini na watu ili tumuabudu, soma surati jinni, Quran imeweka wazi majini wamegawanyika kama sisi tulivyo wapo walio kufuru na wapo walio shika njiani sahihi, sio kila jini ni mbaya au kila mtu ni mbaya
@SalumMzee-cw8do7 ай бұрын
@@hamishatibu699 hatar sana tumuogope Allah uingia humu utapotea utaingiwa na kiburi mwisho unapotea na kutolewa ktk rehema za Allah km Iblissi laanatu llah tuombe Allah atufishe jali ya kuwa waislamu
@hamishatibu6997 ай бұрын
Mungu anasema hakuumba majini na watu illa wamuabudu, sasa wew unawakataaje viumbe ambavyo ujaviumba wew
@SalumMzee-cw8do7 ай бұрын
@@hamishatibu699 hakuna Mtume yoyote alifanya uganga na majini kwaio tujitahadhari na dibwi la shirki hatar ukizama utapotea hutoamini hata Qadara ya Allah tumuombe Allah atujaliye khatima njema
@hamishatibu6997 ай бұрын
@@SalumMzee-cw8do uganga upi? Suleyman aliyatumikisha majini sio kafanya nayo uganga, Yesu aliteuwa shenashala mmoja shetani, Yesu alitembea na jini akiwa kama rafiki, kinachokatazwa usiwatii majini wakitaka kukufulu. Utawala wa hii Dunia kwa sasa ni wetu. Yoh 5,9 wanafunzi wanamwambia Yesu hata majini yanatutii. Someni
@Kzm-c9u7 ай бұрын
Sule ni Mchawi kajivika vazi la ushekhe tu😂😂😂😂
@nourdinpro7 ай бұрын
Uyu jama mtakuja kumuelewa
@fazeelshomary87437 ай бұрын
Amedanganya kwenye Quran 6:128 na pia kwenye bible Yohane 6 aya ya 70
@jabirkasunzu68417 ай бұрын
Kiigizo chetu ni Mtume Muhammad s.a.w. Mtume aliwahi kufanya hayo mambo ndugu yetu? Mtume hakupatwa na shida kubwakubwa na mbona hakutumia viumbe hivyo? Je, wewe une elimu kuliko mtume? Dr. Sulle, akisikiliza mada KUIPA MGONGO DUNIA 1-4 ya Sheikh Nassoro Abdallah Bachu, Allah amrehemu, anaweza akatengua kauli/msimamo wake inshaallah
Natafuta vipi kwasiliana naye de.sule nisayidiye nduku Niko DRC
@samwelimwanja41057 ай бұрын
Bado2 mnabisha hamutumii uchawi? Mbona hamumuombi Allah, awalinde mnataka majini yawalinde. Na mnaweza kutuma majini yakaenda sehemu na kuharibu kesi yeyote au jambo lolote na hata mnaweza kuwatuma kuiba mali ya mtu ila kwa ukristo sisi sio hivo tuawabudu Mungu wa kweli.
@legendaction2027 ай бұрын
Doctor walai .........al,ilmu afdhali minal,mal wama,afdhal bilhadhi aufar al ,ilmu antatahrusulmal walmal yankusu binfaq wal,ilmu yanzidu binfaq
@MesalimRashid7 ай бұрын
Money is a source of all evils pesa hizo zakusumbua na pumzi.
@talents79347 ай бұрын
Kwa hiyo shekhe unaweza kumtuma jini akakuletea hata ATM machine ukajitolea pesa ukiwa home tu au sio
@trophywilson72117 ай бұрын
ndoyo anzeni
@MohamediSleyumАй бұрын
😂😂😂
@Austinemarko7 ай бұрын
Uislamu kwisha!!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@coyancodavao40047 ай бұрын
Uislamu umeletwa na Dk sule au?
@Austinemarko7 ай бұрын
@@coyancodavao4004 neda umulize allah
@Sidrasidra6367 ай бұрын
Hu jama aache kujihusisha na dini ya kiislam afanye shirki yake binafsi atu achie dini yetu 😢
@LazDogo6 ай бұрын
Ukimiliki jini huezi sema n jini mbaya! Wote washirikina
@allyabnbaba86396 ай бұрын
Acha nizidi kutazama na kusikiliza labda nikafanikiwa kuona na kusikia mwisho wa haya.
@bonifasiemanueli217 ай бұрын
Huo ndio Uislamu ni Hatali na hizi dini,😢😢😢😢😢😢
@AminKayanda-mp1sb7 ай бұрын
Ukosefu wa akili mbona wachungaji wanatumia mapepo kanisani mnasema upako lakini usemi ukristo ni ushilikina watu hawa wapo pande zote kwa waklisto na waislam acha ujinga
@mrdaslam3017 ай бұрын
Huyu anamaanisha maanisha waislamu wanaamini katika majini...hata yale ya mayele ni hayo hayo
@vincentcharles43857 ай бұрын
Kumekucha 😂😂
@kennodhiambo7 ай бұрын
Nguzo ya imani ya Kiislamu ni majini. Umesikia kuwa majina ya Allah yanawaleta majini halafu mnapiga dua