JERRY SILAA: NILITOFAUTIANA NA MAGUFULI/ SIWEZI KUACHA WANANCHI WATESEKE/ NIMEMUOMBA MSAMAHA NDUGAI

  Рет қаралды 47,579

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#jerry silaa #wasafitv #msumariwamoto

Пікірлер: 44
@aggreyjoseph2966
@aggreyjoseph2966 2 жыл бұрын
jerry nakukubali sana mkuu
@katambiemmanuel3072
@katambiemmanuel3072 2 жыл бұрын
Moja ya kipindi kizuri sana kwangu ni " MSUMARI WA MOTO" big up Charles na Zungu kwa ubunifu huu.
@charlesnatunatu7224
@charlesnatunatu7224 2 жыл бұрын
Hekima, busara na akil piaaah znakuongoza katka kujb maswal,, upo vzurrr xana broooh 🙏
@fugakwamalengo707
@fugakwamalengo707 2 жыл бұрын
Unafkiiiiiiiiii huo mbona ujasema magufuli wakati yuko hai kama kweli tofautiana na samia sasa halafu sema huone na wewe mshukuru sana magufuli bila yeye ubunge ungeusikia tu
@tmasingida2392
@tmasingida2392 2 жыл бұрын
HONGERA Mh. J. Slaa. Wewe ni hazina, si tu kwa chama chako, bali kwa Taifa..!
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 ай бұрын
JPM alikuwa hapendi ujinga wako hapendi wavivu na wenye midomo angalia ulivyoterekeza jimbo lako
@sikitujuma4866
@sikitujuma4866 2 жыл бұрын
Tumesumbuka sana namfereji kutoka bichi pemba kupita nyangasa tumepata hasara sana na maisha yetu ya ufugajikila mara kuku walikuwa wanazama mpaka tulikua tunatoa pesa ya mafuta ya zima moto lakini iumejengwa rafu
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 ай бұрын
Huyu jamaa mnafiki sana.
@KhamisHamad-qw3hs
@KhamisHamad-qw3hs 2 ай бұрын
🎉
@andorovermulima2002
@andorovermulima2002 2 жыл бұрын
Kwa ujumra mpo vizuriii muno.
@allymkomwa8514
@allymkomwa8514 2 жыл бұрын
Kwann balabala ya pugu mnadani haitengenezwi kiwango cha rami na ni sehem ambayo inaingiza kodi kuliko ulongon ambako hakuna mapato yoyote
@hamisasalma6334
@hamisasalma6334 2 жыл бұрын
Ongereni kipindi kizuri
@fredmapunda
@fredmapunda 2 жыл бұрын
Safi Sana mbunge waukonga
@leonardhossa3192
@leonardhossa3192 2 жыл бұрын
Mpo vzur sana
@danielzambi8993
@danielzambi8993 4 ай бұрын
Mh! Jerry una akili saana katika utambuzi wa Mambo uelezeaji uelimishaji Mimi binafsi unaniingia saana Akilini na Moyoni huwa nakufuatilia saana vipindi vyoko. Namuona Jerry Mkubwa Saaana baadae Baraka za Mungu ziendelee kumiminika juu yako kuna Jerry wa Baadae tunakusubiri
@omaryahya337
@omaryahya337 2 жыл бұрын
Chazi na Zungu muko poa munakimbiza vzr
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 2 жыл бұрын
Hapa tz kuna vichwaa vikiendelezwa moto utawaka
@mohdmood9726
@mohdmood9726 2 жыл бұрын
Inaonekana alidanganya au kwa kusema wabunge hawalipi kodi au? Mbona haeleweki.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Mwamba yupo vizr mno
@jubilatemanase9050
@jubilatemanase9050 2 жыл бұрын
Kwa hiyo huyo bwn anatuaminisha kwamba utaratibu wa chama ni kuomba radhi hata km uko sahihi!?if so hawatatufikisha watz kwny maendeleo ya kweli🙌
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Watu kama Slaa CCM haiwataki. Wamekuwa ni tatizo kwa watoto wa wazee wa CCM ambawo hawana elimu ya kutosha walisukumwa tu kama ngongongo Walijiona wana haki ya kuwarithi wazee wawo.
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 2 жыл бұрын
Nawakubari san zungu and chass
@ChristerShao
@ChristerShao 4 ай бұрын
Jerry aliangusha Mbuyu wa kiti cha udiwani,mtangulizi wake Marwa.
@peterbuju5216
@peterbuju5216 2 жыл бұрын
Mambo mazuriii ya msumari wa moto
@michaelnzunda7347
@michaelnzunda7347 2 жыл бұрын
Tujitu ka hutu huaga tujuaji juaji xana utu....uy Chaz yupo deep xana uyu dogo
@bonylove6192
@bonylove6192 2 жыл бұрын
Ukimpinga jpm aufi utaishi 2
@peterluoga458
@peterluoga458 2 жыл бұрын
Balabala ya majohe kwampemba njia nne Hadi kitonga inatakiwa iwe na Rami unakwama wapi mbunge?
@cocorita8367
@cocorita8367 2 жыл бұрын
Eeeh unamiaka 23 au sijaelewa
@godfreysudi7264
@godfreysudi7264 3 ай бұрын
Ujaelewa 😁😁
@iddiramadhanismaiyl2649
@iddiramadhanismaiyl2649 2 жыл бұрын
hamuanzi na mh na huyo ni mbunge
@lorivimbile45
@lorivimbile45 4 ай бұрын
Hamn lolote
@jaffgitts5347
@jaffgitts5347 2 жыл бұрын
Haka kajamaa kajuaji Sana mpaka kanaharibu haka kakiwa ka rais kataharibu
@monicamwanjisi693
@monicamwanjisi693 2 жыл бұрын
Akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo hata sikumoja,huu ndo ukweli,siku zote wanao hojihupewa sifa ya ujuaji
@fugakwamalengo707
@fugakwamalengo707 2 жыл бұрын
Hana sasa baba rubani unatuambia ulikuwa mtoto wa kawaida wew ujui watoto wa kawaida nini wew
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
PolePole hakuwa na kosa lolote. PolePole ameonewa kabisa. Wabunge wanawawakilisha wananchi. Watu wakihangaishwa kwa maamuzi mabaya lazima wabunge wazungumuze kuwatetea. Inaonekana wabunge wanaambiwa wakae kimya. CCM kimekuwa ni chama cha kidikiteta. Tanzania na watu wake kwanza. Chama kinachaguliwa na wananchi, CCM imeota mapembe, shida tuliyonayo kwa sasa Watanzania ni kukosa upinzani wenye viongozi wa maana. Watanzania kwa sasa hatuna alternative. CCM kwa sasa ina viongozi waoga, hawawezi kupambana na wahuni ndani ya chama hicho. Upinzani ni hodari wa kupinga kila kitu na kuisema Tanzania vibaya kwa watu wenye kutaka tubaki kwenye umasikini. Wapinzani hawafai na wala CCM haifai. Kwa sasa Watanzania tuko njia panda, hatujuwi pa kukimbilia ni wapi. . Tanzania ilikuwa na Rais, kwa sasa tulie tu.
@hansngowo5883
@hansngowo5883 2 жыл бұрын
Kusema upinzani hatuna sio kweli,shida upinzani ukishika kasi ya kuwaondoa watapitishwa kwenye uvuli wa mauti,ona mbowe,jifunze kwa somo la mbowe sitaki kutaja mwingine walopitia matatizo makubwa,tatizo sio ùpinzani,shida ni wananch waoga.nakukumbusha yamwez ulopita kenya walipandisha mafuta bei,uliona walichokifanya wananch na bei ikashuka? Jilaum wewe kuwa mwoga kutetea haki yako
@hansngowo5883
@hansngowo5883 2 жыл бұрын
Kumbuka uchaguz uliporwa 2020 viongoz wa oposition wakatoa tamko watu watoke barabarani nani alitoka? Usiwaonee viongoz wa upinzani,wapo wapotoshaj wasaka maslah but sio wote na vyama vyote viko kama TLP au kile cha cheyo
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
@@hansngowo5883 Uchaguzi uliporwa, huwo ni uwongo usiokuwa na mpaka. Mungombea wenu alikuwa Tundu Lissu, Tundu Lissu hayuko popular hivyo. Ni popular kwa watu wanaojiita wasomi. Tanzania ina watu wanaweza kumpigia Tundu Lissu na kizungu chake uchwala. Katembea dunia nzima kuikashifu Tanzania na Raisi wawo mpendwa JOHN POMBE MAGUFULI. Aliyewafanya watanzania watembee vifuwa mbele na kujivunia kuwa Watanzania. Angemushindaje Hayati Magufuli? Mpaka sasa vyama vyote viwili vinayumba kwa Chadema kwa kumutukana Hayati Magufuli na CCM kwa kumugeuka Hayati Magufuli. Magufuli hatunaye lakini yumo kwenye miyoo ya Watanzania wengi, ambawo ndiyo wapiga kura. Kawaonyesha Watanzania utawala bora. CCM 2020 walipata ushindi mkubwa bila kutowa jasho. Ni nani atampigia kura musariti kama Tundu Lissu, aliyetembea dunia nzima akisema TUSUSWE, TUZOMEWE, TUKATIWE MISAADA, NA TUCHEKELEWE. MJINGA GANI ATAFANYA HIVYO? Tugombane, tukosowane lakini ikifika kwenye uchumi wetu lazima tuwe pamoja. Tundu Lissu hafai hata kuwa kiongozi wa zizi la ng’ombe. Kwa sasa Watanzania wako njia panda. Unless CCM ibadirishe mwenye do wake, 2025 watapata taabu sana. Kwa sasa watu wana ngoja kama ndani ya CCM kutatokea wazalendo kubadirisha mambo mabaya yanayoendelea ndani ya chama, ama Cham kipya chenye Miyazaki ya Hayati Magufuli. CHADEMA THEY HAVE NO CHANCE. AFRICA IS NOT POOR.
@mathiaslugenya6265
@mathiaslugenya6265 2 жыл бұрын
Jerry mjanja hammuwezi
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 4 ай бұрын
Mimi nadhani nikiishika hii nchi wajinga kama ninyi nitawapoteza
EXCLUSIVE: WAZIRI SILAA ANG'AKA "WATU WAMELIA SANA Kwenye ARDHI"
33:46
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 21 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 201 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 63 МЛН
THE STORY BOOK: JULIUS CAESAR SHUJAA WA ROMA ALIYEFIKIA KUITWA MUNGU
36:34
It worked for me)
0:19
F&T Team
Рет қаралды 9 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
0:40
MrBeast
Рет қаралды 169 МЛН
ПОМЕНЯЕМСЯ? 🥺😬😵‍💫 #funny #comedy
0:12
Fast Family LIFE
Рет қаралды 1,2 МЛН
La emociones de Bluey #歌ってみた #bluey #burrikiki
0:13
Bluey y BurriKiKi
Рет қаралды 40 МЛН