Kuna maswali mengi inawezekana umekuwa ukijiuliza kuhusu Utengenezaji wa fedha, utaratibu wake ukoje? usalama je? AyoTV imempata Afisa Mwandamizi Mkuu wa benki kuu ya Tanzania, Patrick Fata kwenye huu ufafanuzi
Пікірлер: 46
@mwitachacha44672 жыл бұрын
Mungu atusaidie tuwe na tekinology ya kumiliki kiwanda chetu
@africanhappyadventure69516 жыл бұрын
Aliyeshinda kutengeneza Buku na ile Jero ya Noti..Khaaaaa sijui alikula maharage ya wapi..
@bernardmwenda51866 жыл бұрын
Kuna moja amesema yachapishwe mahela mengi ili vyuma vilegee, unafikiri kuwa na mahela mengi ndiyo uchumi? Ujue kuwa mahela yanavyozidi kuchapishwa mengi, na bidhaa nazo huzidi kupanda. Kukiwa na uwezekano wa kila mtu kuwa na milioni mojo mfukoni kirahisi basi ujue andazi moja litakuwa si chini ya laki nane au tisa. Sasa faida ya milioni ni nini? Cha msingi bidhaa ziongekeke kwa wingi sana hata watu wakinai kuziona. Mfano, kila mtu akiwa na gunia si chini ya tano za mahindi nyumbani mwake, basi unaweza kukuta gunia moja la mahindi linauzwa kwa shilingi elfu moja tu, kwa sababu hakuna anayehitaji; si kila mtu anayo?. Hiyo ndiyo hali ya thamani ya pesa, siyo kujaza tu mahela mengi wakati didhaa bado hazipatikani, bado utanunua kilo moja ya unga kwa shilingi milion moja, si una hela bwana, sasa faifa ya kuwa na hela yote hiyo iko wapi? Ninawaza tu.
@psj15642 жыл бұрын
Noti azina ubora tengenezi ziwe naubora ukihiisahu hukaifuriatu inachanika lakini noti zanchi za nje zina ubora kweli
@shindapapaya91947 жыл бұрын
kwa supeed ya JPM au the Bulldozer lazima ipo siku tuta chapisha wenyewe go go Tanzania
@wazarendotv79667 жыл бұрын
Hi na hi na hi kwa sababu hi na hi hana kwa hiyo tangeneza hi na hi hahaha
@fredrickvituskebero50717 жыл бұрын
duuh..wanaotegenezaa hela wao wanalipwa nini ?...au unaweza waambia wachapishe 1000 then unachukua 500....jero nyingine unawalipa .....nipo nawaza tu..
@allenmwakilembe51016 жыл бұрын
Fredrick Kebero
@neriacharles48936 жыл бұрын
Hata Mimi najiuliza sana wao wanalipwa nini?
@jumamofu9573Ай бұрын
Maswali machache nilitamani kusikia mengi katika hili. Tulikuwa tunajidanganya kitaa uswis pekee ndio Wana kiwanda
@subramashs22367 жыл бұрын
Tanzania inaharibika kwanini nnafanya hivyoooooo jamani uwii ii
@giftdaniel36286 жыл бұрын
Duuuh nchi yetu lazima tujue kutengeneza pesa zetu
@saidyahya56626 жыл бұрын
hata mbuyu ulianza kama mchicha,One day yes na cc tutatengeneza 2
@athumanigombera43856 жыл бұрын
safi sana
@moudymussa76467 жыл бұрын
Na hawa mnao wp tenda Mna wapa nn? Au nn mnachofanya juu ya malipo?
@ussiussi34133 жыл бұрын
Natural resources & investment ndio tools za malipo kwa shughuli kama hizo.
@kijanahodari20806 жыл бұрын
Jamani kenya ipo juu afrika mashariki ubishi tueke kando
@syliakuskagyabukamaseveria70396 жыл бұрын
Hii sector nikikaa yaani kwetu masikini atakuwa kama bakhresa. Cjui sasa tajiri itakuwa vp!!
Acheni blaa blaa tengenezeni fedha acheni utani kushinda kushinda! Tafuteni jinsi ya kutengeneza fedha acheneni na hayo mambo ya mashindano na mambo ya kuwasifia sifia wageni lini mtajiamini?
ujinga tu... siye tutashindwaje kuchapisha pesa zetu....? twawaachia makampun ya nje yanatuundia manoti mabovuuu...! yakitumika siku chache yamechakaaa.....!
@subramashs22367 жыл бұрын
hatarii
@athumanigombera43856 жыл бұрын
safi sana
@jozeytv83577 жыл бұрын
aliyeshinda tenda ya saivi n kilaza kabisa
@jozeytv83577 жыл бұрын
coz zinachakaa haraka
@mnzavachris54237 жыл бұрын
Jozey The Boy TV denomination gan?!
@manyangumashala4666 жыл бұрын
Si mchapishe zingne jaman huku mtaAn vyuma vimek---,hahaha,,malizia umwone mag--hahaha
@simonsixbert26606 жыл бұрын
manyangu mashala suala si kuchapisha tu, uchumi hauangalii hivyoo?
@manyangumashala4666 жыл бұрын
+Simon Sixbert hivi kwann hauwezi kuchapisha zingne,,nieleweshe kidogo mkuu
@abbasboniphace54446 жыл бұрын
manyangu mashala maninuh
@fredymgaya71237 жыл бұрын
NAAMINI AWAMU HII YA KAMANDA WETU MAGUFULI ITAWEZEKANA TU KUWA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZEA HELA HAPA HAPA TZ KWA KUWA CHUMA TUNACHO MADINI AINA MBALIMBALI YAPO UWEZEKANO UPO WA KUWA NA KIWANDA CHETU.
@godmaxhgodmaxh48836 жыл бұрын
fredy mgaya fulexh
@KUTOKA-ep2fk7 жыл бұрын
Kwanini nyie hamshindi? Hamfikirii? Wengine tu ndio wanashinda tangu 1966.,duh! Fikirini namna ya kutengeneza mafwedha.