EXCLUSIVE: WAZIRI SILAA ANG'AKA "WATU WAMELIA SANA Kwenye ARDHI"

  Рет қаралды 15,800

Wasafi Media

Wasafi Media

3 ай бұрын

EXCLUSIVE: WAZIRI SILAA ANG'AKA "WATU WAMELIA SANA Kwenye ARDHI"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 52
@penwelinatimothy9057
@penwelinatimothy9057 3 ай бұрын
Kazi yako ni njema,Mungu akubariki.
@saidalnaamani1233
@saidalnaamani1233 3 ай бұрын
Kwakweli muheshimiwa waziri endelea na kazi yako safi kwa uadilifu ni mtu unamuogopa Mungu
@ip_header
@ip_header 3 ай бұрын
Waziri Kijana very smart, Mungu azidi kumuongoza kwa maslahi ya taifa
@giztony2009
@giztony2009 3 ай бұрын
Ana ukijana upi huyu wakati mvi kichwa kizima! Huyu ni mzee maana kijana mwisho 35
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 ай бұрын
Mvi sio uzee
@mkutamajuto1549
@mkutamajuto1549 3 ай бұрын
Tukipata viongoz wachache kama ww wanatutosha❤
@user-zq7gw4ik7g
@user-zq7gw4ik7g 3 ай бұрын
Uko vizueri waziri umetusaidia sana . Tunaomba ukae ardhi ata miaka mitano ujayo.
@mukuakili3006
@mukuakili3006 3 ай бұрын
Very smart Leader
@mukuakili3006
@mukuakili3006 3 ай бұрын
Anapigaaa kazi sana bwana mdogoo
@andreap.assenga8480
@andreap.assenga8480 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana na akutangulie ktk majukumu yako ya kila siku kwa ujasiri wa kuweza kupunguza kero za ardhi nchin maana hii wizara ilikuwa haijawahi kupata waziri makini, Ndio maana mwenye nguvu pamoja na baadhi ya wanasheria wasiokuwa waaminifu walitumia mwanya huo kujichukulia maeneo ya watu hata matapeli walitumia mwanya huo kuwa kesi za ardhi ukishajenga kesi imeisha, pia kes za ardhi haxifungi hivyo kutokana na hayo ndiyo chanzo cha matatizo makubwa zaidi, Sasa wazir kapatikana wengi wameanza kujitambua kuwa sasa ni kesi, Wizara inatakiwa iwe na mfano wa Mh, Wazir Jery slaa.
@user-qd1fc4mq6o
@user-qd1fc4mq6o 3 ай бұрын
Mh waziri slaa njoo halmashauri ya kyela- Mbeya na clinic ya ardhi Kuna migogoro ya ardhi ambayo hime sababishwa na DED pamoja na mahofisa ardhi
@user-mr8vl9cy8i
@user-mr8vl9cy8i 3 ай бұрын
Jilinde na maadui wa haki, wenye wivu, chapa kazi kwa umakini na weredi.
@user-fs9tr9pe5h
@user-fs9tr9pe5h 3 ай бұрын
Well said..
@chukuchukukissy8694
@chukuchukukissy8694 3 ай бұрын
Upo vzr kiongozi
@samsonmwankosole375
@samsonmwankosole375 3 ай бұрын
Hongera Mh. Waziri huyo dada wa Mwanza nilimuona na hongera Kwa kumuhudumia
@franksiame8441
@franksiame8441 3 ай бұрын
Huyu jamaa ana akili sana nikiongozi muzuri
@Chemba67
@Chemba67 3 ай бұрын
Anaonekana ni mtu mzuri mwenye dhamira njema
@Ambeniwatano
@Ambeniwatano 3 ай бұрын
Wakipatikana vijana kama wewe serikalini wachapa kazi kwakweli ni rahaaa ila simama na mungu maana uchawi utanuka madai ya viwanja yamejaa mauchawi
@hanspop6961
@hanspop6961 3 ай бұрын
Nakuelewa Waziri wng Mungu akulinde na Mama hajakosea kukupa Wizara hii
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 3 ай бұрын
My god protect Jerry
@user-mr8vl9cy8i
@user-mr8vl9cy8i 3 ай бұрын
Mh huyu ni asset kubwa ya nchi, tumpe nafasi zaidi.
@user-qy8qw9ny4s
@user-qy8qw9ny4s 3 ай бұрын
Super duper
@happymackjacob3480
@happymackjacob3480 3 ай бұрын
❤❤
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 3 ай бұрын
Speed yake isije ika stop ghafla kama ya waziri wa kilimo
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 ай бұрын
Smart Boy
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 ай бұрын
😂😂wabongo mwanzo walikua hawamkubali jamaa wnasema shangwe tu ila now mdgo mdgo wana muelewa
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q 3 ай бұрын
Kaka njoo Arusha utuokoe Mungu akulinde usipate hata kipele
@zakayodismas251
@zakayodismas251 3 ай бұрын
Huyuu jamaaa kwa jinsi ninavyo onaa hana hekima sana katika matamshii yakee .. na jinsi anayofanyaa kazii namuoneaa mbalii sanaa sijaonaa sehem kakurupukaa kutumiaa. Madaraka vibaya
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 3 ай бұрын
sijakuelewa vizuri kwenye comment yako umesema hana heshima ebu ipitiye upya hiyo comment yako
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q 3 ай бұрын
Ewe Mungu tunakuomba umlinde Jerry miaka yote ya maisha yake.
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 3 ай бұрын
Jerry my next president forever
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 ай бұрын
Nimeipenda hii usiseme naomba unisaidie
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 ай бұрын
Ardhi ina sumbua sana skuizi kuliko bifu la wakulima na wafugaji😢
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 ай бұрын
Mama mpe uwaziri mkuu huyu binaadamu atainyoosha nchi
@alexkimaro2886
@alexkimaro2886 3 ай бұрын
Kweli jery slaa kaz inafanyika ila spidi sio nzur sn inaweza kuharibu hali ya hewa kwan wanaolalamika pia ni matapel tapel hajulikan kwa sura
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 ай бұрын
Watu wamelia mda mrefu jamani tumuombee huyu baba
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 3 ай бұрын
Ardhi imetuliza wengi mf bagamoyo Ukun tumetapeliwa nimelipa mie ha ndg zangu viwanja vitatu risit ninazo miaka zaidi ya 17 sijaona lolote Mh lukuvi by then akatoa agizo kwamba sote tuliokuwa kwenye mchskato wa ukuni tupewe viwanja nikaandikisha ofs ya ardhi baganoyo nikaacha stakakadhi zangu hadi kesho nothing and nothing...
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 ай бұрын
Nimekuelewa Silaha jamani Magufuli aliposema vijana wapewe nafasi ya kuwa Mawaziri nimeikumbuka hii tukipata viongozi wa namna hii na waaminifu na vijana waliosoma nchi hii itafika mbali niliwahi jiuliza hivi kwa nini hatuna mifumo kama ya nchi za wenzetu tutaondokana na Rushwa
@archiraphael885
@archiraphael885 3 ай бұрын
muheshimiwa unajitahidi kuelezea vizuri swala la barabara hivi kuanzia kerezange mpaka magole mbunge na waziri mwenye dhamana sio wewe kweli
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 3 ай бұрын
maccm bana hata mpewe miaka 1000 hakuna kitu ni walewale tengeneza tatizo afu unajifanya kutatua nchi ambayo mfumo wa mahakama umeoza ni hovyo wewe na makonda ni welewale ambao hawakuchaguliwa na wanaichi
@petroyohana1126
@petroyohana1126 3 ай бұрын
Unafaa uwe waziri mkuu kabisaaa utasaidia kuondoa hii mitandao inayokula pesa za umma
@awadhally1052
@awadhally1052 3 ай бұрын
Kwel
@steveayoub2316
@steveayoub2316 3 ай бұрын
Anafaa kuwa waziri wa NISHATI
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 3 ай бұрын
Aliepo kwenye nishat anatosha kabsa, now anasafisha uozo ulioachwa na alie tangulia
@froma3732
@froma3732 3 ай бұрын
Wingine bado hawamkubali Rais kwa hivo itakupa tabu kuwaelesha 5 Tena
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 3 ай бұрын
Wewe waziri silaa jimbo lako kwa mkoa wa dar es salaam lina ongoza kwa migogoro ya ardhi kuanzia mbondole,chanika ,mbande , kivule kote huko wamejaa wakuriya wanaiba aridhi za watu wanauza na unalijua hilo
@magorymara5515
@magorymara5515 3 ай бұрын
Huwezi kuuza ardh ya mzaramo bila kumpa chake kwanza utaanzaje
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 3 ай бұрын
@@magorymara5515 kwahyo unaona kama nime ongopa au hufuatilii kwamba nilicho ongea Kina ukweli
@user-ox3iw3rl7g
@user-ox3iw3rl7g 3 ай бұрын
Huyo maulid wa kitenge hajui kitu kazi yake kuitikia tu
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 3 ай бұрын
FFIDDA HUSSEIN NI FISSADI WA NYUMBA ZA WATU
@mahamudali1453
@mahamudali1453 3 ай бұрын
Fraudster belong to jail waziri your fighting endless war jail them
@hamidmohamed7727
@hamidmohamed7727 3 ай бұрын
Huyu nae wale wale hichi chama ni miaka sasa.hakina ishu
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 129 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 43 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 103 МЛН
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 129 МЛН